LISSU AKAZIA MAANDAMANO SEPT 23 YAKO PALEPALE “NANI KASEMA KUANDAMA NI HARAMU?, TUNATAKA MATENDO”

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 17 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 27

  • @LuciaMagari-h8o
    @LuciaMagari-h8o 3 дні тому +3

    Watz kwa uoga kaaaah, 2jifunzen kwa Gen-Z

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t 2 дні тому

    Baba kitime Mungu akubariki sana heri wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu

  • @davidkitindi4096
    @davidkitindi4096 3 дні тому +2

    Padri anaipatia sauti ya Lisi kinma

  • @JamesImara
    @JamesImara 3 дні тому +1

    Hakuna halamu

  • @KamiliKapeta-yr3uc
    @KamiliKapeta-yr3uc 3 дні тому +1

    Andamana peke yako siklepa

  • @simonmaige3580
    @simonmaige3580 2 дні тому

    Ivi nyie wanasiasa mnafikili tunaweza kufanya ujinga wa kuandamana sahauni tafuteni utaratibu mwingine nasiomaandamano

  • @Bilioneabichwa331
    @Bilioneabichwa331 3 дні тому

    Tarehe 23 September mkuu wa mkoa amesema tukale nyama choma ,

  • @LoitushulYamat
    @LoitushulYamat 3 дні тому

    Kumbe wote hao ni waumini wako na wamesoma shule zenu padre una kazi ya kufanya.

  • @abuumuhammad7133
    @abuumuhammad7133 3 дні тому +1

    Wewe andamana tu tena uwe mstari wa mbele wewe lisu na viongozi wenzio

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 3 дні тому

    Skf ameongea kwa mafumbo mno😂😂 ila kwa wanaojua physiology wanaelewa alimaanisha nn??😢😢 Kama huwezi kumjua aliyekutendea mabaya huwezi kusamehe 😂😂 unawezaje kusamahe anayekukosea gizani😢😢

  • @laoiyadi1176
    @laoiyadi1176 3 дні тому +3

    Waandamane wenyewe SS watuache 😢 Mambo yakuhangaikia matumbo yenu marufuku

  • @BakariMnefi
    @BakariMnefi 3 дні тому +1

    Lisu tafuta kaz ya kustaafia maandano hayakusaidii

    • @DanieliDgani
      @DanieliDgani 3 дні тому

      Mandamano sio haramu yapo kikatiba soma katiba mjomba polisi ina takiwa kurinda mandamano

    • @BakariMnefi
      @BakariMnefi 3 дні тому

      @@DanieliDgani kaungane nao shida zangu lisu hazijui kama ana uchungu hata hizo pesa za chama wanapewa na serikal wasichukue hapo ntaamin wako sirias sio wap wanaishi vizur kupitia luzuku halaf Mimi niandamane sifany ujinga huo

    • @jescageorge-fv8yt
      @jescageorge-fv8yt 3 дні тому

      Mwambie huyo

  • @shango8645
    @shango8645 3 дні тому +1

    Huyo lissu anataka kuwaponza ninyi wananchi wa Tanzania msiwafuate wapinzani hawana sera wambieni waandamane wenyewe na familia zao

    • @jescageorge-fv8yt
      @jescageorge-fv8yt 3 дні тому

      Baba yako anasela za kuteka watu wasio na hatia mshamba wew

    • @BakariMnefi
      @BakariMnefi 3 дні тому

      @@shango8645 nakuunga mguu

    • @BakariMnefi
      @BakariMnefi 3 дні тому

      @@shango8645 nakuunga mguu

    • @landmadvdmbeyacity9561
      @landmadvdmbeyacity9561 2 дні тому

      Acha uoga ww utakufa tuuu siku

    • @BakariMnefi
      @BakariMnefi 2 дні тому

      @@landmadvdmbeyacity9561 acha nife kwa mapenz ya mungu sio kwa kuwapigania Wala ruzuk ingekua napigania din sawa ningekufa kishujaa

  • @user-le7ek2zs4t
    @user-le7ek2zs4t 2 дні тому

    Wote ninyi mliotoa comment ni mawakala wa ccm usipoandamana utakufa ukiandamana utakufa si bora kufa kishujaa na watu wajue kuliko kufa kibudu ngoja sisi tuandamane acha unoko. Huu ndio upendo wa mtu kuutoa uhai wake kwa ajili ya wengine ngoja tufe wewe uendelee na maokoto mnayopewa na ccm kuihujumu demokrasia Tanzania

    • @fahdihasnuu9034
      @fahdihasnuu9034 2 дні тому

      Hhhhhhhhh io nguvu ya kuandamana wekeza kwenye kilimo