RAIS SAMIA ASIMULIA ALIVYOKAMATWA NA TRAFFIC USIKU "ALINIULIZA WEWE NI NANI NIKAMWAMBIA MI SAMIA"
Вставка
- Опубліковано 11 гру 2021
- Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo tarehe 12 Desemba, 202 ameshiriki katika Mahafali ya Kufunga Mafunzo ya Uofisa Kozi No. 1/2021 katika Chuo cha Taaluma ya Polisi, Kurasini, Jijini Dar es Salaam
akihutubia mbele ya maafisa hao na viongozi mbalimbali amesimulia changamoto za Traffic alizowaikukutana nazo barabarani.
Huyu Mama nimpole sana tena sana tumpende wote kwaujumla iliaweze kuchapa kazi kwa bidii, angekuwa mtu mwingine angefukuza mkuu wamapolice TZ nahao majambazi Traffic police ambao walikuakazini usiku huo. No one like Mama samia" JAH bless🙏
C 2napenda kaz
Usitufokee na usitulazimishe kumpenda
,,ukimpend ww inatoxh..😂
Hapa unaweza kujifunza mengi kupitia hii story,kwanza ni jinsi ya uendeshaji mbovu wa taasisi hii,pili ni harufu ya rushwa iliyokithiri na tatu ni uwajibikaji mdogo na uvunjwaji wa sheria,mm nilishangazwa majizi niliwaona trafic ni viumbe wazito sana wao wapo kuangalia magari yenye makosa tu kuna mama anakatiza kwenye congestion badala wamsaidie yaani kama hawaoni vile wanasumbuka na fine za kijinga tu
Huyu Mtu yeye anasema taratibu hila Anajua Mengi Sana Moyoni mwake...Bravo Samiath Suluhu Hassan.Songa mbele Usiogope.
Salute,
Tujifunze kitu hapo wewe polisi angalia kauli na vitisho hunaye mtisha leo hujui kesho yake atakuwa nani.
Kwa kweli shida tu!
Kweli uwa wapuuz Sana awa jamaa
@Angelina meki wewe ikiwa una mambo ya ufuska kauze uko uko kwa wenzio usituletee sie mambo ya Kisenge senge apa fuck off!!!
Wana bahati sikuwa Mimi baada yao kuniweka kwenye mmbu na wao wangeipata pata POLICE WASINGEKUWEPO TU TUKABAKI NA JESHI
MAMA SAMIA SULUHU HASSAN MAY ALLAH GIVE YOU MORE YEARS TO LIVE ALLAHUMMA AMEEN.
Aamin
Mash Allah
Ameen
Maaasha Allah mama nakukubali sana umekuwa msfahmilivu tangu zamani maskini walikubagua ila leo umefika mahali Mungu aliamua ufike. Hongera sana nakupenda sana na nakukubali kinowmaa
Maneno ya busara na hekma kutoka kwa Rais wetu na mama yetu SSH, Allah akupe afya njema na akupe umri mrefu inshaa Allah, Nakupenda sana mama ❤ hii video imeniuma sana eti "waarabu" kwahiyo angelikua mwafrika yasingetokea hayo wala kauli hizo za kibaguzi na ukabila!!, waarabu ni ndugu zetu na tunawapenda sana, wewe unaewachukia utajua mwenyewe, huwapunguzii chochote. Mama piga kazi, wabaguzi wapo tu, hata ukiingia mitandao ya jamiiforum n.k wapo tu, sisi ndugu zako tuko nyuma yako inshaa Allah, Allah awe nawe ❤
Watanzania mnabahati sana huyu Mama nimkarimu kiasi kisicho mithilika la sivyo jeshi zima la polisi lingehara kwa maamuzi yake("watching from🇰🇪")
Mandongabondia
Bondoa
Rais wetu mungwana sana M/mungu ametaka kukuonyesha hali halisi ya askari unaowaongoza na dhulma wanazo zifanya kwa raia spat picha hali ingekuaje rais wa nchi angelikua mbabe
Mama umeongea point kubwa Sana kutoka oman mama fanya kazi mashaallaah
Ucjali bro tutalifanyia Kazi apa Kazi💯 kwenda mbele tu!! 😜
Pole sana Mama yetu ndiyo Askari Traffic wetu wanaotusumbua mitaani hao
Mimi kweli kweli unawajua wao wao kasheshe hawa jamani ukikutana nao hawana mchezo afadhali uwajua ubarikiwe Rais wetu
Safi sana mama, nimependa busara yako, hao askari wana tabia chafu sana. Hua wanatumia nguvu kuliko akili. Bora nawe ulishapitia hayo, hawana akili wala ustaarab hata kidogo
Shule Yao ndo hiyo waliofeli shule wanatumia nguvu kuliko akili Wana maneno mabaya Sana busara hekima hawakupewa kabisa
Ni mwafrika akipewa cheo kidogo hawatumii kutoa huduma bali kunyanyasa wananchi. Hi tabia iko kila pahali kwanza hi Kenya wacha tu.
Yaani mama Samia ndivyo walivyo kabisa afadhali umepitia kuwajua bila kuambiwa
Trafick wabogo wanakera wengine cio wastarabu kabisa mwez uliopita wameniandikia fain nipo na jeneza naenda kubeba mwili hospital kisa buku
@@gideonmwenda2959 😂😂😂😂😂😂
Inafurahisha na kusikitisha vilevile!
Kiukweli Trafiki wanakera sana Hasa huku Kigoma.
Gari YANGU ilisajiliwa kufanya biashara, hivyo basi nilivyochelewa kupata Plate number nyeupe nilipigwa faini nikakubali na huku nina risiti za kulipia hizo Plate number.
Nilivyoenda kuuliza jamani hizi Plate Number zinachelewa nafanyaje sasa wakaniambia mwambie Dereva wako atembee na risiti za malipo ya Plate number kwenye gari,
Nikasema sawa, ruhusa nimeipata leo, kesho narudisha gari barabarani tu nakamatwa na kupigwa faini tena, na WAKATI wao ndio waliniruhusu kuingiza Gari barabarani,
Wanakera sana,kwa kweli wanakera.
Wanakera kinoma
Hawa jama mm nasema balabala yakwenda mbinguni ingepita kwetu wangenikoma
Kweli kwa kweli Wana kera ila kweli biblia inatwambia mxamehe 7x70
Wanazingua
Baadhi ya police Wana ubaguzi Sana hasa wakiona wanzibar anatuona sisi washamba sana
Walizani yeye ni barawa ya somalia.aw Malika Mohamed ndogo wake
Mama Mungu akukinge na ajali za roho na mwili ,unaongea point sana
Just imagine if the bosses didn't know her.
Hongera Sana Malikia Samia Kwa KAZI nzuri Rais wetu kipenzi
Asante mama..afadhali umeyaongea yatasaidia ktk jeshi la polisi ktk kujitekebisha
Hapo ndo utajua mtu baki atazidi kunyanyasika tu mwenye cheo na fedha ndo atathaminiwa, ila Kwa Mungu uwe na fedha uwe hauna sote tutakuwa sawa tu.
Kwa kweli
Umefanyiwa wewe Samia ambaye historia imesimama nawe, wasiojulikana wana hali gani.
Mama your humility is good for the country. But the people in uniform need more training on how to conduct themselves
Ni kweli tena warudishwe shule kbs
Raha sana kiongozi ukiwa kujulikani kwa sura maana unagundua madhaifu mengi ya viongozi wengine. Kwa sababu wanafanya bila ya kujua wewe nani.
That soft spoken meaning laden SWA is poetically heavenly
Police wanacheka! Ni mbaya Sana,uonevu wa police ni mkubwa Sana waonye mama.
Wanacheka mpaka wanasalimiana ina maanisha ata haiwaumi hata kidogo
Hawana adabu!!!
Sasa Walie?
Hongera. Kaka. Kwa mvi. Zako
Mama yetu ana busara sana. Mungu akusimamie Rais wetu, watu wanaumizwa San katika mambo mengi hali ya kuwa wao hawajui.
Words of wisdom mama💪🏿
Yaani umeongea ukweli mama! Yaani shida kidogo ya kuonya tu lkn utasumbuliwa hata siku nzima
Mama samia kanichekesha kweli...Daah,, "kuwa mbu hawana shamba, duuh..Jamani ndo polisi wetu hawa
🤣🤣🤣👍
Kwani wanashamba?
@@kishingokishingo1840 Mbu hua wanapendaga majani!!
Kuua Mbu inamaana zalau iyo!
Nakupenda sana kiongozi wangu Mama angu kipenzi Mama samia suluhu Hassan. Mungu akuzidishie hekma na busara nyingi kama Suleiman love u Mama
Sheria ifanyiwe marekebisho, police Wana mamlaka kubwa Sana znazoumiza raia Kwa upande mwingine,
yes muda mwengine hekma kwa kila mtendaji wakazi.
Asante ,mama,kiukweli,baadhi ya polisi,sii wote,kuna baadhi yao,ni hatari kweli,akikumata anakuwekea bangi alafu anakwambia,ngoja uone Kama hii kesi utatoboa.huku kitaa polisi hawapendwi wanaonekana ni maadui kinyume na kazi yao na pia wanatumika kisiasa.hatari,Asante mama kwa kulijua Hilo mapema.kunahitajika rifomu kubwa ndani ya jeshi la polisi.
Mpaka nimependa manake yanatukuta kila siku hatuna pakuyasemea ukienda kusemelea polis unapewa kesi kubwa zaidi
Wanatumia nembo ya jeshi vibaya, mama Samia kumbe unawajua hao vizuri. Duh sio poa hata kidogo.
Jifunze quran kusoma kuandik gusa picha yangu kama hautojali
Hiyo mama iliyokukuta ww hatamie iliwahikunikuta hivyohivyo hawana lugha za kingwana kabisa badala wao wawe msaada Wao ndio shida hamna anaowapenda labda awe na masirahi nao.
Mie yashanikuta alafu kweli kabisa wana Ubaguzi mkubwa Siku wakiamka nao ikiwa ndio wamekerwa uko alipotoka hasira yake yote ata kumalizia ww!
Duuuh Pole polisi walikuwa hawakujui wewe ni nani?
Wameingia cha kike 😂😂😜
Kwa JPM ilikuwa hamna nani wala nani?
Ni kitambo sana. Hakujigambia cheo!
@@mwana4599 Unayumba. Wakati wa JPM alikuwa hatembei bila king'ora. Hiyo ni kitambo kabla ya kuwa makamo wa rais!
Sas kam ni nan askamatwe police walifanya kaz yao nawao mm naona saw tu tukamatwage ss tu😂😂😂😂😂
Lugha zao kweli mbaya sana. Na kuwaita watu waarabu sujui wahindi ndio kauli zao. Sasa uarabu na uhindi umekhusi nini kutajwa, hata kama umefanya kosa, kwani kabila ndio lilofanya kosa. Waache hizo kauli, hebu wafundisheni adabu kidogo kuheshimu watu.
Sahihi ni ivyo alivyoambiwa Mheshimiwa Rais yeye mwenyewe kaambiwa ivyo na inabidi kiukweli kuweka sheria Askari akikuletea lugha mbaya unakua na haki ya kumshitaki kwanini lkn wanakua na Viburi ivyo???
Leo mama umesema labda sasa wataweka ubinadamu kidogo🙏 asante mama yetu 🙏🙏🌺🌺🌺
Mama Leo umesema ukweli
Mheshimiwa Rais Mamaetu kipenzi chetu kiukweli wewe ni Muungwana sana na kiukweli unahitajia heshima kubwaa lkn watu walikua hawajakuelewaa! Mungu akulinde na akupe Afya njema ya kuliongoza Taifa letu la Tanzania Mungu Ibariki Tanzania Ameen!!!
Mama leo umeupiga mwingi sana leo.
Yaani nimecheka sana leo.
Numb nawe unazijua kero za barabarani ndo akili zao zilivyojongea za ovyooo
Eeh I imagine uhuru kenyatta afanyiwe ivi waaaah eeeeeeeeeh ongera tz
Mwalimu nyerere was absolutely right...tanzania talking about tribes....what tribes got to do with citizenship...if you are tanzanian...
All praise President Nwalimu in his blessed memory and prayers to these current presidents to carry on and no to always be carried away by crowd laughters.
Hii nchi kuilewa inatakiwa uwe punguani kwa kweli ,juzi wamesema wanataka askari ambao walipata ziro na hiyo ndio outcome ya ziro.
yaani kwamba maafisa hawamjui Rais? mbona ajabu hii!!
Mama kazi njema
Polisi wa sasa wanajali watu wenye pesa kama ww nimaskini siku ikatokea bahati mbaya unabahati
Eti warabu hawa wamezidi. Kwani mwarabu sio binadamu!? Kweli mama ubaguzi hautakiwi nchi hii.
Kwani Raus ni mwarabu?
Watz tunatofautiana kwa rangi, kwa kabila, kwa jinsia, kwa dini, kwa vyama, lakini sisi sote Watz... Tuheshimiane, jamaani ! Mungu ibariki Tz
Si wanaangalia Rangi wao wanajua nani mwarab nani sio mwarab??? ndugu ilo sio suala apa kinachoongelewa ni Ubaguzi sio chingine au una lako na ww??
Doria yapolice wakikukamata umepakiza mshikaki ujuwe pesazitakutoka nirushwa
Ndo umejionea sisi raia wa kawaida tunavyo onewa
This is touching, it's high time we need to change for things to go well
Mimi nauliza police waliambiwa kuwa FUSSO na CENTER azirusiwi kupita mbele yao? Hata uwe umekamilika lazima wakuzingue tu. Ndo maana tunatembea usiku mara nyingi sisi wenye hizo gari make mchana wanaboa sana hata jamaa
sio fusotu coster na hice ata kama ilikua kalala ataamka2
KAZI NI NDOGO TUU, VUNJA JESHI LOTE LA POLISI ULIUNDE UPYA, LINA MAASKARI HOVYO KABISAA SIJAPATA WAHI ONA
Imani....ukweli na busara nimeiona kwako mama yetu...mungu akutangulie
Mamangu naanza kukuelewa sasa,bola ulivoanza kuwatambia mapema hao hizo tabasamu zao wakikitana na mwananchi had rushwa.
NAMUOMBA M/MUNGU AKUTIE NGUVU NA AKUONDOSHEE MARAZI.NA AKUPE UFAHAMU KATIKA UONGOZI WAKO WA KILA SIKU.INSHALLAH.
Kama umewaona askari wamepeana tano😀 baada ya mama kusema aliambiwa hao mbu hawana shamba waache wale.......like kwa sana🔥🔥
Mama Wona Sikuzote Madereva Tunanyanyaswa Sana Barabarani 🙏♥️🇹🇿
Polisi wana makusudi sana sikuhizi anakusimamisha na kukusingizia kosa ukigoma anakuandikia kibabe sababu cha kwanza anaomba leseni yako akiishika tu utaamua mawili umpe elfu 10 au akuandikie 30!
Ivyo ivyoo izo ndio zao wanasumbua sana km wakishika leseni kuangalia ndio wanapokupiga apo apo alafu wanakuaga na Viburi Sanaa!
Hawana shamba hao acha wale 😂😂😂
Hapo ungeweka rushwa hata usingeenda
KWELI HIYO WANACHOTAKA.
Safi sana wanakera sana hao kosa la kukuonya kesho usirudie wanakomandi sana
Huku Kenya raise hutembea na.convoy nzito...police bosses ndio huwa kwenye guard ...walahi kidudu mtu hawezi mfikia...pole maa. . you're very humble
Sasa ixo changamoto na ss twapitiaaaaaa jua ivyo mama
Goodest, mama tunaomba sana mradi wa umeme wa Rufiji uendelee!
The fast women in the ward mama Samia chapa kazi kiongozi
Afadhali wewe Mama Samia ulikua unajulikana na hawo ma boss. Mimi nimejuta jamani na hawa police. Sitaki niyaseme hapa. Ila wapeni elimu ya ki psychology wafanye kazi yawo vizuli.
Waambie mama.,uonevi umezidi ,mafuta alikuwekea wakati wa kukurudisha
Waboresheeni maslahi yao na makazi, wanaishi katika mazingira magumu sana na pengine ndiyo sababu ya wao kufanya wanayoyafanya.
Kila mtu anaeishi mazingira magumu akiamua kujitoa kwa style hizo patakalika humu!!? Sababu wao wanajikwamua kupitia barabarani wapo wataojikwamua kuingia majumbani huko...mazingira magumu sio sababu ya msingi.
Hao wana LAANA,hata waboreshewe maslahi,hali yao ni hiyohiyo
Trafick ni watu wa hovyo sana waseme sana
Mama na elimu ya watu wanaojiunga na jeshi iangaliwe upya. Yaani kuna madudu mengi
GOD BLESS OUR POLICEMEN, WE LOVE THEM
Umshukuru mungu ww upo serikalini upo na vyeo vyako sasa uliza lahiya wako 😭😭😭😭
Kama wameweza kumfanyia Boss wao hivi.,.
Wwngine watakua kweny hali gan😁😁😁😁
I wish you were our president mama much love from kenya 🇰🇪
💛🧡💯
Mhnhnh
acha ujinga
This is very sad. It's like policemen across the world doesn't know their duties. Instead they have become rouge
Dennis kadhr from.Nakuru city Kenya 🇰🇪🤭🥰🥰🇰🇪 we need you to.also talk this sense to.Kenyan police your our leader in Africa sote HE HON President Samia Hassan Suluhu🔥🔥
Mama ametumia siasa kubwa
Ongea sana mama Samia suluhu mungu aendele kukupanguvu zakuongoza inchi vzr
Mama umenichekesha sana pole sana my mum
Ewalaaa mama Samia umeona apoe. Hatupendwi Zanzibar naneno muarabu niuadui kwahao wenzetu.
Love u so much my mama president♥️♥️♥️♥️♥️
Mama yetu raisi wetu tunakushukuru kwa kuzema ukweli mm jusi nimepingwa tochi ikiwa ina soma 59 wakanilazimisha kutoarushwa nilikata nikaona bora waandike watu hata musamaha hawajui utasani hawana watoto wala ndugu nili mwambia baada ya haya kuna maisha mengine Mungu akulinde raisi wetuu
Firimasoni
Hii n nchi inoongozwa kwa mfumo wa non_ democracy.. tusishughulishane uwo ndo ukweli... hmna chochote..
Wako sawa wanafanya kazi yao hongera kwa hao asikari
Nice melody🎉🎉
Hawa traffic wamezoa sana kula jasho la watu kunasiku zitawatokea puani
Na Leo wewe ndy rais wao...waache kiburi wanaona Kama wamemaliza kila kitu wanajibu kwa jeuri sana
Kweli kabisa mama tunateswa sana na hawa jamaa. Ni miungu dunia wakiwa barabarani
Bora mh.raisi ulivyosema ukweli kuhusu tabia za hawa ndugu zetu
Rais wangu huyooo
Lugha ya vitisho inatumika ili ujae upepo na uingiwe ubaridi, lengo ni Rushwa tu hapo, Anzeni na kituo cha Msimbazi maana pale wangekuwa wanaomba Rushwa ya pesa tungejua ndio Tanzania yetu, ila wanawadhalilisha saaana wanawake na wadada yaani wanaombwa rushwa za ngono hatari, na kuwajua ni kazi rahisi saaana muwahoji askari wapelelezi wa pale watasema yote
Unachokisema nikweli Askari wetu wamejaa rushwa na uonevu kwa waendesha magari na bodaboda mm mwenyewe mashahindi nimetoka Mwanza to Arusha basi likasimamishwa sasa nikiwa dirishani wakawa wanapeana rushwa sasa dreva akaniona nimechungulia dirishani nasoma mchezo akaaza kuniambia unachungulia nn mm nikajiuliza hawa wenye mabasi kila siku watu wanakufa kwa sababu za high speed kumbe wanashirikiana kutoa na kupokea rushwa iliwatuue vzr hilonalo lichunguzwe siyo utani especially magari ya mkioani yana rushwa za kutosha ndiyo maana ajari haziishi basi likipata ajari kwmateni madreva wafungwe maisha jera wanatusababishia vifo
Duh
Wape vidonge vyao Mama angu.
It's not our fault mum it's the Orders and rules we as Citizens we have to follow then northing is Easy..inshort it's Complicated.. good thing you know how to follow thenm kudos Mum look at you Now You're the Boss.#Tanzaniamoja.
Kweli mama inasikitisha sana tunakuwa kma sio WATANZANIAA NA NCHI YETU DUNIA NZIMA INAJUAA TANZANIA NI NCHI YA AMANI.KWELI MAPOLISI TUNAWAPENDA.mapolisi msjtuonee jamaniii.
MUNGU AKUBALIKI RAIS WETU
Rais Samia namtilea Ghofia kwa mawaidha mazuri sana. Police wanahitaji kubadirisha tabia na kumakinika na kuwahudumia wananchi kwa nidhamu ya hali ya juu.Mama Rais SAMIA ni kiongozi shupavu.
Our own president should hear this....we are going through alot...