PLANET BONGO : DAKIKA 10 ZA MAANGAMIZI NA DOGO JANJA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 жов 2024
  • Chalii ya Ara A.K.A Janjaro amekua Msanii wa 6 kufika katia Dakika 10 za Maangamizi Ya Rap ndani ya Planet Bongo, Kipindi Mahususi cha Muziki wa Kizalendo ( Bongo Fleva)
    Kama ilivyo kawaida yake amefika na amefanya kile alichopanga kufanya Kazi inabaki kwako kudondosha Comment umeonaje Flow zake na Je Nani afuate Next Week?

КОМЕНТАРІ • 175