TAZAMA MARCOM WA ZABRON SINGERS MWILI WAKE ULIVYOPOKELEWA NA MAMIA NYUMBANI KWAKE KAHAMA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 28 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 111

  • @HelenaMatiasi
    @HelenaMatiasi 2 місяці тому +1

    Pole sana, mimi binafsi nimeguswa sana na uo msiba, niko nalia apa, ila akikisha uyo mtoto wake wa nje apewe aki yake, apo mungu atawaonekania katika familia yenu, ila mkithubutu kumtenga, mtakua mnajitafutia matatizo makubwa, sana katika familia yenu na ukoo wenu wote.

  • @mukatukundorosine1745
    @mukatukundorosine1745 2 місяці тому

    Watu wa Rwanda nasi tulikuwa na penda muimbaji Marc Pole kwa Familly

  • @MwajumaRashidy4
    @MwajumaRashidy4 2 місяці тому

    Duh!inauma sana,Mungu ailaze mahala Pema pepen

  • @stellahwilliam8578
    @stellahwilliam8578 2 місяці тому

    Daaaah😢😢😢😢😢😢kifo ni fumbo pumzika kwa amani marco tutaonana tena badae katika haya maisha😢😢😢😢 ratiba zako zote usisahau na ratiba ya kifo nyie kifo kinauma sana asikuambie mtu 😢😢😢

  • @JosephMzipila
    @JosephMzipila 2 місяці тому

    Polenta sana Zabroni kwa hili

  • @Doricaskusundwa
    @Doricaskusundwa 8 днів тому

    Mungu awe mfariji katika familia yakee

  • @joyceabdallah4363
    @joyceabdallah4363 2 місяці тому +3

    Amekufa akiwa kijana mdogo kabisa eee Mungu

  • @sofiaoman5901
    @sofiaoman5901 2 місяці тому

    Mungu awe mfariji wenu kwa kuondokewa ni mpendwa Marco

  • @calebmakokha
    @calebmakokha 2 місяці тому +1

    Si rahisi kukubali eti marko ameaga,bali ni mapenzi yake Mungu.Mungu tujalie mwisho mwema.

  • @antonybusutu6676
    @antonybusutu6676 2 місяці тому +3

    Farijini katika bwana...mungu alitua na pia ametwaa jina la baba balibarikiwe

    • @harrietajiambo229
      @harrietajiambo229 2 місяці тому

      Hii si kazi ya Mungu hata Mungu mwenyewe hukasirika kwa kumuwekea lawana kwa lenye hajahusika

  • @joyceboniface6107
    @joyceboniface6107 2 місяці тому +1

    Poleni wafiwa wote MUNGU awatie nguvu katika kipindi hiki cha majonzi, MUNGU ailaze roho ya mpendwa wetu apumzike kwa amani amina 😢😢

  • @EsterOmary-w9s
    @EsterOmary-w9s 2 місяці тому +3

    Jambo hili ni gumu sana kwa namna ya kibinadamu Yesu uliyemfariji wafariji wafiwa hawa

  • @esthermeshack8172
    @esthermeshack8172 2 місяці тому

    Polen Sana mungu awatie nguvu

  • @gracemsuya8192
    @gracemsuya8192 2 місяці тому

    Mungu akawe mfariji wao maana minimeumia Sana sijuiwao jamani

  • @njabukampigirwa9938
    @njabukampigirwa9938 2 місяці тому

    Pole sana

  • @DeogracianaMhagama
    @DeogracianaMhagama 2 місяці тому

    Ee mungu umpokee mtumishi wako, nilikuwa napenda uimbaji wake lakini ameacha alama.

  • @martha4788
    @martha4788 2 місяці тому +2

    Maumivu nayopata Mungu ndo najua Ee Mungu watie nguvu

  • @EsterramadhanEsterramadhanshab
    @EsterramadhanEsterramadhanshab 2 місяці тому

    Ime niuma san Niki tizam machoz Yan tirirk tuu sijui mke wak na mam yak 😭😭😭

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 місяці тому

    Poleni sana 😢😢

  • @esthersimiyu2276
    @esthersimiyu2276 2 місяці тому

    Pole sana Kwa familia😢😢

  • @RedemptaShio-yi9dx
    @RedemptaShio-yi9dx 2 місяці тому

    Kweli si njia rahisi ni adui Yesu achukue nafasi shetani anapepeta uhai

  • @MacdonaldOtieno-h8j
    @MacdonaldOtieno-h8j 2 місяці тому

    Poleni sana wana benti wa zabron singers-yesuvni mungu awatie nguvu wakti huu ngumu 😢😢😢

  • @keziaonzere3152
    @keziaonzere3152 2 місяці тому

    R.I.P Mwenyezi Mungu aifariji familia

  • @StellaSulle
    @StellaSulle 2 місяці тому +2

    Kesheni kila wakati
    Ndo maana yake hiyo.

  • @MaryNjeru-h6v
    @MaryNjeru-h6v 2 місяці тому

    May God give all strength in this trying moment

  • @EstaEdwin-q4r
    @EstaEdwin-q4r 2 місяці тому

    Poleni wafiwa wote Mungu awatie nguvu katika kipind hiki kigumu

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 2 місяці тому

    Marco umeenda ukiwa bado mdogo sana miaka 32 still young

  • @HappyShirima-k9t
    @HappyShirima-k9t 2 місяці тому

    Daaaaah😢😢😢😢😢

  • @blandinamyinga9489
    @blandinamyinga9489 2 місяці тому +1

    Tumeuona mkono wake BWANA🙏🏼🙏🏼

  • @annaedward9868
    @annaedward9868 2 місяці тому +1

    Jamani uuuuwi nabaki kulia tu mwenzenu😢😢

  • @ChejoBuchejo-mm8bb
    @ChejoBuchejo-mm8bb 2 місяці тому

    Swala la kudanja ni noma sana na halizoeleki✓

  • @constanceade5094
    @constanceade5094 2 місяці тому

    Saad pumzika Kwa amani😢😢😢

  • @EdinaPastor
    @EdinaPastor 2 місяці тому

    Sjawah kumuona ila nimelia sana mungu

  • @VAILETMWAMPAMBA-ug9ei
    @VAILETMWAMPAMBA-ug9ei 2 місяці тому

    Inauma sana MUNGU awafunge mkanda family

  • @JulietOnyango-g7z
    @JulietOnyango-g7z 2 місяці тому

    Hakika hii Dunia sisi ni wasafiri.

  • @Victoria-bv6xu
    @Victoria-bv6xu 2 місяці тому

    Mungu awatie Sana nguvu🤔🙏

  • @janetjerotich-hd8sz
    @janetjerotich-hd8sz 2 місяці тому

    😭😭😭😭so,sad it was so unfortunate 😭

  • @HappyMonda-h1c
    @HappyMonda-h1c 2 місяці тому

    Dear lord, may you comfort this young family🙏🙏🙏
    This is very painful 💔💔💔😭😭

  • @LeathNestory
    @LeathNestory 2 місяці тому

    Tunaumia ila mungu amulaze mahar female peponi

  • @edinammoji2960
    @edinammoji2960 2 місяці тому

    inauma hakika,pole jirani watanzania

  • @esterpastory8918
    @esterpastory8918 2 місяці тому

    Tanzania bado hatujawa na madoctor bingwa wa moyo mi naamini niuzembe mtu anakufa hata operation bado haijafanyika kweli daa inauma sana

  • @harrietwaweru9760
    @harrietwaweru9760 2 місяці тому

    It pains, the departure of this servant of God, RIP Marcom, dance with Angels😢

  • @HadijaHango
    @HadijaHango 2 місяці тому

    Inauma jamani

  • @mcsilandaboy-el2zo
    @mcsilandaboy-el2zo 2 місяці тому

    Poleni sana wanafamilia na Tanzania pia mc silanda by poleni sana😂😂😂😂😂😂😂😂🎉

  • @glorybarnaba396
    @glorybarnaba396 2 місяці тому

    Eeh Mungu😢

  • @EvansCheruiyot560
    @EvansCheruiyot560 2 місяці тому

    Polini sana

  • @Tynamnyilis9824
    @Tynamnyilis9824 2 місяці тому

    Dah😢 ni maumivu makali haya yote kwa yote tunamuachia Mungu😢

  • @Roze-so4he
    @Roze-so4he 2 місяці тому

    Mimi sina lakusema ni mebaki mudomo wazi

  • @HadijaHango
    @HadijaHango 2 місяці тому

    Sijui kwanini tuliwekewa kipindi hiki kigumu jamani,inauma sana jamani hatuna budi kurudi ni mavumbi na mavumbini tutarudi

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 місяці тому

      Mwenyewe huwa najiuliza kuna muda natamani nisingelizaliwa😢😢, yani maumivu yake huwa ni makali sana,yanakata tumboni,ROHO INAUMA sana,MUNGU atureheme.😢😢😢

  • @cheptiyosStellah
    @cheptiyosStellah 2 місяці тому

    Mungu aMlaze mahali pema jamani poleni😪😪😪😪😪😪

  • @bariibokuwamebahatikahaout5277
    @bariibokuwamebahatikahaout5277 2 місяці тому

    Poleni 😂😂 Sana wapendwa

  • @DianaNyagawa-b7y
    @DianaNyagawa-b7y 2 місяці тому

    Daah

  • @elizaerikana
    @elizaerikana 2 місяці тому

    Inauma jaman sjui familia yake wana hali gani mungu awapunguzie maumivu

  • @NeemaLisu
    @NeemaLisu 2 місяці тому

    😭😭😭😭😭😭hakika inauma sana

  • @euniceatemo5661
    @euniceatemo5661 2 місяці тому

    Makiwa wapendwa tumepoteza ujumbe. wa kiroho,

  • @naomikarue6100
    @naomikarue6100 2 місяці тому

    Neema ya Mungu iwatoshe.

  • @FausitnePonera-fq9pj
    @FausitnePonera-fq9pj 2 місяці тому

    Tuwaombee sana familia

  • @aminamwivita7690
    @aminamwivita7690 2 місяці тому

    So sad 😭😭😭

  • @RahabWanyama-yi4qy
    @RahabWanyama-yi4qy 2 місяці тому

    Poleni

  • @OscarMvemba
    @OscarMvemba 2 місяці тому

    Pumzika Kwa amani

  • @mariammaulaga8204
    @mariammaulaga8204 2 місяці тому

    😭😭😭😭😭duhh ni maumivu yasiyoelezeka haya jaman

  • @consesaphelician9266
    @consesaphelician9266 2 місяці тому

    Tutaonana asubuhi njema

  • @PaulineGitau-y9c
    @PaulineGitau-y9c 2 місяці тому

    Ooh Mae did I see 1992??too young.

  • @limymasele21
    @limymasele21 2 місяці тому +10

    Sielewi hali ya mkewe na wazazi wake kama wapo naumia mie huku wa nje je? Wandani 😢😢😢😢😢😢😢

    • @SaraUlaya-is2ch
      @SaraUlaya-is2ch 2 місяці тому

      Yaan ni mtihani Kwa kweli😢😢

    • @lydiakemuntonyabuto7343
      @lydiakemuntonyabuto7343 2 місяці тому

      Yaan mm ata naskia nko mgojwa kabisaa lakini mungu awapee nguvu kabisaa

    • @HappyShirima-k9t
      @HappyShirima-k9t 2 місяці тому

      Wew acha tuuu me tangy nisikie kifoo Cha huyu kaka ata furaha sina yan najikuta tu nalia na kuanza kuwakumbuka ndugu zangu waliotangulia mbele za haki 😢😢

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 2 місяці тому +1

      Mmmmm Anajeyakua maumivu ya mke wa marehemu ni mungu peke yake ,tunamubea kwa mungu amtie nguvu dada yetu 😢😢😢

    • @AbiaWilliam-s1s
      @AbiaWilliam-s1s 2 місяці тому

      Kifo 😢😢😢😢nakuita Mara mbili 😢😢😢

  • @agripinaapolinary1362
    @agripinaapolinary1362 2 місяці тому +1

    RIP Marco

  • @EmmanuelKipkoech-nt7qw
    @EmmanuelKipkoech-nt7qw 2 місяці тому

    Poleni sana😪😪

  • @cheiknamouna2058
    @cheiknamouna2058 2 місяці тому +1

    Ila mbona mapema sana 😢

  • @Cecilia-ld1qb
    @Cecilia-ld1qb 2 місяці тому

    Umetoka nyumbani ukiwa mzima baada ya siku chache unarudi ukiwa kwenye jeneza 😢 ee Mungu

    • @israelkisaila8401
      @israelkisaila8401 2 місяці тому

      Wangeacha TU kumpasuwa 😢😢

    • @mercychebet3074
      @mercychebet3074 2 місяці тому

      Ni uchungu sana lakini najiuliza mbona hawakumpeleka hospitali ya Kenya 😢😢😢

    • @RosieNgina
      @RosieNgina 2 місяці тому

      ​@@israelkisaila8401hata kama hangepasuliwa bado hangetoboa juu roho ndio Kila kitu na ndio ilikuwa na shinda

  • @MarryJacob-w6n
    @MarryJacob-w6n 2 місяці тому

    😢😢😢😢

  • @MwitaKihugi
    @MwitaKihugi 2 місяці тому +1

    Unauma sana ila MUNGU umesema lazima tufe

  • @EdsonWillison
    @EdsonWillison 2 місяці тому

    Hili Nipigo kubwa kwa Wana wamungu asa

  • @KikuletwaPump
    @KikuletwaPump 2 місяці тому

    Polen watu wa mungu

  • @janetcospan1113
    @janetcospan1113 2 місяці тому

    😢😢mung awasimamie katka hili

  • @ZxnsWbak-gj1rv
    @ZxnsWbak-gj1rv 2 місяці тому

    Rip bro

  • @leilakira
    @leilakira 2 місяці тому

    Rest in peace Marko😭😭😭

  • @JosephAndreas-dh8hc
    @JosephAndreas-dh8hc 2 місяці тому

    Rip brother

  • @lydiakemuntonyabuto7343
    @lydiakemuntonyabuto7343 2 місяці тому

    So painful aki 😭😭😭😭

  • @DorothyNyangasi
    @DorothyNyangasi 2 місяці тому

    🤦🇰🇪🇰🇪

  • @MercyMwongeli-q7q
    @MercyMwongeli-q7q 2 місяці тому

    Wah..😢😢

  • @user-ly9vc5sh5g
    @user-ly9vc5sh5g 2 місяці тому

    Sorry

  • @LinetAchieng-xd9bp
    @LinetAchieng-xd9bp 2 місяці тому

    😭😭😭😭

  • @safinamdingi7912
    @safinamdingi7912 2 місяці тому

    Pumzika Kwa amani

  • @violetteniyongabire3859
    @violetteniyongabire3859 2 місяці тому

    😭😭😭😭😭

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 2 місяці тому

    😭😭😭😭