Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Nimejaribu kujizuia lakini hii yako ni talanta baba.Wewe kingwendu unatosha kuwa rap muscian.Much love from Nairobi,Kenya 🇰🇪
ZayAwe
Ulikua unajizuia nini kaka
@@lavenderpauline4958 kicheko
Eeeiiy king na simba.....wacha nijiangalie nisitoke na Kinyesi mkononi....mob love from Kenya
Kingwendu anaogopa ndege.
Looking clossely. Huyu sio Diamond
good
Kali sana
Mondi tunasubiri iyo mimi nipo Congo
Nyie mm nampend san huy mkaka an sijuw hat nielezeeje et jmn heb nshaurin nfanyej please 😪😪😪💖💖💖💕💕💕
Nisaidien hata nimuon 2 please 😪😪😪💖💖💖💕💕💕Nitashukuru Sana yaanii🙏🙏🙏
Kingwenduu ww unanfurahsha san kwa kwel na vi2ko vyak upew maua yako please... Live long life kama namba za nidaaa....💕💕💕 Hakikaa ukifa huoz na ukioz unuk
Mwambiie ukwl wako akigoma hata me ntkupenda
Yupo maeeneo gani
Nimecheka mpk mbavu zinaniuma😂😂😂😂😂😂😂Kingwendu🙋🏽♀️❤️🥰
Producer is awesome...that beat sio mchezo.
Unanifurahisha sana!big up jaaja kingwendu! sharif kutoka Kampala Uganda
Jamani uyu si yule pacha wa mondi jamani khaaaa
UmwA rayvann
Unanifurahisha sana 💚💚 tangu utototoni mwangu
🔥🔥 more love...from +254 Naivasha Kenya
Noma san mmetisha niite rama d🔥🔥🔥🔥
Hongera kingwend uko vizur❤❤❤❤❤
Asante
Nyota ndogo ngoma nzuri sana nimependa sana hizo melody ujumbe pia umefika sehemu husika kikamilifu.
Mzee Wakazi Ujambo
Sijambo nduguyangu
we Mzee ww ni ☑️
Kazi njema,,Wakenya tunaipenda
Please we need your help bro and I love your video
Diamond wa mchongo huyoo😂😂😂😂😂
One love from Burundi 🇧🇮🇧🇮✌️
HB the master🔥🔥🔥
The first time i saw this man in DRC Congo i was so surprised kingwendu 🤣🤣🤦
Jamen mm nipo USA nitofasilien sijui kiswahili
Nakubal xn baba kingwendu apo japo kuwa umri umeenda ww nategea nikiwa kenya 🇰🇪 mombasa
Mzee leo umeua
Man ngwash baby nango baby nango 🔥🔥🔥🔥😂😂😂
uyo jamaa ana ac kama Dai ameshinda hahahahahaha...
Nice song ningependa nikutane diamond na kingwendu
Hio gari nyingine mpe mzee abdul jamani diamond
Hatari sanaa😂😂
Mze wakazi ugambo🇰🇲🇰🇲🇰🇲
Much love from south Africa 💕
Uko sawa sana
😂🤣🤣🤣🤣hii colabo ni babukubwa
Naisha kingwendu niasha 😅😅😅😅😅😅😅
Much love from Mombasa Kenya 🇰🇪
Kwa raha zako
Naomba jina la wimbo huo aliouimba kingwendu
K'ndu N nomaaaa♊
Baba bado unawezaaa tupe ucheshi baba
Napenda vichekesho vyako sana Kingwendu, watching from 🇰🇪
Mzee kingwendu we ni fireee
Mzee kigwendu namkubali kishenzi iko vizuri
Love kutoka MOmbasani mzee, ulituchekesha na bado watuchekesha. Kwa maisha marefu mzee endelea na kazi...
Ben
@@Hassan-cc3rz yes?
Kali hiyo mgotee pacha mondi
Nzuri tu nyimbo ya baba.
Bebi nang'o😂
nakubali kingwendu na simba Sasa bado utoe nyimbo na zuchu
I'm here following you daddy
Kazi fiti mzae
wasafi kazi njema kushirikiana na bazee ya mungine 👍👍👍👍👍💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪💪🥰🥰🥰🥰🤣😂🤣🤣😂😂
Kasameh kwenda ulaya kwa woga bora atoe wimbo daa
Kingwendu anataka kolabo kwa nguvu zote labda Diamond atamsaidia baada ya kuona hii clip sasa. Hongera Ngwendulile
Kingwendu collabo na Diamondi Platinumz 😂😂😂
ukosawa
Yaani Jina Diamond Kwa kweli ni biaahara tosha sema watu hawajui duuh, kkkk Kingwendo eti nachana kama Mwana FA
Kingwendu so fire, u wone proud🔥🔥👏👏
😂😂😂😂 ni balaa 😅
Kigwendu umejua kunichekesha
😂😂😂kingwendu njoo nikupe Siri Kuna kitu unacho kaka😮😮
Napenda bonge la kolabo lenu na Mond,halafu mond nakukubali wapenda watu wako..,much love from Kenya Mombasa.
Questions
Watu wake ni mzee Abdul, hampendi, apenda marafiki zake
Kingwendu mungu akuweka.. kicheko dawa
Babe nang'ooo yeee ila kwa kweli 🤣🤭
😊Tam tu saaaan niko Dubai mji wa madola
Much love.. Kingwendu nakutambua
Mbona iyo studio Giza sana🤣🤣🤣🤣💥
Nimepaona nimbagala
Kiza sana mpiga picha
Sasa hawa wasindikizaji fujo za nini siwatulie jamani sipendagi mashauzi kama hivi 🤣🤣🤣🤣
Tunasuri kwa hamuuui🎉😂😂❤❤
Chooni lazima kopo la maji... 😅😅
From Nairobi kingwedu Mt childhood comedian
vizur sana kuinua wazaman kweny gemu
Safi sana guy's 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😮😅😅😮😢😢😢😅😮🎉🎉🎉😂😂😂😂😂
Big up sana pg kz issa ktk moro
Poa sana iyo kali mwaka huhu
Fatal utility mzee
Kweli giza sana
Kingwenduuu😂😂😂😂🥰🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂😂😂😂😂
Aaaahapana hyo SI mond
Bwana kingwendo unaweza kbx
Saf sana
Umwaka
umetisha
Nani mwenzang
Huyo sio diamond ninae mfahamu huyo feki
Lakini upo sawa, misitari zinatiririka
Kingwendu anafurahisha
Watu wawili wawili jaman. Duh.
Salam Toka Oman mm napenda daymond Allah akufifadhi inshallah
Bro unaweza wivu kando 🙏🙏🙏🙏💗💗💗💗💓
Kigweduu kigwedu lile
kingwendu ukosawa tunakukubali iyokolabo ikosawa tukondani ya Mombasa.
Baba chintutu a.k.a mkojani
Nakubal gwedu
Much love from Kenya ❤❤❤mmaweza kweli
Kigwendu kumbe waexa kuimba ..🤣🤣🤣🤣 tupe laha duniani🤣...Leo umesahau kusema bebi nangoo🤣🤣