Це відео не доступне.
Перепрошуємо.
Cook with Wema Sepetu - S07E03 Niffer
Вставка
- Опубліковано 30 кві 2023
- Jinsi ya kuangalia video hii yote, unatakiwa ku Download Wema Sepetu App ambayo inapatikana kwenye link hii bit.ly/wemaApp ili uweze ku download Wema App
Connect with me;
Instagram - @wemasepetu
Twitter - @wema_sepetu
Click here bit.ly/wemaApp Download Wema App on Playstore
Click here bit.ly/wemaApp to Download Wema App on Appstore
#CookWithWemaSepetu #WemaApp #Bestizzo
Niffer much love na roho yake nzuri ❤❤❤
Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu uko vizuri Mtoto❤
Itsa awesome online tv show but it's very short
Ukiona mtu anafanikiwa jua anaroho nzuri,Mungu humuinua atakayekuja kuinua wengine
❤❤
Niffer pizza ya tambi naipenda iyo 😂😂😂😂
much love wema❤
Niffer ❤❤❤
Ila linifffer lizuri balaaa❤❤❤❤❤❤❤❤
Jennifer ulivyo shika kisu sjuwi kama utaweza kufanya haraka😊
Leta nandy na nenga❤️❤️❤️🇰🇪
Mmmh mara akamchukua nenga😂
❤
Leta diamond na zuchuuuu😂😂😂😂😂
Waooo
Wema Wangu Jamani Love U Mamy
Wema hanaga bays❤❤❤❤❤
Ur very beautiful lady waooo
❤❤
❤️❤️❤️
❤❤❤❤
Keerrtyi.....kumbe ndo karoti.........😂😂😂😂😂😂
😂nandos wee English ni noma🇰🇪
So you people don't know the difference between spaghetti 🍝 and noddles🍜
Macho yangu yote yapo kwenye kukata vitunguu😅😅😅
😂😂
Hata ana Haya ya kutamka hiyo neno noddles
Diamond platnumz atakuja liniiii
Jamani niffe kawa staa mpaka anaitwa na wema
Ndomana wanamuonea wivu
achana na niffah anahera Sana akiwa mudogo ana Hera hata wema hafiki
Here from dullvani😂😂
Hina looks dashliness 😂😂
Jmn c ni noodles😫😫😂
Niffer mbona humwamkii dada yako😂😂😂😂
Wema i want you to cook with diamond
Hello Wema i love you baby 🇲🇿🇲🇿🇲🇿
Nifa kaomuomba wema interview
@@munirahassan5969 hujambo munira.
Wema be like "nandoz "ndo nini😂😂😂😂
😂😂😂😂nando nini nando 😂😂😂😊
Nandos 😅😅😅
Hahhaha napenda samaki na fish kachumbari 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
🤣🤣 mbavu zang
😆😆😆😆😆
Hizo tabi za pizza zikoje
Nandos😂noodles bana wabongo hamjui kizungu
Hata wazungu hawajui Kibongo tuache kuwa watumwa wa jazba ahahahaha
Nifa anapua jamaniii uwiii🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂Iko vipi nzr sana😂😂😂
😂😂😂😂
Naipendaga sana sana
Ati nondoziii ndo nini wajuajiii
Its spaghetti omelette 🥰not tambi za pizza
🤣🤣🤣
❤❤❤❤❤❤❤
Wema tunaomba kipindi usikatishe uoneshe mwanzo mwisho tuone mapishi
@@khadijasalum2889 in shaa allah dear
Wema nadozi ndo nini😂😂😂
😂😂
Niffer haangalii kabsa camera 📷
Ilo liniferr linavo jifnya Lina aibu ovyooo kumbe kenge maji
Wema rudisha mwiliwako umekua kama skeleton
Ifike mahali watu muachana na maisha ya watu
Kama ni tambi zinaitwa noodles sio nandos😆😆😆
Mmmh tambi ni spaghetti na sio noodles. Noodles ni tambi zilizo jikuja Kama springs ambazo zimeshachanganywa na viungo tofauti tofauti
Noodles ni tambi lkn ziko tofauti kama ivo spaghetti , ramen, instant noodle, zote ni noodles ila ni types tu tofaut.
@@kautharsalum6743 ndio types zinatofautia
@@fatumasalumu2869 tambi zipo za aina mbalimbali
😂😂😂😂😂😂😂
Nandos 😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅 😂😂😂😂😂😂😂 kichwani 0 brain
😂😂eeh! Leoo niffer 🙆ujiandae kuchukuliwa patric 😂😂muulize tunda mwenzako😂🏃🏽♀️nondoziii 😮😂😂
🇾🇪🇾🇪🇾🇪🇾🇪❤️
😢😢😂😂😂😂😂
Nandos au noddles😂😂
Rose 😂😂😂
Nandos ni nandos na noodles ni noodles
Ivyo ivyo ndo tz hiyo
Hiyo ni slung ya Tz My fellow 254 acheni Mashemeji Wapumue angalau kidogo
Kipindi kizuri ila nawashauri mkakifanyie uingereza maana kinge huko ndo watawaelewa zaidi nakupenda wema nakupenda nifa
🤣🤣🤣
😂😂😂😂jamani
Nimecheka 😂😂😂😂🤣🙌
😂😂😂😂
Hawa ndo ndugu zamgu wa tanzania😅😅
Niffer mrembo nyieeee
Ipo siku wema atatembea na patrik kanumba amini nachokwambia
Hahaha kwann
Chuki ya nini?
Mmmh hata kama
Hayakuhusu weww umetembea na wangapi
Ovyo
Atakuchukulia your boyfriend Stephen kanumba very soon vile alichukua whozu from Tunda
Eti Stephen kanumba😂😂😂 looh pole sana
Stephen Kanumba alishakufa.
It's Patrick Kanumba.😂
Nnudlles
Vingereza vimekutana
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌 jamaniii atari
@@fatmaally7252 😁😁
sasa uyu si amewekewa chakukatia vitunguu mbn anakata ivo ss😮au mie ndo mshamba
Unapo andaliwachakula nakijiko silazima ukitumie kama hujazoea ❤
Unapo andaliwachakula nakijiko silazima ukitumie kama hujazoea ❤
@@mwajumakilobwa6237 oooh asante ila si wataniona mshamba au😎
Hapana kwani hujui mjini kulianzapoli kukawa kijijini kukawa nmjini ktk dunia siwote wanajua na siwote hawajui ndiomaana ki2kimoja kinawezakua na majina zaidi ya 1 usijali my🥰
Muendelezo wap
Kingereza kingi mpk unaongea nonsense 😁😁nikimaliza darasa la seven ndo nn😁😁😁😁
Samaki na fish😂😂😂😂
Bora niongeee kiha chang
App haipatikani kwenye Play store
❤️
Jeniffaah mbon ujui kukata kitunguu
Hiii nchi ukitafuta tu kiki wallah unakuwa msanii ,uyo dem mi simfaham anusanii gani 😂😂kutembea tu na Patrick ashakuwa msaniii nyie 😄😄😄
Nchi ya wenye nchi