MFUGAJI WA KUKU GREGORY KILEO /HAJATAKA KUAJILIWA MAREKANI /NINA KUKU ELFU 20 NA ZAIDI.... PARY 1.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • JMTZ MEDIA kila siku ya IJUMAtunakuletea mgeni ambaye inawezakuwa ni mfanyabiashara au mjasiliamali lengo ujifunze mambo mbalimbali ambayo labda ulikuwa huyafahamu au uliyafahamu kwa udogo sana kwa manufaa ya kuongeza ujuzi ili uweze kujukwamua kimaisha na kuongeza pato la taifa kwa ujumla.
    ijumaa hii tunaemgeni wetu mfanyabiashara na mjasiliamali ndugu GREGORY KILEO ambaye ni mfugaji mzuri wa mifugo mbalimbali lakini leo ataongelea ufugaji wa kuku zaidi.
    ----------------------------
    Contact +255 62 347 3374
    INSTAGRAM: Gregmifugo

КОМЕНТАРІ • 89