Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Congratulations
Mbona ipo pembeni kushoto chini mwa video.
Sakuku 1000 nipesa ngapi
Hongera kwa kazi nzuri, mnapatikana wapi
Tuko Dsm ilala jengo Machinga Complex ghorofa 3 karibu boss
Mawasiliano zaidi 0714569056
Shida ni naiona ni nzuri but taarifa ni incomplete,.....mnapatikana wapi,Bei ni kiasi Gani? Inasafirishwaje au inawezekana kunitengenezea kwangu?
@@mmaryben844 karibu Boss, hatutaji Bei Kwasababu inategemea gharama za material mteja alipo pia ,cage Kuna kuanzia kuku 100 mpaka 1000 hivyo ni vyema ukapiga simu ili upate maelekezo mazuri zaidi, karibu sana
Bei gani
Mutupe na bei
Kwa nini amuweki bei ili tuchukue hatu, wafanyabihashara ukitaja bei kuna shida
@@sweetberthawilliam6587 cage zipo za kuku 100 mpaka kuku 2000 hivyo Kwa kujua Bei ya idadi ya kuku unaohitaji wasiliana nasi Kwa 0718569056