JAHAZI: Dereva TAXI afumaniwa na Mwanafunzi | Mwenye mtoto amuita | Anyang'anywa mwanamke.
Вставка
- Опубліковано 12 вер 2024
- Ichukue wewe nafasi ya huyu jamaa Dereva wa gari za usafiri za kuita kwenye mtandao halafu tuambie yapi yangekuwa maamuzi yako mbele ya jamaa Baba wa Mtoto wa Mwanamke uliyempenda!?
#MastoryYaTownJahazini #JahaziLaCloudsFM
pumzika kwa amani my brother ww mbele sisi nyuma yako 😢😢
Aiseeee watangazaji leo ndonawaona live tatizo nilikua sina sim mpaka nimemkaba mtu nimemupora sim iliniwaone live saluti nyingi munajua kazi
Lala salama fundi wa sauti na nguli wa matamshi, Captain wa game.
Jahazi saafi sana nakipenda sana hiki kipindi 👏
Daaah captain rest in peace here after captain passed away
Rest in peace bro Gardna Habash
Rest in peace 🕊️
Dereva tax wewe kiboko
Nitaikumbuka daima JAHAZ
Jahaziiii kwenye maji mpaka saa moja.... dah nawaza angekuepo Kibs hapo
kibs angenogesha sana mzee
Jamani tuekeeni haya Mastory kila cku 😀😀
Hapa jamani 4:41 mbona Fetty anetuwashia full sanaa
Rest in eternal peace you were a good story teller
Kunamtu nimemkumbuka sana ila ndo kazi ya mungu
Kila mtu lazima atapita njia hiyo leo tunakulilia kesho zamu yetu 😢😢
Hizo Application zina fanya sivyo lazima abiria asibaki na namba ya dereva na na abiria asibaki na namba ya dereva na hivyo ndo inavyo takiwa. Hao watu wa hizo application lazima wabadilisha huo utaratibu.
Sasa mdada umekuta ana mtoto,unadhani alizalishwa na nani?nyumba nzima kodi analipa na nani?hapo awali kabla yako alivaa vipi?Ww unakwea unakwea tu vya
bure?Ukifanywa vibaya tuseme kazi yake haina makosa?Ushauri kwa vijana wenzangu kama hauna uwezo wa kutafuta mke wako harali basi tulia na hali yako hadi ujahaliwe na mwenyezi mungu upate wa kwako!
Du! Mapenzi bwana sasa kama jmaa alikua nje na mwanamke yuko huku,si lazima mwanamke awe na kipozeo
Naaaam! Haya ndo mastory ya town
nenda kwa amani ndu yangu
😂😂😂😂kula mama kula bia Gadner bhana hahahaaaa
Kula mwili ni nouumaa
winnie charles kumsubili mtu yuko mbali mpaka aludi inahitaji uvumilivu
Captain 😭 Rest in peace
Wanaume uhanisi mtupu ebu waachieni wanawake izo au ni wanaume jina
Mmh sas hiv mmepata akili ya kujiongeza vipindi ya redio mnaviweka na UA-cam safi San washukuruni pia walio wafungua _ #upandewapili
@@hawasaid7879 boya wew
Nyiee mnafirwa na DOMO.... KUBABAZENUU
Jmn kifo ichi😭😭😭😭
captain jamanii umetuacha😭😭😭😭
😢😢
Jamani jahazi mnanikosha sanaaaaaaaaa
Piga kimya siyo lazima utangaze utaaribu mbona mambo yakawaida
Bantu akili yako unaijua mwenyewe😃😃😃😃
rest in peace G bash
Duh
Feti uko bomba kinoma....
Rest in peace
Hahaha Hy hatar
Hii story balaa jamani
Pumzka kwa Amani broo
Captain 💔
Rest in peace Gadner Mungu akurehemu naakupokee
RIP Gardner..
RIP G.
Hihihiiiiii doooh hataliiii
🤣🤣🤣🤣mbna sauti kma mwanamke
Nami nimejiuliza hivyo sauti ya kikee!
R I p😢😢😢
Mamaaeee mguuu unabembeaaaa,,,mameeee
duuuuuuu shubamitiiiiiii yn dgo unge pigwa bastola
MMEZIZALILISHA OFISHO TAXI,YAANI ZENYE MSTARI,HII STORY INAWAHUSU TAXI MTANDAO AMBAZO HUWA HAZINA MSTARI,MMETUKOSEA MADRIVER WA TAXI OFISHO
Rip
Nice
Mastor
R.i.p captain 😢
Dah blaza pumzka kwa aman!!😭😭😭😭
Huyo fety kweli
G bash luv 😘
Jahaz ninouma
💔💔💔🕊️🕊️🕊️🕊️😁
Mguu wa kuku bastola
🤣🤣🤣🤣🤣👍🤣
😀😀😀😀
Kakakakapteeeni
Hahaha ❤
Liko taitiiii
😂😂😂😂😂😂
Gusa link ua-cam.com/video/6dhYJpLCkew/v-deo.html Kwa mahadisi
Hahahaha