MAULIDI HAYASIMAMI BILA YA KUMSINGIZIA UONGO MTUME WETU || Muhammad Bachu || 29/9/2023.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 15 вер 2024

КОМЕНТАРІ • 601

  • @ninononi3674
    @ninononi3674 11 місяців тому +13

    M/Mungu amelinyanyua jina lako kwa sababu ya kuipigania Haqi "{Namuomba allah aliye shinda na kutukuka akuthibitishe ktk Haq nawala asikuwache peke yako.

  • @omariweldingfabrication7630
    @omariweldingfabrication7630 11 місяців тому +13

    Mashaa Allah shekhewang.
    Allah yupo pamoja na watu wenye kusema ukweli na kuongoza katika haki .

  • @allyabdallah4679
    @allyabdallah4679 11 місяців тому +9

    Mashaa Allah sheikh Mohammed bachu Allah akuongoze katika kutetea haki usiache akhy katika kutetea haki

  • @kassimsalim6160
    @kassimsalim6160 11 місяців тому +18

    ماشاء الله تبارك الله يا اخي محمد باشو..... الله يحفظك ويبارك فيك ويطول في عمرك أحبك كثيراً في الله ..... استمر الله في هدايتك وهدايتنا

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 11 місяців тому +8

    Mashallah sheikh mohamed bachui endeleya na darsa tubate elmu kwanza umetuba elmu tumerekeys kwa hagi baulid tumewa nacwengi wamewata na hawa wangune wanskuyukana watakuja kujuwa hagi Allah atawsba imani kujuwa injuya za hagi

  • @nasherabdalla2478
    @nasherabdalla2478 11 місяців тому +7

    Allah hafidh ya sheikh Allah akuwezeshe kuitetea sunnah na kupinga maovu

  • @rashidabdulrahman6784
    @rashidabdulrahman6784 11 місяців тому +9

    Mashallah mashallah mashallah Allah akuhifadhi tunakupenda sana Muhammad bachu

  • @alaminbahero3604
    @alaminbahero3604 11 місяців тому +9

    Bachu
    أسأل الله الكريم رب العرش العظيم أن يتولاك في الدنيا والآخرة وأن يجعلك مباركا أينما كنت وأن يجعلك ممن إذا أعطي شكر وإذا ابتلي صبر وإذا أذنب استغفر
    جزاك الله خيرا وبارك الله فيك

  • @hometownke.9658
    @hometownke.9658 11 місяців тому +11

    ALLAH AKBAR HIZI NDIZO KHUTBA TWAHITAJI KUPEWA KILA LEO ZIDNA ILMA WARUZUQNA FAHMA NAFIAN

  • @qurankareem582
    @qurankareem582 11 місяців тому +34

    Mimi kwakweli nampenda sana huyu kijana pamoja na babayake wallahi hayupo duniani ila kama yupo ametuachia faraja ya mtoto mwema 😢😢😢

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 11 місяців тому +22

    Sheikh Mohammed bacho
    Kwanza kupa hongera Kwa kutoa darsa kubwa Kwa watu wenye akili salama wamekuelewa.
    Pili nakuombea Kwa Allah akulinde na akupe mwisho mwema.

    • @jumasalum2677
      @jumasalum2677 11 місяців тому

      @@sharifuburuhani1969 Sasa hao waiokimbia wamethibitisha wanyama waliongea wakati mimba ya mtume imeingia.
      Nawewe pia hukusoma ndio maana una tawaliwa kifikra

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677 11 місяців тому +14

    Sheikh Mohammed bacho
    Umetufumbua waislam wengi sana asilimia80 tulikua tunadanganywa
    Lakini Allah amekuleta wewe ili utuoneshe njia sahihi
    Allah akulinde na mafasiki
    Akuongoze njia sahihi utumbue
    Majipu Kwa ajili ya kutegemea radhi za ke

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 11 місяців тому +7

    بارك الله فيكم وحفظكم الله ورعاكم ويرضى الله عليكم ويسعدكم في الدنيا والاخرة يارب اينما كنتم يااحبابي في الله

  • @rajababdallah579
    @rajababdallah579 11 місяців тому +11

    IBADA ASOIJUA ALLAH(S.W) WALA MTUME (S.A.W) WALA MAKHALIFA,WALA ASHARA AL MUBASHIRUNA,WALA MAIMAMU WANNE,WALA WEMA WALOTANGULIA......
    ALLAH AKUPAMBE KWA UMRI NA AFYA TUZIDI KUFAIDIKA SHEKHE LETU

    • @user-hr9kb7ev1i
      @user-hr9kb7ev1i 11 місяців тому

      Una uhakika Allah na mtume Mohamed (S.A.W) hawajue umma wake watakuja kusoma MAULIDI? Yanayo fanywa katika MAULIDI hayakufanywa wakati wa mtume (S.A.W) NA maswahaba

    • @abuuaisha2619
      @abuuaisha2619 11 місяців тому

      allah akbar.

    • @MrNoNonsenseYes
      @MrNoNonsenseYes 11 місяців тому

      ​@user-hr9kb7ev1i Allah ni mjuzi wa kila kitu, na mtume pia aligusia kuwa kuna zama watakuja watu kumzulia na akatupa onyo, ndo haya twayaona ya maulid na tawasul za kumshirikisha Allah kupitia mtume, tumewaona makhururafa mara ngapi wanampa mtume SAW vyeo visivokua vyake

  • @shuaibalula9003
    @shuaibalula9003 11 місяців тому +11

    Mashaallah namuomba Allah akuzidishie elimu yenye manufaa nasi tuzidi kufaidika kutoka kwako na viongozi wengine wakisunnah

  • @abubakarhajjabubakarhajj1252
    @abubakarhajjabubakarhajj1252 11 місяців тому +7

    Allah akuzidishie subra na akupe malipo mema inshaallah

  • @FadhiliMohammed-w4k
    @FadhiliMohammed-w4k 11 місяців тому +4

    Mwenyizi mungu akupe umri mrfu shekh

  • @sheikhabuusakakin3243
    @sheikhabuusakakin3243 11 місяців тому +10

    أسأل الله أن يبارك لكم في حياتكم ويكتب لكم الخير ويوسع أرزاقكم ويهبكم الصحة العافية ويجعل لكم في كل أمر يسر وفي كل رزق بركة ويرزقكم نعيم الدنيا الاخرة

  • @sahraqaalib902
    @sahraqaalib902 11 місяців тому +12

    Kumbe Leo nimewajuwa wengi Mashekh wanasherekea Maulid kwa sababu tu kijana mdogo ambao wengine wanamzaa wanamsema vibaya kwa ajili tu Ya Mawlid
    Kwa kweli Sheikh Bachu uko juu endelea kufundisha Sunnah mpaka kieleweke

  • @ndayikezaoscar3467
    @ndayikezaoscar3467 11 місяців тому +8

    Mimi ni Mkristo ila kwa kweli napenda jinsi ambavyo Muhammad Bachu anadadavua swala la Maulid. UKWELI usemwe. Nakupenda kwaajili ya Allah Sheikh Bachu. Love from🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @aliHassan-my7jv
      @aliHassan-my7jv 11 місяців тому +1

      Acha unafiki mkristo na maulidi wapi na wapi

    • @allythabiti8150
      @allythabiti8150 11 місяців тому +3

      ​@@aliHassan-my7jvsasa unafik gan maana ake anamfuatilia inaweza ikawa ni neema ya kumuingiza katika uislam

    • @zulfahussein6784
      @zulfahussein6784 11 місяців тому +2

      @@aliHassan-my7jvebu soma kwaza hilo jina lake kabla yakumwita mnafki

    • @omarmwabege
      @omarmwabege 11 місяців тому +2

      Tumia kauli nzuri kwaajili ya Allah

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому

      ​@@aliHassan-my7jvsio vizur, waislam hatupo ivo, unamwita mtu mnafiki Kwa kipi!?, Yan mkristo anaelewa kua jambo la maulidi ni hakuna Kwa sabab yeye ana tumia akili, na wewe uskaze kichwa skiliza hoja na ufate haki acha ushabiki

  • @MaulidFadhil-qi2dh
    @MaulidFadhil-qi2dh 11 місяців тому +20

    Bachuu wewe n kiboko wa masufi nakupenda kwa ajili ya allah endelea kuwanyoosha watakuelewa tu!

    • @alumbulaisinda9746
      @alumbulaisinda9746 11 місяців тому

      Lugha za kujifariji

    • @saidimussa-lh8pz
      @saidimussa-lh8pz 11 місяців тому +3

      Bachu ni kiboko ya wazushi, Allah ampe umri mrefu na afya na amani na adumu katika kamba ya Allah.

    • @abdallahally842
      @abdallahally842 11 місяців тому

      Kwanza bachu hapo anafanya bidaa mtume wapi katoa khutba ya ijumaa Kwa lugha nyengine zaidi ya kiarabu na khutba ya ijumaa ni ibadaa khatibu lazima awe na udhu toa hadithi mtume au abubakara au Omar alitoa khutba ijumaa Kwa lugha nyengine yoyote zaidi ya kiarabu

    • @rukiakhamis-le6kg
      @rukiakhamis-le6kg 11 місяців тому +1

      ​@@abdallahally842Mhh kwakweli kumbe kuna watu ni maboxi. Mimi nimekuona wewe ni miongoni mwao

    • @khaliphaabubakar9466
      @khaliphaabubakar9466 11 місяців тому

      @@abdallahally842naam
      Hawa mawahabi hawajui maana ya bidaa katika dini.
      Bidaa ni ibada au kitu kilichokuja baada ya Mtume Mohamed Rehma na Amani iwe juu yake.kila kitu tunachotumia kufanya ibada havikuwepo na Mtume hakuvitumia.Quraan tukufu ilivyo andikwa na Irabu iwe rahisi kwetu sisi kusoma,juzuu zilizo orodheshwa toka juzuu 1 mpaka ya 30 istitoshe aya ya kwanza mpaka ya 114.
      Leo iko train toka Jedda to Makkah to Madina badala ya farasi na punda,……..
      Vyote hivyo havikuharamishwa lakini Maulid.
      Eti tunamsingizia uwongo Mtume
      Allah awasamehe Hawa majahil

  • @abdulkrimalawi7165
    @abdulkrimalawi7165 11 місяців тому +6

    الله يحفظك يا اخي الكريم اخي المحب احبك لأجل الله اعانك الله في حياتيك

  • @abubakarkisandoh9541
    @abubakarkisandoh9541 11 місяців тому +3

    Allah akulinde endelea kuelimisha ila mm naomba masheikh msiwe mkiongelea bidia na uongo wa barzanji tuu kwenye wa mwezi huu ila wewe hata baada ya msimu huu kwenye khutba zenu kueni mkikumbusha uongo huu

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 11 місяців тому +19

    MashaAllah Mwenyezmung akupe umri mrefu upate kuwafungua macho vipifu na una sauti kama ya baba yako

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 11 місяців тому +20

    علامات محبة الرَّسول ﷺ :
    ١- الإيمان بِهِ ﷺ.
    ٢ - تقديم محبته على محبة النفس والولد والوالد..
    ٣ - تقديم طاعته ﷺ على طاعة غيره مِنَ المخلوقين.
    ٤ - تقديم طاعته ﷺ على هوى النفس وشهواتها.
    ٥ - اتباع سنته والاقتداء بِهِ في أقواله وأفعاله.
    ٦ - تصديق أخباره وأقواله.
    ٧ - كثرة ذكره ﷺ والصلاة والسلام عليه .
    ٨ - الدفاع عَنْهُ وعن سُنَّته ﷺ .
    ٩ - تعظيمه وتوقيره ﷺ حيَّا وميتًا .
    ١٠ - مولاة أوليائه وبغض أعدائه ﷺ.
    ١١ - تمني رؤيته ﷺ.
    ١٢ - عَدَم رفع الصوت في حضرته ﷺ.
    ١٣ - عَدَم رفع الصوت عِنْدَ سماع حديثه .
    ١٤ - عدم رفع الصوت في مسجده.
    ١٥ - عدم ذكر اسمه ﷺ مجرداً.
    ١٦ - الصلاة عليه ﷺ عِنْدَ ذكر اسمه.
    ١٧ - مطالعة سيرته ﷺ
    ١٨ - الغيرة له وعلىه وعلى شرعه وسنته.
    ١٩ - الغضب إذا نتقص منه ﷺ وبذل النفس فداء له.
    ٢٠ - عدم ذكر مَا يُزري به ﷺ

  • @zawiaissa8912
    @zawiaissa8912 11 місяців тому +4

    MashaAllah shukurani sana Allah akulipe mm nimejifunza mengi sana Toka uanze kutoa darasa zako

  • @wildbaobabsafaris
    @wildbaobabsafaris 11 місяців тому +3

    Wallahi nakupenda kwa ajili ya ALLAH, namuomba ALLAH akuhifadhi sana ukupe umri wa kuzidi kupigania haki

  • @MrNoNonsenseYes
    @MrNoNonsenseYes 11 місяців тому +1

    Alhamdulillah ala neemat Al Islam wa noor Al Haq

  • @mohamedswaleh6778
    @mohamedswaleh6778 11 місяців тому +5

    Allah akuhifadh xhek muhamad bachu ukwel utbk ukwel amn mtu atawez kutetea maulid pk qiyama

  • @saadasaleh3177
    @saadasaleh3177 3 місяці тому

    Allah akuhifadhi Sheikh Muhammad 🤲

  • @nabiljumaothman5912
    @nabiljumaothman5912 11 місяців тому +2

    Allah akulipe kheir na akihifadhi Bachu.. Inaeleweka sana .. Sisi vijana tunakuelewa hao wenye maslahi hawawezi acha ujinga

  • @EbrahimEbrahim-bc5ko
    @EbrahimEbrahim-bc5ko 11 місяців тому +4

    Mashallah, تَبَارَكَ اللَّهُ

  • @barkesalim4419
    @barkesalim4419 11 місяців тому +11

    Allah akuhifadhi wewe na kizazi yako tutaonana pepini za bustani yarabb

  • @MahmoudMohamed-yc6fr
    @MahmoudMohamed-yc6fr 11 місяців тому +11

    Masha Allah Mungu akuhifadhi Shekh wetu wewe ni nuur kwa jami

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 11 місяців тому +1

    Ameeeeen 🤲🤲 🤲

  • @jamaldineali3228
    @jamaldineali3228 11 місяців тому +7

    Daima nakupenda kwa ajili ya Allah sheikh wango Mozambique

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi7377 11 місяців тому +10

    mashallah
    baraka Llah fiikum
    Munaqasha wa Tanga na Momnasa , huku kwetu umeleta ATHARI KUBWA sana .
    Watu wengi wameanza kuifuata Suunna
    Leo kila kijana akıwambia MAULID! Atakuuliza wapi dalilii!!!

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 11 місяців тому +8

    🤲 YAAA ALLAH TULINDIE SHEIKH WETU NASHARI ZA WASIO TAKA KUKUBALI KAMA MAULIDI NI UZUSHI YA RABI🙏

  • @khatibrashid172
    @khatibrashid172 11 місяців тому +4

    Enyi waja wa Allah muogopen mola wenu acheni kuchangia ujinga acheni matusi mcheni allah

  • @HawaFakih
    @HawaFakih 11 місяців тому +6

    Allah akuhifadhi shehke wetu

  • @binbuhakhamis4336
    @binbuhakhamis4336 11 місяців тому +5

    ALLAHU AKUHIFADHI

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek 11 місяців тому +6

    Mashaykhi wa maulidi acheni wivu na mtoto wa mwenzenu jifunzeni kupitia huyu mtoto anatisha kwakweli mm ni mtoto mdogo ila nimeingia kwenye sunna mwenyewe kwa mawaidha ya mtoto wa vachu

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому +3

      Allah akuongoze na uzidi kudumu kuishika sunnah Kwa meno ya magego na usiiache❤❤

  • @bakariomari8758
    @bakariomari8758 11 місяців тому +4

    Jazakallah khaira jazaa

  • @RamadhaniSaidy-s4n
    @RamadhaniSaidy-s4n 11 місяців тому +3

    Vizuli sheikh kutfundish sis tulikuwa twasom maulid ingali wadog mpk twajitambuwa Allah akupe afya njema uwendelee kutufndisha

  • @mbaroukbakar572
    @mbaroukbakar572 11 місяців тому +8

    "Masha Allah "

  • @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331
    @mzeemmwinyihajihatibuhatib9331 11 місяців тому +10

    Ma shaa Allah walllah tumekuelewa mia mia na hoja zako ziko wazi.
    Allah awaongoze wote walio tawaliwa na nafsi nyoyo zao azilainishe sababu ni ngumu kuliko mawe au zaidi ya mawe .

  • @calicabqaricalicabqari6598
    @calicabqaricalicabqari6598 11 місяців тому +10

    NDUGU YANGU IBNU BACHU NAKUNASIHI SANA UCHUNGE ADABUL IKHTILAF
    LEO KUNA MAMBO MENGI MUHIMU YA KUZUNGUMZIA AMBAO NI MUHIMU MNO USISHUKULISHE NA MAULIDI TUSIWE KAMA WANASIASA FIKRA YAKO NI WAZI HESHIMU FIKRA YA WENZAKO SHUKRAN

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 11 місяців тому +2

      Ktk Uislamu hakuna fikra za binafsi ni Qur'an na Sunna tu, ukifanya usafi unaanza ndani kwanza, hayo ya ushoga yako wazi maasi yake. Shk Bachu yuko sahihi kabisa.

    • @rogertuga007
      @rogertuga007 11 місяців тому +2

      Kila mtu afanye kazi kwa nafasi yake. Ndio Maana unawaona kina Mazinge wanapambana na wakristo ukiwaleta huku hawana hiyo elimu ila vifungu vya biblia vimejaa. Wafanya kazi kubwa sana. Na wengine wao ni wataalam wa maswala ya historia wengine wao ni wataalam wa lugha, wengine wao ni Qur'an n.k kwahiyo usitake Bachu aongelee kila kitu wakati wapo wengine pia kila mtu afanye kwa nafasi yake.

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 11 місяців тому +1

      Hakuna khilafu juu ya Maulid bali khikaf iko kuna wanaofiata matamanio ya nafsi na kuna wanao fuata haki tulikuwa masufi kama ninyi msijaribu kuturudisha huko tumesoma kama ninyi mnaturudisha katika upotevu tena jamani?

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 11 місяців тому

      Kua na dabu wewe pia sababu hata wakati wa mtume muhammad saw unataka kusema walikua wote wakifanya kazi moja tu? Kuna wengine walienda pigana jihad wengine walienda lingania dini kivyengie wengine wakawa askari wa nyumban kwahyo achaneni na Bachu kama mnaumia mshtakieni Allah tuu ndio kila kitu.

    • @eddieeddie2755
      @eddieeddie2755 11 місяців тому

      @@omarchaijefwa729 Sasa Uzuka wa maulidi unaingiaje ktk ikhtilaf? Wanyama waliongea ilivoingia mimba ya mtume (s.a.w) ni urongo, km ni kweli wathibishe basi😅😅😅

  • @athumaniomari9760
    @athumaniomari9760 11 місяців тому +5

    maaashaallah allah akulipe kila lakheri uskate tamaa

  • @QuthamAbdalla
    @QuthamAbdalla 11 місяців тому +2

    الله يحفظك يا يشخنا ويعيذك من كل ذي عين وحسد وسحر وكل سوء .

  • @mustafahakim-iq7dj
    @mustafahakim-iq7dj 11 місяців тому +6

    mashallah

  • @oman6124
    @oman6124 11 місяців тому +4

    بارك الله فيك

  • @muhammadjelle-jk3tu
    @muhammadjelle-jk3tu 11 місяців тому +5

    maa Sha Allah

  • @user-dh4gh8sx4j
    @user-dh4gh8sx4j 11 місяців тому +2

    maAshaallah mungu akuhifadhi na uendelea kutuelimisha

  • @AliMasigaSaleh-vs2jh
    @AliMasigaSaleh-vs2jh 11 місяців тому +7

    Alhamdullilah wauslamu wengi sasa wanafungua macho, na sunnah zimeingia karibu kwa kila mji tangu ukweli usemwe.

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому

      Hakika maana na sis wengine ndo tulikua wapiga madufu lkn saiv mm binafsi kupitia bachu na Dr. Islam kw uwezo wa allah nimeacha maulidi na aina zingine za uzushi

  • @gilailarashid6838
    @gilailarashid6838 11 місяців тому +4

    Mashallah, Allah akuzidishie subra

  • @AishaHamisi-tl9ek
    @AishaHamisi-tl9ek 11 місяців тому +5

    Bachu nakupenda sana uje utusalinie uku bumbuli wanabumbuli wanakupenda sana na uku Sunna inaenea kwa kasi

  • @omarsaid2818
    @omarsaid2818 11 місяців тому +2

    Kiboko ya Makhurafi. Allah akupe elimu zaid

  • @muhamadyabubakary6750
    @muhamadyabubakary6750 11 місяців тому +16

    Allah akuhifadhi shekh wetu

  • @Arafati-t4y
    @Arafati-t4y 11 місяців тому +4

    Mashallh ostazi ulie shikaman na kitabu na sunnah Kwa ufaham wa salaf wema

  • @abkmavoko
    @abkmavoko 11 місяців тому +2

    Alhamdulila nimepata kujifunza kitu kutoka kwako, sikuwa najua zaidi ya haya.allah akupe umri mrefu na atuongeze walimu wengi kama wewe wenye msimamo huu insha'Allah

  • @AngoligaJamada-ps7zu
    @AngoligaJamada-ps7zu 11 місяців тому

    MashaAllah ustadh

  • @zafarmohamed9413
    @zafarmohamed9413 11 місяців тому +4

    sheikh mm nakushauri achana na mambo ya maulid tufundishe mambo mengine ktk dini na yapo mengi sana.

    • @omarchaijefwa729
      @omarchaijefwa729 11 місяців тому

      Acha ushetani kama uko nayo wewe hayo mengine tufunze lakn achana na Bachu manake twarika na team ya maulid imeoza hata afadhali WAKIRSTO sasaivi unawezakumlingania na akakuelewa

    • @zafarmohamed9413
      @zafarmohamed9413 11 місяців тому +1

      @@omarchaijefwa729 astaghfirullah ssi sote tunatamka kalima moja ya Laa ilaha illa llah . Unasema afadhali wakiristo kweli mawahabi wanachuki kisa maulid. Wakati ukiangalia bidaa zimejaa tele zama hizi fikiria kidgo kabla hujasema.

  • @generalabdize3647
    @generalabdize3647 11 місяців тому +5

    Masha Allah tabaraka Allah ♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du 11 місяців тому +11

    Nimekufahamu. Allah akuzidishie.

  • @badrudinsalum3139
    @badrudinsalum3139 11 місяців тому +4

    Mashallah shekh Allah akulipe kheri kwa jitihada zako hawa watu wa bidaa wanatamani ardhi ipasuke wajichimbie chini na ukitaka kujua hilo angalia comments zao ni matusi tu ila kazi wanayo kichwa kimoja tu kinasumbua Afrika mashariki wanapokezana vijiti tu leo huyu kesho yule na bado wanafyata mkia. Allah akulinde wewe kizazi chako

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому +1

      ❤😂😂❤❤ alopewa kapewa wewe waache waseme kijana bachu yupo na allah ukizingatia anasema. Hakki yenye dalaili na inayoingia akilini😊

  • @chigoboy38
    @chigoboy38 11 місяців тому +5

    Allah ukulinde na hao waovu watu wa twarika

  • @husseindiba2169
    @husseindiba2169 11 місяців тому

    Mashallah sheikh bachu

  • @SalmaAbeid-w9t
    @SalmaAbeid-w9t 11 місяців тому +3

    ASSALAM WAALEIKUM SHK MOHAMED BACHU ASIYE TAKA KUKUELEWA WALLAHI HUWEZI KUKUELEWA KWA SABABU YA HAWAA ZAO LKN USICHOKE KUWAELEZA WALLAHI HAYA YOTE ULIYO YAELEZA HAWAWEZI KUYAJIBU NA HII NI CHALLENGE CHALLENGE KAMA KWELI WAO NI WATU ILIMI KAMA WANAVYODAI KINA D.J WAJIBU

  • @aliathman7609
    @aliathman7609 11 місяців тому +7

    mashaallah sheikh bachu jazaa yako iko kwa Allah.khutba umeitowa kwa hamasa mapaka ikanikumbusha aya hii; { وَلَقَدۡ نَعۡلَمُ أَنَّكَ یَضِیقُ صَدۡرُكَ بِمَا یَقُولُونَ }

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому

      Imenigusa kuona Aya hii ni. Sawa na mtume akiwalingania watu kama hawa masufi

    • @MussaRashidi-ds6hn
      @MussaRashidi-ds6hn 11 місяців тому

      Shekhe yote unayosema nisawa swali nani kamzulia urongo nachukizenu munajiita watuwasunna nahali niwatu wakujivuna Hali inazungumza kabla ya maneno hizochuki bali jengeni uwelewa

    • @aliathman7609
      @aliathman7609 11 місяців тому

      @@MussaRashidi-ds6hn covid 19 bado iko palepale. hayajajibiwa

  • @fatmasuleiman2710
    @fatmasuleiman2710 11 місяців тому +9

    MashaaAllah simbaa wetu wape mpaka kieleweke,haki yabaki kuwa haki.

  • @ShaabaniAyyubu
    @ShaabaniAyyubu 11 місяців тому +2

    ماشاالله

  • @FadhilSaid-mb2yk
    @FadhilSaid-mb2yk 11 місяців тому +2

    MASHAALLAH

  • @Captainome
    @Captainome 11 місяців тому +12

    Maa shaa Allah endelea kutoa elimu.

  • @Yousouf-wn1qz
    @Yousouf-wn1qz 11 місяців тому

    Mashaalla mwenyezi mungu akuifazi unafahamika kabisa

  • @dostikarogi8521
    @dostikarogi8521 11 місяців тому +7

    Well said n its true wanatafuta ya tumbo yao allah akuhifadhi uzidi ku elimisha ndugu zetu.

  • @AhmadaTahir-cu8se
    @AhmadaTahir-cu8se 11 місяців тому

    Wallahi Billaahi Tallahi,Bachu na wenzake nataka watembee ukimwengu mzima kuendelea kuyapinga Maulidi basi Maulidi hayo yataendelea kuwepo Ulimwenguni

    • @jumamahmoud9271
      @jumamahmoud9271 11 місяців тому

      ni kweli kwasababu m/mungu anaaema kua hakika ya wale walioamini na kutenda matendo mazuri ni wachache.kwaio kupitia aya hii watakao kua ktk haqi ni wachache na watakao ktk batwil(maulid) ni wengi.

  • @hameidseif7083
    @hameidseif7083 11 місяців тому +3

    good boy

  • @Mswahili-12
    @Mswahili-12 11 місяців тому +6

    Wallah hawa jamaa wanaoikumbatia bida'a wanajua wazi kwa wanalolifanya halimo kwenye dini ila ni kwamba wanalinda heshima zao .

    • @Nuru_ya_sunnah.official
      @Nuru_ya_sunnah.official 11 місяців тому +1

      C waache tu au wataona wameshindwa na hao wanao waita mawahabi??!

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 11 місяців тому +1

      Maulid yanachakaa kila siku. Sisi tunaopinga leo tulikuwa twayatetea kabla na watu akili zinafunguka, ni kweli yataendelea kuwepo lakin kasi itakuwa ndogo sana masna nakumbuja miaka ya 87 moaka tisini na kitu yalikuwa na nguvu sana na lilikuwa jambo la kitaifa na kila kijiji kila nyumba ya muislam lakin linepungua kama asilimia 75 nzima imekatika bado 25 na hii ni kutokana na muamko wa watu kusoma na kujitambua na kuwacha ushabiki wakat wa kusoma.

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 11 місяців тому

    Haya maneno yamekuja mahala pake khasa Wallaahi, na masufi nivichwa ngumu, lkn wanyooshwe hivohivo, ipo siku watakuja kuku kumbuka Shekh Muhammad.

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 11 місяців тому +6

    Mashaallah

  • @amaroo1220
    @amaroo1220 11 місяців тому +17

    Wape Bro! Simama na ukweli, usihofu makundi. Hata ndugu zake Sayyidna Yusuf 3alayhi-Salaam walkuwa "3usbah"

  • @swalehmohammed3491
    @swalehmohammed3491 11 місяців тому +1

    Mashallah tumefurahi kutupa vitu vya roho Allah akuhifadhi

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 11 місяців тому +1

    Unafundisha baba Allah akuhifadhi Na fitna za walimwengu

  • @mohamedkibwana7558
    @mohamedkibwana7558 11 місяців тому +4

    MashaAllah

  • @MUBKAM-th3ln
    @MUBKAM-th3ln 11 місяців тому +2

    Safi kabisaaa ni mwendo wa kupigilia misumari tuu watanyooka mbona😂😂😂

  • @canoksancomprehensivelearn7182
    @canoksancomprehensivelearn7182 11 місяців тому +12

    Hii ni jihad maana watu wamefuata matamanio badala ya haki na kuthubutu kubishana tu kwa maslahi ya matumbo na hishma zitakazokwisha punde (majina) na Allah hawaongozi madhalimu ambao wanafuata matamanio yao bila haki na kukata mauno. Kama maulid ni halali angetoa hoja na kuingia katka barzanji kwa kutoa ushahid lakin matamanio ya nafsi zao. Niambien imama shafi alisema kama akifanya maulid au malik wakikatika vipi? Viuno vinatakiwa viende kushoto kulia au juu kwenda chini au chini kwenda juu na maulamaa wakakhitalifiana hilo? Wazee wazima waislam wanafanya aibu sana kwa kweli aibu sana mpaka nawashuku akili zao hazipo sawa. Kukatika ni kukatika tu hakuna mahali muwakataze wanaofanya mauno ya matusi katika maulid maadam hamna dalili ya hayo muyatendayo

    • @canoksancomprehensivelearn7182
      @canoksancomprehensivelearn7182 11 місяців тому +2

      Mbinu waloitumia masufi kukwa isha munaqasha ni ile walokuwa wakitumia wayahudi kutaka nabii S.A.W aonekane kama muongo wamdhalilishe. Ati wanadai kwenye comment sheikh Bachu kapata kichapo. Kichapo kipi? Mbona hapakuwa na swali pale zaidi ya ubabaishaji? Hivi nikikuuliza ati toa ushahidi kwenye Quran mahali andazi limetajwa kwa jina kuwa ni halali kuliwa ili tuendelee na munaqasha hilo ni swali la kielimu? Wallaahi naye Said akiulizwa ataje mahali alonakili hadithi munkar anaitwa mkweli hana. Hayo mazwaki yanaitwa ya kupoteza muda, au ninyi washabiki jibuni. Sio kila swali mtu anaulizwa na hali muulizaji mwenyewe pia hajui jibu hii ilikuwa ni trick walokuwa nayo wayahudi kutaka tu sio kuelewa bali kushindana na mtume S.A.W aonekane sio, wayahud ndio tabia yao tangu zamani kwaushahidi huu
      { هَـٰۤأَنتُمۡ هَـٰۤؤُلَاۤءِ حَـٰجَجۡتُمۡ فِیمَا لَكُم بِهِۦ عِلۡمࣱ فَلِمَ تُحَاۤجُّونَ فِیمَا لَیۡسَ لَكُم بِهِۦ عِلۡمࣱۚ وَٱللَّهُ یَعۡلَمُ وَأَنتُمۡ لَا تَعۡلَمُونَ }
      [Surah Āli-ʿImrān: 66]
      (Enyi Watu wa kitabu) Angalieni! Nyinyi mlibishana katika yale mliyo yajua. Mbona sasa mnabishana katika yale msiyo yajua? Na Mwenyezi Mungu ndiye ajuaye, na nyinyi hamjui.

  • @thefoodshaikh811
    @thefoodshaikh811 11 місяців тому +11

    Napenda kuwakumbusha msisahau kabisa kuzungumzia haya ma ziara ya Kwenda makaburini kila siku kwa shangwe na ngoma watu kwenda kufanya shirk. Ni msiba mkubwa huu.

    • @azizayassin3623
      @azizayassin3623 11 місяців тому

      Hakika kifo ni ukumbusho kwa kila mwenye kukumbuka kama wnaenda na kuwafanyia dua hkuna shida yoyote piga goti soma mwenyewe uckukubali kusomewa shukran

  • @IbrahimIsmail-te7mw
    @IbrahimIsmail-te7mw 11 місяців тому +11

    mashaallah

  • @suleimanabdul-karim1212
    @suleimanabdul-karim1212 11 місяців тому +2

    Mashallah Sheikh Muhammed Allah akupe uzima na afiya njema akupe mwisho mwema akuepushe na hasada

  • @feisalabdallah8632
    @feisalabdallah8632 11 місяців тому

    Allah akuzidishie kher ila kaka yangu Mohamed uwe makin watakupa sumu watu wa Bidaa

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 11 місяців тому +3

    Miaka 2007 nilivyokuwa bado mdogo na rafiki zangu tulikuwa tukienda maulidini usiku wallah tulikuwa tukiona maajabu,

  • @Saumu-r6p
    @Saumu-r6p 11 місяців тому

    Allah akuhidi mtume ametumilizwa ili kutimiza tabia njema je una ushahidi kwa uyasemayo umehifadhi hadithi ngapi umemsoma mtume wp

  • @abdallahsaid9574
    @abdallahsaid9574 11 місяців тому +2

    elimu ni taufiq ya allah wau wanadhani ukiwa mdogo huwezi pewa elimu laa wallah Kama sio hivyo mtume wetu asindepewa utume ilhali kulikuwa na watu Bora kuliko yeye

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot 11 місяців тому

    Huu ndio uongo wanao rithishana kizazi baada ya kizazi, wakidai wana mapenzi kwa Bwana Mtume Muhammad Swallallaahu Alayhi Wasallama!!!
    Lakini kwenye vitendo niziro.
    Allaah akupe nguvu na ujasiri huuhuu wa kuitangaza Sunnah na kuikanyaga Bid'ah

  • @habibuchakusaga7981
    @habibuchakusaga7981 11 місяців тому +15

    Watu wenye akili salama wamekuelewa vizur unachofundisha shekh

  • @menk136
    @menk136 11 місяців тому +2

    ابوهریره رضی الله عنه روایت است که رسول الله صلی الله علیه وسلم فرمودند: «مَنْ رَآنِي فِي الْمنَامِ فَسَيَرَانِيِ في الْيَقَظَةِ - أوْ كأنَّمَا رآنِي في اليَقَظَةِ - لا يَتَمثَّلُ الشَّيْطانُ بِي»: «هرکس مرا در خواب ببيند، در بيداری نيز مرا خواهد ديد - يا گويا مرا در بيداری ديده است؛ - شيطان نمی تواند خودش را شبيهِ من کند».

  • @user-bd7xm6sm3o
    @user-bd7xm6sm3o 11 місяців тому

    Khotuba nzur maaashllah,lakni mbna ulishindwa kuthibitisha kweny munaqasha Mombasa....kuhusiana tu na hadithi 😮

  • @TijosHaba-xi8vy
    @TijosHaba-xi8vy 11 місяців тому +1

    Mashaallah tabarakallah

  • @jkifutu7936
    @jkifutu7936 11 місяців тому +2

    Shekh wewe msulimoto jazzka allh kheir

  • @barzaqtradingcompany8541
    @barzaqtradingcompany8541 11 місяців тому +5

    Hii hathi la bonde yamtume inaonyesha wazi kuwa mtume hajui yanao endelea hapa duniani