Milard unaniqngusha muwe mnauliza maswali ya maendeleo ya maisha sio maswali ya mabwana muda mwingi, huyu ni mwanamke mwenye mafanikio makubwa kwenye maisha tusikie jinsi anavyopambana ki maisha sio Mapenzi tu Muwe mnachanganya maswali ya maendeleo anafanyaje biashara, duka, matangazo na mambo ya namna hiyo
Waandishi wote duniani wanapenda kuuliza controversial topics ambazo zipo trending. Aliulizwa kuhusu biashara, matangazo pamoja na Rick Ross lakini kikubwa ilikua ni kuondoa ukakasi kuhusu baba wa mtoto...she didn't answer any of that...what a missed opportunity!
Yaani umenena ni mabwana mabibi kila kukicha nani asiye na bwana hata kama ni kiguruu MILLARD PLEASE GO AND INTERVIEW FARMERS I TAKE FAMERS AS STARS NOT EYELASHES LIPSTIC AND WANJA
Mama Mia! What about God? What is He to you? Mungu hana kasoro but human beings have, so how can she be everything and yet she got in zaris relationship with diamond?
Watu Kama akina Hamisa Mobeto, wana vitu ambavyo ni special kama wangefanyiwa utafiti vingeweza kusaidia jamii. Ukiangalia wanavyojieleza utadhani wamesomea.
Mbona ulilala na petit wakuache kwani ana hela? Je❤idris ana hela je bilnas ana hela?? Acha uongo sema at least uliozaa nao wazitafuta but ulio date nao wengi ni apeche
Ume sahau wengine WA Kenya WA kina Jaguar na Otile Brown. Alikua anamla hela Jaguar, bilnas na diamond kuhusu mtoto. Wote Hao kila mtu alijua mtoto ni WA kwake, kwa siri alikua aki hudumiwa mtoto na watu zaidi ya watatu. Mwanamke hatari huyooo. Unafkiri hela zote ame zipata kupitia Mobetto style? Nooo yeye anajua zaidi😂
Zipo machine za kuosha vyombo na unaweza changanya masufuria na vyombo vingine hapa nina maanisha sufuria za kawaida za nyumbani sio zile kubwa kama za hotel hapana hizo zinamachine zake special ni kubwa tofauti na za nyumbani so Millad yuko sahahihi 100%🇹🇿🇨🇭
She attracts money,she’s a superwoman.Young,beautiful,famous and successful.I love you Hamisa ❤️
Jamani Hamisa Mobeto jinsi gani nnavyokupenda,huna shida na mtu and you killed the interview such a beautiful and humble 😍😍🇬🇧
kweri kabisa
Mwanzo nilikuwa simpendi huyu dada....
Ila kwa sasa I love her so much.
She is a story teller ican listen to her 24/7❤❤
Hamisa karembooo😋,alafu Mara nyingi huwa Hana mikucha mirefu😊
Very wise and caring mother..was nice listening to you...hii interview itabadilisha people perception kuhusu Hamisa
Hii imenibadilisha kabisa, pia imeniongeza hakili ❤
Thanks Dear
Overthinkers wana move on haraka sana, hupati chance ya kumuumiza sababu alishajua mapema it wont last hivyo anajipanga kisaikolojia mapema sana.👏👏👏
Definitely me
But she didn't move on easily from Nassib alimng'ang'ania haswaaaa
Sure 👏
I second you
Kabisa
Akiiii nimeenjoy 😂😂😂❤️❤️❤️❤️❤️ Hamisa una moyo wangu 👌🏾🥰
Mi napenda kuosha vyombo pia. Beautiful Hamisa interview nzuri umechangamka mzuriiii❤❤❤
Furaha ya kupendwa
Kwa mfano mtu anataka kulike mara mbili anabonyeza wap.... Nampenda sana huyu binti🥰🥰🥰
🤣🤣🤣 mie mwenyewe natamani ku like mara mia
@@rosemaira6690 ggggggggģhggggggggggh
Ggggggeyggh
@@rosemaira6690 hgggghhgggggggggg
@@rosemaira6690 hgggggggģgggggggggggggggğgģhghgggg
I never knew girls like you still exist in this century. So smart Hamisa . I love you.
Interesting!
Bbxxx x x xxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxxx
Dx
.f
Ukiwa na furaha huwez kuificha yaan anaonekana tuu ana furaha Big Up Mobetto🥰👏
You have done well to move on...from D...that how I value you like a classy lady! Beautiful, intelligent and smart!
Mamake Kina NJ kazuri jamani mama asiye na ubaya na mtu, bonge la mama, mchapa kazi❤️🇰🇪
Niliisubiri hii interview kwa muda mrefu sana Asantee milard kwa kutupa hii interview 🥰🥰🥰♥️
She's beautiful and it seems like she knows what she wants in life. Do you kamom and let life roll at your pace.
Hamisa umejisemea zako ukweli mwaya😀😀😀😀money makes us happy mwaego
Growth is beautiful..Hongera Hamisa💞
Napenda hamisa anavyoongea mwenzenu☺️😊lazma niangalie interview yake yoyote napenda tu kumsikiliza
Umeona eeeh...? Ht mimi nampenda saana huyu dada. Ni mpole sana maskini.
@@umfahad2609 kastaarabu mno yani
Tuko pamoja dear i lov her so much yni kila story yke ninayo cjui kanifanyaje mm
I had no idea this woman was so intelligent until today. Keep going, Hamisa. I am now officially a fan of yours.
Vido is very professional,
Hamisa is very free and comfortable with interview
Cheers
I can listen to her all day😢
Mashaallah huyu Dada mtangazaji Ana macho mazuri Mashaallah ❤
Tatzo anamuangalia hamisa kwa dharau sijui kamkosea nn😄😄
Mh mkaka victor
@@Latifah336 mi pia nimenote anamnyali mwenzie
@@Latifah336 jamani ni kopeee tyu izoo hajamnyali kwasababu zinakuaga na kauzitoo flan kwaiyo khama unafumba na kufumbuaaa jicho lazima uonekane unanyali hususan kwenye cameras😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Ma sha Allah na A kubwa mwezangu
MashaAllah MashaAllah 🎉🎉🎉🎉mdada flani ivi wa blue wakishua
Karemboo,kasweet chenyewe😘😘😘
She is a lovely and wonderful lady ❤❤❤👍.
I love her very much, she is the QUEEN 👑👑👑❤❤❤🔥🔥🔥💋💋💋.
Stay SAFE and BLESSED always with your lovely family ❤❤❤
A queen hahaaa in ur dream MONEY NOT EVERYTHING CHASSING RICH MEN NOT A LIFE SIMPLE LIFE IS EVERYTHING
Hiki kimdada kizuri Sana, nakipenda Sana ❤️❤️😍😍😍💐
Beautiful interview...very well spoken 👏 👌 ❤❤
My role model I really love this women❤️
I'm appreciate the way unavyo speak amisa so beautiful
Kwani ukiandika ki kurya utapungukiwa nini?
@@saidiekela6349 😊😂😂😂kikurya kimekujaje tena
Milard unaniqngusha muwe mnauliza maswali ya maendeleo ya maisha sio maswali ya mabwana muda mwingi, huyu ni mwanamke mwenye mafanikio makubwa kwenye maisha tusikie jinsi anavyopambana ki maisha sio Mapenzi tu
Muwe mnachanganya maswali ya maendeleo anafanyaje biashara, duka, matangazo na mambo ya namna hiyo
kwel mpak anakosa pumz
You're so clever 😍
Waandishi wote duniani wanapenda kuuliza controversial topics ambazo zipo trending. Aliulizwa kuhusu biashara, matangazo pamoja na Rick Ross lakini kikubwa ilikua ni kuondoa ukakasi kuhusu baba wa mtoto...she didn't answer any of that...what a missed opportunity!
@@esthermutabuzi4582 🥰
Yaani umenena ni mabwana mabibi kila kukicha nani asiye na bwana hata kama ni kiguruu MILLARD PLEASE GO AND INTERVIEW FARMERS I TAKE FAMERS AS STARS NOT EYELASHES LIPSTIC AND WANJA
She is gorgeous 😍😍😍😍🤩🤩🤩
Kiukweli umeongea vizuri Sana👍👍💯 .pili nakupenda Sana dada angu..❤❤❤❤❤ ..
Super gal Hamisa💞💞💞💞 love you miss gorgeous💖💖 kutoka hapa Kenya poke love❤️❣️❣️🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Big up to hamisa I like her confidence 🥰👍
The female presenter had some not comfortable questions. But Hamisa killed it. 🔥
Exactly ANABOA
My role model nakupenda hamissa❤
Yaan huyu dada achoshi kumsikiliza I love uu♥️♥️misa
Very brilliant lady much love from Spain micha
I love u hamissa sanaaa hii story ynko ni 100 💯 my story na mm ni. Mnyamwezi nimezaliwa bungando km ww❤❤❤❤❤❤
She’s so beautiful and amazing 🥰
Misa wetu...I love you from Kenya❤❤❤
Yaani Hamisa leo kaongea kwa sauti yake original, hahahaa, i love her❤️
Ila hapo mlipomalizia umeniua mbavuuuuui🤣🤣
I love hamisa wallai ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤she is good Sana God bless you more and keep winning my role model
She's smart kanapenda kucheka
My All tym favorite 💞😘😍
Nampenda bure Hamissa Mobeto juu sana❤
Masha Allah haka kabint kamekuwa nlikipenda toka before maskini dah
Missa Allah bless you you r amazing. Kpe it up
I can relate, We, Sagittarius move on so fast
She is everything ❤
Mama Mia! What about God? What is He to you? Mungu hana kasoro but human beings have, so how can she be everything and yet she got in zaris relationship with diamond?
A sagittarius like me, it's very true we move on really fast, we don't give a damn❤❤❤, love you gal
we love truly...but when u mess up we fuck u off of our lives like u never existed
Daah uislam wa wasanii waki bongo🥱mtandio umekaa juu kwa juu na uko na swaum😅ila umependeza Masha'Allah na una swaum😘👌Allah azid kukuingoza🙏🤲
She very smart..wish her to find the best man in her life..
Nampenda jaman hamisa wang❤❤
too much expectations…..be bold Hamisa,life humbles us in mysterious ways.
Nampenda huyu Dada jamani❤❤❤Ila nimependa magamuzi yake kabisa ❤🎉🎉🎉
Watu Kama akina Hamisa Mobeto, wana vitu ambavyo ni special kama wangefanyiwa utafiti vingeweza kusaidia jamii. Ukiangalia wanavyojieleza utadhani wamesomea.
Aligundua hamisa amekua sana majibu ya no comment yameisha pia anaongea sana kuzidi waandishi gonga like
She's so beautiful ♥️♥️
I feel growth in her 🌹🌹🌹
www.youtube.com/@Clinton2023C/videos?sub_confirmation=1
Interview mob sana halafu i've been following hamisa since her modelling days na kweli ana nyota na brand yake anaitunza vizuri mno
True story hiyo ni kweli kabisa na Mungu akubariki sana kwahilo
I never knew Mobeto is astry teller,,avibe 😂😂intelligent,superwoman,smart in talking now her laughing style is something else
Jamani dada mzuri huyu mashallah ila mwambino sijui alifeli wapi kuacha pisi Kali kama hii
Nampenda kutoka moyoni ❤❤❤
I love 💕💕💕 hamisa
She is so beautful❤❤❤
Hamisa is such a gorgeous woman ❤️ I love her
Nampenda huyu dada jamani hana makuu wala hapendi mchanganyiko na watu
Kabisa
Mh! Makuu yapo na mchanganyiko anaupenda sana tu, sema tu upande huo hakufanikiwa ndo ukweli
@@nashnene6326 kabisa 👏
Mmmh we nawe hupend mchanganyiko na watu alafu unaona sifa duuu ama kweli
📌
This gal is glowing
Nampendanga hamisa wangu jamani walai nakupenda hamisa❤❤
Huyu biti Hana shida na mtu ❤❤
She's amazing 🥰🥳❤
Penda Misa ake were💖
Hakika...mwanaume wa kujenga naye😂😂😂😂😂sio kweli😂😂😂
Ye atafute tu😂😂😂kama hajapata hayupo tayari kuoa🎉😂😂
Ur so smart Hamisa I love u
Hamisa ni mzuri ila upeo wake ni mdogo sana , ukisoma ujumbe wangu jitahidi kufikiria wakati ukiulizwa maswali .
I like the way she smile so smart
Ma sha Allah,may Allah grant you a righteous husband.
İn İslam we believe that Allah is the most merciful .As long as one repents ,Allah can bless that person with the best.
I love you guys yani misa,frida,vido na millard nyie wote ni my favorites🤍💯♥️♥️
❤❤❤❤❤❤❤❤nakupend san dad
Hamisa mrembo sana mashallha pia nimependa yupo happy sana Walhalla
Mbona ulilala na petit wakuache kwani ana hela? Je❤idris ana hela je bilnas ana hela?? Acha uongo sema at least uliozaa nao wazitafuta but ulio date nao wengi ni apeche
Ume sahau wengine WA Kenya WA kina Jaguar na Otile Brown. Alikua anamla hela Jaguar, bilnas na diamond kuhusu mtoto. Wote Hao kila mtu alijua mtoto ni WA kwake, kwa siri alikua aki hudumiwa mtoto na watu zaidi ya watatu. Mwanamke hatari huyooo. Unafkiri hela zote ame zipata kupitia Mobetto style? Nooo yeye anajua zaidi😂
Nakupenda Huna makundi unafanya Mambo yako kwa hekima
Mashllah hongeraa sana hamissa ubarikiwe sana uzidy kufanikiwa
Aahaaah, kuumbe sawa, nimekuelewa kumbe lengorako nipesa ,ayabhana ila mukaemukijuwa pesa huwa zinaisha nayule masikini unaweza ukashangaa kainuliwa namalanyingi watu hubadilika, mbeleni shauliyenu
Si atamroga amvute ?
Nampenda dada huyu mm mpaka basi❤
Kumbe ame soma Saint kayumba na ana English nzuri huyu dada safi sana 👍👍👍
HaMisa uko vizuri unaeleweka vizuri kabisa hujali.
Nakupenda misaaa..nime enjoy kwakweli
Kweli she is beautiful ❤
To correct you missa, I don't think everything that happens to us or we do or decide does come from God. Sometimes we cause them to happen
Truee
This was fun to watch😂😂😂sjawahi watch interview ya mtu yyt apa nikaimaliza bila kuskip every 1 minute😂
Mimi pia😂😂sitak kuamini nimeiangalia nzima nzima hata ku skip
🤣🤣🤣Nmependa wamejiachia vzr sana
Sauti ya mobetto ni nzuri anafaa kuwa mtangazaji
Pako Dishwasher machine ❤dada Amissa
unayo haki ya kujibu unavyojisikia kiukweli umeumbika dada yetu mashallah ulivyo tu wewe hela inabidi wanaume tukubali
She's amazing ✨🔥♥️📌
Napenda sana kuosha vyombo kabisaa. Hamisa machine ipo za vyombo dada umeenda mpk marekani hujaona kabisaa
Ameenda hajaishi, kwenda na kuishi n vitu viwili tofauti.
Miongon mwa wanawake wavumilivu duniani, hongera
Zipo machine za kuosha vyombo na unaweza changanya masufuria na vyombo vingine hapa nina maanisha sufuria za kawaida za nyumbani sio zile kubwa kama za hotel hapana hizo zinamachine zake special ni kubwa tofauti na za nyumbani so Millad yuko sahahihi 100%🇹🇿🇨🇭