UNDANI TUKIO LA KUPIGWA KWA JUMA NA WAFANYAKAZI WA OYA, MKE AFUNGUKA/SHUHUDA AELEZEA ILIVYOKUWA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 жов 2024
  • #JAMBOTV
    ...........
    Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
    ►UA-cam: / @jambotv908
    ►INSTAGRAM: / jambotv
    ►TWITTER: / jambotv_
    ►FACEBOOK: / jambotv
    ►WEBSITE: jambo.tz/

КОМЕНТАРІ • 174

  • @hadijauledi6995
    @hadijauledi6995 6 годин тому +8

    Hii mikopo ndugu zangu tuache kukopa kwa sababu kwanza riba zao ni kubwa sana mkopo ambao mm naukubali niwa mama samia hauna riba ukichukuwa mkopo mnakaa miezi 3 ,bila kurejesha mnajikusanya kikundi watu kumi ni mkopo mzur sana tulikopa na tulimaliza mkopo vizur hivi tunasubiria tena tukopeshwe sijuwi oya kausha damu acheni ndugu zangu hawafaii mkopo ni mmoja tu wa mama yetu kipenzi muheshimiwa mama samia

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 3 години тому

      Mikopo enyewe huyo inatolewa wapi

    • @gracemima5234
      @gracemima5234 Годину тому

      @@hadijauledi6995 sio kila mtu anapewa mikopo hii mpaka ujulikane

    • @PeterMahona-zd3oz
      @PeterMahona-zd3oz 38 хвилин тому

      mikopo yasamia inaishia juu juu hiyonayonimikopo

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 3 хвилини тому

      @@PeterMahona-zd3oz ndio atuambie, maana mikopo inakuja kimyakimya na ikiwalenga wanaccm tu ,sijui yeye huwa anachukua wapi,

  • @joaquimmasengwa1283
    @joaquimmasengwa1283 Годину тому +1

    Mungu amweke mahali pema peponi.
    Lakini, majirani na hasa wapangaji wenzake na marehemu, kwakweli hawakutoa ushirikiano. Laiti wangetoa ushirikiano, haya yasingaliyokea.

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 години тому +2

    Pamoja na sheria kuchukua mkondo wake kwa wafanyakazi wa kampuni ya OYA,kampuni hii ya OYA ifungiwe.

  • @fredsanga9461
    @fredsanga9461 2 години тому +4

    Mwenyekiti amenyooka sana anaekubaliana nami weka like hapa

    • @kennedykassian5269
      @kennedykassian5269 50 хвилин тому

      It seems jamaa ni msomi sana,vijana weng wasomi bado wapo mtaani,mwenyekit ni genius, smart ana akili mno anafaa awe mwnyekiti wa wenyeviti wotee

  • @smartonlinetv5144
    @smartonlinetv5144 8 годин тому +6

    Majirani kidogo mlikosea ,hamkuonyesha ushirikiano nzuri kwa mwenzenu, basi mngepiga cm polisi kwa msaada zaidi

    • @MwanaHamis-y4e
      @MwanaHamis-y4e 6 годин тому

      .kabisa na tukio wameliona majirani wangejikusanya nankuingilia kati wangemuàchia hila ndo lisbatokea akuna jinsi

    • @filbertnyoni2352
      @filbertnyoni2352 5 годин тому

      Wangepiga simu polisi?polisi wepi hao?

  • @sarahkinyashi6213
    @sarahkinyashi6213 2 години тому

    🙏🙏🙏🙏🙏mama tuangalie pakuingia tunapotaka mikopo🙏🙏🙏kwingine hapaingiliki

  • @geraldabel8784
    @geraldabel8784 8 годин тому +5

    hiyo OYA ifutwe tu hata wengine wanaodaiwa wasilipe kabisa hao ni majambazi.

  • @scholarmawala1403
    @scholarmawala1403 9 годин тому +5

    Kausha Damu kiboko😊

  • @BahatiIsangu
    @BahatiIsangu 7 годин тому +1

    Kwa nchi hii oya watauwa watakavyotaka hakuna serikali ya kuwashtaki mwenyewe pesa hafungwi i love Tanzania

    • @DainessLizer
      @DainessLizer 2 години тому

      Kwani OYA ni mali ya nani?

  • @EmmanuelMpali
    @EmmanuelMpali 9 годин тому +2

    Poleni sana ndugu juma ila Hawa oya walichokifanya sio mambi

  • @DotoS12
    @DotoS12 2 години тому +2

    Huyo shaidi wa kiume kw nn asingepiga kelele kutaka msaada

  • @PhilkevinFelix
    @PhilkevinFelix 2 години тому +1

    Hii OYA itakuwa sehemu ya KAUSHA DAMU.

  • @ZawadiSaid-x6f
    @ZawadiSaid-x6f 56 хвилин тому +1

    Jamani oya wauwaji walitaka kumpiga mama mmoja tabata

  • @BeatriceKimaro-h8z
    @BeatriceKimaro-h8z 8 годин тому +2

    Hawa oya niwasumbufu sana na huwa wanapenda kutishia maisha sana ila hili limewakuta

    • @hassanrashid-l3u
      @hassanrashid-l3u 6 годин тому

      Ulitumwa ukakope ? Msiba ukishaisha na kec imeisha

    • @ROZALIABalige
      @ROZALIABalige 3 години тому +1

      ​@@hassanrashid-l3u Una utu wewe Mungu asaidie ufiwe na mtu wako WA karibu

  • @gracemima5234
    @gracemima5234 7 годин тому +2

    Tanzania ukiwa na Pesa haufungwi, ndiyo maana kuuwa mtu ukiwa na pesa sio kitu. Watu hawaogopi kuvunja sheria, haswa wenye pesa. Afande aliyetumwa kubaka mpaka sasa yuko huru. Hi nfdiyo Tamzania yetu viongozi wetu wanasema ni nchi ya amani

  • @faridsalehmohamed1230
    @faridsalehmohamed1230 9 годин тому +4

    Huyu jamaa si jirani mwema kwanini usingeenda polisi au kumweleza mwenyekiti mshenzi tuu

    • @fatmakipingu1310
      @fatmakipingu1310 4 години тому

      Eti anaenda Shamba, angekuwa Mwanae angeenda Shamba, tupendane jaman! Leo kwa Mwenzio kesho kwako, ht km sio Mkopo laweza tokea lingine

  • @mussayusuph-i4h
    @mussayusuph-i4h 52 хвилини тому

    inalilahwaina ilaihi lajiunni😮

  • @MwajabuShabani-p2f
    @MwajabuShabani-p2f 9 годин тому +2

    Yaani hao ndio utaratibu waliojiwekea Kama ukichelewesha Salio wakikufuata nyumbani ni kipigo Cha mbwa mwizi yaani nashangaa sijui watu wa aina Gani hao

  • @joaquimmasengwa1283
    @joaquimmasengwa1283 Годину тому

    Tupate fundisho hapa pia. Jamani mnaokopa hovyo bila kuwa na mawasiliano yenye afya na wenza wenu, acheni tabia hizo. Tazameni sasa, dada Khadija kasababisha mwenzake atolewe roho.

  • @joycekambuga6286
    @joycekambuga6286 6 годин тому

    Mungu atusaidie

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 5 годин тому +1

    Ninachoshangaa ni kwamba pesa mitaani hakuna kwa watu wa hali ya chini biashala zinakufa hela imekuwa ngumu kwa wanaonunua na wanaouza lakini kuna makampuni kibao mitaani na mitandaoni hizo hela nyingi walizonazo kukopesha watu zimetokana nini watu wanahozi pesa nyingi kwa njia halamu wanakopesha watu na kuendelea kuwafanya masikini hata kunyan'ganya vitu vya ndani selekali inatakiwa iliangalie sana hili

  • @babakey-bs2qn
    @babakey-bs2qn 17 хвилин тому +1

    Oya ni genge la wahuni.....wanakujaga kudai madeni wamelewa bwiii

  • @aronmilinga7303
    @aronmilinga7303 4 години тому +1

    Ndo wananch mnasem mpambane na watekaji weny silaha, wkt wenye panga t hd wameua mtu, huo n uzembe mkubw majiran wot kenge tu, wwe unaend shambn baad ya kukushnda kupambana lkn mweny utu angeit watu na kuwajuz wengne man mtu kashik panga ukujua n wabaya hao jmn kwl?

  • @noot-oe2mw
    @noot-oe2mw 4 години тому

    Inalilah wainalilah rajuuni

  • @WaziriAbdallah-vr4xg
    @WaziriAbdallah-vr4xg 4 години тому +1

    Hawa majirani washenzi sana mtu anapigwa mtaani.kwenu.asubih na wala.hamuhangaiki kujua hari yake

  • @monicajohn3537
    @monicajohn3537 4 години тому +1

    Marehemu inaelekea hakuwa na Habari ya huu mkopo

  • @JonathanMGAIWA-ow4py
    @JonathanMGAIWA-ow4py 9 годин тому +4

    Huyu nae bure pia, kwa nini hakutoa taarifa kwa uongozi wa mtaa badala ya kwenda shamba kwanza bila kujua hatma ya jamaa yake?

    • @SirajiAbdalah
      @SirajiAbdalah 9 годин тому

      Shamba usiku

    • @fedmiradaf3141
      @fedmiradaf3141 9 годин тому

      Alfajir​@@SirajiAbdalah

    • @fadhilindunguru7946
      @fadhilindunguru7946 9 годин тому

      Alienda shamba baada ya wahusika kutoka na mwili kwenda nao hospitali. Na ilikuwa ni alfajili

    • @michaelnsangano2229
      @michaelnsangano2229 9 годин тому +1

      Jirani nae chenga tuu,msaada wa marehemu haukuwa na faida kwake, yaani mtu anaonewa kwa kushambuliwa na silaha jirani yupo anashuhudia tuu hata angepiga ukunga ajaze watu pengine ingeokoa maisha ya mtu pale ktk tukio...!!

    • @abuusaidy1506
      @abuusaidy1506 7 годин тому

      Mwenyezi mungu akipanga jambo lazima litimie kwa wakat wake​@@michaelnsangano2229

  • @smktv9659
    @smktv9659 10 годин тому +3

    Mwanzo umesema alitambulika kwa jina moja badae unataja majina yote matatu vp ndugu mwandishi unajitambua ?

  • @obeidmlowe1299
    @obeidmlowe1299 5 годин тому +1

    Atakae enda chukua mikopo ya OYA inabidi apimwe akili kama yupo sawa lazima atakuwa tahira.

  • @Byme6434
    @Byme6434 7 годин тому

    Yaaaani Toka Nilivyosikia Hii Habari Nimemkumbuka Marehemu Magufuli Kipindi Cha Uhai Wake Alikizungumza Hili Na Leo Limetokea 😭🙏

  • @ZawadiSaid-x6f
    @ZawadiSaid-x6f 31 хвилина тому

    Tabata hao oya walikuja kudai mama mmoja saa 8 ya usiku wakaandika nyumba nzima lipa deni la oya lipa deni la oya lipa deni la oya

  • @kasonally9429
    @kasonally9429 5 годин тому +1

    Hii nchi itaku imetoboka sehem!!

  • @Fatima-v9k6f
    @Fatima-v9k6f 9 годин тому +3

    From 🇧🇮 inalillah wa inalillah rajiun nawao wawauwe tu

  • @Farida-vg5ry
    @Farida-vg5ry Годину тому

    Watuhumiwa wlio tekeleza mauji hayo ya madai wafungwe kifungo cha maisha wananchi tujue tunataka tuone shelia inavo. Tendeka kama kwa wengine

  • @SaidKudavada
    @SaidKudavada 9 годин тому +1

    hao majirani wanawivu wa maisha roho mbaya tu

  • @jenifermalyosi4683
    @jenifermalyosi4683 Годину тому

    Ninge kuwepo hilo gari lisinge ondoka watu wa Dar waoga sana

  • @swabialli8542
    @swabialli8542 8 годин тому

    Huyu mtangazaji yeye neno LA kuhoji analolijua ni changamoto tuu😂😂

  • @FATUMAJames-r5q
    @FATUMAJames-r5q Годину тому

    Wanatabia baya sana hawa oya hukukwetu wanawazaririsha sana wateja wao wanakuja kudai malejesho saa 4 usiku jamani wakiwa wanatafuta wateja niwapole sana yani hao vijana wa oya siyo itakuwa niwalevi

  • @SophiaKamgunda
    @SophiaKamgunda 8 годин тому +1

    Hata angemshirkisha Mme wangechelewesha kulpa wangejeruhiwa tu inaonyesha siwavumilivu

  • @DianaNyange
    @DianaNyange 3 години тому

    Mmmh jamani mbona viongozi wamikowa..hawanasauti au Sheriya kweli binadamu wanakufa kama vile wanyama dhamani yamwanadamu ipo wapi???pya maana yakuwaviongozi nini?hivi hata aibu hamna wakati wakugombeya uchaguzi mnakujanamachoyenu makubwa bila hataaibu...??kunafaida gani kuchaguwakiongozi hata ushirikiyano haupo nawanainchiwake..tatizo kama hili lazima diwani awemstari wambeli kufwatiliya mbunge nayeye aonyesheushirikiyano kuwahawapendezwi natabiya zaukatili..jamani serekali mnatengeneza Roho zavisasi..watu watakuwawanawindana kama ndege..kutekwa watukupoteya hakutakwisha..kupoteya kusipojulikana hakutakwisha kabisa...jamani Sheriya tendenihaki vingnevyo damuzawatu zitawaliliyasana vinginevyo family zenu hazitakuwasawa kbs.

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 3 хвилини тому

    Au pia wanyongwe na hiyo laki iliyowafanya wauwe pia wanyongwe.

  • @neemamwengama2584
    @neemamwengama2584 9 годин тому +1

    Sio kweli msisikilize sehemu moja hawawezi kuondoka na mtu kapigwa mpaka kaka kama ni ndugu yako kwa nini uende shambq ndugu yako anapigwa kweli jamani mpangaji pia hakuamka hao labda majambazi sio oya

    • @JumanneHaruna-l8d
      @JumanneHaruna-l8d 8 годин тому +1

      Wa hapa mlandiz jilan kabisa ulipo msiba hii sio haki mi nazan Sheria ifate mkondo wake na hak itendeke

    • @BeatriceKimaro-h8z
      @BeatriceKimaro-h8z 8 годин тому +1

      Nishida kwakweli hii OYA ifungwe tu hili nimeona kwa wengi wakifanyiwa fujo daaa

    • @thefinalstand2022
      @thefinalstand2022 8 годин тому

      Neema,huwajui.... Niko kijichi Mbagala, mimi ni mmoja wa waanga wa kampuni hiyo... NI MOTO USIWACHEZEE... NI VIJANA WANAKUJA WAMELEWA SOMETIMES WANAKUJA NA MAGARI 7 KUKUDAI SAA 8 USIKU, NA TAA ZOTE ZIMEMULIKA KWAKO... OGOPA SANA!

    • @happymushi4493
      @happymushi4493 7 годин тому

      Tuambie ukweli neema

    • @SabinaHobe
      @SabinaHobe 6 годин тому

      Ni sehemu gan ndugu hapo Mlandizi???​@@JumanneHaruna-l8d

  • @EliasMwita-q3x
    @EliasMwita-q3x 9 годин тому

    Daah poleni sana kweli inauma😢

  • @mussayusuph-i4h
    @mussayusuph-i4h 51 хвилина тому

    hawa jamaa wachukuliwe hatua kali sana zakishelia

  • @RehemaMtono
    @RehemaMtono 9 годин тому +1

    Hawa watu wamikopo kwa upande mwingine nikama wezi fulani hivi wameenea kila mahali mpaka vijijini wapo

  • @JoyceSamwel-f2s
    @JoyceSamwel-f2s 17 хвилин тому

    Yani saizi watu wanajiamulia cha kufanya na hawaogopi lolote

  • @JaphetPamba
    @JaphetPamba 59 хвилин тому

    Hayo oya wakija mtaani wapigwe mawe

  • @cessyliamkenda
    @cessyliamkenda 9 годин тому

    Ninachokiona hapo tatizo wakopeshaji nguvu wanayotumia kudai mikopo sio mfumo sahihi ila niwaambie wakopaji kama hawakubali kuziishi sheria za urejeshaji mikopo angalizo ipo siku mtauziwa kila kitu dawa ys feni ni kulipa sio kwa utaratibu wa kujipangia mliokubaliana kwenye mkataba🙏

    • @gervaslukaya
      @gervaslukaya 5 годин тому

      Nasikia tu mimi hao jamaa mikopo yao ni shida

  • @AminaLibisa
    @AminaLibisa 9 годин тому +1

    Unachuaje mkopo bila kumshirkisha mume wako sura zitoo 😏😏😏

  • @ernestkanyala
    @ernestkanyala 2 години тому

    Kikwel OYA wanadai vibaya na kisheria mtu yoyote haruhusiwi kuwa Hakuna Sheria ya kuuwa hata Kama unadai

  • @LatifaHashim-rn1ip
    @LatifaHashim-rn1ip 7 годин тому

    Duuh aiseee naogopa sana dunia jamani 😭😭😭😭 kwanini iwe hivi kkmmk 🤦‍♀️

  • @adammjomba5814
    @adammjomba5814 8 годин тому

    Ndugu wanakijiji jifunzeni kutumia fedha kulingana bakia kipato chenu kukopa ni changamoto sana hasa hasa kama mtakopa ktk benk ambazo sio sahihi Lakini tunaomba tusikie upande wa 2 ktk shauri hili.

  • @annamussa185
    @annamussa185 10 годин тому +2

    Yani mnawinda watu usiku,ila nahisi hao walikuwa wasumbufu wa kulipa why mfatwe usiku

    • @teddymassawe3583
      @teddymassawe3583 9 годин тому

      Siyo jamani, OYA ni wajinga kabisa

    • @andreakomba1773
      @andreakomba1773 8 годин тому +1

      Hawa jamaa hata ukiwa mdhamini wanakuja mpaka usiku Kwa mdhamini kwahiyo ni shule wamepewa nchi nzima maana Hawa utaratibu wao ndo ulivyo hawafai kiujumla Hawa.

  • @drhanda8201
    @drhanda8201 2 години тому

    Kosa ni la serikali hapo sababu mikopo ya halimashaul hamtor Kwa walemgwa halisi Bali ni Kwa wasip na wahitaji pili bank Kwa Nini inshidwa kukuposwa kupuguza mashart

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 4 хвилини тому

    Wahusika wafungwe miaka 50. Kama kumpa mtoto wa shule mimba anafanya miaka 30, basi wauwaji miaka 60 au wasitoke wasitoke kabisa jera.

  • @GiftAbduly
    @GiftAbduly 7 годин тому

    Hao ni wamikopo au majambazi jmn khee polen sana ilamajiran mnasikia vurugu hata kutoka jmn na nyie oya laki 2 niyakuua mtu kweli

  • @yusufsingano6202
    @yusufsingano6202 2 години тому

    20:124 gur'an

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 8 годин тому

    Mambo Nimengi Kukopa Nimtihani Nakukopesha Nimtihani. Kwaufupi Umauti Nihaki Hivyo Hizi Ninjia Tu Zakufika. Hivyo Tujipange Hakuna Namna Kukikwepa Kifo ila Namna Yakujiandaa Naumauti.

  • @gervaslukaya
    @gervaslukaya 5 годин тому

    Sheria ipo polisi watatenda haki apo watafungwa akuna kitu cha kuchukua sheria mkononi kama wanadai ndio mfuate mtu kibabe mbona vikundi vingine aviko ivyo

  • @charlesmakuri792
    @charlesmakuri792 7 годин тому

    Mfu Mara nyingi ndio mchokozi ila kwa sasa kafa kila mtu atamtetea ila kunawatuna watu huwa ni wababe kulipa deni kazi,na haswa wao pia walishambuliwa

  • @RoseMinjar
    @RoseMinjar 2 години тому

    Kwanza tu jina la kampuni ni la kihuni OYA na ndio maana hata vijana wake ni wahuni kampuni inatembea na mapanga!!

    • @irhamseif
      @irhamseif 15 хвилин тому

      Sio mapanga tu na fimbo kibao kwenye buti wanapiga sana watu hao sasa limewakuta jambo

  • @PatrickDavid-l3p
    @PatrickDavid-l3p 4 години тому

    Mm nasema ukweli oya awa watu atar wanaga stara mkopo wana kubembeleza siku moja ukikosa kihama hii kampun ata iwe ya mkubwa gan ifungwe na ifirisiwe.

  • @odhiambojames8578
    @odhiambojames8578 2 години тому

    Leo ndo nimeelewa maana ya kaisha damu.Wamemkausha jamaa

  • @subirarichard3236
    @subirarichard3236 Годину тому

    Nihatari kinamama punguzeni kukopa mikopo af hamshirikish waume zenu!

  • @mohamedmmubullah1147
    @mohamedmmubullah1147 7 годин тому

    Hao nisawa tu naujambazi aiwezekani kuingia makubaliano na wake za watu na kupeana pesa kwa kuto muhusisha mume

  • @dorahy1579
    @dorahy1579 8 хвилин тому

    Wafungiwe biashara hawa OYA, ni Washenzi kabisa hawana usitarabu. Kwani mtu anaitwa kwa sababu tu ya laki 300,000 ya simu. Washenzi sana hawa wanyanganywe licence ya biashara. Yaani haya mambo Yaana uchungu sana. Samia funga hizi biashara chora chora

  • @NadhiraNa-vm5hs
    @NadhiraNa-vm5hs 8 годин тому

    Ukweli tusiseme mke ndokamponza Mume nainawezekana alikuwa ajui Mume nahao walijua labda kamficha ndougomvi wote wasinge mjimiy uyoo

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 8 годин тому

    Kwan hiyo Hoya ndo takataka gan
    Serikal ifutilie mbal huo uchafu

  • @bakarikanka12
    @bakarikanka12 6 годин тому

    Serikali inajua fika Hali ngumu iliyopo kwa raia wake wengi wanaishi chini ya Dola moja kwa siku hivyo kuruhusu hizi taasisi zisizo angaliwa vizuri na serikali nikuruhusu Hali itokee,suluhisho hii taasisi/kampuni ifutwe kabisa isionekane kwani Bora wameua wengi wamenyanyasika

  • @tanzaniamycountry9308
    @tanzaniamycountry9308 8 годин тому

    Hawa watu ni wahun Hawa
    Lak inatoa mtu roho
    Au Hawa ndo wale wasiojulika

  • @ShekhaHamad-r9t
    @ShekhaHamad-r9t 8 годин тому

    Hizi kampuni zisizo na too Sheria za ukopeshaji zifungwe matapeli wamekuwa wengi mitandaoni selikari inawaona inawaachia sasa wamefikia hatuna ya kuua si Haki kabisa wanachokifanya inabidi lifanyiwe kazi kwa wakopeshaji wote isiwe sababu kuwanyanyasa watu kwa umasikini wao.

  • @Jeff_Tz
    @Jeff_Tz 9 годин тому

    Dah......😥

  • @GemmaMnyanyi
    @GemmaMnyanyi 8 годин тому

    Serikari inayowapa leseni iwape masharti rafiki mbona benki kubwa au taasisi zingine hawafanyi mauwaji

  • @Amospius-r3y
    @Amospius-r3y 2 години тому

    kwanza tu jina la kampuni yenyewe

  • @Thomaskulikiza
    @Thomaskulikiza 9 годин тому

    Ninyi wamama ndio mnasababisha mikopo kibaoo alafu majibu ya kipuuzi kwhy ndio hapo umefrahi mjinga sana

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 годин тому

    JAMANI SIO KUNYAMAZA KWA HAYAA..WAMEMPIGA HADI HII SIO WAKUMWACHIA.WENYEWE NI NYINYI..PIGENI KELELEE MATUKIO KAMA HAYAA WAJE RAIA WENGII

  • @silvesterrichardhelenya1319
    @silvesterrichardhelenya1319 5 годин тому

    Yaani mm mwanamke akijichanganya akakopa bila mm kujua imekula kwake siingilia kama kumbeba wambebe

    • @irhamseif
      @irhamseif 14 хвилин тому

      Shida wasipomkuta wanalazimisha kuingia ndan kubeba vitu

  • @jasiriasili3694
    @jasiriasili3694 6 годин тому

    Hao mbwa mnawalea kama kuna atu wamekopa wasilipe kabisa na wakija kudai nanyiny8 uwenu shetan kabisa hao

  • @odhiambojames8578
    @odhiambojames8578 2 години тому

    Kausha damu

  • @SmilingAnacondaSnake-sp8ct
    @SmilingAnacondaSnake-sp8ct 4 години тому

    Hii kampuni ya oya inaamilikiwa na nani kwanza tunatakiwa tujue

  • @msafirimaulidi5054
    @msafirimaulidi5054 7 годин тому

    Apo wanaodaiwa awatolipa tena kiufupi oya kapata asala ya nguvu na ni bora asilipwe

  • @Ramadhanikifigo
    @Ramadhanikifigo 6 годин тому

    Ao oya balaa masuguru chpch kuuwa mama alikopa alipowaona alikimbia wamemfukuza mana ilibdi single kwenye Lambourn last maji wanakijiji idiot waliokuja kumuokoa na kumlipia deni

  • @efraimjohn4956
    @efraimjohn4956 9 годин тому +1

    wana mpaka mapanga

  • @yohanasimon4671
    @yohanasimon4671 4 години тому

    Mbona wao hamwahoji au wapi lokap pia bos wao si yupo aseme

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 годин тому

    HIO KAMPUNI IWE CHINI YA POLISI.KUFATA RAIA NYUMBANI KWAKE.KUMPIKA HADI MAUTI 😅😅 SHERIA NA VITUO VIPO

  • @darajalakidatukilomgi2362
    @darajalakidatukilomgi2362 8 годин тому

    Oya wafilisiwe pesa walipwe familia, hamuwezi kutoa uhai wa mtu kwa deni

  • @claudia1500
    @claudia1500 7 годин тому

    Kwani BOT iko wapi kwanini hii kampuni haifungiwi? Mbona inafahammika kwa kudhalilisha watu? Na bungeni ilishatajwa?? Au ni ya watu wakubwa???

  • @JaluoOdera
    @JaluoOdera 3 години тому

    Hata kama ni deni Ina utaratibu wa kudai hi ni kossa

  • @aminamzuri9933
    @aminamzuri9933 7 годин тому

    Oya nawaona wanavyodhalilisha ila wamama hawaach wanadhalilishwa hii kampuni

  • @KawangaHamza
    @KawangaHamza 2 години тому

    ukumu ipo aa apa. na ss nyie oya mkija mtaaní tuwapige

  • @injilinjeyakutazakanisa
    @injilinjeyakutazakanisa 9 годин тому +1

    Je, laki 2 inafaa kuhatarisha maisha ya mtu?

    • @ZakayoYohana
      @ZakayoYohana 7 годин тому

      mjingA wewe unaona lakimbili nindogo acheni kukopa

    • @injilinjeyakutazakanisa
      @injilinjeyakutazakanisa 7 годин тому

      @@ZakayoYohana Mjinga huona ujinga wake pitia wenzake. Neno: Bibilia Takatifu Luka 12:15-21 “Jihadharini na jilindeni na aina zote za choyo. Kwa maana uhai wa mtu hautokani na wingi wa mali aliyo nayo.” Sasa kama wewe unaona ni nyingi kugharimu uhai wa Mtu jipime

  • @MagangaKaombwe-g9v
    @MagangaKaombwe-g9v 5 годин тому

    Mwandishi nipo tabora ila oya wanatabia mbaya sana ninaushuuda

  • @KassimNassor-h9m
    @KassimNassor-h9m 56 хвилин тому

    Ww mwanamke kumamako sura ngum kama mkundu wako

  • @fatmaahmed8637
    @fatmaahmed8637 6 годин тому

    WAUWAJI HAO SIO PESA..WAULIWE NA WAOO TU

  • @nurdinmfamau3493
    @nurdinmfamau3493 8 годин тому +1

    Oya Niwakorofi Mnakopa Yanini

  • @RehemaKipanga-k4l
    @RehemaKipanga-k4l 8 годин тому

    Yaani hivi vigari vya oya vinazunguka hadi usiku wa manane ni shidaa

  • @LeonidasStephano
    @LeonidasStephano 8 годин тому

    Angalizo tu tukiwaona mtaani tunachoma moto gari zao

  • @HusnaMohammedramadhan
    @HusnaMohammedramadhan 8 годин тому

    Wanawake acheni mikopo ili kushindana kimaishaa rizika naunachokipataa onaa Sasa

  • @maximillianmayani5119
    @maximillianmayani5119 6 годин тому

    Waende na musoma wakafanye huo ujinga

  • @ThomasMichael-w3b
    @ThomasMichael-w3b 6 годин тому

    Walitakiwa washambuliwe wauwawe na wao