VYAMA 13 WAKUTANA NA CHADEMA WATUPIANA LAWAMA KUSHIRIKI MGOMO | WAOMBA UCHAGUZI USOGEZWE MBELE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 38

  • @frankmaeda4284
    @frankmaeda4284 Місяць тому +1

    Jamaa njaa tu! Anafikiri vyama vya upinzani ni Maua ya kuchekelea. Kwa kuwa harusini yapo na msibani yapo . Vijitafakari Vijitafakar

  • @epafraditopajenga4650
    @epafraditopajenga4650 Місяць тому +3

    Kwenye upinzani halisi ni chadema tu,wengine feki

  • @mpeligwamoyo4254
    @mpeligwamoyo4254 Місяць тому +2

    Hatukupendi sana,Wala usijisumbua na takataka zako

  • @Burange666
    @Burange666 Місяць тому +1

    Vyama vya ccm hivyo wamevitengeza vyama fake uliona wapi vyama hivyo ni mtu na mkewe au mtu na basha wake tu, vyama halali na vikubwa ni viwili tu navyo ni Chadema na ACT wazalendo tu na ccm siyo Chama halali ni Chama kinachotawala kwa mabavu kwa nguvu ya jeshi siyo Chama ni jeshi hilo.

  • @FloridaAdelinus
    @FloridaAdelinus Місяць тому +1

    Nimeelewa kwamba vyama 13 vyote vinawaza jambo moja hakuna tofauti hata moja, kwa hiyo chama chao kinaitwa vyama 13

  • @FikiriniMwaluko
    @FikiriniMwaluko Місяць тому +1

    Tena nawashauri chadema msikubali kuungana watawahalibia bule misimamo wenu bule

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z Місяць тому +1

    Kwanza mushindwe kwajina la yesu kuungana na nyeeeee hatutaki achana nae mujinga mweusi

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi Місяць тому +1

    Wasaliti mapandikizi mapropagandist kazini😂😂

  • @NikasiMbuya
    @NikasiMbuya Місяць тому +1

    We ni kipofu na utaongoza vipofu wenzio kwenye chama chako

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 Місяць тому +2

    Huyu jamaa kweli hamnazo!! Kwa sera zipi aweza kuingia mtaani na kushawishi wananchi kuungana naye kama siyo umamluki?

  • @melch3097
    @melch3097 Місяць тому +1

    Takataka

  • @willsoniissaya
    @willsoniissaya Місяць тому +1

    Chawa pro

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso Місяць тому +1

    Hivi hivyo vyama vina wanachama wangapi Tanzania bara? Kipo mikoa mingapi?na vimeshawahi kupeleka wabunge wangapi bungeni?

  • @danielkanso
    @danielkanso Місяць тому

    Vyama kumi na ngapi mimi nikiulizwa kuhusu vyama ambavyo vinafanya kazi Tanzania nitawaambia ni chama cha mzee wa ubwabwa , cdm, na act kidogo na kingine ni ya kijani ambayo inahubiri amani ila mifukoni wamebeba visu na mitutu basi

  • @RahimMallya-fh9zc
    @RahimMallya-fh9zc Місяць тому +1

    Watanzania awakuJui wewe na chama chako, unatumika kuwavuluga wapinzani wenzako, ccm ndio mnae taka atoke madarakani

  • @isackphilipo9870
    @isackphilipo9870 Місяць тому

    Nyie mmesha wekwa mfukoni Chadema ndio chama pekee cha upinzani

  • @AnnaFelix-p1z
    @AnnaFelix-p1z Місяць тому

    Enilodindo nini mupo wangapi bendela Iko wapi na ofisi yenu yachama Iko wapi chawa wewe tulia 2 akili ninyeusi kama shati lako

  • @wisdomfolks
    @wisdomfolks Місяць тому

    Hatuwatambui hata jina la chama ulicho taja amna anayekijua

  • @OscarBethel
    @OscarBethel Місяць тому +1

    Nyie hamko pamoja wacheni uwongo mangapi chadema wamepitia nyie mmekaa kimya na kuwapiga madongo

  • @frankmaeda4284
    @frankmaeda4284 Місяць тому

    Nafasi za uandikishaji zinatolewa Kama hongo,kwa wale wanaoweza kushurutishwa mf walimu😢

  • @tibbsminja2575
    @tibbsminja2575 Місяць тому

    Naona umetumwa na wenyewe! Sasa kama.ndivyo unajihesabu na wewe chama hai!

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa Місяць тому

    Huyu mi namujua vizuri ni ccm hawa

  • @JumanneGibson
    @JumanneGibson Місяць тому

    Hilo dudu la NLD ni chama wa ccm

  • @FredyMbughi-o5y
    @FredyMbughi-o5y Місяць тому

    Vyama 13 ni vyamatukio ofisi hata hazijulikan

  • @HonestMchau
    @HonestMchau Місяць тому

    Sio lazima kuunganq

  • @ezekielmabwai482
    @ezekielmabwai482 Місяць тому

    VYAMA MACHAWA. HAWANA OFISI, BENDERA YAO HATUIJUI, MAJINGA, PUMBAVU. VYAMA VYA MFUKONI! SHENZI TAIPU. CHAMA DUME NI CHADEMA TU
    CCM WOTE DADAZ, NA NDO MAANA WANAOGOPA CHADEMA KAMA KOBOKO(NYOKA HATARI). HAYO MAVYAMA MENGINE NI MAJI TAKA??

  • @JacobMavika
    @JacobMavika Місяць тому

    Sasa hawa NLD watapata mtaa hata mmoja?

  • @StephenMpallange
    @StephenMpallange Місяць тому

    Je vyama hivyo vinavyoitwa kwa jina 13 jina na muungano wao umesajiliwa lini na Msajili wa Vyama vya Siasa?Mbona umoja wao sio Official?

  • @MjuniLaulian
    @MjuniLaulian Місяць тому

    Kama una uwezo wa kuendesha chama basi Baki na uchawa wewe sio mpinzani ni njaa na majungu

  • @goodluckswai7496
    @goodluckswai7496 Місяць тому

    Huyu ni njaaa chawa

  • @HamisiSamweli
    @HamisiSamweli Місяць тому

    Huyu mwamba wa chadema kaua ase ameweka ukwel mezan watanzania mshindwe kumeza

    • @danielkanso
      @danielkanso Місяць тому

      Jama ni mtulivu sana anajibu maswali kwa utulivu sana

  • @kigesomichael8061
    @kigesomichael8061 Місяць тому

    Huyu katokea wp jamn

  • @willsoniissaya
    @willsoniissaya Місяць тому

    Yani uyujamaa chenga kwer kwer

  • @NatashaJonhson-es8si
    @NatashaJonhson-es8si Місяць тому

    huyomwachama nrd.nimwongo.sana