PART ONE ;BINTI ALIYESEMA AMECHUKULIWA MTOTO KUMBE ALIJIFANYA NI MFANYAKAZI WA NDANI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 27 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 55

  • @CalisterMushi
    @CalisterMushi Рік тому

    Mama kweka na Binti yako,mnaupendo wa Agape! MUNGU awatunxe mnoo,msameheni bure MUNGU atakulipa zaidi ya hicho ulivhokifanya♥️♥️🙏

  • @shakilamasoud2983
    @shakilamasoud2983 Рік тому +2

    Pole Mama, tusamehe tulio kuzania vibaya.

  • @rosenaheka5137
    @rosenaheka5137 Рік тому +2

    Kijana wako siyupo mama Kweka. Ww mwambie aseme alizaa na Zulpha au Fatuma. Ili muweke mambo sawa

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Рік тому +2

    Wah tz mumetushinda kweli Tena kwa kila kitu mwijaku alisema 🇰🇪🇰🇪

  • @FaizaSalim-y6v
    @FaizaSalim-y6v Рік тому

    jamani mimi kama mzazi mwanamke aliezaa akipimwa na daktari anajulikana musingepata shida ya kutafuta mama mzazi 🇰🇪❤

  • @winpoly6785
    @winpoly6785 Рік тому +4

    Jana nilisema hichi kitu🤔….watu wengi tuliamini upande wa binti kwa sababu ndie mlalamika…kumbe binti yeye alijua mtt wake atapata malezi mazur

  • @happylemboto9103
    @happylemboto9103 Рік тому +4

    Nyie kuna shida hapa siamini kama fatuma ndie aliezaa huyu mtoto

  • @sebastianthadeus5270
    @sebastianthadeus5270 Рік тому

    Asante mama una hekima uliyopewa na Mungu!! Ubarikiwe sana

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 Рік тому

    Mama Pole sana mungu mwenyewe ata kulipa mama yangu mzazi

  • @elizabethkiyaya
    @elizabethkiyaya Рік тому

    Mama nenda hosptl aliojifungulia huyo mama wa mtoto utapata ukweli Hadi alipo alipo pimiamimba ukweli upo Mungu akubalki mama

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Mtihani yarabi wasaidiye mabinti zetu maana wamezidi kusema uwongo

  • @victoriarwerengera4831
    @victoriarwerengera4831 Рік тому +1

    Jamani fuatilia maoni yangu.....nilisema hawa mabinti wa kazi huwa siwaamini kabisa

  • @mackarioussmakuri6147
    @mackarioussmakuri6147 Рік тому +1

    Kulingana na hekima uliyo nayo mama kweka hebu msaidie huyo binti alee huyo mtoto maana inaonekana kua hata angepata mnunuzi wa mtoto ange muuza dunia imefikia pabaya

  • @basilisamsaka8469
    @basilisamsaka8469 11 місяців тому

    Jmn mleeni tu huyo bint na Mtt

  • @annemshunga9598
    @annemshunga9598 Рік тому

    Kijana mwenyewe Yuko wapi

  • @JescarMalisa-rq2pb
    @JescarMalisa-rq2pb Рік тому

    Part 2 please

  • @kessikahawamango4114
    @kessikahawamango4114 Рік тому +1

    Hi ni gharama ya ukafiri wenu utapokeaje mtoto wa kuambiwa kuwa ni mjukuu wako huyo mwanao ulifunga ndoa wapi na lini. Sisi kwetu kwenye Uislam ujinga kama huo hautokei kabisa

  • @gilliansiara3324
    @gilliansiara3324 9 місяців тому

    Chuga shkamoo

  • @justinmkumbwa1966
    @justinmkumbwa1966 Рік тому

    Akapimwe itajulikana mama

  • @elizabethswai7777
    @elizabethswai7777 Рік тому

    Kazi ipo,Dunia inakwemda kwa kasi mno

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому

    Kwahiyo kijana wa mama Kweka hajawahi kumwona girl friend wake akiwa mjamzito????au na yeye ni mnufaika ktk hili dili!!! Hii movie ni tamu.

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 Рік тому +1

    Huyu binti nimpuuzi sana,alishindwa nn kusema ukweli wakati mtoto alimzaa yy.Aunalitishiwa nafatuma.Hwa mabinti niwshovyo sana,nahyo fatuma inaonekana fatuma alikula pesa nyingi sana zahyo mwanaume.Ndiomana akatafuta chakuzingizia.kweli kunawanawke matapeli jmn.Hyo fatuma nikiboko

  • @LightinessTarimo-ln3je
    @LightinessTarimo-ln3je Рік тому

    Hajakosea kwa bint farao yalisha tokea

  • @sylvestercameo6263
    @sylvestercameo6263 Рік тому

    Hawa wasichana ni viruka njia, hawana ramani ya maisha.

  • @AsiaBakari-rb2ok
    @AsiaBakari-rb2ok Рік тому

    Naomb tu kuuliza je huyo wifi yenu alikuwa na mimba ya huyo mtot wa mama kweka ?? Na kama alikuwa na mimba imekuaje hapo atengeneze hii kitu mimi sielewi jamn naomba nilale zangu nimechoka

  • @SamwelMahanyu
    @SamwelMahanyu Рік тому

    Ama kweli usilolijua n kama usiku wa giza hapo kuna jambo 1 limejificha kat ya fatma na gili hio ikowaz hao wote wanaongea ila ukwel upo kat ya 2ma na gili

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 Рік тому

    Mungu atakulipa mpe mtoto wake

  • @emanuelpiniel5277
    @emanuelpiniel5277 Рік тому +1

    Acheni kuoga mambo ya mitandao na story za Facebook mkaleta kwenye maisha halisi

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 Рік тому +1

    Mama pole y iyo mkwe ni taperi

  • @kwampalangetv5511
    @kwampalangetv5511 Рік тому

    Huyo mtoto atakua nimjukuu kabisa

  • @milley7185
    @milley7185 Рік тому +1

    mnajifanya mama musa ake wa hadithi za biblia😂...duh amefaidi huyoo mtoto pesa y mke wa faraoooooooo

  • @joycemlay5762
    @joycemlay5762 Рік тому

    Fatuma kwann amekimbia?

  • @laurencemassawe9100
    @laurencemassawe9100 Рік тому

    Wanawake ninoma Fatuma alitaka kupiga ela kwa mama mkwe

  • @SweetyAllan-rf3lx
    @SweetyAllan-rf3lx Рік тому

    Jmn mama pole Sana lkn kwa ushaur wngu nendeni mkapime DNA kwa sababu mtoto Kama anafanana na kijana wako inawezekana fatuma amecheza dili na housegirl ili achukue mtoto coz ameshakuwa

  • @Zinab-g1i
    @Zinab-g1i Рік тому

    Mama kweka mpe mtoto wake Bint huyo uchungu wa mtoto ni mzazi aliyepata uchungu

  • @SaraMduma
    @SaraMduma Рік тому

    Baba.ukovizuri.kwataarifazako

  • @amiribakari2528
    @amiribakari2528 Рік тому

    Kwani kijana hayupo akasema kazaa na naniii?

  • @giftkalenge418
    @giftkalenge418 Рік тому

    ivi nyi ilikuwaje huyo Fatima aache mtoto ambaye anahitajika kunyonya?

  • @barakamanga5502
    @barakamanga5502 Рік тому

    I'm so sorry maana Jana nililaum kwa kumkataza dada asichukue mwanae kumbe ni dili, nimbaya saana dili hili

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu Рік тому

    Kama ndie mama mzazi wa huyo moto mpeni mwanae, kwann mnakatalia mwanae ?, Mpeni mototo, mengine baadae

  • @yukundapeter8200
    @yukundapeter8200 Рік тому

    Jamani wafungwe maisha

  • @neemamasudi7988
    @neemamasudi7988 Рік тому

    Msi mlahumu huyo msicha , mlahumu mtoto wetu ndiye muongo

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Рік тому

    Pole sana Mama Kijana wako mtu mzima Mbona hatoi mwanga ili kuondoa utata? Baba wa Mtoto na Mama mhusika waweke wazi Dawati Polisi ili kujali usalama wa huyo Malaika maana wazazi wote wawili ni wahusika wakuu kimalezi.Usalama wake ni wazazi wote wawili wawajibike ikiwa ni pamoja na Mtoto kunyonya kikamilifu maziwa ya Mama

  • @Gracemima
    @Gracemima Рік тому +1

    Ataaminiwa Nani? Atakaye aminiwa ni mama Kweka mama MWENYE uwezo. MWENYE mtoto atasurubiwa anaonekana ana woga usoni kwa kutishwa. Mama ampe mtoto huyu dada, naona mama Kweka bado anamubembeleza. Haki kwa muzazi. Mpeni mtoto wake. Mbona mama Kweka bado hajampa mtoto wake? Mpeni huyu dada mtoto wake. Sasa wanamugeuzia dada MWENYE mtoto kesi. Ni masikini masikini hana haki Tanzania. Kwa sasa imejulikana mtoto sio mwijukuu wa mama Kweka. Mpeni mtoto wake. Mama Kweka hana cha kueleza mtoto sio mwijukuu wake. Pesa isitumike kumunyima huyu dada haki.

    • @winpoly6785
      @winpoly6785 Рік тому +1

      Hajanyimwa haki yake ushahidi aloutoa binti mwanzo ndio unaomfunga

    • @kwampalangetv5511
      @kwampalangetv5511 Рік тому

      Huyo bint muongo

  • @AmosRugaimukamu
    @AmosRugaimukamu Рік тому

    Bibi wewe nitapeli ,mpe moto, habali yamalipo usitueleze, unadai laki tatu, kwani mliuziana ?, mpe moto, wewe nitapeli, alafu unaonekana unapenda pesa, pamoja kwamba sio mjukuu wako lakin hina mamlaka yakuishi namtoto palipo naridhaa ya mzazi judoka, mpe moto kwanza

  • @aminaramadhan3815
    @aminaramadhan3815 Рік тому

    Mpeni motor wake

  • @annamachaki3644
    @annamachaki3644 Рік тому

    Msimuonee huyu msichana ni muoga

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 Рік тому

    Kwann yule girl friend(Fatuma)alikuwa anaacha mtoto mchanga vile kwa house girl???na kwann huyu house girl(mama mzazi wa mtoto)amemwachisha mtoto mchanga ziwa??kwa hiyo mama Kweka na Kijana wake walikuwa tayari wabaki na mtoto mchaga bila mama kwa sababu zipi za msingi?????