MKUTANO WA PAUL MAKONDA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA / RIPOTI YA MIEZI SITA YA MKUU WA MKOA ARUSHA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 25 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 20

  • @kimalinganomhelela8377
    @kimalinganomhelela8377 8 днів тому +8

    Nampongeza sana Makonda kwa kukubali kuhojiwa kwa uwazi namna hiyo.

    • @MrLemunge
      @MrLemunge 7 днів тому

      Hiyo gia ya kujisafisha hakuna majibu hapo

  • @OmmyJames-xn7ji
    @OmmyJames-xn7ji 8 днів тому +5

    MAKONDA THE GOAT 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @iamthefarmerceo2316
    @iamthefarmerceo2316 8 днів тому +6

    Sasa nimeona namna Kikeke an Zembwela wanajua hii kazi. Tamu sana aisee🎉

  • @SuleAmber-lw2tx
    @SuleAmber-lw2tx 8 днів тому +7

    Ila Makonda 🔥🔥 namuombea aje kuwa kiongozi wa juu zaidi siku moja

  • @StevenCharles-w6t
    @StevenCharles-w6t 9 днів тому +6

    Kaka mukuu wa mkoa wa Arusha unatisha mungu alikuona tupe madini❤❤❤❤❤

  • @NgorongoroConservationArea
    @NgorongoroConservationArea 8 днів тому +4

    Safi sana

  • @straton8797
    @straton8797 8 днів тому +5

    Nimependa kitu hiki kilichofanyika, pongezi kwa Mkuu wa mko wa Arusha Mh. Paul Mkonda pamoja na Waandishi wa habari
    Jambo hili ni jema sana kwani linatupa fursa wananchi kufahamu mambo mazuri yanayofanya na viongozi wetu
    Waandishi wa habari tusaidieni kuchochea mijadala kama huu.

  • @eliasnicolaurobath6864
    @eliasnicolaurobath6864 5 днів тому

    Mimi namwomba mungu akuzidishie miaka mingi hapa duniani na upate ulinzi wa malaika wa mungu wakulinde milele ameeeen

  • @martinsokoi397
    @martinsokoi397 8 днів тому +6

    Huyu jembe hotuba nzuri anatoa kichwani hasomi karatazi anabeba hotuba ❤❤huyu ni kichwa kweri kweli.

  • @PhadoGhuliku
    @PhadoGhuliku 9 днів тому +5

    Kikeke❤❤❤

  • @AgathaEmanuel-dv3vp
    @AgathaEmanuel-dv3vp 7 днів тому +2

    kwisha mkuu 🔥

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 8 днів тому +2

    Asante studio 🎙️🎙️🎙️🎙️

  • @mussababu5623
    @mussababu5623 8 днів тому +2

    Crown Media hasa kupitia KIKEKE mlijioanga kuuliza Maswali mazuri lakin inaonekana kama huo mkutano ni Igizo la Isidingo lisilokuwa na lengo la kuujulisja Umma taarfa sahihi bali n dodoki la kujtakasa.Makonda namkubali kwa utendaji wake wa ubunifu lakin kwa hili kutokujibu Maswali mahsusi na kuzugazuga inaonekana umewadharau maandishi walioenda kumhoji.Waandishi wa Tz wamekuwa kama wa Media za Kenya watanzania weng wangeerevuka.

  • @shadrachkamyori9911
    @shadrachkamyori9911 8 днів тому +2

    Makonda apelekwe Kigoma jamani

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 9 днів тому +2

    Ungekuw wakat wa magu hiyo roho nzur ya jamaa hamna

  • @gekstamina8332
    @gekstamina8332 8 днів тому +1

    mtu anasema CCM naipenda then watu wanapiga makofi, kuna shida kubwa sana

  • @AngelJoseph-charllo
    @AngelJoseph-charllo 9 днів тому +2

    Hapa ni nYumbani

  • @nassoloabdala8836
    @nassoloabdala8836 9 днів тому +2

    🇲🇿🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @paulombay6884
    @paulombay6884 9 днів тому +1

    Hizo haki wakat wa magu ulivowasingizia kesi kina gwajima na mbowe ilikuwaj