"MAGUFULI AMESOTA SANA/ALIKUA AKIUZA SAMAKI NA MAZIWA KIJIJINI" - MZEE ALIYESOMA NAYE ASIMULIA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • 𝕎𝔸𝕋ℂℍ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝕋𝕍 📺
    𝗔𝗭𝗔𝗠-𝟰𝟭𝟭 | 𝗗𝗦𝗧𝗩 𝟮𝟵𝟲 | 𝗭𝗨𝗞𝗨-𝟬𝟮𝟴
    𝗦𝗧𝗔𝗥𝗧𝗜𝗠𝗘𝗦-𝟰𝟰𝟰 & 𝟯𝟯𝟯 | 𝗖𝗢𝗖𝗢𝗡𝗨𝗧 𝗧𝗩-𝟮𝟬 |𝗗𝗼𝗱𝗼𝗺𝗮𝗖𝗮𝗯𝗹𝗲-𝟭𝟭𝟯
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝘁𝘃/
    𝕃𝕀𝕊𝕋𝔼ℕ 𝕎𝔸𝕊𝔸𝔽𝕀 𝔽𝕄 📻
    𝟴𝟴.𝟵 𝗗𝗔𝗥 𝗘𝗦 𝗦𝗔𝗟𝗔𝗔𝗠 📻 | 𝟭𝟬𝟰.𝟭 𝗗𝗢𝗗𝗢𝗠𝗔 📻 | 𝟵𝟰.𝟱 𝗔𝗥𝗨𝗦𝗛𝗔 📻
    𝔽𝕆𝕃𝕃𝕆𝕎 𝕌𝕊 𝕆ℕ:
    𝑰𝑵𝑺𝑻𝑨𝑮𝑹𝑨𝑴: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗶𝗻𝘀𝘁𝗮𝗴𝗿𝗮𝗺.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑻𝑾𝑰𝑻𝑻𝑬𝑹: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘁𝘄𝗶𝘁𝘁𝗲𝗿.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺/
    𝑭𝑨𝑪𝑬𝑩𝑶𝑶𝑲: 𝗵𝘁𝘁𝗽𝘀://𝘄𝘄𝘄.𝗳𝗮𝗰𝗲𝗯𝗼𝗼𝗸.𝗰𝗼𝗺/𝘄𝗮𝘀𝗮𝗳𝗶𝗳𝗺
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2020 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 47

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +10

    Mungu awaongoze wasafi kwa kazi mliojitolea. 🙏🙏

  • @hackcenturytv2532
    @hackcenturytv2532 3 роки тому +12

    Safi sana tulimshauri agombee tulipomuona ana ANA KIPAJI CHA UONGOZI
    sio wengine tunaowachagua eti kwasababu "WANA KIPAJI CHA UONGEAJI"

    • @veronicdaniel2018
      @veronicdaniel2018 3 роки тому

      Dr John lilikuwa jembe ambalo halitawahi kutokea itakuwa muda mrefu.

  • @adijaniyonkuru9731
    @adijaniyonkuru9731 3 роки тому +7

    😭😭😭 tutamkumbuka kwa mengi 🙏🙏🙏

  • @jamesjohn9160
    @jamesjohn9160 2 роки тому +1

    The Hello Our loved Dr. John Pombe Magufuli, The President who worked for the people

  • @yustinasindamwaka8072
    @yustinasindamwaka8072 3 роки тому +2

    Wasafi mbarikiwe sana

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 3 роки тому +1

    Maashallah mungu amlaze mahali pema ameen 💔💔💔💔💔🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @asmaafamau8307
    @asmaafamau8307 3 роки тому +2

    Mngu amueke pema peponi amiin ndio alikuwa anasikiza Sana wale wanyonge na kuwafanya wa jione Wana haki

  • @nellyflo9736
    @nellyflo9736 3 роки тому +7

    Kumbukeni uongozi hutoka kwake mola...na Marehemu Pombe.J.Magufuli..Alikua Ameitwa kama wito...ndio maana alikua..amechukua nchi ya Tanzania..kama..nyumba yake na kuwalea watanzania kama watoto wake,,,,,wacha Baba alazwe pema

  • @kambamazig02024
    @kambamazig02024 3 роки тому +7

    Alikuwa na maono ya mbali "vision" maana alitaka kuiona Tanzania inasonga mbele.

  • @nativeinfotv9620
    @nativeinfotv9620 3 роки тому +1

    Kweli alipendeka

  • @liverpoolfootballclub9985
    @liverpoolfootballclub9985 3 роки тому +6

    Dah mzee anaongea Kama magufuli

  • @lil_yn982
    @lil_yn982 3 роки тому +8

    Wasafii huyuu mtangazaji yuko makini sanaaaa mkizidi kumpa traingiii hata lilyommy hatogusa

    • @davidobonyo7558
      @davidobonyo7558 3 роки тому +1

      We huwezi kumlinganisha Charles na Lil Ommy

    • @musakhalid1274
      @musakhalid1274 3 роки тому

      Yupi mzur Zaid??

    • @zeonlytv3704
      @zeonlytv3704 3 роки тому

      @@musakhalid1274 lil Omy ni kwenye burudani ila hyu kwenye siasa ko huwez kuwafananisha

  • @estasage498
    @estasage498 3 роки тому +1

    That why I hate politics. He is Dr. John Magufuli ‘s senior but he is still alive because he didn’t gets involved in politics. Good grief.

  • @abdikarimhaji7506
    @abdikarimhaji7506 3 роки тому +1

    Real President

  • @hamissitta7062
    @hamissitta7062 3 роки тому +5

    Duuu! Binadam tunatoka mbali xana!

  • @haarunsaidabdillahi4082
    @haarunsaidabdillahi4082 3 роки тому +1

    Poleni Watanzania. Tangu amefariki rais Magufuli hatujasikia sauti ya mwanaharakati Cyprian Musiba ! Mwengine ni " Mwalimu wa neno la mungu". Wawili hawa walimsifu sana Magufuli alipokuwa rais. Mbona wako kimya?

  • @kasibalisaid7036
    @kasibalisaid7036 3 роки тому +2

    Sawa.mwanahabari wiliam ametulia sana ana uwezo mzuri sana wa kuendesha mjadala ..pongezi hasa nimefarijika sana na kiswahili fasaha

  • @jumaasumani4493
    @jumaasumani4493 2 роки тому

    Me

  • @nahyialetomia9284
    @nahyialetomia9284 3 роки тому +3

    Poleni kwa msiba

  • @redtrueeyes2683
    @redtrueeyes2683 3 роки тому +4

    Wa kwanza kwa comments 😩😩😩😩

  • @emmanuelmohammed1294
    @emmanuelmohammed1294 3 роки тому +1

    Mzee anajua kujibu maswali🙌🙌🙌

  • @abednego3876
    @abednego3876 3 роки тому +4

    Mwandishi una maswal ya hovyo

  • @danielkimario3409
    @danielkimario3409 3 роки тому +1

    roho ya magufuli bado inatuongonza

  • @jamesmsafiri3436
    @jamesmsafiri3436 3 роки тому +1

    MUNGU ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi

  • @ZMBjr
    @ZMBjr 3 роки тому

    5:15 Mlanguzi na mchuuzi ni vitu viwili tofauti. Mlanguzi ni muuza bidhaa adimu na isiyopatikana kirahisi. Ananunua kwa bei ya magendo na kuuza bei juu tena kwa KIFICHO. Mchuuzi ni muuza bidhaa inayopatikana na kuiuza bila kificho. Kwa hiyo alikuwa muuza samaki

  • @barakaalaij628
    @barakaalaij628 2 роки тому

    Mbona mzee huuu wanafanana na JPM jamani

  • @lil_yn982
    @lil_yn982 3 роки тому +2

    Kaka magu alikua makamu tenaaaa eeeehh???

  • @gloriamasaka7635
    @gloriamasaka7635 3 роки тому

    Pole wote Huzuni jamani MUNGU atusaidie tujali wanyonge na wenye mahitaji yatima wajane na wageni. Mathayo 25 na ISaya 58 inatufundisha kujitayarisha kwa hukumu jamani ili nasi tuwe mbinguni siku moja

  • @hamisikitiku2544
    @hamisikitiku2544 3 роки тому +1

    Magufuli lala salama jembe!

  • @isayaologotu8125
    @isayaologotu8125 3 роки тому +3

    Magufuli chato

  • @salmakea7797
    @salmakea7797 3 роки тому +2

    Nilidhani ni kakake magufuli

  • @mbutuwaangwaan1130
    @mbutuwaangwaan1130 3 роки тому +3

    Hustler kama dp william ruto

    • @kaulimbiu181
      @kaulimbiu181 3 роки тому

      Wacha kumfananisha Magufuli na mwizi huo ni uchafu wa hali ya juu

    • @sankofaman4112
      @sankofaman4112 3 роки тому

      Hustler wa Kenya alianza kwa kuimba choir state house na kuchapisha hela feki

  • @gresitimoth4142
    @gresitimoth4142 3 роки тому +1

    😭

  • @joycemajala4355
    @joycemajala4355 3 роки тому +2

    So mzee alikua husler

    • @nishasalim2880
      @nishasalim2880 3 роки тому

      Ure the one who is a hustler.
      Muwe na adabu mtu wameisha fariki President wa nchi unamuita hustler?
      Ure a crazy person who ever you are. 🐀

    • @yahyashariff5693
      @yahyashariff5693 3 роки тому

      @@nishasalim2880 kwani hustler ni tusi

  • @abdikarimhaji7506
    @abdikarimhaji7506 3 роки тому +1

    Real President

  • @abdikarimhaji7506
    @abdikarimhaji7506 3 роки тому

    Real President