BAHARIA BALOZI:NILIAGA KIAINA MTAANI/ NINGETOSWA BAHARINI/SOKA LIKANIOKOA/KOMBE LA DUNIA!/BASTOLA.13

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 65

  • @athumaniomary1245
    @athumaniomary1245 Рік тому +1

    Nakukubali sana BALOZI....na mwanangu dupa safi sana

  • @abdulazizbrek4980
    @abdulazizbrek4980 Рік тому +3

    Big up baharia balozi...kabanyau

  • @Byme6434
    @Byme6434 Рік тому +1

    Yaaani Huyu kaka Anaongea Kama Kaka Yangu Hivihivi Ungepata Interview nae Ungeinjoy Wallah Lugha zote Nitolee Alizamia Akafanikiwa Hamza Msingapori a.k.a Anakwambia Muite Mwache Apotee!Daaaah Apumzike Kwa Amani Kaka yangu GOD PLAN.

  • @AhmedAdan-po5ps
    @AhmedAdan-po5ps Рік тому

    Huyo rafiki david niko naye UK pole sana nitamjulisha david

  • @Bombom-ze1sj
    @Bombom-ze1sj Рік тому +5

    Sema Uwe unaweka ATA namba zake MWANA Tuweze kumuungia 📌📌

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому +6

    Ananipa Raha Sana huyu jamaa, ni mwanadarisalama og

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 Рік тому +1

    Nime enjoy sana hii story aiseee 😂😂, huchoki kumsikiliza

  • @abdulahmanmahalufu9524
    @abdulahmanmahalufu9524 Рік тому +7

    Wazee wa mbanga leo mapema sn tuwape maua yao

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Рік тому +1

    Aisee nimejifunza sanaaa

  • @ahmedhamdan8526
    @ahmedhamdan8526 Рік тому +1

    Story nzuri

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Good story big up bahalia wangu jah bress you

  • @gabrielTz5
    @gabrielTz5 Рік тому +2

    Mwana wa kwetu huyu bhana Balozi "Mibati meusiiii na mitofali🤣🤣🤣" TMK

  • @luogafrank3205
    @luogafrank3205 Рік тому

    Story nzur sana baharia lakin ulifeli kitu kimoja tu ulipokua kule ungejitahidi kila njia either uzae mtoto na demu mwenye ulaiya wa kule au uoe demu mwenye ulaia wa kule hzo njia lahisi hazimtupi baalia

  • @biglizer
    @biglizer Рік тому +2

    29:42 ikwiriri kwa manjenga😂

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 Рік тому

    Mwana 2007 mimi ndiyo fresh yangu kwangu natural Bongo.

  • @kilogreekachananawatuwasio4054

    Wabongo noma 😂 unamwambia nikatae Anakwambia bongo mambo mazuri🤣🤣🇹🇿🇬🇷

  • @obadiafredy4499
    @obadiafredy4499 Рік тому

    Dah Balozi bn😅😅😅

  • @ZebidahLawrence-fs9sg
    @ZebidahLawrence-fs9sg Рік тому +1

    Najiona navorudishwa tz mkukumkuku 🤣🤣

  • @fadhilplatnumz8474
    @fadhilplatnumz8474 Рік тому

    THE- stering' 👍

  • @aishayasin5400
    @aishayasin5400 Рік тому

    Jamani mbona hatupati sehemu ya 14

  • @Bombom-ze1sj
    @Bombom-ze1sj Рік тому

    Kabinyau Bro Kalibu tena kiwanjani Ujachelewa … Jeni bye bye😂😂 Nainjoy kipindi 🫡🫶🏿

  • @t.jsaidia2047
    @t.jsaidia2047 Рік тому

    Ila pole sana mwana pambana tu

  • @dominicfrancis4073
    @dominicfrancis4073 Рік тому

    Respect

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 Рік тому

    Aaaaaaaaah.... Home sweet home

  • @abdallahhamed5784
    @abdallahhamed5784 7 місяців тому

    Mitairi kwenye bati😂😂

  • @abdallahmanula1627
    @abdallahmanula1627 Рік тому +1

    Wale wanajua kiswahili Sema mikausho mikali

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Рік тому

    Watuwasafali wanaroho ngumu sana tz maisha siopoa ndomana watuwanajaribu kuzamia

  • @oscarmatapila6937
    @oscarmatapila6937 Рік тому

    bado kabisa element za kisouth anaish nazo

  • @rasjamal9854
    @rasjamal9854 Рік тому

    Avalon hiyo uwamihaji kule chini kuna mafahili ya kumwaga Mzee kabinyau,Nimeingia hapo 1997

  • @MuhammadMaulana-p2l
    @MuhammadMaulana-p2l Рік тому

    Hahahaha walikuchanganya

  • @zulfikakalumba1977
    @zulfikakalumba1977 Рік тому +1

    Nimecheka kwa sauti sana...
    Eti mibati juu mipira ya gari, sasa hii ya nini!!!???? Hahahhahaha

  • @isayamayogu8229
    @isayamayogu8229 Рік тому

    Daaah kabunyau anamaliza 😂😂

  • @salimgharib9888
    @salimgharib9888 Рік тому

    Ahhhh😂😂😂😂😂 huyu Jamaa anamisemo sio ya kawaida ’’za kichwa ni kesi ya muaji’’ na ‘’ Ndosi ni Maumivu ya Kichwa’’ halaf ukikosea hakuachi atakama unamuinterview 😅😅😅

  • @furahamandai6628
    @furahamandai6628 Рік тому

    Nataka namba ys huyu mwamba ana maneno sumu 😅😅😅😅

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому

    Haha bati juu nyeusi kuna mataili

  • @fabiantanzania5795
    @fabiantanzania5795 Рік тому

    Maelezo machache

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому +1

    😂 nmekumbuka nlitaka kuingiaga Japan tukanasa Airport tukarudishwa

  • @hassanbakari4525
    @hassanbakari4525 Рік тому

    Leteni stor nyingine

  • @mrishoidd8920
    @mrishoidd8920 Рік тому

    Balozil mbavu zangu jamani nakupata kutoka+250

  • @LadislausyStanislausy
    @LadislausyStanislausy 7 місяців тому

    Hawa wahuni unawapekua nchi ipi,eti baharia balozi

  • @kingkendrickk
    @kingkendrickk Рік тому

    Ugali, dagaa tembele 😂😂😂

  • @khamisbk8569
    @khamisbk8569 Рік тому

    Yaan matifali juu ya Bati......mipira ya gar....

  • @isaacherman
    @isaacherman Рік тому

    😅😂😂 Ugali bambia minyanyachungu rundo😂😂😂😂😂😂

  • @johnrambo9642
    @johnrambo9642 Рік тому

    Yote tosa baria nomekubali story na ulifanikiwa kuzama fresh kule na mambo meng kwako naona yakawa ilee mteremko ila ulishindwaje kua mwanarakat mana ulikua unalata mda wa kwenda kilub na ukachagua ile sehem waliko kua wazungu tuu hatimae ukafanikowa kuwepo pali kwann haukuamua kuomba raman zakufanya kujishulisha na pia hata maaskar hao na yule mwanao alikua anakubadilishia sehem zakuish kwann usingeomba raman kwake kikaz kuna wale walikua wakikupa mtonyo ulishindwa vp kuomba bwana nataka kz sio ela tu bt unaonekana ulikua na zal la bahat sn kuanzia bandar

    • @reeckstar931
      @reeckstar931 Рік тому

      Ukisha kataliwa kupewa document ulaya uluhusiwi kufanya kazi

  • @kennethbenjamin275
    @kennethbenjamin275 Рік тому

    Uhamiaji avalon hiyo baharia unanigusa mwanaoooo

  • @pastoraile7195
    @pastoraile7195 Рік тому

    Jembe yule joberg alikuwa mtamu sana alikuwa wamalawi wakimwona kama Rais mbona alijisahau hakujenga Home sweets Bt is life no balance

  • @Mtukazi98
    @Mtukazi98 Рік тому

    Baharia balozi yeye sio mtu wa ngoma yeye ni mtu wa wali jogooo

  • @samwelkaguo5640
    @samwelkaguo5640 Рік тому

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣 dah balozi mchizi wa wana

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    kabunyai mibatiii meusiii😅😅😅

  • @JumaKatundu-wb6cl
    @JumaKatundu-wb6cl 11 місяців тому

    Hhhhhhh

  • @xingho3990
    @xingho3990 Рік тому

    Weweee Ikeiriri kwa Manjenga kkkkkkkkkkkk

  • @rajabsaria8466
    @rajabsaria8466 Рік тому

    Swali langu ni hivi,inakuaje mtu alikuwa dingi mbele mbele miaka mingi, ulaya au South Africa, alafu inatokea la kutokea anarudi nyumbani hana chochote matokeo yake mtu anadata Dupamdupange???????

  • @sophsoph4740
    @sophsoph4740 Рік тому

    😂😂😂

  • @KulwaSonda-rl9ue
    @KulwaSonda-rl9ue Рік тому

    Story kali xn

    • @wazirisalum8227
      @wazirisalum8227 Рік тому

      Nafurahi kumsikiliza huyu jamaa lakini kuna huruma hv inanijia,najikuta namuonea huruma sana huyu mwamba.

  • @samfundo_impression
    @samfundo_impression Рік тому

    😅😅😅

  • @abiboseleman1649
    @abiboseleman1649 Рік тому

    panadol dawa au.sio.dawa...tuletee wazee wa meli bana kabunyau anaua hvyo

  • @sharomaburudan
    @sharomaburudan Рік тому

    Kabunyau mtu Mbad

  • @gmanyota1
    @gmanyota1 Рік тому

    😂😂😂😂