MBUNGE GWAJIMA NA MWIGULU NCHEMBA 'WANYUKANA' KWA HOJA BUNGENI / BUNGE LAMOTO

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • MBUNGE GWAJIMA NA MWIGULU NCHEMBA 'WANYUKANA' KWA HOJA BUNGENI / BUNGE LAMOTO
    WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

КОМЕНТАРІ • 682

  • @gosbertmuta5421
    @gosbertmuta5421 2 роки тому +24

    Nshagundua,,,,,, magufuri alikuja kutengeneza njia km yohana mbatzaji na YESUKRISTO mkombozi yuko anakuja njiani ee mungubaba tupe gwajima aje awe mkomboz wetu

  • @danieltungira3837
    @danieltungira3837 2 роки тому +62

    Aliimba sana mzee john nileteen gwajima mwe ×3

  • @noelimafwele602
    @noelimafwele602 2 роки тому +78

    Nileteeeeni gwajimaaaa Nileteeeeni Gwajimaaaa Nileteeeeni Gwajimaaaaaaaa

  • @mussahassan8751
    @mussahassan8751 2 роки тому +3

    Gwajima akigombea urais 2025 kura yangu nitampa bila kupepesa macho gwajima is 🔥🔥🔥🔥

  • @elvisrugims8298
    @elvisrugims8298 2 роки тому +25

    Nimependa jinsi nchemba alivyoingia kwenye mtego wa Gwajima, bila yeye mwenyewe kujua.

  • @aishambise6529
    @aishambise6529 2 роки тому +15

    🙏🏻🙏🏻🙏🏻🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥🔥🔥🔥🔥gwajuma watakuelewa tu mtumishi w mungu eti ukisimama wanasema muda hautoshi ju unawapa ukwel wasioutaka mungu ibarik tz 🔥🇰🇪

  • @ellydaud1645
    @ellydaud1645 2 роки тому +32

    Gwajima simati sana hongera sana dady wetu mungu akupe uvumilivu naamini unaumia sana kunakitu unakiona rohoni

  • @salehrashidshekidele1039
    @salehrashidshekidele1039 2 роки тому +43

    Sindano imeingia lazma maumiv yawe makali gwajima umeongea point Ukiongea ukwel mda unapungua

  • @abdulsaid4579
    @abdulsaid4579 2 роки тому +8

    huyu jamaa smart sana.👍🏿👍🏿👍🏿👍🏿
    in Shaa Allah naku support kw asilimia Mia moja... tuanze kuchimba wenyewe

  • @nyakikayepersion3822
    @nyakikayepersion3822 2 роки тому +41

    Gwajima uko vizuri, Mno !

  • @ryobaadams3358
    @ryobaadams3358 Рік тому

    Huyu mwigulu cjawahi kumwelewa!!!! Huo wasifu anaousungumzia wanaongelea tu amani tuliyonayo mbali si maendeleo anayoyasungumzia Gwajima!! Mungu asaidie nchi yetu tupate akina magufuri na akina Gwajima waongezeke.

  • @sweetbertkikarugaa8814
    @sweetbertkikarugaa8814 2 роки тому +7

    Thnx kwamchango mzr mchungaji waufufuo,viongoz wetu wangekuwa Kama ww bc nchi yetu ingekuwa mbali,, kuliko viongoz wapuuzi hawa wakina mwiguru wakutetea ushenzi waserikari nakulinda matumbo yao pamoja na uchama.mungu azidi kukusimamia mchungaji

  • @petertimothy7882
    @petertimothy7882 2 роки тому +12

    Tuwe Wazalendo. Mbele za Mungu na mbele za Watanzania Mch. Gwajima kaongea la maana sana. Hela hizo ni muhimu kwa maendeleo ya nchi kwa kuchimba chuma chetu kuliko kuacha na kunufaisha nchi zingine wakati tunahitaji maendeleo kwa ujumla wake. Mawazo yake yafanyiwe Kazi. Amegusa wengi. Katika maoni wengi sana wamefurahishwa naye.

    • @giftdresses6831
      @giftdresses6831 Рік тому

      Sasa watapigaje pesa km wakichimba hapa na wapigaji ni walewale hawatosheki hawashiibii

  • @masoudsigali4523
    @masoudsigali4523 2 роки тому +43

    Gwajima akawa raisi afu makamu wake akawa majaliwa au majaliwa akawa raisi afu makamu wake akawa gwajima.........R.I.P MAGUFUR😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭

    • @nathanielyohana7723
      @nathanielyohana7723 2 роки тому

      Mbona magu nae aliagiza au nani alianzisha reli kabla takuchimba chuma

    • @lewisikazoba698
      @lewisikazoba698 2 роки тому

      ​@@nathanielyohana7723 😂😂😂😂

    • @birianination7097
      @birianination7097 2 роки тому

      @@nathanielyohana7723 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @stevenezekiel5670
    @stevenezekiel5670 2 роки тому +3

    Huyu jamaa namkubali sana .

  • @leverimlaki5667
    @leverimlaki5667 2 роки тому +13

    Kwanza sijui hata kama jamaa alielewa maana ya neno MAONO "VISION" kama Askofu alivyo changia. Yeye anazungumzia plan badala ya VISION. Askofu amezungumzia VISION na siyo PLAN. Yeye badala ya kuzungumzia VISION akajikanyaga na kuzungumzia plan.

    • @dickchambilo9138
      @dickchambilo9138 2 роки тому

      Halafu hao ndio vinala wa kuishauri serikali. Wakiambiwa ukweli wanapepesa macho Tena Bora wayafanyie kazi hayo.uzalendo Ni kazi kweli kweli , wengi wanatetea matumbo yao sio nchi!

  • @MsMasola
    @MsMasola 2 роки тому +2

    Katiba ni tiba ya kueleweka. Mungu atusaidie tupate katiba mpya na ifuatwe tutatoka tulipo na tusonge mbele. Na haya anayosema Gwajima kila siku wapinzani wanayasema yeye ameyafikisha tu mbungeni na abarikiwe sana na Mungu.

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 2 роки тому +6

    Unaona mbali sana Mheshimiwa gwajima,ndo Uzuri wa kupata kiongozi Mwenye fedha zake

  • @shaluamusics8812
    @shaluamusics8812 2 роки тому +3

    Our presdent to come Bishop Ngwajima

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 2 роки тому +7

    Doctor gwajima unaongea kweli sana na unafanya vizur sana mungu mwenyewe anajua. Ila tuu umo bungeni wengi wapigaji awataki kabisa kukuelewa unacho zungumza ila ni jembe mweshimiwa mungu akupiganie

  • @barakasanga9436
    @barakasanga9436 2 роки тому +8

    Mungu awalinde wabunge wanaomtumikia Mungu kwa uzalendo wa kulitetea taifa letu

  • @hbdina
    @hbdina 2 роки тому +38

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿Huu ndio mfano wa Mawaziri tulionao serikalini hawawezi hata kujitetea kwa hoja nzuri wananyukwa na wanasita kupokea hoja nzuri.Watu weusi tuna tabu

    • @charlesmarwa4877
      @charlesmarwa4877 2 роки тому +4

      Kweli hatunaakili sijui nani alitoga kila ninapo kanyaga ardhi inayomilikiwa na watu weusi mambo ni hayo hayo from USA

    • @gamma9590
      @gamma9590 2 роки тому +1

      Na ndio raisi wako ajae

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 2 роки тому +1

      Mawaziri wanajibu kitaalamu sio wanajibu kushabikia Mtu kama hawezi kielewa maana ya mpango wa miaka 50 unakuwaje huyo ni tatizo

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 роки тому

      @@gamma9590 I don't live there anymore but I wish one day ngwajima to be a president

    • @nelsonshillah6618
      @nelsonshillah6618 2 роки тому

      Gwajima nimekuelewa vzr sana

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 роки тому +15

    Namkubali doct gwajima ila wengine hawakuelewi baba

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 роки тому +9

    Majeshi majeshi my Bishop Dr josephat
    Silaha za vita za Bwana
    Hakika tunavuka tunavuka taifa ni muhimu tuwe na maono ya muda mrefu kwanzia miaka 59-100 sio maono ya miaka 5

  • @jombilozoo
    @jombilozoo 2 роки тому +2

    Great thinker Gwajima

  • @ernestphilip256
    @ernestphilip256 Рік тому +1

    Ahsante sana Mungu akulinde sana namungu akuone nakuteuwe uwe raisi wanchi hii

  • @ericrukamba6802
    @ericrukamba6802 2 роки тому +14

    Wewe unajibu kisiasa tumechoka na hizo ngonjela,Gwajima tuko Sahihi kabisa,tunataka vitendo sivinginevyo

  • @janethpallangyo2633
    @janethpallangyo2633 2 роки тому +9

    Nakupenda sana GWAJIMA Mungu akupe afya njema.

  • @josephvenus3259
    @josephvenus3259 2 роки тому +11

    Gwajima ni mutu ya akili mingimingi 🙌🙌 Waziri kapuyanga

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 2 роки тому

      Sio ana akili bali ni mlopokaji tatizo hajui nchi ni kwa hali gani nchi inaweza kuwa na mpango wa miaka 50. Nchi yetu bado ni ya uchumi wa chini huwezi weka mpango wa miaka 50 Gwajima uwe mwelewa usiwe msemaji wa kutia wasikizaji.

    • @mosseskanini255
      @mosseskanini255 2 роки тому

      @@blandinamwarabu5025 we ndo huna akil timamu,kwanza unajua mana ya mipango endelefu au unaropoka tu,ingekuwa nchi ina mpingo hiyo isingekuwa kila rais anayeingia madarakan anafanya analojisikia,mfano hiyo Royal tour iliyutumia zaid ya mabillion ilikuwa kwenye mipango ya nchi au ni maamuz tu ya uongoz uliopo moadarakan,acha kutumia akil kama kabat la nguo,We ni mmoja kati ya vijana wa hovyo tz.

    • @kepasibogosi2274
      @kepasibogosi2274 2 роки тому

      Nikweli kabisa...sio liganga na mchuchuma..hata elimu....afya..na hata baadhi ya viongozi..wa sector zingine easier wanna siasa..

  • @johngerald4677
    @johngerald4677 2 роки тому +1

    Zitto ameliongea sana lkn alipuuzwa,hongera Gwaji boy

  • @abiliamtv
    @abiliamtv 2 роки тому +21

    This guy is very smart...tunahitaj watu wa dizain hii.

    • @blandinamwarabu5025
      @blandinamwarabu5025 2 роки тому

      Umeelewa lakini au unasema yuko smart unaelewa maana ya MPANGO na DIRA 🤣

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 роки тому

      👍🙌

    • @ednaJF1028
      @ednaJF1028 2 роки тому +1

      Very true 👍

    • @abiliamtv
      @abiliamtv 2 роки тому

      Naelewa na maana yake nimeielewa

  • @gracenyangusi6230
    @gracenyangusi6230 2 роки тому +26

    😅😅😅🤣👏👏👏🔥🔥Nakuelewa Baba Gwajima

  • @yohanemwitumba3711
    @yohanemwitumba3711 2 роки тому +2

    Waziri kuanzia Leo iyo tai ya bendela ya Taifa inabid uachekuvaa maana maono ya baba wa Taifa yanaendana kabisa na mchungaji gwajima lakin wew kila kitu ni kupinga tuu na huna hata hekima Wala busala pindi unapo toa majibu mungu tuu akusimamie.

  • @ditrickmotto2448
    @ditrickmotto2448 2 роки тому +2

    Akili kubwa saana Bishop,,, endelea kuwapa lecture hao wachumia tumbo pengine kwa neno lako nao watapona na kuanza kulitumikia Taifa LETU. Royal Tour ni kumwona gwajima akichangakia . So very exciting

  • @lispamagu5810
    @lispamagu5810 2 роки тому +28

    Mwiguru acha upumbuvu kubari nchi haina maono

  • @nyaligwanyamizi8210
    @nyaligwanyamizi8210 2 роки тому +2

    Gwajima well done you always speak sensible 👏 👍

  • @mathiaskizito9780
    @mathiaskizito9780 2 роки тому +21

    Hii nchi tunahitaji viongozi wenye uchungu na uzalendo na nchi Yao na sio masrahi Yao na familia zao😭😭😭
    Gwajima ana uchungu na nchi yake❤️

  • @deusmtewele8757
    @deusmtewele8757 2 роки тому

    Hizi ni taranta tulizopewa na mungu tumeshindwa kutumia viongozi mkifa mtaulizea na mungu talanta alizotua tumezifanyieje

  • @joachimoissso2210
    @joachimoissso2210 2 роки тому +12

    Niseme tu kuwa nimemwelewa GWAJIMA. MWIGULU Anampotezea GWAJIBOY MUDA. So sad

  • @chrisbertludovick8908
    @chrisbertludovick8908 2 роки тому +5

    Mweshimiwa Gwajima mimi nakuelewa sana na unachomaanisha tatizo linaanzia kwenye elimu tunayo pewa uko mashuleni zinatutengeneza kama chombo na siyo manahotha

  • @princepiuskamugisha5626
    @princepiuskamugisha5626 2 роки тому +10

    Raia wa hovyo kama Mwigulu, eeh Mungu tuondolee hiki kiumbe😭😭😭😭

  • @jacksonpetro9558
    @jacksonpetro9558 2 роки тому +17

    Nchi tunachelewa kupata Raisi kama Gwajima. Tunahitaji mkweli na mkali mwenye machungu na nchi yetu😢😢

  • @godfreymalekela133
    @godfreymalekela133 2 роки тому +1

    Gwajima mungu akujaze maalifa na uzma

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 2 роки тому +1

    Taifa liko chini ya watu wasio ongozwa na roho wa Mungu ndo maana hawajui hata wafanye nini mwisho wa siku wanaenda kutumia mabillion kuigiza movie wakati wananchi wengine wankufa njaa

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu 2 роки тому +18

    Pamoja na majibu mazuri ya mh,Mwigulu bado Gwajima anaongelea point KUBWA Kwa sababu gwajima anaongelea miaka 50-100 MH mwigulu anaongelea miaka 5 mitano,ndio maana Leo ukienda kwenye miji yetu ujenzi haueleweki bado watu wanajenga kiholela badala ya kujenga Kwa mipangilio ,na Kwa dunia ya sasa ilipaswa hata vijijini iwe tayari ardhi imepimwa.

    • @athanasmgaya4316
      @athanasmgaya4316 2 роки тому

      Anaongea nn mwigulu hana jicho lambali kweli

    • @athanasmgaya4316
      @athanasmgaya4316 2 роки тому +1

      Hi ana nifaliji ana punguza dakika

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 2 роки тому +1

      Fuatilieni Mambo vizuri huo mpango wa maendeleo ambao ndio dira hasa ulianza mwaka 1994 na utafika mwisho mwaka 2025 na huu ulikua mpango wa muda mrefu ambao ulikua wa miaka 30 na kwenye mpango nikuhakikisha taifa linatoka kwenye uchumi wa chini hadi uchumi wa kati ifikapo 2025 lakini pia hiyo mipango ilipagwa kwa series ya miaka mitano mitano na moja ya mipango hiyo ni Kama MKUKUTA wa 2005 -2010 na Sasa tuna TASAF n.k na uchumi wa kati tulifika Toka mh. JPM akiwa hai na bahati mbaya Mambo yamekwenda mrama Tena hope tumeshuka chini Tena.

    • @errydeo8865
      @errydeo8865 2 роки тому +1

      Exactly!! ndo maana anasema viongozi wetu wako SHORT SIGHTED! HAWANA MAONO,MAONA YA NCHI INAYOTAKA KUPIGA HATU,NI MIPANGO YA MORE THAN 50YRS!!! WAZIRI ANGETULIA TU BADALA YA KUJIHABISHA

    • @gosbertmuta5421
      @gosbertmuta5421 2 роки тому

      Tamaa na madaraka mbaya

  • @ibrahimtotti859
    @ibrahimtotti859 2 роки тому +1

    Hiki kichwa sanaa mungu amuweke sanaa

  • @fortunatusmkatakiu7718
    @fortunatusmkatakiu7718 2 роки тому +1

    Nadhani Bishop Gwajima angefaa kuwa waziri wa mipango na fedha kwa masilahi ya taifa hili!!

  • @athumaniomari2833
    @athumaniomari2833 2 роки тому +2

    Ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU ewe mwenyezi MUNGU endelea kuwaongoza vyema wabunge wetu

  • @gprinceofficial9908
    @gprinceofficial9908 2 роки тому

    Hadi aongee Gwajima Mbunge wa Ludewa kamonga anafanya nini huu ni upuuzi saana hongera Gwajima

  • @ednaJF1028
    @ednaJF1028 2 роки тому +1

    I wish one you be came a president of Tanzania 🇹🇿 🙏

  • @khneesajumaa2052
    @khneesajumaa2052 2 роки тому +38

    Ngwajima hawa watu kukuelewa ni vigumu

  • @hopejohnson7352
    @hopejohnson7352 2 роки тому +1

    Jaman naomba gwajima ugombee urais bas 2025 maana unahofu ya mungu xna

  • @mussahuyya7775
    @mussahuyya7775 2 роки тому +6

    Ndiyo Gwajima hill KUNDI siyo saizi yako ni mambumbu tupu,hivi unaweza kuwa na WAZIRI kama Mchemba nchi ikawa na maono,

  • @people720
    @people720 Рік тому +1

    excellent👍

  • @edwardsemwenda4726
    @edwardsemwenda4726 2 роки тому +1

    Gwajima mtu anaeona mbali sana mtumie vizuri

  • @OleSolomon1
    @OleSolomon1 2 роки тому +2

    Mh. Gwajima chukua form 2025, Tanzania deserves you 👏

  • @biddii1972
    @biddii1972 2 роки тому +19

    Ugwajima mungu akubariki ila sisi sio kwamba niwajinga atuna akili ila tatizo ni TABIA YA UBINAFSI YAAANI UMIMI ndio ugonjwa wa sisi watu wa Tanzania

  • @richardmasanja6163
    @richardmasanja6163 2 роки тому

    Mh.Gwajima hongera sana Mungu akubariki sana Rais wetu mtarajiwa

  • @user-wu9zz1bm9h
    @user-wu9zz1bm9h 9 місяців тому

    Nakupongeza Mweshimiwa gwajima upo Kwa maslah ya taifa na huyumbushwi na unasema kweli pale penye ukweli bila kupepesa macho mungu akubariki

  • @altonkanjolonga2380
    @altonkanjolonga2380 2 роки тому +2

    Naungana na wewe Askofu uko sawa,unaongelea long term strategies.Waziri anaongelea short term strategies.Big up

  • @patriciasanga9848
    @patriciasanga9848 2 роки тому +5

    Mungu wa mbinguni,atupatie Gwajima aje kuwa rais wa Tanzania.

  • @othmarluwawilo8308
    @othmarluwawilo8308 Рік тому +2

    Yes Gwajima you possess a very high vision, keep on brushing your ccm party to open mind to opposition system so that they help to bring strong leadership.

  • @saidsuleiman1753
    @saidsuleiman1753 2 роки тому +12

    Akili ya gwajima sio ya Kitanzania, akili ya Kitanzania ni kama hiyo ya Mwigulu

  • @silvatv8294
    @silvatv8294 2 роки тому +4

    Gwajima ni fireeee jamn ukwelii ndio huoo kubali ubisheeeew huyuu ndo

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 2 роки тому +1

    Gwajima anajua sana Kazi ya serikali wallah namfananisha na king Zitto Kabwe

  • @trillhappybeautypoint9874
    @trillhappybeautypoint9874 2 роки тому +1

    Askofu Gwajima intelligent man 💪👏👏👏

  • @munnawwaryaqub8524
    @munnawwaryaqub8524 2 роки тому +11

    Tuna dharau vya kwetu, bilioni 7 zimetupwa kushuti move

  • @TembeaNaYesu
    @TembeaNaYesu 2 роки тому +4

    I love Gwajima, the way he embraces fear. He is very smart. Tunahitaji viongozi kama huyu hata nusu ya bunge tu inatosha sana.

    • @ahz6907
      @ahz6907 2 роки тому

      Tatizo anavutaga bangi sometimes 🤓

    • @helenarhobi1250
      @helenarhobi1250 Рік тому

      Jamani mnaonaje tukimpa Bishop Gwajima urais? Jembe hili, Magufuli part two for sure!

    • @1961nungwi
      @1961nungwi 9 місяців тому

      Shida ni kwamba anaongea kama vile amewasilinTanzania Leo kutoka mwezini; completely devoid of Tanzania's political, economic and social history!!

  • @jakee2041
    @jakee2041 2 роки тому +1

    Congratulations Gwajimaaaaa. you. are always straight.

  • @titus_maridhia
    @titus_maridhia 2 роки тому +13

    Gwajiboy brain kubwa

  • @japhetnyese2285
    @japhetnyese2285 2 роки тому +1

    Mungu ataendelea kukutumia hakika maana Gwajma amtumwa hakika ubarkwe

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius 2 роки тому +4

    Sema kwenye "LELI" hapo..Ila kwingine uko very smart

  • @kakorejrboyz6447
    @kakorejrboyz6447 2 роки тому +22

    Bunge linataka wabunge wanamna hii na maranyingi wapo upande wa #UPINZANZI acheni wabunge wa Upinzani wawe Bungeni Kwa Faida ya Taifa

  • @Chekakidogo2
    @Chekakidogo2 2 роки тому +3

    Nimekuelewa my Dad Bishop Gwajima.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo 2 роки тому +3

    In Tanzania any fool can be a leader especially on vital ministry like finance

  • @reubennyamai8647
    @reubennyamai8647 2 роки тому +1

    Congratulations gwajima

  • @labanimwanuke2310
    @labanimwanuke2310 2 роки тому +7

    Dah Hakika Elimu na ufaham wako unaweza kulisaidia taifa. Big up Bishop Gwajima.

  • @successconcious703
    @successconcious703 2 роки тому +9

    Katika maisha kuna mstari mwembamba sana kati ya HEKIMA na UNAFIKI. Mwigulu siku zote yeye ni kutetea tumbo lake hata kwenye vitu vya msingi. Kama waziri unatia aibu brother.

  • @restitutajohn3227
    @restitutajohn3227 2 роки тому +6

    Gwajima ni kicjwa Iseee

  • @restitutanjau2585
    @restitutanjau2585 2 роки тому +17

    Katiba mpya ndio jibu.Tz kila mtawala na kitabu chake

    • @gamma9590
      @gamma9590 2 роки тому

      Nan ataiogoza katiba mpya ndio tatzo.

  • @manish-fp1fb
    @manish-fp1fb 2 роки тому +7

    Shida ya hii nchi ni kwamba mnataka kuongoza chama kimoja tu na chenyewe kinawaza upigaji tu.... kama mtu anawaza kupiga dili tu atakuwa na mawazo ya muda mrefu kweli....

    • @w4058
      @w4058 2 роки тому

      Naam ndio tatizo lao na wapongezaji humu wanapenda kupongeza tu wao madhal limesemwa na Gwaji boy wapinzani walisemea siki nyingi hayo na mazuri zaid kuliko na mengi Gwaji anadondoa humo humo

  • @tumsifusebastian9703
    @tumsifusebastian9703 2 роки тому +1

    Huyu ndugu Gwajima Mungu akupe maisha marefu

  • @joshuandabazaniye7642
    @joshuandabazaniye7642 9 місяців тому

    congratulations for best vision

  • @sagilododomamedelipeter1893
    @sagilododomamedelipeter1893 2 роки тому +2

    Waziri wa wapi huyu mungu wangu 😥

  • @veronicajohn7645
    @veronicajohn7645 2 роки тому +1

    Hongera sana Gwajima Kaka

  • @yusuphmagana8456
    @yusuphmagana8456 Рік тому

    If wi shall thron our fillings so far ,tutagundua liganga na mchuchuma so impact in our country.Naiomba serikari wakazanie hili, tulio mitaani tunaumia ambao hatuna elimu

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 роки тому +2

    hongera bishop🇹🇿

  • @jamesncheye969
    @jamesncheye969 2 роки тому +1

    Waambie waanzishe migodi ya serikali,Nchi hii ni tajiri Sana

  • @naturelle1097
    @naturelle1097 2 роки тому +3

    Maono ni muhimu nchi tunazo mezea mate vitu vyao kwa kuagiza hata wao walianza na maono. I agree with Gwajima 100%.lini tutajivunia vya kwetu. Just 1 item billions of dollars na hapa tunapata kujua sababu Gwajima ametufumbua macho. Mengine mangapi hela za walipa kodi zinatumika bila huruma bila aibu?

  • @omarikessy2339
    @omarikessy2339 2 роки тому +1

    You deserve kuwa minister mheshimiwa Gwajima👍🏿

  • @emmanuelsitayo1977
    @emmanuelsitayo1977 2 роки тому +5

    Excellent argument.
    Brilliant.

  • @sdrog6357
    @sdrog6357 2 роки тому +1

    Nimekuelewa sana mr, Gwajima

  • @princeragy7700
    @princeragy7700 2 роки тому +2

    Nchimbi digits dont lie ....ukileta siasa kwenye pesa uta sababisha madhara makubwa mno kwa watu.. Usinge sisima kutoa taarifa zako coz hujaelewa Gwaji anasema nini

  • @donnyshule7432
    @donnyshule7432 Рік тому

    Mzee askofu huko vizuri.sio maono TU hswana maarifa ya kutumia akiri zao

  • @fahamnitwahir9249
    @fahamnitwahir9249 2 роки тому +9

    Mwigulu akija kuwa rais wa hii nchi wallah itakuwa tumekwisha, jamaa hana roho nzuri, hana imani, inshort jamaa hafai kuwa kiongozi hata wa mtaa

    • @isackamosbagala8014
      @isackamosbagala8014 2 роки тому

      Mtaa mkubwa ..hata kiongozi wa ukoo hafai

    • @brucemandara2708
      @brucemandara2708 2 роки тому

      Mimi binafsi sioni tatizo kwa kuanzisha SGR.unadhani Mzee Magu angeondoka kabla SGR haijaanza nani angeianzisha ni heri ilianza hapo wataiendeleza ,haya mambo ya hatima hayahitaji MTU kuwa mbinafsi,ujitoe na kufanya kea ajili ya wengine,keep it up Gwajiboy

  • @kimlolakimlolanelly6330
    @kimlolakimlolanelly6330 2 роки тому +2

    Speak man of God #bishopGwajima

  • @jeremialyati6092
    @jeremialyati6092 2 роки тому +7

    Peter Msigwa kaimba sana CCM wanajua kujichetua

  • @damasjoachim4451
    @damasjoachim4451 Рік тому

    Heko Askof Gwajima uko juu sana

  • @jitathminitv3429
    @jitathminitv3429 2 роки тому +5

    "Nchi iwe na maono ya mda mrefu" GWAJIMA

  • @kdpretoria780
    @kdpretoria780 2 роки тому +6

    Huyu tukimpa nchi atatufaa sana anachembechembe kama za Magufuli