MJADALA BAINA YA MCHUNGAJI NDACHA NA USTADH YUSUF WAMBUGU,MADA MUOKOZI WA DUNIA NZIMA , GITHURAI 45

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 4 лют 2025
  • DA-WAA NA USTADH YUSUF WAMBUGU NA USTADH HUSSEIN MWENJA

КОМЕНТАРІ • 30

  • @MathewChesire-m3z
    @MathewChesire-m3z Рік тому +4

    mashallah shekh yusuf

  • @bilalomar1185
    @bilalomar1185 Рік тому +4

    jazakallah kher Amir wetu Allah akupe Afya jema na Umri uliyo na kheri Amein❤❤❤🎉🎉🎉.

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Рік тому +3

    Mashaallah Sheikh Yusuf Allah akujalie kila la kheri na familia yako

  • @mazaifi5474
    @mazaifi5474 Рік тому +3

    MashaAllah mashekhe zetu Allah awahifadhi daima

  • @xogmalxarandid9369
    @xogmalxarandid9369 Рік тому +4

    Ndacha anachangia maneno abaye hajui tafsiriyake na Mahali inaenda na sababuyake imetaramshwa na mungu

  • @sulealim6325
    @sulealim6325 Рік тому +4

    Allah akulipen khery

  • @Sal.0
    @Sal.0 Рік тому +3

    Ndacha kwaida yake ni Uwongo TUU!
    Hawa wa SDA wako na ugonjwa waku Danganya sana, waki ongozwa na Mama MZEE ya Mihigan aliyekuwa ana pandwa na MaShetani kumletea 'VISIONS'.
    TabarakAllah Team.

    • @luluamin1388
      @luluamin1388 11 місяців тому

      hizi picha za ndacha mbona hazieleweki, ama pia ni mafunzo.

  • @JustinKitsao
    @JustinKitsao Рік тому +5

    Simba mwenyew Yusuf kaingia

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 Рік тому +2

    Asalamu alekum Muhimu mmeambiwa na yesu nimetumwa kwa hao sikutumwa kwa walimwengu hilo linatosha nyinyi kujuwa kama hakutumwa kwa ulimwengu mzima nyinyi tatizo lenu mnampinga yesu mnalazimisha mambo

  • @BashirMahero
    @BashirMahero Рік тому +4

    Yaani ndacha unataka kupigwa ndio uelewe ama nini?? Yesu ni njia kweli lakini kwa wana waisreal pekee we vip bwana

  • @aburaasmedia3682
    @aburaasmedia3682 Рік тому +5

    Ndacha anafaa apigwe kiboko

    • @Sal.0
      @Sal.0 Рік тому +1

      Ana penda PESA sana.

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 Рік тому +2

    Nyinyi mtamwambia sisi tulikufuwata tukafanza unabii kwa jina lako nakutowa pepo kwa jina lako na atakujibuni ondokeni nyinyi mtendao maovu sikujuweni kamwe haya mtangukia wapi yesu keshawakata bado mtamfuwata tu

  • @suleimankipyego5143
    @suleimankipyego5143 Рік тому +3

    Ndacha anafaa kiboko ndo Halloween dini ya kweli

  • @saadnaim5518
    @saadnaim5518 11 місяців тому +1

    Assalamu alaykum
    Naona umemchanganya sana na kila kukicha huyu Ndacha namuona anazidi kutokomea ktk upotofu
    Tumuomboe dua atoke huko bila hivyo anaweza kufa kafiri huyu

  • @issamohamedi9225
    @issamohamedi9225 11 місяців тому +2

    Yusuf wewe ni simba wa dawa ndacha ni kama swala hurukahruka mwishowe huwa kitoweo mashaAllah kwa dawa

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Рік тому +2

    Ndacha wewe ni mshindani sana ndio maana wazunguka kila mahali ..ila utaki kujuwa ukweli

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 Рік тому +2

    Ukiyafuwata maneno ya yesu utafananishwa na mtu mwenye akili na ukiyakata utafananishwa na mtu mpymbavu kama ndacha anokata maneno ya yesu mwenyewe yesu anakata hakutumwa kwa watu wote wewe unamwambia no umetumwa ha ndacha basi tena

  • @hiimbinaimmuslim3041
    @hiimbinaimmuslim3041 Рік тому +2

    Na katumwa kwa kondoo walio potea wa nyumba ya israil hayatoshi tu hayo mkajuwa ukweli au mnabishana tu kwa sababu ya tonge tu ndacha usiwapoteze wenzio utachomwa 🔥

  • @albertmwangi3297
    @albertmwangi3297 11 місяців тому +1

    Mwalimu Ndacha endelea kuwafunza hawa waislam,, wataelewa tu

  • @msemakweli243
    @msemakweli243 Рік тому +1

    Uhu ni ufalume wa shetani kiama ndo kitafuta ufalume washetani

  • @JustinKitsao
    @JustinKitsao Рік тому +2

    Ndacha n kafiri kweli