Wawili wasilimu githurai baada ya kuona nuru kuwa uisilamu ndio dini ya watu wote by Ali,Ali / Salim

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 7 лис 2024

КОМЕНТАРІ • 41

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 2 роки тому +5

    MashaAllah masheikhe wetu Allah awabariki kila la kheir na baraka afya njema na umri mrefu muzidi kuipigania dini ya haki mbele ya Allah inshaAllah Amiin

  • @puritywangari557
    @puritywangari557 2 роки тому +3

    Mashallah Allah awaepushe na la kila Shari...azidi kuwawajalia uzima subra Imani na Amani

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 роки тому +3

    Mashalah mashekh wetu mungu awaongoze Kwa kazinzuri mnayoifanya

  • @HassanAli-mc4dt
    @HassanAli-mc4dt 2 роки тому +4

    Allahu Akbar MashaAllah jazzakallahu kheiran wa ahsanallahu ileykum

  • @hamisikassim3726
    @hamisikassim3726 2 роки тому +4

    MashaAllah MashaAllah kila la heri mashekh wetu

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398 2 роки тому +3

    ALLAH HUAKBAR ...MASHALLAH MA IKHWA ALLAH AZITAKABALI AMAAL ZENU ZA KUBAGHILISHA UJUMBE WA UISLAMU AWAJAZIE KATIKA MIZANI ZA HASSANAT ....اللهم امين

  • @aishaally6602
    @aishaally6602 2 роки тому +2

    ALLAHUMA BARIK shekh ally uko straight watakuelewa tu wanajifanaya hawaelewi

  • @jamalathman6219
    @jamalathman6219 2 роки тому +1

    Shukran masheikh wetu kwa kazi mzuri ya kulingania,Allah awajalie janatul firdaus karibuni ndugu zetu kwenye dini ya haki uislamu mungu awaongoze

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 роки тому +2

    Mashallah Mashallah Mashallah Mashallah leo Raha

  • @kijanahodari2080
    @kijanahodari2080 2 роки тому +1

    Allah Akbar Mwenyezi Mungu amuongoze yeye na waislamu wote duniani na awape masheikh wetu umri mrefu...Maa Shaa Allah

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 2 роки тому +4

    MashaAllah Allahu akbar!

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Рік тому +2

    MASHALLAH MASHALLAH 🤲 🤲 🤲 🤲

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb 2 роки тому +2

    Masha Allah

  • @HassanAli-mc4dt
    @HassanAli-mc4dt 2 роки тому +4

    Allahu Akbar Allahu Akbar Kabira Walhmdulillah Kathira wasubhannallahi Bukratan wa Asila

  • @ahmedsalatbashir4380
    @ahmedsalatbashir4380 2 роки тому +3

    Keep going bro 🤲🤲

  • @jamilamohammed2771
    @jamilamohammed2771 2 роки тому +1

    Ma shaa Allah

  • @ibrahimiddi3134
    @ibrahimiddi3134 2 роки тому +3

    Mashaallah

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 2 роки тому +1

    Mashallah Allah 💕

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen6700 2 роки тому +2

    JazakumAllah khair!

  • @ibrahimetale9999
    @ibrahimetale9999 Рік тому +1

    Mumenigeuza kusikia daawa asubuhi hadi jion, NENO LA MUNGU NI TAMU SANA. MASHALLAH

  • @aminaabu1599
    @aminaabu1599 2 роки тому +3

    Mashallah Mashallah

  • @betsteve2997
    @betsteve2997 2 роки тому +2

    You can't convince me to leave my Christianity....

    • @pattiek1590
      @pattiek1590 2 роки тому

      I pity those that are being conned into leaving through smear campaign of the only way to the Father.

  • @josemu870
    @josemu870 5 місяців тому +1

    Kwa neema ya uislamu

  • @meandme3437
    @meandme3437 2 роки тому +1

    It's time watu waJuwe haki za Mungu mmoja tu. Maybe it might change the killings in the country and people start to fear GOD.

    • @pattiek1590
      @pattiek1590 2 роки тому

      I AM THE WAY THE TRUTH AND LIFE. NO ONE COMES TO THE FATHER BUT BY ME.

  • @andallaathman3856
    @andallaathman3856 2 роки тому +2

    Mashaa llah mungu awape afya masheikh zetu bt bado kuna kitu mm sheikh Ali sheikh anaongea sioni kua ni vyema ndugu zetu kusema haleluya bwana asifiwe nimakosa man tashanbaha biqaum fahua min hum ,haina haja kutumia hio lugha sheikh Ali

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому

      Isha Allah hiyo tutamwambia italekebishwa shukuran kwa kutukumbusha

    • @andallaathman3856
      @andallaathman3856 2 роки тому +1

      @@salimdaawah123 afwan sheikh mungu awazidishie elimu muzidi kuitangaza dini 🙏🙏 ya uislam ❤️❤️

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому

      @@andallaathman3856 aamiin amiin amiin

  • @khatibuhijja459
    @khatibuhijja459 2 роки тому +3

    Zungumzeni kiswahili, wafuatiliaji wengi ni waswahili, mie hapo kwenye lugha huw siendelei kuangalia kwasabab sijui kitu

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому

      Unapo enda kwa watu wasioelewa kiswahili vinzuri lazima uzungumze na lugha yao ndio wakuelewe ndio mtume Muhammad s.a.w alipoenda kwa waarabu alizungumza na kiarabu ndio wamuelewe kama wewe ni kikuyu na mwenye unalenga apate ujumbe ni kikuyu itabidi uongee kikuyu so elewa hapo isha Allah

  • @duniawadunia4824
    @duniawadunia4824 2 роки тому +4

    Ni comments nini? Uislam Raha sana Najivunia dini Yangu.

  • @stoispapi2380
    @stoispapi2380 2 роки тому +1

    Hakuna mkristo anayemfuata yesu ila kwa mdomo tu.

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 роки тому +1

    wislam nidini ya haki

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 2 роки тому +1

    Asalam alykum www sadaka inatakiwa kumupa maskini musiwapi sadaka zenu wachungaji that is big business for pasters

  • @ramazecha2877
    @ramazecha2877 2 роки тому +2

    Ongeeni kiswahili please na ssi wengne tupate faida juu ya kunacho zungumzwa

    • @salimdaawah123
      @salimdaawah123  2 роки тому +2

      Isha Allah lakini sehemu ambayo tuko wengi huwa wanaona uisilamu ni uswahili that why tunaongea lugha yao ya mama ili wajue uisilamu ni wa kila mtu because wachungaji wakiwa huku wanaongea lugha ya huku sisi tukija tunatumia kiswahili tu wengine hawatuelewi

    • @aflahabdula4084
      @aflahabdula4084 2 роки тому +1

      @@salimdaawah123 Inshaallah

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 2 роки тому +1

    kwa imani ya wakristo yesu kafa kazikwa na sanda,Anania kafa kazikwa na sanda,lazaro kafufuliwa akiwa na sanda waislam wakifa wanazikwa na sanda hili pia lahitaji tochi ndo uone..? nyie mnaotumia suti mlitoa wapi? wacheni ushabiki ndugu zetu kibinaadamu