Wallah nimeijaribu hii recipe mara ya kwanza nilkua naogopa but Alhamdulillah ikatokea Perfecto Mwaahh😋😋 Hubby anapenda sana Podini na sasa hii recipe kuelewa kwake urahisi sana MashaAllah yani kila after 2 days nampikia. Shukran sana dear kwa kutupa ujuzi kama huu👏👏 Be Blessed😙😘😚
Asalaam aleikum Sis napenda sana mapishi yako Allah akulipe kila la kheri. But Leo nimejaribu kutengeneza podini haikushikana sijui nilikosea wapi. Please guide me. Thank you
Thank you my dear for the nice recipe.Im going to try it for sure it looks so yummy.I was born in Tanzania so I understood very well I speak the language as well.Asante sana.Sophia.
Wallah nimeijaribu hii recipe mara ya kwanza nilkua naogopa but Alhamdulillah ikatokea Perfecto Mwaahh😋😋 Hubby anapenda sana Podini na sasa hii recipe kuelewa kwake urahisi sana MashaAllah yani kila after 2 days nampikia. Shukran sana dear kwa kutupa ujuzi kama huu👏👏 Be Blessed😙😘😚
MashaAllah dear nafurahi sana kuskia hivyo. Asante sana ❤
Naomba namba yako
0656645871
Lollipops ĺ plpllll
Lll
Moto uliweka juu
Asante sn Kwa kutuelimisha kuhusu Mapishi my. Mungu akupe ujuzi zaidi. Hongera!
waooo nimepend sana hii receipt nzur sana na inamvuto kabisa ❤
Shukurani My dear Siz nimejaribu masha Allah imetoka poa Dadaa
Mashallah nimejarbu zimetoka vizuri asante nakupenda shuns you're amazing
Assalam ukhty shukran sana kwa vyakula vyako vyote vizuri sana mashaallah mungu akubarik
Asante, mashallah, napenda recipe zako zote. Una ni inspire. Nakukubali. Blessed
Asante sana jaman nimepika sasa imetoka tamu😋😋😋😋nataman nikutumie picha uone
Mashallah nimefanya imetoka nzuri sana mashallah
Mashaallah ni zuri shukran jazzak Allah khery
Mhhh yaan kiukweli uko vzr mpz allh akuzidishie ujuz .utufundsh n ss inshaa allh
Wow nimeangalia ikawa nzury mume wangu ameipenda sana asante dada
Juzi nilipika pilau kwa kuangalia video yako ilitokea vizuri sana, shukran
Afwan dear na asante pia kwa kuangalia
Nimeipenda may puding
Wooow masha Allah yani very easy
Mimi zakiya vary good cooking the best I M from Tanzania
Mashaallah nice and cheap to make thanks
Masha Allah jazzakallau kheir
Ma Shaa Allah
Mashaa Allah mabishi Bora
Masha Allah Delicious 👌😋😋 Shukran hbbty xx
Mashallah mungu akuzidishie amiin nimeweza asant sana
The a21a
Asalaam aleikum
Sis napenda sana mapishi yako Allah akulipe kila la kheri.
But Leo nimejaribu kutengeneza podini haikushikana sijui nilikosea wapi. Please guide me.
Thank you
Moto uwe wa juu au both juu na chini habibty
moto wa juu na chini
Ok shukran
Nimeioenda ni nzuri na rahisi kuipika
MashaAllah was looking forward this
Thank you my dear for the nice recipe.Im going to try it for sure it looks so yummy.I was born in Tanzania so I understood very well I speak the language as well.Asante sana.Sophia.
Hi Sophia, thank you so much for watching my video, please let me know the recipe feedback:)
Thanx to video,nice puding
Jamani nilikua wapi hizi suku zote????thanks soo much for this channel.
Nice 👍shukran me ntajaribu
Shukran pia kwa kuangalia :)
I'll try In shaa Allah
Maa Shaa Allah
Best recipe thanks
Mucho Amor
Teamo 😍
Thank you Shuna ... Love your channel ♥️
Awesomeness
Shukrani dear naweka moto wa juu na chini
Ndio moto juu na chini
Nzuri sana hii
Looks so delicious hun Ma Sha Allah 😍😍😍
Thank you so much darling 😙
Inshaallah nitajaribu je oven unawasha moto Wa chini na juu au moto Wa chini tu asante
Moto wa chini na juu
@@ShunasKitchen shukran imetoka fannana full kukiramba
Nzuri sana ntajaribu na mm
Masha Allah nimeipenda sana
Asante sana :)
nimependa Dada ahsante
Karibu dear asante pia kwa kuangalia:)
Mashaalah nimependa
asante dear kwa kuangalia :)
Nimeipenda sana Asante sanaa dada
Merci beaucoup. grasse a vous, je peu faire mon flan maison pour mes enfants 😚😚😚😚
Masha'Allah , very nice thanks dear
You are welcome
good job
Wooow love you shuna
Waoooo!!!!! Mashaallah
Nimependa
MASHA Allah
mashaallah au shunna naomb nmb yko
Ma sha Allah delicious
Thanks alot
❤thank you.tunaomba na video ya basbousa
Ipo pia kwenye video zangu
Waaww beautiful...
Mashaallah kesho nafanya
Ur the best sis
Thank you dear
Naweza tumia nn kucover ,apart from foil?
200C, 30 minutes.. This is one very Hydro consuming Pudin.. Maelezo na presentation yote safi kabisa.. Ahsante
Asante pia kwa kuangalia :)
Nitajaribu my tomorrow I shall Allah 😃😃😃
Mashllah nimejifumza naipenda cnaa
nice
nzur sana
well done Kali Fatehdin ft.
Ma Shaa Allah shukran habibty
Afwan dear
Afwan dear
Asante kwamapishi nimeipenda pudn
MashaAllah I like
Nikitumia oven la umeme inafaa bila kuweka maji chini hiyo poding
Yummy yummy Mashaa
Delicious
Nice dear thank u
Waoh!!!! Maaxhaallah
Shukran dear
MashaaAllah, I love your recipes.. Can you add achari ya kausha recipe
In shaa Allah sis, I will. Thanks for watching :)
Thank you for teaching us
You are welcome :)
Easy to follow recipe, asante sana auntie.
Easy and lovely
masha Allah
Kwa hio lzma ufunike na foil eeee aunt @shuna
Nitajaribu hii kitu lazma maziwa fresh ya ngombe au ata ya kopo?
nimeipenda
Nice
Mashllah hbbty💋💋
Assante sana kwa recipe
Hapo ktk mchanganyiko wa kwny blenda unaweka na unga??ama vp
Hello Kwa kutumia oven unaeka moto wa chini pekee au?
Ukiongeza custard powder 1tspn inazidi kuwa tamu...nice video 👌
Sana tena, asante
Shuna's Kitchen karibu 😊
Alaaaa MashaAllah nitajaribu kesho kueka Custard nione.. shukran
Habibty Nashwa afwan
That's true
MashaAllah TabarakaAllah dear
mashaaaah Allah
Maashallah
Félicitations madame 😗😗😗
Nice ❤
Tamuuu
Mashaa Allah
Mashallah Mashallah sasa moto wa juu na chini au ?
Au wa juu tuu
moto wa juu na chini
Samahn naweza ku tumia maziwa ya unga pekeake na ikawa saw ..?
Tamu
Shukran sana dada 👌
Nimejalib imetoka vizur lakn imenishinda kula
VP aunt naweza nikatumi maziwa ya sukari
Very yummy
Asalam aleykum nilikuwa nauliza moto wa juu na chini ama chini pekee,tnx in advance
W msalam. Moto wa juu na chini
Shuna's Kitchen Sawa hauna group watapp
mm nauliza maziwa yanakua yakuchemsha au maziwa ambayo hayajachemshwa?
Shukraan dear
Afwan habibty
Masha Allah
Mashallaah hii kitu tamu nilifundishwa n muhindi mmoj maeneo ya chud mombosa 💋💋💋💋💋