IDRISS KITAA ZUCHU ALIMCHUKIA SANA JUMALOKOLE /DIAMOND ALIGOMBANA NAYE/HAKUTAKA AMPOSTI TENA

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 19 січ 2025

КОМЕНТАРІ • 14

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 17 днів тому +10

    Baazi ya Wanaume na wanawake wanamuonea sana wivu Zuchu.

  • @oldavidasemu2420
    @oldavidasemu2420 15 днів тому +1

    Ni mzuri sana asijiharibu na surgery she is pretty ❤as they are

  • @rashidfatma2137
    @rashidfatma2137 17 днів тому +7

    Ni Kweli Zuchu ajafurahi, Sasa kwanini Juma akimteza Shere Kama Ulovosema Mke Wa Bossy Wenu, Hana Adabu, Zuchu asiwe Na Ukariku Naye. Mana Hana Heshima, ana Roho Mbaya Na Chuki ya Farikisha Wapendanawo. Si Mtu Wakumuamini hata Kidogo.

    • @fatmafatu1128
      @fatmafatu1128 17 днів тому

      Wapendanao ndio nini uzinifu tu kuandika kwenyewe shida tu😂😂

    • @Shaniatwain06
      @Shaniatwain06 16 днів тому

      Sasa Juma hampendi Zuchu kwann Zuchu ablock account ya Wasafi kiufupi Zuchu anajikuta anawaweza Wasafi nzima hiko ndy kimemponza msimuonee tu Juma aliwakasirikia wote hd Sifa mpaka anakufa hawaongei

  • @channyanjen9047
    @channyanjen9047 17 днів тому +6

    Djuma munafki Sana shenziiiiiiiiiii

  • @SamwelikazimbayaKitahenga
    @SamwelikazimbayaKitahenga 17 днів тому

    Lazma amuonee wivu si hawala mwenzie!hao wote bwana wao mmoja!!

  • @patriciacarlo7236
    @patriciacarlo7236 17 днів тому

    😅😅😅Mzee wao

  • @RemiTuva
    @RemiTuva 17 днів тому

    Ila watangazaji wambea😂

  • @NasmaChambi-ro4el
    @NasmaChambi-ro4el 17 днів тому

    Jumaaaa😂😂

  • @pendomayunga1924
    @pendomayunga1924 17 днів тому +1

    Mmh kwa hyo radio yenu km mtu wa wasafi akienda tofauti asiambiwe basi KAZI mnayo na sisi habari zetu msiziandike tafuteni zenu

  • @fridamnyambii7175
    @fridamnyambii7175 17 днів тому

    Duu je kuhusu marehemu dida ?😢

  • @RehemaKatana-m6l
    @RehemaKatana-m6l 17 днів тому +2

    Endeleeni kupendana zuchu nyie Ni familia moja jaman

    • @yusternyirenda7231
      @yusternyirenda7231 16 днів тому +1

      Hata wasipompenda wanajisumbua 😂😂 zuchu amejua kuwakomesha kwa unafiki na umbea wao 😂😂