Mukasa wewe ni tunu yetu wakatoliki na hata wasio wakatoliki naamini wanaburudika, wanafarijika nakubarikiwa kwa nyimbo zako, nakutamkia baraka kwa jina la Mungu anayeishi.
I still listen to this great song upto today. First heard it in Campus way back in 2018. Plus the Nusu kwa Nusu song. These songs remind me of so much back then in Campus. Mukasa has a way of reminding us how human and mortal we are. While God remains God and immortal.
Nayapenda na kuyatamani maisha kama ya familia ya baba Bernard Mkasa ee Mungu nifunulie na Mimi. Maana naamini amani na upendo ni siraha kubwa katika maisha haya Eee mwenyezi mungu nitazame Mimi pia mtumishi wako
Kweli kabisa ila mm hii family mm ina nikosha naomba ucku na mchana mungu anipe mwanaume mwenye hofu kama Bernard na piya atujalie na watoto wenye hofu ya mungu
Sir Bernard you're very bright. I really admire you and your family at large. How i wish Mungu angenipa pia nami ichokipaji ya uimbaji! May God bless you to evangelize the gospel inform singing
Hakika mnanibariki kipindi hiki ninapotazamia kuumalizia mwaka 2019 Na kuuanza mwaka 2020 kwa uinjilishaji wenu natamani kuwa mfano bora kama mlivyo ninyi familia ya Bwana
Tumsifu yesu kristu tuwekee nota Basi ya huu wimbo mnzuri sanaa
Mukasa wewe ni tunu yetu wakatoliki na hata wasio wakatoliki naamini wanaburudika, wanafarijika nakubarikiwa kwa nyimbo zako, nakutamkia baraka kwa jina la Mungu anayeishi.
Hongera sana ndg safari na chemichemi ya utume vizidi kumea ndani mwako
I still listen to this great song upto today. First heard it in Campus way back in 2018. Plus the Nusu kwa Nusu song. These songs remind me of so much back then in Campus. Mukasa has a way of reminding us how human and mortal we are.
While God remains God and immortal.
Ama kweli hii ni familia Takatifu ya Yesu Maria na Yosefu hongereni sana
Mungu aibariki sana familia ya Mungu yenye upendo mtuombee na sisi familia zetu
Mungu akusimamie ktk majukum yako na familia yako haki ww ni mfano wa kuigwa napenda familia yenye upendo
Kaka Benard na familia yko nyimbo zenu huwa zinanibarik sana..
Nayapenda na kuyatamani maisha kama ya familia ya baba Bernard Mkasa ee Mungu nifunulie na Mimi. Maana naamini amani na upendo ni siraha kubwa katika maisha haya Eee mwenyezi mungu nitazame Mimi pia mtumishi wako
Mukasa, wimbo huu umejaa mafuta matakatifu. Ubarikiwe wewe na familiya
Kweli kabisa ila mm hii family mm ina nikosha naomba ucku na mchana mungu anipe mwanaume mwenye hofu kama Bernard na piya atujalie na watoto wenye hofu ya mungu
Mungu ni mwema amewajalia sauti Nzuri ya kumtukuza msichoke wala msirudi nyuma kwakua mnatuinjilisha sana NEEMA na BARAKA zake ziwe nanyi daima Amina
ndivyo Mungu alivyojifunua kwako Bw.Mukasa wapo waimbao na wahubirio
Mungu na akutangulie
nimehamasika kufanya vile wew unafanya
Ukuu wa Bwana uwe always with us
Nawaombe mungu awajalie kipaji cha kundumu katika familia hii na mm vilevile mungu anifungulie kipaji kama hicho chenu na mungu awabariki.
Natamani kuwa Kama mungu amekuinua kw hakika
Inahitaji akili kubwa sana kukujua wewe ni mtu wa aina gani you ar so bright mukasa live long our legend
Aliyewachagua kama familia azidi kuwamiminia baraka zake
Mbarikiwe sana familia takatifu ni ile ya kumpendeza mungu ninyi ni familia hyo mdumu katika pendo LA mungu!!!!! Blessing
Hongera Familia ya Mkasa, nawatamani Sana Mungu aendelee kuwabariki
Hakika hii ni familia ya mfano katika maisha yangu....
MUNGU awabariki na kuwa kuwalinda siku zote..
Amina.
Nyimbo mzuri sana mkapate baraka kwa mungu
I can spent all day listen to your music, enjoyable and educative. God bless your family
nabarikiwa sana Na nyimbo zenu Mwenyez MUNGU awabariki sana
Mungu azi kuwapa maisha mzidi kuinjilisha uzidi kutusambazia nyimbo
Hakika familia mmependeza,,,,Mungu na azidi kuwaongoza vyema katika uinjilishaji.
Nawaombea sana ucku mnachana muishi miaka mingi ili wazidi kutuinjilisha kwa njia ya nyimboo
Nawapenda sana Mungu mwenye ukuu awatunze kwaajili yetu sote. Barikiwa
Naburudika nafarijika sana kila niusikilizapo wimbo huu Mungu awabariki sana
Hongera sana baba Benard. Natamani sana nami ningekuwa mmoja wa wanafamilia wa familia ya Benard Mkasa.
nampenda hao watotoooo .. jamani hiyo mvulana wa kati kama katunga yeye
ukuu wa Mungu hakika ukuu kwake kwa kuwawezesha kuandaa wimbo na picha hizo
Kweli hii ni familia takatifu yakupendeza mungu, mungu awabariki
Hongera kaka kwa kutumia kipaji bila maringo. Unanibariki sana
natamani familia inayomjua na kumtumikia Mungu kama hii
Mungu awape zaidi
How love this song how i wish there were lyrics
Sir Bernard you're very bright. I really admire you and your family at large. How i wish Mungu angenipa pia nami ichokipaji ya uimbaji! May God bless you to evangelize the gospel inform singing
Mungu azidi kuwamiminia Baraka familia nzima
Hongera sana kaka,hakika umeimba pia ubarikiwe sana.
Lovable Catholic family ❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️💕💕💕💕💕💕💕💕💕💕🙏🏽🙏🏽💕💕💕🔥🔥🔥
kweli kanisa linaanzia kwenye familia , hongera familia ya Mkasa kwa kazi nzr
Nice voice Matilda Mukasa, cogralatulation my mamy
Mungu awabariki sana
Neema hiyo ni kubwa hakika mnawabariki watu kupitia sauti hizi mshumaa huo usizimike ktk familia yenu asanteni sana
MUNGU awaongezee nguvu ili mzidi kulihubiria neno lake
Mungu awabariki nyimbo zenu zinatubariki sana
Mungu awape zaid ili mkazid kulitangaza neno la Mungu
Nata mani sana familia ya hivi mm
nafalijika sana nikisikiliza nyimbo hiz mungu awaongezee baraka tele
Mukasa niombee sana natani kuwa na familia kama yako jmn kila ninayo mpata nichenga tu
sauti zinapendeza n kuvutia kweli kweli
kinanda kitabu sana maneno yanavutia wenzetu mpewa maarifa kwajinsi hii
mubarikiwe kwa uinjilishaji mzuri wa uimbaji..
Naomba ushauri Kk kazi yenu nzuri saàna
Enjoyable and educative God bless you
Mungu ibariki sana hii familia na Mbarikiwe sana Triple V.
Naqubali naqubali my role model
Hakika mnanibariki kipindi hiki ninapotazamia kuumalizia mwaka 2019 Na kuuanza mwaka 2020 kwa uinjilishaji wenu natamani kuwa mfano bora kama mlivyo ninyi familia ya Bwana
Kazi safi....Baraka tele kwenu
Mungu awabariki sana
inapendeza sana , Mungu awabariki
mungu awabaliki familia ya mukasa kwa uijilishaji
Ee mungu naomba mwanaume mwenye hofu ya mungu kama bernadi mukasa nimechoka haya maisha mizigo yanielemea
Familia Mungu awabariki ,lkn mmemtenga Dada anayewalea watoto mnapokuwa kwenye majukumu ya kz naye nifamilia angestahil aonekane katika nyimbo
mbarikiwe sana kwa juhudi mnayoionyesha
What a wonderful family. God bless you. Am touched by your inspiring songs.
Tumsifu yesu kristu...
Du familia hii imebarikiwa
Dah kuna watu mungu kawajalia
Wow, that's a blessing, we thanks God for you and the family. God bless.
Benard mung akbarki nyimbo nzur
nice Mungu awape zaid
mungu awajalie her na barak zake tele
familia yetu tunaimba wote hususani watoto wanafuatilia kwa makini
Hongera Sana mungu awajaliye afya njema
hey...its amazing family. God bless ye all members. am so glad to enjoy the art ye do.
eric luvumwa
Nabarikiwa sana jaman
Thank you Mukasa Family, your songs touch my heart big?
Big up Mukasa's family kwa uinjilishaji kupitia nyimbo!!
ww baba unauwezo mkubwa wakutafakari mungu akuongezee tafakari kila siku ili uikonge mioyo yawatu
Nimeipenda pia.Baraka tele ziwe kwa familia hii.
Nimeipenda pia.Baraka tele ziwe kwa familia hii.
Siyo kutafakari tu,nakutafakarisha pia.
i meant ...... nawapenda hao watoto na hasa huyo mvulana wa saizi ya kati kama katunga yeye wimbo .. familia nzuri
Balikiwe sana na familia yako bwana mukasa
Hongereni sanaaa mbarikiwe
Mungu ahimidiwe milele
We mungu nitie nguvu natamani familia ya hivi mm ee mungu nisaidie nipate mwanaume wa hivi mcha mungu
nice mungu awape zaidi
Mungu anaona Nia na dua zenu na hatowasahau kwa wakati wake hongereni
Maneno no shooting vimeachana mbali, nisaidie kuufaidi wimbo huu
𝑪𝒐𝒏𝒈𝒓𝒂𝒕𝒖𝒍𝒂𝒕𝒊𝒐𝒏 𝒏𝒊𝒄𝒊 𝒄𝒂𝒕𝒉𝒐𝒍𝒊𝒄 𝒇𝒂𝒎𝒊𝒍𝒚
Waitu mayoge Tata.......
Amen 🙏🙌
Ameen!
let God's blessings be upon you and your family forever
M'bariweeeeeeeee.
Great family, be blessed
ongera sana
Nautafta wimbo unaoitwa kishindo mbona ujauweka?
safii sana
Shivania
Hongera sana baba Benard. Natamani sana nami ningekuwa mmoja wa wanafamilia wa familia ya Benard Mkasa.
Ni familia moja katika kristo
Watoto wa Mungu wote