Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Bravoo huyu mrembo Sofia i like so much🥰🥰🥰🤣
One love bravo am from Kenya
Thank you
Waaaw atakama nimechelewa nipe like tatu tuu❤❤
Halafu uzipeleke wapi?
Juma jicho noma
Kazi nzuri sema ingekuwa powa ungemwambia kuwa ulimsaidia kipindi unaingia ndani mwao ili aanze kukupenda yeye ingenoga sana
Mwakatobe mwanae ndio udugu wake😂
Rastafarian 😂😂😂kwa wema gani mpk mungu akusamehe dhambi zako zote😂😂😂
Bravo bamukwe mwakatobe anakwambiya umupelekeye moto binti yake apanakumuchezeya
😅😅😅mwakatobe fundiiii😂😂🎉🎉
Nipeni likes zangu❤❤❤ Alafu bravo tupeni zifuatazo
Mwakatobe kwa hilo butii umenimaliza jamani 🤣🤣🤣🤣🤣
Nakukubali sana kaka bravo
Shukran sana
Sofia mzuri nampenda
Juma Kawa mweusi kinyama vip Nini shida jua Kali nn😂😂😂😂😂
Jumaa ataliii sana
Bravooo genias 😅
Juma jicho anabalaa huyo..😂😂
Baba mkwe huu mwendelezo bas
Noma sana kaka bravoo
Wa kwanza ni mimi leo like zenu naomba
❤❤❤❤what a nice do (job) BRAVO 👏 🙌
ila jumaaaaa😂😂😂
Juma jicho ataka kuhamishwa na lizzy pia😂😂😂 🙌 🙌#mmeweza🎉🎉🎉
mwakatobe kazengua....hana uhalisia
Juma kijivhooo huyoo
Ila juma jicho 😁😁😁😁 umeshindikana🙌🙌🙌
Ila.jumaà we msh3nziii sana😅😅😅😅😅😅from dubai
Saut ya mwakatobe sijaiewa 😂 inaboa
Ni vyema ungepiga kwanza project moja Kisha uingie nyingne man Mashabik tunaofatilia mmnstuchanganya
Yan kabisa,muv zake nyingi sijui kwann hamalizii jmn
@@nancyg8664 sijajua anafeli wapi angetoa moja moja ili na sis tuwe attention na series zake
Mavaz hayafanani na mfanyabiashara mkubwa
Bravo genius
wa kwanza leo 😅
Umepiga vp hapo director b
Blavo❌Brravo✔
Mwakatob kaharibu kwa huo uongeaj wak
Yaani ndio ishaiaha ivo😢😢 mko vizuri sana lkn🎉🎉
Buda huyo muhuni tu kama amelewa yeye ayuko karibu na mungu piga chapuchapu
Bravo no yule dada niko springfild km hato jali!!!
Mpo sawa uyo fatu vip
Mwakatobe mwakatobe mwakatobe 😂😂😂😂😂 umezingua mtu wangu kwenye uhusika wa kuwa mzee wa familia huja kaa bora upigwe konzi ya ulimi tu😂😂😂
Inatakiwa madailekta mmuangalie sana mwakatobe anapo kua sehem ya siriasi mm cjapenda Jin's alivyo cheza kama mtu mwenye pesa
Umenena,kama baba mkwe pia atamtamkiaje mkwewe ati ampelekee moto bint yake😮
Mwakatobe umezingua
Nmetoka mbali namfata juma jicho
Mbona huyo dem alotekwa yuwakaa uchi sana wanaume wamshika majaliyo wamchunguliya
Ndo sababu pia ya hao wahuni kutaka kumbaka
Mwakatobe umezingua hujavaa uhusika ipasavyo....
mzuri
nilitaka nishangae jumajicho aache😃😃
Ilaaa jumaaaa doooooo😅😅😅😅
🔥🔥🔥🔥Kali ,, ndunia nyigine iliisha au
Iliisha Itazame hapa DUNIA NYINGINE Full Movie ua-cam.com/video/rdGr3HAvzd4/v-deo.htmlsi=wxoNMeU4ZB3Z6OSt
Bravooo.move zako humalizi.ile ya Dunia nyingine sijui imeishia wapi
Imeisha Tazama hapa DUNIA NYINGINE Full Movie ua-cam.com/video/rdGr3HAvzd4/v-deo.htmlsi=wxoNMeU4ZB3Z6OSt
Mwakatobe iyo sauti usitumie inatuboa ongea kawaida tu unakera bwan
Juma jichooo oyeeeeee
Vp mbona sielewi ety
good movie
Ila Juma eti umemwacha wapi😂😂😂😂
Mwehu yule 😀😀
Alafu aana ela😂😂
Raha Sanaa
Hamamaliza bado
Uyo mwakatobe uku ajaigiza vizur
Hio sauti aijapendeza,mimi imenikera.lakini movie nzuri😊
🎉
Imeishia patamu
Mbn Haina quality nzuri
Labda internet yako kaka quality ni 4k hii
Mbona ipo sawa tu 🙃
@@bravoogeniusbroo bravoo uyo dada anaitwa nani
Movie mbele
Bro bravo Sandra yupo wapi?
Mlandizi
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤🎉😢

Blavo❌
Brravo✔