Розмір відео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показувати елементи керування програвачем
Автоматичне відтворення
Автоповтор
Hongereni aki dadangu nakukubali sana mwanzo ile ya uchawi wa asma kiukweli ulinivunja mbavu
Nimeipenda Sana filamu yenu mmeigiza vizuri Sana. Mungu hawabariki sana
Hongera Allah awape umri mrefu ili mzidi kukuza vipaji vyenu inshallah
Kwa kwel tang nianze kuangalia hiz mov zenu huwa nazipendaa sanaa na naenjoy sanaa❤️❤️❤️🤝
Ni nzuri tatizo vipande vingine wakiongea hawasikiki wameweka song haija kaa poa
Mnaweza sana mungu azidi kuwapa nguv ili mzidi kufanya kazi zenu
Aisee katika move za kibongo hii nimeipa %100 hongereni sana endeleni kukaza safari bado ndefu
Mashaallah shukran sana kwa kutuletea sinema nzuri Allah awzdshie kipaji chenu nakupenda Sana nasra
Vizuli san
Hi I
@@mtimamtimavalye5084 l
Aisee mnastahili kipewa sifa kwa filamu nxuri ila nasra umenikosha sana pokea♥️♥️endelea hivyohivyo dear kiukwel nimeinjoy😘😘
Niko Kenya lakini napenda kazi yenu sana. Nasra juma na wenzako hongera.
Asante dada Nasra jmn ❣️❣️❣️ fupi tamu haina Mambo mengi Nice
💖💝mochiwaaa ni hatar Kwa afyaa duh!!!!!
mashallaaah kazi nzuri jamani nimeipenda bure wazigulaa wagamba ntanaah
Hicho nikizigua au kisambaa
@@ummyshedafa2125 mzigua na msambaa wanaelewana wakiongea sio Ajabu mana maneno yao mengi yanaendana
Mochiwa umetisha kaka "karata" uliopo umeitendea hakikabisa yani usiiache iyo karata very nice
Hongereni kwa muvie nzuri
Hongeren kwa kaz nzur sana.lakn muchiwa ucitumiage kanzu ktk uhusika wa aina hio.
Nasra nkukbli ktk movie zko unapambna vzr good goodaaa
Me too napend san anav igiz. Yan uk poa san and she's the one that made me start watchin their movies.
Ongereni sana wapenz kwakazi yenu zuri sana mubarikiwe wote ❤️
MGOMA KUFA full movie. ichek na hii
Jamaa umeigza vzuri ila hayo macho usiyalembue unaharbu move aiseee
Duuuu hongera Nasraa move zako hunibambaa Haha husindwi
😳😳 huyu mkenya kla chanel yupo Duuh 🤔
Hongereni sana guys ❤❤
Sinema ynu Ni nzuri gingera sana
Jamani film poa sana bt kwenye utamu ndio Sauti hamna kwenye mapambano ndio imeisha lo.hongereni
Daaah!!! Movie kal hongera sana Hawa na wenzio ote salute kwenu 💗💗🔥🔥
Yanga na hief
Wow!iko vity sanaaa☺☺😑
Mumezingua watu wanaongea nyie munaweka mziki haujafikisha ujumbe vzr ila kiasi mumejitahid ❤
2021, December24 Bado Mzigo Nautazama... Happy Marry christmass & Happy New year Kwenu Nyotee
Mochiwa imekula kwako
Mm nimempenda huyo dada anaefagia km ukokama mm like
Huyu dada nilimpendaa bure move zake chonjoo
Shukran Sana Na Hongereni Sana Washiriki, Picha Tamuuu Nampenda Huyu Dada Nasra.
P0a
Mekupenda Mochiwa bure kabisaaaaaaaa sio kwa kuringa Huko😂😂
😂 😂 😂 😂 😂 yan linatixh xan
Kwenye sauti mmeboa sana kipande kizima hakina sauti
mpo vzr Sana endeeni
Mnabana sauti kwa Mambo ambayo yafaa tuskie banawe. Aaaahhh!!!!:-|👹👹👹
Nice game i like it congratulations maila
Inaogopisha aky mungu tu mpekee yake alinde watu kwa mitego ya nduniani juu hii ni maneno yalioko
hahahahahah hongeren sana kutuletea vitu vikali kama hivi!
Mochiwa mwenyewe anavyorembua😂
Analialia ka mc pilpil
Hii inaitwa usivagae mtu usiye mjuaMtoto mzuri nasila kumbe moto wa kuotea mbaly
Hamjui kuect kipande kimoja masaa 3 sauti akuna yan bado sana
Aaahhh mo chiwa piga mti baba
Wow very interesting 👏shukran kwa waigizaji wote💚💛💞
Muvi nzuri sana ila sauti haifai inakatakata tutaelewa Nini sasa
Shukran sana ila tu upunguze music iko juu sana
Huyo mochiwa ni popobawa karudi tena
😂😂😂😂😂
Filamu nzili sana lakini makosa mlifanya kuna mahali mlikataa kueka sauti tuwaskiize hata sisi woto kwani mlikua mtanataaj
Asma hongera zako dada
Movie tamu sana
Naa anatumia jina gan insta I like her🥰🥰
Hiyo filamu ni nzuri lakini hiyo vikipondi vienyu vinaaribu.
Nakubari Sana mwanangu
Naipenda Sana Chanel hii nawatu wake
Kazi nzuri asma
Ak nimependa hii snema 🔥🔥
💘
Mov nzuri mmezingua sauti
Ubaya mwazungmza sana kweli
Maashallah kazi nzuri sana
Mmejitahidi.. jitahidi kuwa makini upande wa sauti
Hongeren kwa kuifundisha jamii ili nao wajue kama mambo kama hayo yapo kwenye jamii zetu..
Duh mnatisha cio poa but mochiwa pozi linazdi
maongez ndo utamu wenyew bhn hap mmezingua
Muchiwaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣wamekukosea nin walembo ad wakuzalie kwaamuli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nzuri sana movie
Nasra I love you so beautiful wallahi billahi 🥰🥰🥰🥰
Hiii Vita ya msambaa mbondei usitie maguu
Mochiwa hataki kuitwa mzee,
Mochiwa ni mzeee
🤣🤣mochiwaaaa hatariij
Muvi nzuri sana endeleeni ivyo ivyo
oooooi kumbewakina xhee habudala wanakinenge namunahiyo
Hatutaki mziki jamani hamsikii 🎤🎤
Mambo
Mbonasautihaipo
Ikopoalakinisautihamna
Kipaji kizuri ongereni
Nampenda San movie za nasra
Oya mmeniboa sana kwa sauti
Noma mochiwaaa
Nice one, kwangu sauti ipo Sawa kabisa
Mnazngua aisee
Hongera broo kila kitu huanza na 1hata iyo elfu kumi inaanza na sh 100 umejitahidi san From Kwamsanja
Haya maisha we acha 2
Tatizo sauti bahadhi ya maeneo ila sinema ni nzuri .haya yapo mitaani
Nc xn my classmate nasra
Pamoja sana nasra movie naikubali
umbwaaa mnakera na mkelele ya mzikii
Nasra nakupenda sanaa uko good
Much love Sana nasra
daah saf san
Kazi zuli sana
I love the song 🔥🔥🔥
Unakaribia kuiteka bongo movie
Movie michiwa mzuri sana
Huku Kenya tunaikubali kinoma sana ongera nasra
Maira mzur nimempena mashaallah
Sauti inje ya Sini zina fanya move iboee
Mbn saut so nzur
Towa hiyo music,
Mbona imenyimwa sauti
Nzur sana
Movie nzuri sana
hello
Haina sauti mikelele tu ya midundo mmetuwekaMuwe mnazisikiliza kwanza ndo mnatuwekea
Filamu nzuri lkn tatizo kwengine mna nyonga sauti hatusiki,plz MOCHIWA rekebisha upande wa sauti.watching from 254 kenya.
Tamuuuu
Filam nzur sauti hamna.
Sauti imekata kabisaaa sijui kwanin ili tatizo limekuw kisiriKaz nzur
Kazi zuli dada
me binafs nimeikubali sana hii muvi yenu
Yapendeza ila yaogopesha mno ila asanteni sana...
Mbona mmeitoa saut ujinga mtupu aondoa saut atuekea vinanda ikiwa wa2 wanaongea then atuckii mazungumzo yao
Jamani movie nzuri Ila mbna shida ya sauti huu mziki wa nini?

Hii inaitwa usivagae mtu usiye mjua
Mtoto mzuri nasila kumbe moto wa kuotea mbaly
Hamjui kuect kipande kimoja masaa 3 sauti akuna yan bado sana
Aaahhh mo chiwa piga mti baba
Wow very interesting 👏shukran kwa waigizaji wote💚💛💞
MGOMA KUFA full movie. ichek na hii
Muvi nzuri sana ila sauti haifai inakatakata tutaelewa Nini sasa
Shukran sana ila tu upunguze music iko juu sana
Huyo mochiwa ni popobawa karudi tena
😂😂😂😂😂
Filamu nzili sana lakini makosa mlifanya kuna mahali mlikataa kueka sauti tuwaskiize hata sisi woto kwani mlikua mtanataaj
Asma hongera zako dada
Movie tamu sana
Naa anatumia jina gan insta I like her🥰🥰
Hiyo filamu ni nzuri lakini hiyo vikipondi vienyu vinaaribu.
Nakubari Sana mwanangu
Naipenda Sana Chanel hii nawatu wake
Kazi nzuri asma
Ak nimependa hii snema 🔥🔥
💘
Mov nzuri mmezingua sauti
Ubaya mwazungmza sana kweli
Maashallah kazi nzuri sana
Mmejitahidi.. jitahidi kuwa makini upande wa sauti
Hongeren kwa kuifundisha jamii ili nao wajue kama mambo kama hayo yapo kwenye jamii zetu..
Duh mnatisha cio poa but mochiwa pozi linazdi
maongez ndo utamu wenyew bhn hap mmezingua
Muchiwaaa🤣🤣🤣🤣🤣🤣wamekukosea nin walembo ad wakuzalie kwaamuli🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Nzuri sana movie
Nasra I love you so beautiful wallahi billahi 🥰🥰🥰🥰
Hiii Vita ya msambaa mbondei usitie maguu
Mochiwa hataki kuitwa mzee,
Mochiwa ni mzeee
🤣🤣mochiwaaaa hatariij
Muvi nzuri sana endeleeni ivyo ivyo
oooooi kumbewakina xhee habudala wanakinenge namunahiyo
Hatutaki mziki jamani hamsikii 🎤🎤
Mambo
Mbonasautihaipo
Ikopoalakinisautihamna
Kipaji kizuri ongereni
Nampenda San movie za nasra
Oya mmeniboa sana kwa sauti
Noma mochiwaaa
Nice one, kwangu sauti ipo Sawa kabisa
Mnazngua aisee
Hongera broo kila kitu huanza na 1hata iyo elfu kumi inaanza na sh 100 umejitahidi san From Kwamsanja
Haya maisha we acha 2
Tatizo sauti bahadhi ya maeneo ila sinema ni nzuri .haya yapo mitaani
Nc xn my classmate nasra
Pamoja sana nasra movie naikubali
umbwaaa mnakera na mkelele ya mzikii
Nasra nakupenda sanaa uko good
Much love Sana nasra
daah saf san
Kazi zuli sana
I love the song 🔥🔥🔥
Unakaribia kuiteka bongo movie
Movie michiwa mzuri sana
Huku Kenya tunaikubali kinoma sana ongera nasra
Maira mzur nimempena mashaallah
Sauti inje ya Sini zina fanya move iboee
Mbn saut so nzur
Towa hiyo music,
Mbona imenyimwa sauti
Nzur sana
Movie nzuri sana
hello
Haina sauti mikelele tu ya midundo mmetuweka
Muwe mnazisikiliza kwanza ndo mnatuwekea
Filamu nzuri lkn tatizo kwengine mna nyonga sauti hatusiki,plz MOCHIWA rekebisha upande wa sauti.watching from 254 kenya.
Tamuuuu
Filam nzur sauti hamna.
Sauti imekata kabisaaa sijui kwanin ili tatizo limekuw kisiri
Kaz nzur
Kazi zuli dada
me binafs nimeikubali sana hii muvi yenu
Yapendeza ila yaogopesha mno ila asanteni sana
...