WAZIRI MKUU AKUTA MADUDU BWALO LA MILIONI 774, AMSIMAMISHA KAZI MHANDISI "MKURUGENZI MSTAAFU AITWE"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 5 вер 2024
  • Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ambana Mhandisi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo kushindwa kusimamia matumizi ya Fedha ujenzi wa Bwalo shule ya Sekondari ya Wasichana Lugalo ambayo ameweka jiwe la msingi la ujenzi wa shule hiyo
    Ashangazwa kutumika kwa fedha yote ya ujenzi wa Bwalo lakini mpaka sasa halijakamilika.
    Bwalo hilo lilipangiwa sh. milioni 774 na wamekwishatumia sh. milioni 341 hadi kufikia hatua ya linta ambayo ni sawa na asilimia 40 ya ujenzi wake.
    Aagiza asimamishwe kazi kupisha uchunguzi, yumo pia Mkurugenzi Mstaafu wa Halmashauri aliyestaafu mwezi Aprili mwaka huu, ambapo Mheshimiwa Majaliwa aagiza aitwe na ahojiwe.
    Mheshimiwa Majaliwa yupo mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi.

КОМЕНТАРІ • 130

  • @PH-hg2vn
    @PH-hg2vn Місяць тому +3

    Napenda sana Waziri Mkuu anavyofanya kazi, hivi ndo mawaziri wote wanatakiwa kufanya, hii nchi inatakiwa upelekwe hivyo, nipeni miezi 6 tu nisimamie engineers

  • @mohamedjakaya5355
    @mohamedjakaya5355 Місяць тому +15

    Jukumu la ujenzi wangepewa JKT hao jamaa wanakula sana pesa za serikali wanaturudisha nyuma

  • @majaliwamsigwa6206
    @majaliwamsigwa6206 Місяць тому +9

    Asante Mh,Waziri,kodi zenyewe tunalipa kimaumivu sana,mpaka vimitaji vimepukutika,halafu wao michenji kibao wanaficha mifukoni mwao.

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 Місяць тому

      Asante yako haisaidii tatizo watanzania wenyewe hawamjui adui yao

    • @MnubiMm
      @MnubiMm Місяць тому

      ​@@nsajigwamwakalonge5702wewe unemjua usiingilie Uhuru wa Maoni ya watu huo ni Mtazamo wako Wala sio uhalisia uliopo haya mambo sio Kama wewe unavyofikili labda ungekuwa uliwahi hata kusimamia mradi hata wakwako tu ndio ungejua haya mambo lakini huku kupingapinga tu mladi haki unayo na Uhuru wa Maoni

    • @deniccgabriel6153
      @deniccgabriel6153 Місяць тому

      We ujielewi unashukulu kwa kip tangu Waziri anasema kunamabadiliko?na kwanini yanajiludia kilasiku

  • @user-dk6lw9co5n
    @user-dk6lw9co5n Місяць тому +7

    Majaliwa Nakuamini sana, sina shaka na uzalendo wako ulio tukuka

  • @saidichikota9780
    @saidichikota9780 Місяць тому +1

    Kazi nzuri PM

  • @shadrackdeogratius6760
    @shadrackdeogratius6760 Місяць тому +3

    Kazi za serikali ni za ajabu sana,kwanza watumishi wake HAWAJUI kufanya kazi ndani ya Muda na KUOKOA Muda hawajui

  • @NasriSuleiman-pj4tw
    @NasriSuleiman-pj4tw Місяць тому

    😮safi sana wanyooshe hao

  • @cmellengotila1803
    @cmellengotila1803 Місяць тому

    Pole sana eng Emmanuel sigachuma, ila mungu yupo tutakuombea. Nimesikitika sana ila mungu yupo.

  • @JumaSospeter
    @JumaSospeter Місяць тому

    Pole sana Engineer Sogachuma, kwa ninavyokufahamu hapo umetwishwa mzigo ambao sio wako, ila alikuwa anasema hakuna store ni kama has a worst plan to spoil your character and position

  • @aflahrajabu9919
    @aflahrajabu9919 Місяць тому +2

    Mungu akupe umri mkubwa pm na hongera sana

    • @user-ng9bn3jj3x
      @user-ng9bn3jj3x Місяць тому +2

      Wote hao ni wezi tu wangekuwa wanatenda haki wangewaambia pesa zote waziludishe,.ukishawasimamisha hizo pesa ndo zinludi?

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 Місяць тому +1

      Watanzania wenyewe hawamjui adui yao kazi kusifia tu unadhani yeye siyo mwizi!

  • @MasudiNammanje
    @MasudiNammanje Місяць тому

    Huyu jamaa noma sana 6:11

  • @MaugadoMaugado
    @MaugadoMaugado Місяць тому +1

    Muheshimw ttz hil litakuw endlevu,kwa sababu kweny hz sekta kuweka w2 ambao awana uchungu n hil taifa ila wanacho jali n m2mbo yao,bila kuwafunga Hawa au kuwataifisha itakuw saw n bule

  • @MasudiNammanje
    @MasudiNammanje Місяць тому

    Huyu jamaa noma sana

  • @user-pi1st6pj3w
    @user-pi1st6pj3w Місяць тому +4

    MUNGU Akubariki Sana Mheshimiwa Waziri Mkuu DAMU ya YESU Ikufunike. Simamia Haki

    • @nsajigwamwakalonge5702
      @nsajigwamwakalonge5702 Місяць тому

      Yesu yupi nchi imejaa uwizi

    • @Ali-nl2du
      @Ali-nl2du Місяць тому

      Damu ya marehemu Nabii Yesu bado haijakauka.ndugu yangu?

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      Majaliwa sio mkristo hiyo damu ya yesu haimuhusu kijana.

    • @musapfute6608
      @musapfute6608 Місяць тому

      ​@@Ali-nl2du uyu sio Muhammad ambae anakaburi,, yesu Hana kabur,, nyie komaeni na nguvu ya subiani, SS tuna nguvu ya damu ya yesu, na inatenda kazi

    • @musapfute6608
      @musapfute6608 Місяць тому

      Kamwombea km waziri mkuu wake,, ajamuombea km kassim majariwa,

  • @user-qt7jd5on4z
    @user-qt7jd5on4z Місяць тому

    Apo sawa mazee

  • @LovelyOmbreSky-pu4jt
    @LovelyOmbreSky-pu4jt Місяць тому

    Hii ndiyotunataka wananchi siyoo watu wale tu pesa za walipakodi safii sana mama waache hawa wawatie adabu hawa watu bila ya hivi nchi aiyendi

  • @heronimomsefya3190
    @heronimomsefya3190 Місяць тому +1

    Safi sana

  • @LeonardmpembaMsemakweli-q8s
    @LeonardmpembaMsemakweli-q8s Місяць тому +5

    MAJALIWA MUNGU AKUJAILIE NAKUOMBEA 2030 . Ugombee uraisi

  • @mochemba
    @mochemba Місяць тому

    Hivi kwa nn tunafanya hivi jmn watumishi daaa yaani kila kona ya nchi hii hakuna sehemu salama, watu wanalipa kodi jmn kwa kujinyima TRA wanawafungia biashara zao Lkni watumishi wa serikali wanachezea pesa hovyo jmn hebu Watanzania tuache jmn haya mambo. Hawa viongozi watakuwa wanafika kila sehemu jmn? Pongezi waziri Mkuu Mi nakuaminia wewe na Mh Makonda mnafanya kazi, halafu hapo hapo unakuta mtu anasema oh watumishi wanadhalilishwa, je wananchi hawadhalilishwi kwa kuliwa pesa zao?

  • @vincentauxerbius7554
    @vincentauxerbius7554 Місяць тому

    Wameshayatimba hukoo😂😂😂😂

  • @user-ww4so9ks9c
    @user-ww4so9ks9c Місяць тому +5

    Mnasimamia haki dakika za mwishooo tunaijua hiyo saiv wajifanya mko active😊

  • @LiquidMatejoe
    @LiquidMatejoe Місяць тому

    Ndomaaan watanzania awapewi kaz nje ya nchi kwa upuuzi kama huuu

  • @joojombi2341
    @joojombi2341 Місяць тому

    Tzd wapigaji wengi yaani hao wote wapigaji na wesha zipiga hizo pesa. Takukuru wafanye kazi zao.

  • @mohddelo
    @mohddelo Місяць тому

    Safi sana mkuu

  • @user-qm3hb4sz7y
    @user-qm3hb4sz7y Місяць тому

    Watanzania wanyonge mungu anaona IPO siku atatukomboa tuu.

  • @Ali-nl2du
    @Ali-nl2du Місяць тому +1

    Maguliwa hoyee

  • @UnitedAfrica-uw9ct
    @UnitedAfrica-uw9ct Місяць тому

    Engineer anatwishwa mzigo usio mhusu........Manunuzi na Mkurugenzi

  • @sautiyawanyonge2511
    @sautiyawanyonge2511 Місяць тому

    Hapo hamna kitu

  • @CotridaKigwile-d6p
    @CotridaKigwile-d6p Місяць тому

    Hii nchi inachezewa sana

  • @GibsonNtamamilo
    @GibsonNtamamilo Місяць тому

    Bahati nzuri hakuna tumbua tumbua😂😂😂

  • @denisyohana8104
    @denisyohana8104 Місяць тому

    ila nchi yetu ina vituko sana ,yaani hawa viongozi wa kuteuliwa wanaturudisha nyuma sana ,ni bora mchakato mwingine uwepo wa kupata viongozi wazuri ,ikiwezekana nao wafanyiwe mchujo yaani usaili,awe injinia ,mkurungezi afisa elimu wote waombe kazi na wawajiwe usaili na bodi husika nahisi tunaweza pata viongozi waadilifu...kila mtu ni mpigaji..tu

  • @francisgituti2494
    @francisgituti2494 Місяць тому

    Huyo Majibu ya muhandishi ni tata haukuna kitu hapo ,ondoka nae

  • @jameshensdouglass7632
    @jameshensdouglass7632 Місяць тому +1

    majizi

  • @josephngwega7398
    @josephngwega7398 Місяць тому

    Du hali ni ngumu sana

  • @razackndeze-pv5bm
    @razackndeze-pv5bm Місяць тому

    Nchini China pamoja na Vietnam watumishi wa umma kama hawa hukumu yao ni kunyongwa.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Місяць тому

    Hawa watu wangekuwa wanarudisha fedha na wananyongwa

  • @bilid4128
    @bilid4128 Місяць тому +1

    Mmmh Bilioni 3 .....zimekwenda daaah ! Mwisho wa siku ni kwenda kukamua wamachinga walipe kodi .....daaah 😢😢 ! Mbona Hizo wanazoiba hawarudishi wanaishia tu kusimamishwa kazi ? Pesa nyingi zinaliwa ! Kwenye Masoko ,Minada kote kuna makusanyo ila hela inaliwa haifiki serikali kuu ! Mfano kwenye mnada wa ng'ombe na mbuzi kwenye vijiji kwa siku moja kinachokusanywa inaweza kufika hadi 10M kwa siku moja tu ! Ila utakuta Shule ya msingi choo hakuna ,Zahanati haina Dawa,Maji hakuna ..... ! Hii ndio Tanzania 😊

  • @user-qd8wu1kt5o
    @user-qd8wu1kt5o Місяць тому

    Hao bd

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Місяць тому +2

    Wizi,wizi,kira Ofisi ni Wizi mtupu..Kwanini Hatuwezi kujenga Nchi yetu pasipo dosari.....

  • @viatoryadam1556
    @viatoryadam1556 Місяць тому

    Hiki mm ndo kinachoniuma rais anakopa ela Ila wanashindwa kuzisimamia wanakuja kusituka watu wameishamaliza ela alaf unakuta limtu et anaupiga mwingi ovyoo angekua anko magu hao maji Leo wangeita ma mungu ailaze roho ya magufuli mahali pema pepon Amina

  • @jordanmbata4227
    @jordanmbata4227 Місяць тому

    Heee pungua tena

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 Місяць тому

    Tatzo lipo na rais wetu anasema kulen kidogo msile sn

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Місяць тому

    ASANTE Waziri Mkuu na Pole kwa KAZI ngumu ya kuthibiti ufujaji holela wa hela ya Serikali ambayo ni Kodi ya Watanzania Baadhi ya Watendaji waliopewa dhamana ambao ni wezi wa mali za Umma ni mzigo kwa Taifa.

  • @festohaule9716
    @festohaule9716 Місяць тому +2

    Kazi ya uchawa tu..Mama Samia Mama Samia kazi ahaaaa!!!!!

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@festohaule9716 wewe ndio mchawi sasa, sijui ni wale chagadema naona.

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 Місяць тому

      @@MilloWamilonga-ft8ir Kazi yenu ni uchawa tu..ety Madawati mpaka aje Waziri Mkuu shenzi ..Mkoa unalundo la Viongozi!!!! Kama wewe unapendezwa na tabia za kifasadi wewe ni Zezeta shenzi!!!!!

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@festohaule9716 tuamsifia makengeza mbowe mwenye saccos binafsi.
      Lissu na wengine ni vidampa tu.
      Halafu katiba mpya shwaini.
      Miaka 34 m/kiti ndio yeye tu kwa kisingizio cha utithi kutoka kwa baba mkwe Mtei fankulo

    • @festohaule9716
      @festohaule9716 Місяць тому

      @@MilloWamilonga-ft8ir Mbowe anakusanya Kodi wapi!!! Mazezeta bhana!!!! Kusifia tu Madawati tu kukagua mpaka Waziri Mkuu wa Nchi ety!!!! Uozo mtupu..ni aibu kwanza .vitu vya kufanya Mtendaji wa kati aje Waziri Mkuu ety!!!!

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@festohaule9716 kumbe hujui, kuna ruzuku kibao hutumwa kila chama cha upinzani na saccos ya mbowe inaongoja.
      Anashindwa hata kutoa panadol yeye na mikutano tu kuwazuga wenzake.
      Usisahau makengeza ni mlambaji mzuri wa asali kutoka ikulu.
      Ww chelewa tu.

  • @zubeiramlanzi2480
    @zubeiramlanzi2480 Місяць тому

    Dah pesa nyingi imetoka lakini wapi...

  • @vicentmapunda3146
    @vicentmapunda3146 Місяць тому

    Iv hapo cjaelewa jmani/ni bilion mia saba au mialion mia saba

  • @PaschalGerad-xq4lw
    @PaschalGerad-xq4lw Місяць тому

    Kasm majaliwa majalia rais wa jamuhuli yamuungano wa tz kila mtanzania atafrai sana tena sana atapita bila kupingwa namtu yeyote tunaamin munguyuo ipo skumoja atakuwa

  • @jumashedafa
    @jumashedafa Місяць тому

    Safi san na ndio maana nasema serikali ianze kwa kudhibi upotevu wa fedha si kila cku kutuanzishia kodi mpya watu wanaumia mno...Ripoti ya CAG ifanyiwe kazi kila mtu alipe

  • @user-qm3hb4sz7y
    @user-qm3hb4sz7y Місяць тому

    Kuleni TU hii nchi IPO siku mungu atatupa raisi kama magufuri.na wazili wake majaliwa.

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir Місяць тому

      @@user-qm3hb4sz7y wewe ndio mpumbavu halafu kichwa chako kimejaa mavi ya kuku.
      Yaani muuwaji, utawala wa mkono wa chuma, na udikteta irejee?? Fala sana bwamdogo wewe.

  • @alidamgeni7051
    @alidamgeni7051 Місяць тому

    Ni wapi hapa

  • @juliuskitaluka1206
    @juliuskitaluka1206 Місяць тому

    Changamoto kubwa sana

  • @kondoatown8765
    @kondoatown8765 Місяць тому

    Hii namna ya ununuzi wa Tanzania mnatakiwa mkae muumize kichwa mno mbadili namna la sivyo hii nchi itabaki chini miaka yote sijajuaga mpk nimeingia ktk mfumo huu yaani watu wanajiongezea humo balaa , watu wanapiga mno kwny hii miradi wakirugenzi ndo mamamaaa aisee !! Tafuteni namna aisee laa !! Sivyo tutaumia na nchi itabaki chini miaka yote .

  • @user-kg4lx3uf4o
    @user-kg4lx3uf4o Місяць тому

    Hapa ni mkoa gani jaman

  • @CostantineAmos
    @CostantineAmos Місяць тому

    Tunaomba.ukumu yake if anyike haraka Kam ilivokuwa kwa yule jamaa aliechoma picha ya mama..Ili haki itendeke

  • @julianprubavu4069
    @julianprubavu4069 Місяць тому

    Hivi mtu hats amekwapua tu bilioni 3, kusimamishwa kazi inamuathiri nini. Mi nilitarajia akamatwe na kushitakiwa.

  • @rehemashabaniameen
    @rehemashabaniameen Місяць тому

    Jamani watu mtakuja kuleta misiba isiyo ya lazima, hembu tazama sasa unaambiwa huna kazi ukiwa unatafakali hapohapo unaambiwa unakwenda mahakamani mtu hajafa tu hapo 😂😂😂😂

  • @LiquidMatejoe
    @LiquidMatejoe Місяць тому

    ata shule ya mama samia uku namtumbo niwiz mtupu akunamaendeleo yoyote

  • @shabanipanya1033
    @shabanipanya1033 Місяць тому

    Sisi watu weusi tuna matatizo gani kwa nini hatuwaonei watu huruma tunao waongoza

  • @jonasjonas8111
    @jonasjonas8111 Місяць тому

    Hawa watu wasiojali wananchi kwann wasifungwe maisha/wasinyongwe ili wengine wajifunze? Always hayahaya mambo mwisho wake hatuuoni ni kufukuzwa kazi tuu then wat? Kesho Lazima arudie mtu mwingine coz watu hawaogopi kufukuzwa ikiwa walichoiba kinaweza wasaidia kuendesha maisha. Huu ni ushenzi

  • @swaiagnes6696
    @swaiagnes6696 Місяць тому

    Rais Samia anajitahd kutafuta fedha lakini wateule wake wanamwangusha😢

  • @mustaphamuslim1161
    @mustaphamuslim1161 Місяць тому

    Yaaaan hawa watumishi wengine ni kama makondooo

  • @LilianRobert-j1u
    @LilianRobert-j1u Місяць тому

  • @user-yb6ut9in5c
    @user-yb6ut9in5c Місяць тому

    Saf wazri yani viongozi mgesimamiana kwa namnahiyo Tanzania tungekua mbari sana yani nchi imekua ni yawtu wachache tu na familiazao huku balabala maji vituo vya polisi sekta mbalimbali kumejaa matatizo na wazr mkuu ndy msimamiz mkuu tunaomba tusaidie na huku mlimba nako balabala baado hatuoni chochote kinachofanyika no janjajanja tu

  • @msafirimiracle6613
    @msafirimiracle6613 Місяць тому

    Kukopa fedha sio shida,shida ni usimamizi wa fedha

  • @saimonwantango9569
    @saimonwantango9569 Місяць тому

    Ifike mda tuanze kupigana risasi hadharani kwa wale wanaokula pesa za serikali

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Місяць тому

    Serikali msipokuwa wakali...iii

  • @ilynpayne7491
    @ilynpayne7491 Місяць тому

    Hizi ndio sababu tuna chukiaa kulipaa kodi ona ujinga wanao fanya milion 774 ni pesa inge weza fanya mambo makubwa sana ila wanaa tafuna

  • @user-cj1ft4mw2l
    @user-cj1ft4mw2l Місяць тому +2

    Wanasimamisha watu hewa, hakuna hata anaesimamishwa hapo

  • @caesar7745
    @caesar7745 Місяць тому

    Waziri mkuu shida yenu hamja wahi waonyesha watu mfano. Unaiba mnachukua pension yake kama haitoshi mali zake na jela juu. Lakini kila siku eti takukuru. Halafu what. Tumewachoka sasa

  • @emmanueldavid9506
    @emmanueldavid9506 Місяць тому

    Tunaombeni kazi jamani mbona mnatoa fedha nyingi hivyo?ndio maana wanajipigia tu. Nilishawaambia tupeni kazi sisi wakandarasi/mafundi local mbona hamuelewi?

  • @user-qd8wu1kt5o
    @user-qd8wu1kt5o Місяць тому

    They are not needed in development project plan

  • @user-ui5xc6sb5m
    @user-ui5xc6sb5m Місяць тому

    Baba Maja kamua baba

  • @FrancisMtema-s9t
    @FrancisMtema-s9t Місяць тому

    Kilolo we acha tu Kuna miradi ya maji pasua kichwa sana.mradi wa bilioni 1.5,hakuna mabirika ya kunyweshea mifugo.mabomba feki.

  • @user-qd8wu1kt5o
    @user-qd8wu1kt5o Місяць тому

    Ifike mahali wanaopewa dhamana ya miradi ya maendeleo kwa watanzania,ukomeshwe udhalimu na ubadhirifu wa fedha umma.

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 Місяць тому

    Wana lengo la kumhujumu Rais.

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Місяць тому

    Kiteve huwezi sema hapo uwiiiii

  • @HamisiPawa
    @HamisiPawa Місяць тому

    Hv mradi kama huu mpka waziri mkuu ufike ndio uonekane wawakilishi wa rais walikuwa wapi kipindi chote hebu waanze kwa wateuliwa wa rais wa mkoa huo

  • @mweyoms5548
    @mweyoms5548 Місяць тому

    Majizi yanafilisi nchi hii kama watakavyo

  • @yohanamuumbe4628
    @yohanamuumbe4628 Місяць тому

    Hawa wasimamizi hawana kitabu chamanunuzi na matumizi, wameenda mikono mitupu,kweli hapo lazima hesabu zipoteane

  • @godfreymwikola8232
    @godfreymwikola8232 Місяць тому

    Wezi hao wanajaza vitambi tuuu

  • @gwakisakaswaga5249
    @gwakisakaswaga5249 Місяць тому

    there are times nashindwa kujizuia.... kuonesha vile nisivyokuwa muumini wa the so called *utawala bora* yaani hapo unahitaji kuwasikiliza viongozi waliolaza bilioni tatu hapo????

  • @subiramwaka9792
    @subiramwaka9792 Місяць тому

    Swala sio kumsimamisha tu pia wakipatikana na hatia fedha za umma zirudishwe

  • @MenelusCzar
    @MenelusCzar Місяць тому

    YAANI TUTAFIKA MBINGUNI TUKIWA HOI SANA🥹

  • @AhmadiMuhibu
    @AhmadiMuhibu Місяць тому

    Tumbua

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael7935 Місяць тому

    Mpe muda msikilize ili wajieleze vzr

    • @rpynoel566
      @rpynoel566 Місяць тому

      Kiongozi kama wazir mkuu anapotembelea mradi anakua na taarifa zote kabla hajafka kwaio anajua hujuma zipi zinaendelea.

  • @MamodelPark
    @MamodelPark Місяць тому

    Walipe izo pesa kama kwa kutaifishwa mali ili siku nyingine wajifunze we unakulaje pesa zote izo na uoga huna Mxieeeeeew watu tunatoa makodi kila kukicha af nyie mzile tu bila aibu

  • @macksonimwandemele42
    @macksonimwandemele42 Місяць тому +1

    mkuu tunakuombea san wamesha jisahau hao

  • @NaidaMfaume
    @NaidaMfaume Місяць тому

    Ushauliwangu kwa wazili mkuu wewesepanavioziwote wamkoa kwanimkuuwa mkoa anafanya kaziga mkuu wawila anafanyanini wotehao wanateni pasenti timua wakalime lakini hawawatu mnawafuga ndio sababu ya uozo wote huo

  • @samiraabdimahamed4449
    @samiraabdimahamed4449 Місяць тому

    😡😡😡😡😡 wote wapigaji hata huyo Waziri mwenyewe , Mungu atawakata hata kama nikutoka kwa familia zenu. Eti amesimamiahwa kazi , yaani wameshazoea Iba utakavyo mwishoni huna adhabu yoyote zaidi ya kusimamishwa kazi uka enjoy pesa uliyoiba, yaani wanatuona wajinga 😢😢😢 endeleeni tu kushibisha matumbo yenu .

  • @aikt.
    @aikt. Місяць тому

    Leo naomba kuuliza wenzangu, hivi hawa wafanyakazi wakishafukuzwa kazi kuna hatua zinachukuliwa au ndo kashafukuzwa halafu basi??? 🥲

    • @mwanaidimussa
      @mwanaidimussa Місяць тому +1

      Wachache sana wanaochukuliwa hatuaa 😢, wengine wanapiga pesa wanasbiri kfukuzwaa tu

    • @aikt.
      @aikt. Місяць тому

      @@mwanaidimussa hapo hapajabadilisha chochote

  • @edmundnkarangu134
    @edmundnkarangu134 Місяць тому

    Pamoja ni hiyo hela kupigwa bado pia na serikali ijitafakar yaani unatenga mil 774 zote kwa ajiri ya bwalo kweli??? Kwanini lisijengwe la kawaida halafu pesa zingine zitumike kununua vifaa vinginw vya shule au ata zipelekwe maeneo mengin kabisa penye uhaba

    • @fredrickkashinje894
      @fredrickkashinje894 Місяць тому +1

      Hahahaha. 774M ni nyingi kwako tu hamna pesa hapo

    • @danielmwanguku2898
      @danielmwanguku2898 Місяць тому

      Brother hatujengi ilimradi tuu Hilo jengo mbaka vitukuu vyako watatumiaa

  • @karyori69
    @karyori69 Місяць тому

    Mlipomtoa Jafo tulijua hili litarudi!

  • @jolitabukabengwe3070
    @jolitabukabengwe3070 Місяць тому

    Mama SAMIA SULUHU HASSAN uache kukopa.
    Dhibiti Majizi yanayoiba pesa za serkali.
    Majitu haya hayana na huruma na sisi watanzania Masikini mmnaotubana kulipa Kodi hafu yenyewe yanaiba pakubwa.
    Unakopa nyingi yanatumia kidogo hafu yanaiba nyingi..
    Haina haja ya kuendeleza kukopa mama yetu. Kama vipi myanyonge tuu

    • @zully756
      @zully756 Місяць тому

      Dawa ni kugoma kulipa kodi

  • @wazarendotv7966
    @wazarendotv7966 Місяць тому

    Engineer wanamuonea injinia anasimamia ujenzi na sio fedha hapo shida ni mkurugenz wamekuta tuu baba wa watu hajui kujielezea

    • @hamzanyangali2941
      @hamzanyangali2941 Місяць тому +1

      Wakati wa kuidhinisha malipo injinia Kuna Saini yake, hata hivyo ndo maana unafanyika uchunguzi ili kama hakuhusika atarudishwa kazini

    • @JumaSospeter
      @JumaSospeter Місяць тому

      Huyu Engineer ni classmate wangu chuoni, siamini kama tuhuma hizo zinamhusu, kama wametumia 44% ya fedha tu tafairi yake hawajapokea fedha zote ila Hela zomekuja chache na team ya ujenzi ikaamua kuanzisha miradi yote Kwa pamoja pasi na kujali hii ni pesa ya bwalo au darasa

  • @MenelusCzar
    @MenelusCzar Місяць тому

    Wafukuzeni kazi wajinga wajinga woteeeeeeeeeeee Jamani wenzenu tumechoka kuona na kusikia wizi kila kukicha🥹🥹🥹🥹🥹

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 Місяць тому

    Chapa kazi nchi hii wahuni wengi kwa mambo ya kijinga bila kuona mbele huyu alipaswa kufungwa bila kusikilizwa