CHEKECHE - MGOGORO WA PEMBE TATU || MAREKANI, CHINA NA TAIWAN

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Kufuatia ziara ya Spika wa Bunge la Congress la Marekani, Nancy Pelosi huko Taiwan, China imekasirika na huenda hali ikawa tete baina ya maeneo haya matatu.
    Tunajadili ziara hiyo na uelekeo wa hali ya kisiasa kwenye maeneo hayo.

КОМЕНТАРІ • 16

  • @yassinphonyogo2347
    @yassinphonyogo2347 Рік тому

    nyiwote mna egemea magharibi kwani marekan hakuna majimbo yanataka kujitenga

  • @abdalahngozi5455
    @abdalahngozi5455 2 роки тому +3

    Naiona akili mgando kutoka ufaransa, Hakuna mahali US wako sahihi

  • @faustinemabula82
    @faustinemabula82 2 роки тому

    Hivi viongoz DUNIA wanazdiwa akiri na viongoz wa marekan kila mahali marekan anawapganisha ndugu wa jamii moja na majiran nao hata hawastuki jaman,ni zaidi ya ujinga, mgeni ndo anawapganisha!! Viongoz wa bara la asia wajtathimin juu ya ujinga wanaouonesha kwa sasa.

  • @abuutasniym2675
    @abuutasniym2675 2 роки тому

    Marekani niunafiki tuu kazi yao kuchochea vita kwafaida yao. Napia uyo aliepo ufaransa kunakitu apitie tena kuhusu Taiwan kihistoria jee iliitawala chaina ama ilikua chini yachaina na ninamna gani ROC ilitokea na ninani muanzilishi na alitokea wapi nakwasababu zipi. Akisha fuatilia hapo ataelewa kua wataiwaan wenyewe niwachina asilia ambao walihamia ktk icho kisiwa

  • @nicksonrobert1413
    @nicksonrobert1413 2 роки тому +1

    Kenene 🔥

  • @dicksonkyando8989
    @dicksonkyando8989 2 роки тому +1

    Ni kipindi kizuri hivyo fikirieni kukiongezea muda walau kiwe kwa saa moja

  • @joanesslove9494
    @joanesslove9494 2 роки тому

    Awa watu watakuja kureta shida vita ya tatu inakujua

  • @venancejeremiah2721
    @venancejeremiah2721 2 роки тому

    ..

  • @lwimikomwambene
    @lwimikomwambene 2 роки тому

    Nice content