CHEKECHE || Sheria ya kupinga ushoga na tishio la vikwazo vya kiuchumi Uganda - 03/06/2023

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 20 сер 2024
  • Baada ya Bunge kuridhia muswada wa kupiga marufuku mapenzi ya jinsia moja nchini Uganda na Rais Yoweri Museveni kuweka saini kuidhinisha kuwa sheria rasmi baadhi ya nchi za magharibi zimemtuhumu na kutishia kuiwekea vikwazo vya kiuchumi.
    Hili limekaaje?

КОМЕНТАРІ • 3

  • @alijuma8009
    @alijuma8009 Рік тому

    Big up Babu mseven

  • @vitusjackson1354
    @vitusjackson1354 Рік тому

    Magufuri baba fufuka nawewe usimamie taifa lako kama mseveni maana tunako erekea mungu ndio anajua

  • @bminawandu
    @bminawandu Рік тому

    R.i.p mjomba magu harakati zake hizi ungekuepo