NILIKUFA NIKAFUFUKA - 12/15 SIMULIZI ZA MAPENZI BY FELIX MWENDA.

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 2 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 33

  • @lonakirao5275
    @lonakirao5275 3 місяці тому +9

    Venas uko vizuri kwa machale😂yani una machale kama mganga wakienyeji mdogo wangu 😂😂😂

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 3 місяці тому +2

    Pole Vick mungu atakuponyesha

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 3 місяці тому +2

    Katits pole Yote yataisha mungu yuko

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 3 місяці тому +3

    😂😂😂😂 Felix ni haramu ukimaliza simulizi bila ya kusema mapigo ya mbio yanaenda moyo au ehee u gonna kill me 😲

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +3

    Huyu dada lilian kwann anaakili finyooo hivyoo anajisahau ako kikaangoni mana naona atafungua huo mlango tuu naatabaki humo ndani.. huyu filbet anabip kifoo hamjui huyo kaka mtuu

  • @leeheyon
    @leeheyon 3 місяці тому +2

    ayee🔥📻

  • @twinssauditwinssaudi7248
    @twinssauditwinssaudi7248 3 місяці тому +2

    Pamoja ❤❤❤

  • @zenaathumani8144
    @zenaathumani8144 3 місяці тому +5

    Wakwanza jamani naombeni likes zenu 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥♥️♥️♥️♥️♥️♥️ from Italy 🇮🇹 🇹🇿 ciao ciao

    • @leeheyon
      @leeheyon 3 місяці тому +2

      😂😂 hauchelewi dah..

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 місяці тому +2

      @@leeheyon 🥰🥰🤣🤣🤣👋👋

    • @peninamwailunda8813
      @peninamwailunda8813 3 місяці тому +2

      Kamata maua yako

    • @zenaathumani8144
      @zenaathumani8144 3 місяці тому

      @@peninamwailunda8813 asante sana penina wangu 🤩🤩🤩🙋

    • @Amina-rg2xb
      @Amina-rg2xb 3 місяці тому

      Asante Felix tunainjoi

  • @Feisalmatandula
    @Feisalmatandula 3 місяці тому +4

    Twende 🎉🎉🎉🎉

  • @jimmymeshack9338
    @jimmymeshack9338 3 місяці тому +4

    Mapigo ya mbio yakaanza kumuenda moyo 😂😂😂

  • @mariamMilha-st3qu
    @mariamMilha-st3qu 3 місяці тому +3

    Mambo ni🔥🔥🔥🎤Bwana Felx yukonasi🎉🎉🎉🎉

  • @lisazainabu3626
    @lisazainabu3626 3 місяці тому +3

    Wakwanza na mimi🎉🎉🎉

  • @Pretty22750
    @Pretty22750 3 місяці тому +4

    Huyu filbert naona kifo ndo kinamuita anajiona ana akili sana kuchonganisha ili kumpata Vicky kitamrambaa,afu na huyu Vicky alisahau kuwa anawindwa sasa maombi ameyaacha ameona kuwa ni mzigo subiri km hajakufa tena 😢

  • @rosykeny6889
    @rosykeny6889 3 місяці тому +2

    Lillian ajishushe juu anachokitafuta atakipata

  • @AishaOthumani-xq4ec
    @AishaOthumani-xq4ec 3 місяці тому +1

    Yaaani uyu filbert angewekeza nguvu zake kwenye biashara zake angefikaa mbali kuliko kutumia nguvu zake kumfatilia Venus na viki😂😂😂

  • @Amina-rg2xb
    @Amina-rg2xb 3 місяці тому +1

    Muendelezo kaka

  • @jimmymeshack9338
    @jimmymeshack9338 3 місяці тому +2

    Unyama

  • @nurafedrick378
    @nurafedrick378 3 місяці тому +1

    Yani naomba huuuuuyuuuuu likian afanyweee msukulee kudadek zake shezi ..yani yy nashangaxi naona wsmoja tuu

  • @KwizerimanaDinarizadi
    @KwizerimanaDinarizadi 3 місяці тому +1

    Viki alaaca maombi ndio maana wacawi wa namuandama

  • @AnastasiaKilonzi
    @AnastasiaKilonzi 3 місяці тому +1

    Aende wakamwombee Vick masikini

  • @WinniePretty-t1v
    @WinniePretty-t1v 3 місяці тому

    Mungu akutangulie Vicky kumekucha 🔥🔥 Lilian, loooh 🤣🤣🤣 Martin umetonyeshwa kidonda

  • @AnnaMundia-d3o
    @AnnaMundia-d3o 3 місяці тому

    Mambo yamechemuka ..ila huyu mkala ability yake kachanganyikiwa mbona sasa anaconda roho ya Venus....haya twendelee Thanks Felix

  • @aminishabanikibamba5870
    @aminishabanikibamba5870 Місяць тому

    Apo felexmwanda ametupiga eti dawa ya mtwangio

  • @salomewandya7257
    @salomewandya7257 3 місяці тому

    Duh Venance ana machale balaa 😂😂😂

  • @hadiaali5517
    @hadiaali5517 3 місяці тому

    ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @aminamhina9129
    @aminamhina9129 3 місяці тому

    Nice

  • @emmanueljoseph3561
    @emmanueljoseph3561 3 місяці тому

    Venas ni konyo😂

  • @kibibikombe9203
    @kibibikombe9203 3 місяці тому

    Kwani mtunzi wa hii simulizi Ni nani?yapamba kweli uchawi mapenxi na mauwaji kiboko kweli felex tuambie mtunzi tumpe mauwa yake