SIRI YA NDANI PART 2 [MICHAEL WA SHILING ][ FULL MOVIE

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 29 жов 2024

КОМЕНТАРІ • 51

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому +1

    Hahahaha maua ya babu jamen 🎉🌺🥀🌷🙌🙌

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому +1

    Nimecheka kwa sauti kumbe ilikua ndoto

  • @AmenaMm-r5t
    @AmenaMm-r5t 3 місяці тому

    Jaman mm naitaj no ya babu manak asaiv hakun waganga wot ni matapel ila uyu babu yup vzr mashaallah

  • @MkasyswallehsaidSwalleh
    @MkasyswallehsaidSwalleh 11 місяців тому

    Wow move nzr nimeipnda

  • @dorcasmueni2290
    @dorcasmueni2290 Рік тому

    "duh" inspector mzuri sana, ako na hofu ya mungu ndani yake

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Poleni sana pande zote 2 ila hemedi kuwa makini

  • @magnibrondi3152
    @magnibrondi3152 Рік тому

    Kazi nzuri from Oman brother Medy

  • @SelinaSelina-yh3zx
    @SelinaSelina-yh3zx Рік тому

    Napenda sana KAZI yenu

  • @AishaMunga-wn3pd
    @AishaMunga-wn3pd Рік тому

    Hiyo ndio ile inaitwa medy imekula kwako😂😂😂😂sasa utabeba mzigo wako mwenyewe ❤❤❤

  • @خالدالزهراني-ل4ت

    😅😅😅tamaa ataacha

  • @kevooelisante
    @kevooelisante Рік тому

    Hongerenii sanaaa

  • @ggvv9970
    @ggvv9970 Рік тому +1

    Safi sana 😂❤❤❤...Msisaau shilingi jaman😂❤

  • @antonysimiyu-vf5qf
    @antonysimiyu-vf5qf Рік тому

    Napenda sana kazi yenyu🎉🎉

  • @JANETKAZUNGU-kp2pt
    @JANETKAZUNGU-kp2pt 5 місяців тому

    Hiyo pia ni njia sahihi

  • @AishaAbdallah-l9u
    @AishaAbdallah-l9u Рік тому

    Michael vp hiyo shilingi ndio basi

  • @hanifamasudi9732
    @hanifamasudi9732 Рік тому

    Natamani nami yamukute mtu wangu wallah 😂😂😂😂😂😂

  • @kingmediatz5243
    @kingmediatz5243  Рік тому +1

    Karibu wdau wangu mzigo upo tayari huu sehemu ya pili comment like SUBSCRIBE usisahau alama ya kengele ..kubonyeza asante sana ❤❤❤🎉

  • @priscakimburi-sl9ml
    @priscakimburi-sl9ml Рік тому

    😂😂😂😂😂😂hemmed Leo ameyakanyaga

  • @lightnesvitalis1205
    @lightnesvitalis1205 Рік тому

    Medy....kuwa makin ...ila kazi nzuri sana

  • @mpagikhatib3684
    @mpagikhatib3684 Рік тому

    Munatubowa sauti IPO juu Sana yamziki hatusikii kitu😢😢😢😢😢😢😢

  • @soldd-xz5ue
    @soldd-xz5ue Рік тому

    Nimekukubali polisi

  • @Riziki-y7x
    @Riziki-y7x Рік тому

    Mbn mnazinguwa ss ama wendzangu sauti iko sw mm natumia kusoma cz sisikii ktu

  • @auntmakochela4202
    @auntmakochela4202 Рік тому

    Medy upwiru umemmponza😅😅😅 yaliomkuta hata ikipita sket mbele yake anaona kama kapita pusi 😂😂😂😂😂

  • @salumuramadhani3460
    @salumuramadhani3460 5 місяців тому

    hayo mabwambwa wanajiita police alf hayajui Chochote me yameishanikela kwanza

  • @ancillarneema
    @ancillarneema Рік тому

    Dj plz wakati wa maongezi toa huu mziki hatuutaki

  • @sofia-es3dm
    @sofia-es3dm Рік тому

    Medy messi sai analia 😅😅😅😅😅😅

  • @RizikiZiki
    @RizikiZiki 5 місяців тому

    Maskini medi kimekukuta mpaka uruma nazani umekomeaeko hutorudi tena 😢😢

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 Рік тому

    Haaa eti mtu haemi weye unapiga tuu mzigo alipo kua akihema ulitamukiwa sasa umeyabananga

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania9743 Рік тому

    Mapenzi kama hata nifanyiwe tena nitoke nje

  • @samyabahatialhiani401
    @samyabahatialhiani401 Рік тому

    😂😂😂😂😂davidi analipoza

  • @MwamvitaMwilola
    @MwamvitaMwilola Рік тому

    Mi naomba iyo no ya Babu Nika litege jitu langu

  • @Daudi-nt6xt
    @Daudi-nt6xt Рік тому +1

    Sasa nyie police mbona mnakiuka kanuni za upolice mnasachi nyumba bila taarifa za mjumbe na surch warant hakuna mkipigwa je

    • @ancillarneema
      @ancillarneema Рік тому

      😂😂😂😂hio si kweli kuingia bila taarifa ni vile amekaa na mawazo ndio akaota bila kulala😂😂😂

  • @girasoleTV
    @girasoleTV Рік тому

    Good job 🎉

  • @JANETKAZUNGU-kp2pt
    @JANETKAZUNGU-kp2pt 5 місяців тому

    Hiyo uliofanya uwafunga hao vijana ulifanya makosa mkeo ndio mwenye makosa

  • @SamiraSalim-c7b
    @SamiraSalim-c7b Рік тому

    Nice movie

  • @ShanyAbuzefa
    @ShanyAbuzefa Рік тому

    Medi kimemuramba

  • @salumuramadhani3460
    @salumuramadhani3460 5 місяців тому

    Police gani anavaga tai shingonj nyie nae. Mabwambwa to 😅

  • @asfdfarfe9588
    @asfdfarfe9588 Рік тому

    Mm namtaka huyo Mzee nimfunge mume Wangu 😂😂😂

    • @margaretbahari3939
      @margaretbahari3939 Рік тому

      Wasema pole pole mm nitamtafuta,kwa udi n uvimbi tatizo n filamu 2 jmni

  • @maryd1538
    @maryd1538 Рік тому

    😂😂😂good job dj❤❤❤pokea maua

  • @PhilisNekesa-sg5fc
    @PhilisNekesa-sg5fc 5 місяців тому

    Haaha magumboa haha

  • @joseambrosio1503
    @joseambrosio1503 Рік тому

    Beleza

  • @HajraYahya-z9s
    @HajraYahya-z9s Рік тому

    🔥🔥🙌

  • @binthkhamis8042
    @binthkhamis8042 Рік тому

    Hemd shilling ilipotea wap

  • @fatumashehe361
    @fatumashehe361 Рік тому

    Kaka Devin 😂😂😂😂😂😂😂❤

  • @Riziki-y7x
    @Riziki-y7x Рік тому

    Jaman hii sauti vp ama ni cm yngu

  • @MerashJuma
    @MerashJuma Рік тому

    😂😂😂😂

  • @ASAS-q9u9e
    @ASAS-q9u9e Рік тому

    Hemedi yuaota