Tanzania - Juwata Jazz Band - Mariamu Ninakujibu

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 13 вер 2024
  • Katika kupekua pekua nimeikuta hii ya enzi hizoooooooooooo.
    Juwata Jazz chini ya Ngurumo na Bitchuka kabla ya kuhamia Mlimani.

КОМЕНТАРІ • 8

  • @tatumatata2428
    @tatumatata2428 3 роки тому

    Historia ya kweli kurud masasi kakuita mariamu kesha olewa

  • @robertkimbira9541
    @robertkimbira9541 7 років тому

    Wimbo unanikumbusha miaka ya 70s sauti nzito ya Gurumo! Mola amlaze pema!

  • @rashidimusa9052
    @rashidimusa9052 4 роки тому

    Heko mageuko

  • @dausonmalando1378
    @dausonmalando1378 9 років тому

    Asante j.j.b kwa kazi nzuri

  • @sinzasoundbandtanzania6200
    @sinzasoundbandtanzania6200 9 років тому

    Duh, Kaka Ally kwa kweli unatukumbusha redio RTD (Radio Tanzania Dar-es-Salaam) wakati ikitamba ndo redio pekee hata hivyo walifanya kazi nzuri ya kuhakikisha nyimbo zina ujumbe unaoeleweka na kudumu miaka na miaka.
    Asante Ndg Ally kwa kazi ya kuzihifadhi kazi hiz adimu.

  • @mapimwankemwa6778
    @mapimwankemwa6778 9 років тому

    asante sana Abdala Ally,
    ila Ingekuwa poa sana tungeweza kuwa tunapata kikosi kamili cha kila wimbo, mfano hapa naweza hisi tu kwa kipindi hiki msondo, waimbaji Gurumo, Bichuka, Akida magitaa mzee Baltazary, Mwanyiro, Mabela, Pangamawe bado mdogo, Mzee mponda, Midomo ya bata, Mnege, Lusungu, waziri ally kinanda, na nahisi arranger mzee Lusungu, haya mnaofahamu njooni mtupe usahihi,

    • @najmasaleh9231
      @najmasaleh9231 5 років тому

      Mapi Mwankemwa muongeze Abdalah omar Dulla the drama boy nafikir pia ndio alikuwa mtunzi wa huu wimbo

    • @kaitankaitan2243
      @kaitankaitan2243 5 років тому

      Mambo yalikuwa shwali enzi hizo