Unanikumbusha Hawa jamaa walichukua nafasi ya pili baada ya sikinde kwenye mashindano pekee ya muziki wa dance. Lkn waliwika zaidi kwa kibao Chao cha Wivu ukizidi nyumbani kilichorekodiwa mwishoni mwa 70. Thanks edie. Good memories
Eddie you are so amazing! As if it was yesterday, I remember this tune so well, played by Radio Tanzania Dar-Es-Salaam. Those two brothers were so competent. Please, upload "WIVU" by Kurugenzi Jazz..it's one of my favourite tune to date.
Unanikumbusha Hawa jamaa walichukua nafasi ya pili baada ya sikinde kwenye mashindano pekee ya muziki wa dance. Lkn waliwika zaidi kwa kibao Chao cha Wivu ukizidi nyumbani kilichorekodiwa mwishoni mwa 70. Thanks edie. Good memories
Khamis Jumbe 9
Kibao kitamu mnooo! Na katika bendi hii mpiga rhythm Na solo walifanya kazi nzuri
Nakumbuka mbaali
Unaitendea haki you tube keep it up.
mwimbaji wa nyimbo hii ninani
Kurugenzi Jazz walikuwa na makao yao kule Arusha........
yaani tulikua tunaenda siku ya jumapili Equator Hotel. Ni furaha sana kipindi hiko.
eddie wewe mkali, sistahili ku-comment kwenye nyimbo zako, wewe ni wa zama za ukwel
Ahsante Seka
+Eddie Nassor big up.....weka kibao cha Emmy kama unacho
Ahsante Eddie weka kasongo ya maquis
All those good days in Handeni,kwakivesa
Welewe walonga chindedi
Asante kwa wakati
Eddie you are so amazing! As if it was yesterday, I remember this tune so well, played by Radio Tanzania Dar-Es-Salaam. Those two brothers were so competent.
Please, upload "WIVU" by Kurugenzi Jazz..it's one of my favourite tune to date.
Suleiman Jabir Karibu tena Suleiman