Wimbo huu unanikumbusha tukiwa watoto shule ya msingi miaka ya tisini, tukitoka shule mchana unapigwa radio Tanzania kipindi cha salam... zilikuwa ni radha zilizonogesha utoto wetu miaka ile... Ahsante Mwakitime kwa kumbukumbu hii nzuri...
@@ednaednamillanzinia2826woooow Wimbo huu Mtamu sana Nitafutie msaada wa wafadhili tuna NGO ya watoto wenye uhitaji Malezi Foundation Network ❤❤❤❤ Sweet Home
Mpini umetendewa hakika ni Kawelee motimwana nakuona mzee kitime na miwani yako kwenye saxophone je unapiga vyombo vyote 😅kama mzee makusa king makusanya 😅
Nyimbo zenye mahana nyingi nasio nyimboza sasani matusi matupu zinatuaribia watoto wetu
Sana
Nani yupo nami July 13/ 2024?
Nyimbo za ujana wetu.
Wimbo huu unanikumbusha tukiwa watoto shule ya msingi miaka ya tisini, tukitoka shule mchana unapigwa radio Tanzania kipindi cha salam... zilikuwa ni radha zilizonogesha utoto wetu miaka ile... Ahsante Mwakitime kwa kumbukumbu hii nzuri...
Nashukuru umekurudisha miaka nyuma
Ilikuwa moto yaani fire balaa!
yaani ni zaidi ya balaa aisee
Nimekumbuka mbali sana enzi za utoto wakati Baba aliposafiri kikazi,siku hiyo hii nyimbo ikapigwa,imenikumbusha mbali,ya kale ni dhahabu.
I love this song, nakumbuka utoto, old is gold..na sasa nipo nchi za watu but still listening 2023
naomba unitafute Dada
Wapi Ndugu ya yangu
@neemakabale6047 nipo Finland,,but old is gold,, home sweet home
@@ednaednamillanzinia2826woooow
Wimbo huu Mtamu sana
Nitafutie msaada wa wafadhili tuna NGO ya watoto wenye uhitaji
Malezi Foundation Network
❤❤❤❤ Sweet Home
Wimbo umepangika sana
Namuona John kitime anaimpiga gitaa la lyizm hapo, duh na ndie kabak tuu na wenzake watatu tuu
❤❤❤❤❤❤❤❤ Kitime Wapi Upo bro
Mpini umetendewa hakika ni Kawelee motimwana nakuona mzee kitime na miwani yako kwenye saxophone je unapiga vyombo vyote 😅kama mzee makusa king makusanya 😅
Solo hapo ni Kawelee Mtimwana
Solo hapo alikuwa Shaban Yohana Wanted
@@gervascharlesmwatebela1421 bro unakariri Shabani yohana Wanted hana sharubu huyo ni kawelee motimwana
@@Kabeya410 OK Yawezekana maana kama video ni ya mwaka 1989 Wanted atakuwa alishaondoka kwenda Vijana Jazz
❤❤❤❤❤❤
Remind me back time I was a student in 1988, nice song it teaches and entertain too!
Iringa kwa kweli ilikuwa juu sana wakati huko
uje kimulimuli aloooo
huu udongo umemeza watu wengi sana R.I.P Kyanga Songa & Kasaloo Kyanga
NI KWELI KABISA
Walikua ndugu?
Hawa mapacha walikufa wote?
HAPO RAKHA RAKHA TUUU HAKUNA UCHAWI WALAA FREE MASSON
Nakumbuka utoto na wazazi wangu.
Old is gold
Kawelee mutimwana katika gitaa la solo
Hapo nawaona mapacha kasalo na kiyanga Mohd shaweji wote hatunao katika ulimwengu huu Mwenyezi Mungu awarehemu
Yaaaani Espinosa John Kitime❤❤❤❤❤
Hao Mapacha ni balaa 🔥🔥🔥
BALAA
Huyo mpiga Solo!!! Dah!!
Nawaona mapacha wa kazi akina kasaro kianga
.....nimeyakumbuka mengi !
Lupembe baba iyoooooo
Hii ni yenyewe kabisa nawaona akina kasaloo wapo live jukwaani
Kwa kwel izi nyimbo acha tu
Waripiga manzese 1979
Nawaona watoto pacha walikiamsha sana hawa jamaa
Naomba kupigiwa wimbo wa Tancut unaosema " Usinisogelee! mimi siwezi kugombana ........
Nitakuwa kikombe cha Kahawa na Kashata kwake
Huo ulikuwa utunzi wa Hashim Kassanga ambao tulianza kuupiga mwaka 1975 wakati tukiwa bendi iliyoitwa Chikwala Chikwala
Hatari sana
Kawere kiagasogo mtimura wacha rumba birthday jasho
Nakumbuka nikiwa mikumi shule ya msingi mikumi
Unanikumbusha mbali kipindi chenyewe nikiwa mdogo
Dah old good days..😭😭
Anambembereza atamretea zawadi so nani kamwanga pombe yangu
kitambo iringa hyo
Huyo mpiga solo kama bado yuko hai ninamtafuta nimpe zawadi yake.
Kwa sasa naendesha magari makubwa muda huu nipo lubumbashi kongo
Hawa 2 nimapacha kabura wajaenda tankati warikuwa wapi nikumbushe nakumba kititime
Gitaa la solo alipiga nani kati ya shaban yohana au kawelee
Dah😭😭
Ni Harare Tupi nalia😅😅😅😅
Mzee John Kitime huyu mwenye gitaa jeusi ndiye Kawele Mutimwana ???
Alitokea kyauri voice
SHABANI YOHANA (WANTED)
@@hassanirashidi5656wanted hayupo hapo...
Anayepiga Solo Ni Kawelee .Hapo Wanted hakuwepo keshaenda Vijana Jazz
Yebooo iringa moto kipindi hicho
Mzee Kitime huyo mpiga gitaa la soro anaitwa nani?
Huyo ni shabani Yohana ( wanted)
Shabani yohana wanted ni homa la jiji alihamia vijana jazz
Solo la kawelee mutimwana
Huyo ni kawelee mutimwana!!
Nahisi Shaban Yohana Wanted but Kitine atatupa jibu sahihi
Kawelee Huyu kwenye solo
Hapo
Wanted hakuwepo keshachukuliwa na Vijana
Jazz
Solo kapiga nani?
Kawelee mutimwana
Nauliza hapo drums alikua lokasa, au nani je na kinanda alupiga nani maana itembea sana je trumpets kina nani