MAOMBI YA SAA KUMI USIKU-PASTOR MYAMBA
Вставка
- Опубліковано 9 лют 2025
- #HOUSEOFVICTORYCHURCH #PASTORMYAMBA #LIVEHVCSERVICE
This is the Official UA-cam Channel for Pastor Emmanuel Myamba. Is a Pastor of the HOUSE OF VICTORY CHURCH , This church is Headquartered in Kigamboni-Mbutu (Dar es salaam) Tanzania
-----------------------
For Offerings / Tithe and Seeds please send through Western Union / Money Gram / RIA and M-PESA: NETWORK: Vodacom, NUMBER: +255 744 982 517, NAME: Emmanuel Myamba, COUNTRY: Tanzania
-----------------------
Follow Us:
Instagram: / pastormyamba
Facebook: / pastor-myamba-12973112...
UA-cam: / pastormyamba
Call: +255 744 982 517,+255 713 842 123,+255 686 953 030
Naiman maombi hay ambayo nayasikiliza yanafungua mtoto wangu Amina ambaye anateseka kwa ajili ya kuanguka na kunikosesha aman kama mm mzaz naiman mtoto wangu amina amefunguliwa katika jina la yesu kristo mwana wamngu alie hai amen
Amina napokea muujiza, kwa jina la Yesu.
Bwana Yesu asifiwe mchungaji naomba uniombee Mimi na mwanangu naota ndoto mbaya za kulushwa vyakula
Amen Amen, niombee kwenye tunaushi vua itanyesha tuko Kandi Kandi laini kwenu haifiki mashaamba yetu hatuna faida nayo jua ya vua naamini ukisema tu neno moja inanyesha tuvune mtumishi wa mungu mungu
Nmebalikiw namaombi yasanane mchana Amen 4:10
Asante Yesu kwakuunipa. Maombe. haya
❤ Amen 🙏
Amen 🙏🙏🙏 very truly Man of God this message is ready to me know god bless me in Jesus name amen 🙏🙏🙏 god bless you all
Mtumishi toka nikinunua kiwanja nimeishia msingi tu ! Baba naomba mwaka huu Mungu anisaidie kujenga
Nikamuone Mungu kwenye mashamba yangu Mungu akajaze mazao ' mungu akatamie mahali pale
Mungu akujaze nguvu uzidi kutuombea
Naomba mm nipungue Bwana aongezeke
Amen Amen and Amen
Mimi mtumishi solo limelenga Ni mm bwana yesu nikomboe naamuni ameni
AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen
Napeleka mtoto wangu kwenye maombi ya leo alale salama usiku huuu naa mmewangu t
Bwana yesu asifiwe pastor mimi niko Dubai natafuta kazi sipati
Aomba Mungu atakuwampa kazi
Amina
Pastor mwanangu kila hikifika huxiku ana lia sana hila tyukixikuliza maombityu ana ll baada yamda anahamkatena
Ardhi inaanza kunitii kwanzia now kwa dam ya yesu kristo
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tunaomba uendelee na maombi haya asante
Aya maombi ya leo yamenigusa mungu akubaliki muchungaji kila siku nilikuwa najiuliza mbona mmi natafuta na sipati napako wenye waeikuja nyuma yangu wanafanyikia halaka kwa nni mimi binakuwai vi Acha ni seme asant mungu asant mungu asnt mungu
pastor please,pray for my Land home..
Amen 🙏🙏🙏 this happen to me i don't have a job. man of God hoip me to pay to get a job because I don't have a job for know
Ubarikiwe mchungaji tupo pamoja namwungamanisha mtoto wangu Thomas Haule aweze kufunguliwa kupata Kazi ya kuajiriwa kwa jina LA yesu
Amen,amen,🙏🏿 nimepokea kwa jina la Yesu kristo.
AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN
Asnte mtumish, mim naomba uniombee ni mgonjwa na sina uwezo wa kufanya kazi yoyote.nimefanyiwa upasuaji wa pingili za uti wamgongo sina kipato hali ni ngumu sana niombee ili nikae sawa magongo niyatupe nipate uponyaji kwa jina la Yesu pia ninaowadai wapate kunilipa madeni yao hali ni ngumu sana. Kwa jina la Yesu naamini.
Mungu akubariiki sana Niko kongo
Mungu wetu awe nawe
Nabii napokea nifunguwe
Nimepokea baraka zangu kwa jina la Yesu kristo
Nakiu sana ya kujazwa roho mtakatifu
Hallelujah nahitaji maombi nipate shamba nimetafuta shamba for 6yrs na sijafamikiwa kununua hadi sasa
Njoo
Njjoo Mbeya kuna shamba la miti linauzwa
Amen 🙏 mutumishi ubarikiwe na nyumba yakoyote na Jamie yako
Amen 🙏🙏
Pastor Mimi naangaika Kwa kupata Kazi miaka kaaza,ndoto zangu haziti miliki,Niki pata Pesa nazila kama mwizi afu zinapo isha Jo akili inarudi nakufahamu Nini ningee fanya nazile pesa.baba naomba nisaidiye🤲🤲🤲🤲🤲
Nirudishiwe uchumi wangu ambao umeshuka hadi ZIRO
jamb mtu wa Mungu ubarikiwe mimi niko congo nataka niongye nawe
Amina Amina🙏
Amen ubarikiwe
Amen Amen 🙏 🙌
Kweli Baba Mungu Anisaidie kwa Jina la Yesu
Amen🙏
Kwa kila Jambo mungu yuko
Ameni
Mm naona hadi magongojwa pia
AMEN
Following 👍🙏
Connect connect
Pia naomba nikauze kiwanja changu toka natangaza sipati mteja
Ninaomba niponywe magonjwa nanifunguwe kiuchumi
Mchungaji, niombee nikombolewe, nilipwe fedha zangu nadai miaka minne iliyopita nimefuatilia hadi nimekata tamaa
Bwana YESU Akujalie haja ya moyo wako, pokea majibu/malipo kwa Nguvu ya Jina lipitalo majina yote YESU Kristo wa Nazareth
Amen
Nakiu sana ya kujazwa roho mtakatifu
Asante yesu kwa kuniponya
Amen Amen ❤ ❤ ❤
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Amen amen amen
Ameen
Amina
Amin
Amenn
Amen 🙏
Amina baba
Amen 🙏
Ameen🙏🙏
Amen
Amina baba
AMEN
Amen
Amina
AMEN 🙏
Amina
Amen 🙏