Rais Magufuli alivyompigia simu Makonda katikati ya mkutano

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 22 жов 2024
  • Rais Magufuli amekua akitazama live ya CloudsTV na CloudsFM kutoka kwenye ziara ya Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda ambayo ameanza kuifanya na kuzunguka kwenye maeneo mbalimbali ya jiji kujua kero za Wananchi.

КОМЕНТАРІ • 81

  • @MarsUk-cg1gq
    @MarsUk-cg1gq 6 років тому +2

    Mungu akubariki makonda ishaallah Hakuna kama wewe mungu akuweke wewe makonda ilove you so much

  • @universalcreativestudio8488
    @universalcreativestudio8488 8 років тому +4

    Salute sana mheshimiwa Makonda!..

  • @vanessakileokileo374
    @vanessakileokileo374 7 років тому +2

    Uko vizuri Mweshimiwa Mungu akulinde ktk kazi zako

  • @kibaopipa3474
    @kibaopipa3474 6 років тому +2

    AFADHALI AFRICA TUNDEKUWA NA VIONGOZI WAKO WAZI NA WANANCHI KAMA JP MAGUFULI
    VIVA MAGUFULI VIVA

  • @leonardpetro1463
    @leonardpetro1463 8 років тому +5

    safi sana Makonda,

  • @athumanimfaume139
    @athumanimfaume139 6 років тому +3

    dah!! respect kwako mh.makonda

  • @tonybethuel8194
    @tonybethuel8194 8 років тому +4

    Yangu macho tu, tutasikia mengi

  • @gideonkalumbu5220
    @gideonkalumbu5220 4 роки тому +1

    Kama umesikia Rais anajibizana neno Ndiyo na mkuu wa mkoa Makonda weka likes kama zote

  • @evalinnkumbi4139
    @evalinnkumbi4139 6 років тому +4

    makonda i love u so much.

  • @zuuniece6635
    @zuuniece6635 7 років тому +2

    mashaallah makonda tunakutegemea kua rais miaka ijayo

  • @jumamasudimbalazi8363
    @jumamasudimbalazi8363 8 років тому +8

    Dah, leo Makonda nimekuelewa sana

  • @MarsUk-cg1gq
    @MarsUk-cg1gq 6 років тому +2

    Kazi njema Kaka angu

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 5 днів тому

    Ila haya maisha Yana maswali magumu sana

  • @gardmbaga949
    @gardmbaga949 6 років тому +2

    Very good RC MAKONDA

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +4

    Uko vizur Makonda

  • @frankkanyara748
    @frankkanyara748 7 років тому +3

    kazi kaz

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan1365 7 років тому +2

    Makonda wewe ni nomaa

  • @richardbuhatwa1940
    @richardbuhatwa1940 7 років тому +5

    makonda sisi sio wananchi wa rais magufuli sema wananchi anuowaongoza mwenye watu ni mungu pekee

    • @michaelcanisius1615
      @michaelcanisius1615 6 років тому +1

      Richard Buhatwa pumbafuu mbwa ww tena ww ulitakiwa uchapwe viboko 12 siku unaingia jera na 24 siku yakutoka bogaz ww

    • @nsodyaphilimon9153
      @nsodyaphilimon9153 6 років тому

      Richard Buhatwa acha chuki binafsi kama hupendi ndo unafoka?

  • @enockpeter5225
    @enockpeter5225 6 років тому +2

    hongera sana makonda

  • @mwinyikherymwambogoso7713
    @mwinyikherymwambogoso7713 8 років тому +4

    aiiiiiseee ni noma muno

  • @zanzibarmallonline
    @zanzibarmallonline 6 років тому +2

    Safi sana

  • @amsiabbas3809
    @amsiabbas3809 5 років тому

    Siwezi kukulipa mshahara siwezi kukupandisha cheo siwezi kukuwekea ulinzi ila mshahara wangu kwako nikukuombea kwa Mungu akulinde kilahatua unayopiga Insha'allah

  • @jumasalehe4002
    @jumasalehe4002 7 років тому +11

    Kazi unayoifanya yaani mpaka mh, Rais kishakubali kuwa wewe ni jembe haswaa Mungu akulinde Makonda

    • @beatriceoswald423
      @beatriceoswald423 6 років тому

      Juma Salehe njoo Mwananyamala mkuu wa mkoa pale viwanda vidogo utusaidie

  • @zainabubalama4622
    @zainabubalama4622 4 роки тому

    Nakuelewaga Sana Mh Paul Makonda.

  • @husseinswahili7382
    @husseinswahili7382 8 років тому +4

    Tunahitaji Tanzania mpya.wananchi hatupendi kufuata sheria ndio maana tunapenda kulalamika.

  • @victorkorir8604
    @victorkorir8604 5 років тому

    MAGUFULI will be president of East African

  • @husseinayoub5679
    @husseinayoub5679 6 років тому +1

    Rais Magufuli nikiongozi Bora sana

  • @jumaseif4322
    @jumaseif4322 7 років тому +2

    Nakukubari mh,makonda

  • @solomonizacharia868
    @solomonizacharia868 6 років тому +3

    kwani magu ana memor card kichwani au

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 років тому

    Magufuri rais wa dunia100%

  • @sheluizonola7782
    @sheluizonola7782 6 років тому +5

    huyu dogo lazima atakuja kuwa rais wa Tanzania baada ya magufuli maana anaakili utazani kameshushwa kutoka mbinguni kakweli mpaka huruma mungu akujalie dogo

  • @michaelcanisius1615
    @michaelcanisius1615 6 років тому +1

    makonda natamani xana uje angalau uwe wazir mkuu uwanyoshe hawa wanaoonea wananch na ninafikir kwa kaz unayo ifanya niyatofaut xana tena ww makonda nakupenda ufaa kabisa kuwa rais

  • @zainabubalama4622
    @zainabubalama4622 3 роки тому

    Nakuelewaga Sana Makonda

  • @shabanimambo9430
    @shabanimambo9430 6 років тому +2

    safi makonda Kiongozi upaswi kuw muoga

    • @godfreymande4498
      @godfreymande4498 5 років тому

      makonda nakukubali sana tena nakuombea ugombee na ubunge hapahapa mjini ikiwezekana kwa mnyika unachapa kazo kwelikweli hongera sana mzee anakukubali hasa kwa uchapaji wako wa kazi na kazi uko safi najua hawakosi wanafiki ila90%tunakukubali

  • @scayroad8500
    @scayroad8500 5 років тому

    SAFI MWANANGU MAKONDA MTEGEMEE SANA MUNGU MAANA KWA KAZI HII LAZIMA UPIGWE VITA,UNAWASHINDA HATA HAO WANAOKUITA BASHITE,UKO JUU SANA HAPA KAZI TUUU.

  • @alphoncethobias2230
    @alphoncethobias2230 8 років тому +14

    KIONGOZI MKWELI NA MUWAZI NDIYE MLETA MAENDELEO.

  • @brightjulius3461
    @brightjulius3461 6 років тому +1

    huyu ndie Rais wakweli

  • @martinezsiwale4419
    @martinezsiwale4419 5 років тому

    Mkuu wa mkoa Genius zaidi kutokea Tanzania nilie wai kumshuhudia mpka sasa

  • @meshakimmale2003
    @meshakimmale2003 6 років тому +1

    ndio ndio hapana haipo

  • @richardnovatus3604
    @richardnovatus3604 6 років тому +3

    Hizi drama nyinginee bwanaaa, poaa, hahahaaaa

  • @joelmkamwa9091
    @joelmkamwa9091 8 років тому +3

    makonda kweli wewe ni Mkuu wa mkoa wengine me bado sijaona kama huyu RC wa kwetu yupoyupo tu

  • @meshackpaul5338
    @meshackpaul5338 3 роки тому

    Duh Kama salio lako lakuunga
    Unaumbuka,
    Mbona imekuwa hotuba

  • @mudykiuta3841
    @mudykiuta3841 8 років тому +2

    sawa makonda

  • @leonardemmanuel9249
    @leonardemmanuel9249 5 років тому

    Sm 5 ziwe zinapita bajaji

  • @elisamehetemu9521
    @elisamehetemu9521 8 років тому +4

    mmmh.. kwakweli utakula keki pamoja nae...
    maana.. upo vzur kuliko wakuu wa mikoa wote

  • @wilsonkifaru2374
    @wilsonkifaru2374 6 років тому +1

    Xaf xana bro makonda a.k.a mkuu

  • @cescnoach
    @cescnoach 8 років тому +4

    No offense but this is just too much PR.

  • @yussufkhamis2792
    @yussufkhamis2792 8 років тому +3

    100%

  • @dismasdalmas6985
    @dismasdalmas6985 5 років тому +1

    Magufuli ni mwamba wa taifa ili hakika inauma sana tunapiganiwa sana ila hatumpi ushirikiano jpm no like you

  • @killokidbu8050
    @killokidbu8050 6 років тому +2

    Killo s Kidabu makonda nakupa BG ap kaza but I mwane2

  • @stephenbarnaba5061
    @stephenbarnaba5061 8 років тому +2

    Wazushi watakukubali kimoyo moyo mh makonda

  • @bathromeobalisimula7166
    @bathromeobalisimula7166 5 років тому

    Making ni jembe atafika mbali sana japo sehem chache anajichanganya ila ndo kupata uzoefuu

  • @marcodominico9503
    @marcodominico9503 6 років тому +1

    KILA ENZI NA KITABU CHAKE

  • @stilerymkama7926
    @stilerymkama7926 8 років тому +3

    huyu jamaa Ni mpambanaji

  • @swahibsinjo8439
    @swahibsinjo8439 5 років тому

    JPM hivi umemeza flash maana sio kwa kumbukumbu hizo mzee baba!!!!

  • @hasanimohamed1915
    @hasanimohamed1915 8 років тому +1

    ok

  • @geofreyjovini7082
    @geofreyjovini7082 6 років тому +2

    tumekuerwa

  • @hafishsutihafish1891
    @hafishsutihafish1891 8 років тому +2

    👟kaza unatisha

  • @jamilalugome4094
    @jamilalugome4094 8 років тому +9

    watakukubali tu mh wanaosema unajipendekeza watadoda piga kazi kk

    • @davidjmbura8156
      @davidjmbura8156 6 років тому

      jamila lugome uongozi ujitathimini upya serkali inawajali kweli watu wake au inajali chama chake tawala (ilamjue iposiku mtahukumiwa Na Mungu) kwautwana wenu

  • @williammwambokwa1511
    @williammwambokwa1511 7 років тому +1

    uko pw xna

  • @sofiasofia7557
    @sofiasofia7557 5 років тому

    Yatumbue majipu hukohuko

  • @masalumanyanda1028
    @masalumanyanda1028 4 роки тому

    Xxx

  • @hasanimohamed1915
    @hasanimohamed1915 8 років тому +1

    ok