Ingekua ni kenya rais au makamu wa rais asingepiga foleni angewekwa mbele au kuingia direct lkni angalieni huyu hana majigambo hana makuu aki ningekua mtanzania ningempigia mm na familia yangu yote nakuombea ufanikiwe na afya njema uzidi kuijenga tanzania
Daaa nahisi vibaya kama nikimuona baba yetu mzee wetu ndugu yetu muheshimiwa raisi wetu Magufuli Mungu ailaze roho yake peponi amina Mungu aisaidie familia yake yote iliyo naki hapa duniani
Mungu akujalie ushindi wakishindo ila ningekuomba ukisisitiza amani usisahau n haki pia mana bila haki amani inakuwa ya uwoga n uvumilivu kwa raia wako leo hii uhuru amna freedom of expression and speech uhuru wa vyombo vya habari amna mitandoa yamekosea nn leo mpka imetenguliwa
Angekuwa UHURU KENYATTA angewapita wote kisha na BODYGUARD WATANOWATANO ufanye mchezo wewe uone.... I will always SUPPORT ❤️ PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI❤️ Nakuombea Mzee kwa ukarimu wako na kujali citizens❤️ Mungu Akulinde❤️ #KENYA.
Namuombea John pombe magufuli ashinde awam ya pili azidi kuonesha mifano kwa Marais wa bara Africa waliozembea utenda kazi na kuweka ubinafsi ukabila na uwizi
Ee lazima apange mana siyo Raisi kwa sasa! ni raia tu wa Tanzania lazima tuwe waelewa hapo aidha apate au akose muda tulompa mwanzo umeisha anawania tena awamu nyingine!
We have individuals both internally and externally, that tries desperately to smear JPM's image, demonize him. But the irony of it all is that he's still the best president of this country since sliced bread
Waliokuwa wanatukana Sasa hivi Aibu ya nani?Watanzania wanaelewa co Wajinga Nani Mtanzania anapenda kuongozwa na Rais anaependa Ushoga?Sisi Tunaojielewa tumempa kura lukukiiiiiii ✊tena
Yaani Mimi Nina shangaa kwanini huyu Samia aliebaki sasahivi hataki kuweka siku aliokufa magufuli kwenye karenda tukawa tuna muenzi maana alikuwa anaupendo wa kweli Rais Gani uliona anapanga foleni
I'm in Nairobi Kenya I support Pombe for presidency
Asante kipenzi chetu
Kwa maana we ni mlevi
Thank you
Nakupenda raisi wangu Allah kadir akutangulie akujalie ushinde
gonga like kama umegundua aliyeko nyuma ya magufuli ni Bodyguard wake.
Sio bodyguard
Ni mpambe wa Rais
BABA Umeshashinda hata usiwe na khofu mungu anakuongoza kwenye ushindi insha'Allah Khair 🙏
Amin amin
Amina
Ameen
Huyu rais nampenda mpaka naumwa.mtu mwenye upendo sana
Ana mke lakini?
Ingekua ni kenya rais au makamu wa rais asingepiga foleni angewekwa mbele au kuingia direct lkni angalieni huyu hana majigambo hana makuu aki ningekua mtanzania ningempigia mm na familia yangu yote nakuombea ufanikiwe na afya njema uzidi kuijenga tanzania
Mi nilimpigia kura na ndugu zangu na marafiki zangu wote pamoja na majirani
ubarikiwe sana
Ubarikiwe kwa kutambua hilo
Nakupenda laisi wangu
Magufuli inshallah upate tena miaka 5 Ameen Ameen Ameen
Mung akulinde sana rais wetu tz ya amani
I support pombe from kenya
What a leader you are salut Sir, tanzanian you guys are very lucky to have him as a president MAGUFULI hoyeeee 🇿🇦🇿🇦🇨🇩🇨🇩
masha ALLAH raisi docta John pombe josef maghufuli atashinda uraisi kwakishindo ALLAH amuezeshe ili aendeleye kwa majukumu yalio bakia.
Ameen yarabill alamin insha'Allah Khair 🤲
Amin
Magufuli Oyeeeee tena kwa Magu wake Oyeeeeeeeeeeeeee
Allahuma ameen ya rabbali alameen
@@africandarling6925 kinacho nifurahishaga kwake namna anachukia dhulma kwa waja wa ALLAH.
Ona heshima ya raisi wetu ,yeye mwenyewe kapanga foleni
Mkuu tano yako unayo mungu akupe afya njema umeufanya kazi kubwa kwa nchi nzima tumekuamini umepitia inshaallah 🙏🙏🙏🙏💓❤️♥️🇹🇿
Ameen
God bless my present jpm god bless Tanzania
Your 🎁🤣🤣🤣
@@lovvy854 he is right men you never know may be he mean president as his zawadi from heaven 😁
Baba mitano tena huna pingamizi 💪🏻♥️
insha'Allahh kheir 🤲
Daaa nahisi vibaya kama nikimuona baba yetu mzee wetu ndugu yetu muheshimiwa raisi wetu Magufuli Mungu ailaze roho yake peponi amina Mungu aisaidie familia yake yote iliyo naki hapa duniani
Mzee bora upishwe na ukapige kura hako na ukapumzike. Usibirie kutangazwa na kuapishwa ili uendelee na kazi.
Baba usiagaike nakupaga mitano tena niyako
Neno
Ni kilio kikubwa dunia yote, Baba J P M Hatutamuona Tena😢😢❤️
Kumbe Magu alipanga foleni!! Maana Mtwara kunamgombea waubunge aliingia akukaa foleni
Magu yuko na heshima Adabu na utii honger sana Rais wangu upo kwa folen
We mzee ndio maana nakukubali saaaaaana naona Kama Mungu katupatia mfalme suleiman wa pili Una hekima Sana lord will be with u forever ameen
Nikiangalia napata uchungu sana moyoni lakini tumwchie mungu
Magufuli Ni jembe, miaka Mia 💪
Mungu akujalie ushindi wakishindo ila ningekuomba ukisisitiza amani usisahau n haki pia mana bila haki amani inakuwa ya uwoga n uvumilivu kwa raia wako leo hii uhuru amna freedom of expression and speech uhuru wa vyombo vya habari amna mitandoa yamekosea nn leo mpka imetenguliwa
Suis congolais mais j'aime vraiment le président Magufulu👌👌👌 nous avons besoin de tel président en Afrique
Exactement 👏👏
Vraiment, est ile vivon
Mitano tena magu👍
Kweli baba una moyo wa upendo,,,had folen Mungu akubaliki sana,,rais wetu mpendwa ,
Mueshimiwa Raisi wetu namini hutashinda tu raisi
Hili ukatekeleze majukumu yako baba yetu mpendwa Magu
Tumuombee kwa Allah inshallah Allah akawe na wewe kwenye ushindi inshallah amina thuma amina🙏🙏🙏
Unapanga msari kwenye foleni nawewe babaangu!! Tupate wapi rahisi kama wewe!!! UBARIKIWE SAAANA.
Huyu alikuwa Rais wa tofauti Sana ,alijishusha Sana, ndiyo maana Mungu alimuinua Sana,
I support Magufuli for presidency. Kenya I have never seen them lining up. A down to earth president heko
looking for votes in africa they behave like angel's
Rais wangu bora wa muda wote. RIP shujaa wa Africa
uliona wapi kiongozi apanga foleni kama si uyu..5 tena
Maigizo tu
Angekuwa UHURU KENYATTA angewapita wote kisha na BODYGUARD WATANOWATANO ufanye mchezo wewe uone.... I will always SUPPORT ❤️ PRESIDENT JOHN POMBE MAGUFULI❤️ Nakuombea Mzee kwa ukarimu wako na kujali citizens❤️ Mungu Akulinde❤️ #KENYA.
Mungu ibalki tz napata tabu royangu kukosa kuw tanzania kura yangu kwa jpm namuombe pia rais wangu +254
My president 2022 in Kenya
Siku hiyo body guard alifurahi kuvaa nguo za kawaida..kila muda anajiangalia.
No one like Magu
Neno
Namuombea John pombe magufuli ashinde awam ya pili azidi kuonesha mifano kwa Marais wa bara Africa waliozembea utenda kazi na kuweka ubinafsi ukabila na uwizi
i salute you anko magu
Hongera sana.
Ee lazima apange mana siyo Raisi kwa sasa! ni raia tu wa Tanzania lazima tuwe waelewa hapo aidha apate au akose muda tulompa mwanzo umeisha anawania tena awamu nyingine!
We have individuals both internally and externally, that tries desperately to smear JPM's image, demonize him. But the irony of it all is that he's still the best president of this country since sliced bread
Baba usijali tano tena
Mitano tena huna mpnzani
Waliokuwa wanatukana Sasa hivi Aibu ya nani?Watanzania wanaelewa co Wajinga Nani Mtanzania anapenda kuongozwa na Rais anaependa Ushoga?Sisi Tunaojielewa tumempa kura lukukiiiiiii ✊tena
Watz wamenifurahisha sana safari hii
Mpaka Lisu wao aliewadangnya watanzania kuandamana barabaran keshasepa zake ubelgiji
Nami nikawe kama magufuli e Mungu mubariki Raisi m
Magufuli High tu sana
Big up Predza
Safi Sana muheshimiwa rais
All the best Pombe ...
Good Mr president
Maguful Baba lao.
Daa umenifurahisha kwenye eneo husika umefuata utaratibu wakupanga foleni safisana. Mi5 tenaaa JPM
Mbona tokea enzi ya nyerere kwenye folen wanapga. Huu ni mwendelezo tu. Congrats alot our chief pombe
Magufuli ameiga tabia ya nyerere
Kweli kifo akina huruma tulipoteza mtu wa kuokoa taifa letu mungu akulaze mahali pema baba
Rais muadilifu john pombe magufuli
Tanzania kwanza
Tunakupenda makufuli tunakupenda usiwe na wasi Tanzania ni yako wewe
magufuli atachagua nani kua raisi wake ama atajichagua
Daaah alikuja lakini hatukumwona,,na hata tulipomuona hatukumtambua
Mbona mlituzimia manetwerk jamani ...ok hongera jpm.
Atakumbukwa milele hakuna kiongozi mnyenyekevu kama huyu duniani
Jamn nakupenda bure Baba magufuli
Yani baba unamakuu kabisa
Huyu ni kiongozi wa ukweli kabisa Duniani
Hadi raha yaani
Maigizo tu hayo demokrasia wanainchi hawana. Aibu
Huyu baba alikua mzalendo Sana sijawahi ona kwenye hii dunia
Maguful a na hekima kweli kaunga mstar
Viva JPM JPM
Powa sn tz....sio kama kwetu congo...
Duh Mr president weye noma yaan umepanga foleni
RIP MAGU
Umepita baba hongera ila vijana wako wa bajaji morogoro tunanyanyaswa na wakala wa barabara ( TARULA) TUNAOMBA UTUSAIDIE
My too
Yaani Mimi Nina shangaa kwanini huyu Samia aliebaki sasahivi hataki kuweka siku aliokufa magufuli kwenye karenda tukawa tuna muenzi maana alikuwa anaupendo wa kweli
Rais Gani uliona anapanga foleni
Baba mitano yako iyo tena ainaubishi
Exclusively💥
TANZANIA.YETU.YAMANI.IZIDI.KUDUMU.TUWE.NAAMANI.YAKUTAFUTA.TONGE
Bombo clad.
Haijawahi kutokea Duniani jamani ni mpango wa Mungu tu Kuwa na Kiongozi kama huyu.
Kenya tutapata wapi prezo Kama Huyu pombe...
😂😂😂😂😂😂😂eti prezoo kama huyu pombe
Ipo siku mtapata,muombeni mungu
Rais Kikwete pia alifanya vile....
Tutakukumbuka daima mpedwa wetu
Continue rest in peace
Jamani kweli kuna watu wanajua kuigiza
Mhahahaha uyu raisi wetu me namkubali sana kwa hivi anavyojishusha.
Sio mitano tu. Atawale. Mpaka mwisho. Sisi wananchi tushampa dhamana tumekuamini
Naamini mungu atasaidiatuuu
Congratulate predzaa
Hiyo ilikuwa gelesha Tu Kura walishaiba siku nyingi
mwamba unamatatizo wewe siobure
Kweli sio Nina matatizo
Why no security?
Mmmmhhhhhhh....!
Body guard yeye hapigi kura..!
Movie.
Casts wote kwenye hii filamu ni planted.
Penda san rais wetyu
John pita
Jembe Hilo
Innaalilah wa innaah ilyh rajuun
ua-cam.com/video/rvvc30jhevk/v-deo.html
SOLUTION YA TATIZO LA KIMTANDAO HILO APO FREE TUTORIAL
Brother k akitubu mbele ya make wake