HUYU NDIO MAGUFULI 1

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 10 вер 2024
  • HUYU NDIO MAGUFULI 1

КОМЕНТАРІ • 7

  • @emmanuelmichael3012
    @emmanuelmichael3012 3 роки тому

    Tunamshukuru MUNGU sana tumeona jinsi alivyotekeleza aliyoajidi tunakukumbuka sana mtetezi wetu

  • @edwardedward2520
    @edwardedward2520 6 років тому

    Nampenda sana Mh. Rais mungu azidi kumlinda Mh. JPM.

  • @aldanaudana2633
    @aldanaudana2633 6 років тому +1

    Ishalla Alla ampe maisha marefu

  • @davidsilas1759
    @davidsilas1759 8 років тому

    Huyu ndio Rais wetu wa Tanzania, tulichoka kunyanyaswa na wenye kutumia hela na kuiongoza nchi yetu kiujanja ujanja. Mpaka wageni wakawa wanahaki zaidi kuliko sisi wenyeji kwa sababu ya kutowa rushwa na wakijuwa kuwa serikali yetu haitujali...Hongera sana Baba, tunakupenda sana Magufuli..

    • @Olaiserriomunyak1059
      @Olaiserriomunyak1059 6 місяців тому

      Pumzika Kwa Amani Baba Magufuli. Tanzania na Dunia Kwa jumla, tutakuenzi.

  • @jeremycoburn9531
    @jeremycoburn9531 8 років тому

    Namfurahia sana huyu Rais mchapakazi

  • @kevinkimaro8333
    @kevinkimaro8333 8 років тому

    Namtakia kila la kheri katika muda wake wa Uraisi.