Mwanamke mmoja anazuiliwa kwa tuhuma za mauaji

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 18 вер 2023
  • Wapelelezi jijini Nairobi wamemkamata mwanamke mmoja kwa tuhuma za kumuua kaimu mkurugenzi wa fedha katika hospitali ya Nairobi Eric Maigo. Cynthia Andalo aliyewasilishwa mahakamani atasalia kizuizini kwa siku tano huku uchunguzi na msako dhiidi ya mshukiwa mkuu ukiendelea.wapelelezi pia wamepata visu viwili vinavyoaminika kutumika kumuua maigo kwani vilikuwa na damu na alama za vidole zinazodaiwa kuwa za mtu mmoja
  • Розваги

КОМЕНТАРІ • 28

  • @user-sz1th6nv9r
    @user-sz1th6nv9r 8 місяців тому +8

    Justice for our brother, whatever challenges it's,human life is precious

  • @lgdnce8309
    @lgdnce8309 8 місяців тому +6

    Kenya hapawezi pita siku bila mtu kufa kwa maiwaji😂

  • @rachaelw580
    @rachaelw580 8 місяців тому +2

    Woi bona waamue haki ama ni pesa alikosa dio akauliwa

  • @user-bc9kb6ep6n
    @user-bc9kb6ep6n 8 місяців тому +3

    Mimi namalizia hata siku mbili nikiservive na maji,then unasikia mafuta imepanda,rais ruto jua hatuna guvu ya kupingana nawewe lakini kunaye ambaye tutamtuma kwako ambaye mungu na akufikie mahali uko,vile akifika kwa Nebuchadnezzah

    • @jacintamugo267
      @jacintamugo267 8 місяців тому +5

      Atleast uko na pesa ya kununua data bundles hata kama huna food.

    • @user-sz1th6nv9r
      @user-sz1th6nv9r 8 місяців тому +2

      Exactly life is hard,Kenyan shilling keeps on depreciating everyday,few will understand but stupid majority not

    • @hellenwanjiru7965
      @hellenwanjiru7965 8 місяців тому +1

      ​@@user-sz1th6nv9r kuwa mpole kwani ni wewe tu unateseka?

  • @ChristineSingombe
    @ChristineSingombe 8 місяців тому +5

    Jesus this very painful why this to my uncle

    • @jwkkiko8230
      @jwkkiko8230 8 місяців тому +1

      My sincere condolences 💐… I know how painful it can feel losing a loved one in such a painful way

    • @user-sp2gr5gx8o
      @user-sp2gr5gx8o 8 місяців тому +1

      Oh my I am very sorry. May the murderer never Know peace.

  • @RoseAwonda
    @RoseAwonda 8 місяців тому +2

    Usichezi na mtu askari you cant hide

  • @user-sp2gr5gx8o
    @user-sp2gr5gx8o 8 місяців тому +1

    Aki the person once found should just be dealt with like that😢😢

  • @itsyourgaljuju8612
    @itsyourgaljuju8612 8 місяців тому +6

    A very painful death

  • @aishasaidi1784
    @aishasaidi1784 8 місяців тому

    Hawa waliuwana siojambo lenginne ispo kiwa mapenz tu

  • @terrywatahi1203
    @terrywatahi1203 8 місяців тому

    Very painful aki ..😢😢 may they never have peace

  • @marykerebi3849
    @marykerebi3849 8 місяців тому

    Hiyo chokora inyongwe.

  • @user-bc9kb6ep6n
    @user-bc9kb6ep6n 8 місяців тому

    Mimi kile naweza ambia ruto na kuria ni kwamba,wasijipinge kifua sana,ruto wewe saa zile watu wanakufa njaa juu ya kushindwa na gharama ya maisha dio unaendelea kupadisha maisha,wewe unajua Kuna boma hivi hakuna mtu hata mmoja anafanya kazi,wewe unajua mishahara ya watu wengu ni less than 20thousand mzazi na watoto na bado hii Dio unaifuata sijui ni manyumba za kupeleka wapi unasema unajenga,kwani tulikwamvis tunalala nje,mkae nkijua hakuna kitu tunaweza wafabyia since you are above the law,lakini mjue kunaye aliye above all,msone Nebuchadnezzah .machozi ya watu hautaenda bure hapatakosa mmoja take itskayo meabgika kwa meza ya mungu

    • @jacintamugo267
      @jacintamugo267 8 місяців тому +3

      How come you believe that God will deal with the president and not believe in Him to provide and care for you? If you believe God brings down when you pray, good news is He builds too. Try Him and you will not regret.

    • @hellenwanjiru7965
      @hellenwanjiru7965 8 місяців тому +1

      😂😂😂

    • @lucymwai7645
      @lucymwai7645 8 місяців тому +2

      Hi maneno ya kuua yule mwingine inakujiya wapi na Njaa?.

    • @susankaburu4527
      @susankaburu4527 8 місяців тому

      Nini huyu mauaji na drought Prezzo na kuria waingililia wapi jameni.pole kwa familia

    • @aishasaidi1784
      @aishasaidi1784 8 місяців тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 mbona mwajuta mwemamchagueni Tena 2027😂😂

  • @jamesgathaiya6450
    @jamesgathaiya6450 8 місяців тому +2

    So sad 25 times

    • @gwg216
      @gwg216 8 місяців тому +1

      Sad indeed 😢 ata unashindwa ni chuki ya kiwango gani inaeza fanya mtu afike apo ata wakora hua hawa stab such many times hao walimfanya hivo maybe are well known to him gosh sad sad

    • @jamesgathaiya6450
      @jamesgathaiya6450 8 місяців тому

      @@gwg216 imagine mpaka unashidwa walikua normal ama kuna watu wanakuanga heartless haki sidhani kuna kitu ingine ni pesa

    • @shamalalycious
      @shamalalycious 8 місяців тому

      Hiyo ni machungu alikua nayo aki......weueeeeeeh so sad

  • @joycekimani7119
    @joycekimani7119 7 місяців тому

    Ni kama she killed him bcoz she felt jealous about the other girl