RC MWANRI ANING'INIA NA WATAALAM WA AFYA "NATAKA VYETI, HUNA SIFA OUT"

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 вер 2024
  • Baada ya kukuta vifaa tiba vimekaa kwa takribani miaka minne bila kutumika katika kituo cha Afya cha Kitunda walayani Sikonge,Mkuu wa mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametaka kufanyaka ukaguzi wa vyeti kwa wataalamu wa Afya mkoani humo
    "Haiwezi mashine ikakaa hapa four years hakuna mtu anaoperate nataka ikifika tarehe 10 vyote vinaoparate na ndani yake nataka kila mtu aniletee cheti chake including DMO" RC Mwanri

КОМЕНТАРІ • 254

  • @benardjames1400
    @benardjames1400 4 роки тому +28

    Huyo kiongozi namkubali sana NAITWA BENARD

    • @mochings8012
      @mochings8012 4 роки тому

      Benard James karibu UA-cam bro Ben

  • @equitybank5560
    @equitybank5560 4 роки тому +7

    Namkubali sana huyu mmekuuh....heshima yako comrade aggrey mwanri..keep up the speed no retreat no surrender..Long live Mwanri

  • @gemkachar
    @gemkachar 4 роки тому +16

    Hongera Mkuu wa Mkoa. Tezi dume Tabora hoyeee. Mda umefika tuweka mfumo wa performance based contracts. Unaajiriwa na kulipwa kuendena na utekelezaji wa kazi.

    • @makongorowassira6593
      @makongorowassira6593 4 роки тому

      gemkachar nakubaliana nawe kabisa, haya mambo ya mshahara kuongezwa kwa kila mtu bila kuwa assess ni ujinga tu.

  • @hajisaidy3055
    @hajisaidy3055 4 роки тому +7

    Uyu mzee anatisha akikuangalia . Engineer ngap uko🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @adammj6258
    @adammj6258 4 роки тому +47

    Miaka minne!!! Rais ana kazi maana Serikalini kumejaa VIAZI NA VILAZA

    • @atuganileswedy4830
      @atuganileswedy4830 4 роки тому +1

      Yaani natamani kuwapiga vibao,,, yaani cjui wanafanya nn uko maofcn mbwiga hawa

    • @jamesnicholas6091
      @jamesnicholas6091 4 роки тому

      Kama hawaajiri wataalamu unategemea nini sasa maake sio kila doctor anafanya operation na masurgeon ni wachache kiufupi wizara ndo inahusika but sio hao

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 4 роки тому +10

    Wakati mwingine had unapagawa eti..ivi mashine imekaa zaid ya miaka minne..na haifanyi kazi..sasa iko hapa labda kwasababu gani??? Inashangaza sana. Mkuu wa mkoa nakupongeza sana..ukitoka hapo Tabora..uelekee Dar.

  • @georgekimboka6218
    @georgekimboka6218 4 роки тому +18

    pongezi sana Mh mkuu wa mkoa wa Tabora

  • @johnshigela9369
    @johnshigela9369 4 роки тому +24

    Akina zito, lema nk wakiona hii utasikia mkuu wa mkoa ana mamlaka gani kuingilia hilo

    • @leonelleo4425
      @leonelleo4425 4 роки тому +2

      Ndugu yangu achana na akina Zitto na Lema,ni mahanisi..
      Watakupotezea mda..

    • @samuelmanunu1543
      @samuelmanunu1543 4 роки тому +2

      Nathingi mutu hapo menyewe ni full time complaining yan, mwanri is really a work at working hours!

    • @rescotv8804
      @rescotv8804 4 роки тому

      Boya weww

    • @devisshirima6780
      @devisshirima6780 4 роки тому

      Politics doesn't work under serious leaders

  • @abdulmtitu7478
    @abdulmtitu7478 4 роки тому +4

    Inamaana ndan ya miaka 4 hkn mgonjw aloehitaji huduma kw kutumia mashine izo?dah kwl bado kuna matango pori kwny taasisi,na hao nd wanaturudisha nyuma,big up Mh RC,ztihada zako znaonekana na ht mtu asie na macho,,I hope ck 1 juhud zk ztazawadiwa

  • @peterbruno7157
    @peterbruno7157 4 роки тому +34

    MKUU WA MKOA WA DUNIAA NZIMAAAAAA

    • @fahimally3923
      @fahimally3923 4 роки тому

      Peter Bruno sio bashitee

    • @peterbruno7157
      @peterbruno7157 4 роки тому

      @@fahimally3923 aiseee hapana hamna mtu mulee

    • @immahkobeh7620
      @immahkobeh7620 4 роки тому

      hakika huyu niwa dunia nzima????😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @florakankutebe3987
    @florakankutebe3987 4 роки тому +7

    Angalau unawapigania wanyonge, hongera mkuu!

  • @girbartmaganga3778
    @girbartmaganga3778 4 роки тому +4

    Safii xna mkuu inaweza kuwa hawezi kazi haiwezekani mashine hazitumiki vyeti mzee Kama hawezi watoke

  • @chachawambura4030
    @chachawambura4030 4 роки тому +33

    Umeme gani huo hauwezi kuendesha hiyo mitambo.Kwani mmefungiwa Single Phase? Taasisi kama hizo hufungwa Three Phase ya 415V na inasukuma mzigo wa nguvu, acheni siasa kwenye mji wa Toronto

    • @zefamange7281
      @zefamange7281 4 роки тому +3

      Hakuna hospital yenye single phese, wanatengeneza mpigo

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 4 роки тому +2

      Duh nilikua najua ni viwandani 2 kumbe mpaka hospital inafungwa three phase

    • @zefamange7281
      @zefamange7281 4 роки тому +1

      @@saidtembele3070 hospital kuna mitambo inatumia umeme mwingi

    • @saidtembele3070
      @saidtembele3070 4 роки тому

      @@zefamange7281 anhaa dah shukrani saana kk

  • @favourmusic4692
    @favourmusic4692 4 роки тому +10

    Mzee huwa nasemaga na sitochoka kusema kuwa mh magufuli hakukosea kukuchagua alifany uteuzi bor san kwako nahic uwa akifuatilia kaz zako anafurai san na kuvjivunia unachofany Mzee mwanri

  • @alijuma6502
    @alijuma6502 4 роки тому +7

    Hivi tanzania tunatatizo gani?? Yani mambo hayaendi hadi tusukumanesukumane jamani!!

  • @lameckrevelian6893
    @lameckrevelian6893 4 роки тому +12

    Sawasawa mzee

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 роки тому

    Tz 😂😂😂😂😂 , love from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪. machine niya kurembesha hospitali. Fyekelea mbali

  • @f.a6043
    @f.a6043 4 роки тому +4

    👏🏼👏🏼👏🏼Mh. RC👍🏽👍🏽👍🏽Mh. RC 🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @oscarkasalile8146
    @oscarkasalile8146 4 роки тому +1

    Kazi nzuri watu Kama Hawa ni adimu sana duniani wapo wachache sana

  • @dutchsafari7562
    @dutchsafari7562 4 роки тому +5

    Doktaaaa Honorata Mganga mkuu wa mkoa weka mguu chini😂😂😂😂

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 роки тому +10

    Mganga mkuu wa wilaya *weka mguu chini*😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacobmakono389
    @jacobmakono389 4 роки тому +10

    .hahahahaha!mbavu zangu mie!watanzania wababaishaji na vilaza safari hii mtakiona!

  • @wemaambujisye9714
    @wemaambujisye9714 4 роки тому +6

    Unafaa kuwa waziri mkuu wa Tz

  • @kingfocustzog
    @kingfocustzog 4 роки тому +6

    _mnao mkubali mkuu wa mkoa like kwanza tuwende sawa_

  • @alexmwashibili3616
    @alexmwashibili3616 4 роки тому +12

    Mzeee huwa hataki utaniii yaaani 😂😂😂😂😂😂

  • @zefamange7281
    @zefamange7281 4 роки тому +10

    😄😄😆😅😂👏👏👏👏 TANZANIAAAA, MIAKA MINNE MASHINE ZIPO TUU

  • @sombimussa1476
    @sombimussa1476 4 роки тому +4

    Kwann mzee magu asiteue mkuu wa wakuu wa mikoa afu umpe huyu mzee

  • @mariamabdullah489
    @mariamabdullah489 4 роки тому +4

    Inasikitisha jiji kama Toronto nyundo 4 mitambo imelala, Raisi Magu Pombe unakazi nzito ya kufanya, vilaza wengi serikalini mizwazwa

    • @stevendominic4656
      @stevendominic4656 4 роки тому

      Tatizo sijui rangi yetu au namna ya kuajili watumishi hakuna majaribio,zaidi ya cheti,pia ukiwa na kadi ya chama fulani cheti chako na ww mnapitishwa fasta fasta.

  • @abednego3876
    @abednego3876 4 роки тому +4

    Aisee Tanzanka tunahitaji Viongozi wanaotandika watendaji Viboko ...

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 роки тому

      Kwel kbs had unawaza hao watendeji wanafanya nin? na mishahara wanalipwa vifaa vinanunuliwa kwa bei kubwa wanaweka km mapambo wakat wagonjwa wapo inauna ssna wakitumbuliwa wanalaum serikal

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 роки тому +8

    Daaah kifaa kina miaka 4, hakitumiki

  • @kizimkazi3443
    @kizimkazi3443 4 роки тому +11

    Wafanyakazi Walio wengi wa serikali ni vilaza yani miaka minne vifaa havifanyi kazi ma wapo bery comfortable

    • @nyaganyaga3876
      @nyaganyaga3876 4 роки тому

      Hii siyo Sekita ya kwenda kufanyia majaribio kila mtu anafanya kile tu alichosomea ni Sekita ambayo kitu kimoja tu utakacho kosea kinagalimu uhai ama kuatalisha afya ya mtu maisha yake yote ama vinginevyo. Inaumiza kuona miaka minne serikali imejitaidi kuweka vifaa na havitumiki. Kama hakuna mtaalum nashauri visitumike tu mpaka wataalam wapatikane na kama havitumiki na wataalam wapo mganga mkuu wa hospital, wilaya na watu wote wenye mamlaka katika hospital, wilaya na mkoa wawe na la kujibu,.. KILA MTU NI KILAZA KWA NAMNA TOFAUTI

  • @emmanuelthomas7125
    @emmanuelthomas7125 4 роки тому +1

    Serikali hii ya awamu ya 5 si ya mchezo! piga kazi mzee.!

  • @samlush6127
    @samlush6127 4 роки тому +4

    A man from Toronto

  • @cassimoa9217
    @cassimoa9217 4 роки тому

    Hongera sn RC MWANRI, nakukubali sn unafanyakazi kiuadilifu sn, c mtu wa kukurupuka na masifa kama baadhi ya maRC wengine. Rc wa Irng, mby na Dar wafuate mfano wako.

  • @mjeshikijana1774
    @mjeshikijana1774 4 роки тому +12

    Ole wako Doctor afe mtu mtu hapo operation na A,K,A 47 mgongoni 🤣🤣🤣🤣

  • @adamkiba8082
    @adamkiba8082 4 роки тому

    Nice nice nice good leader your so strong

  • @klkkklkk1369
    @klkkklkk1369 4 роки тому +5

    wizara ya afya ina viraza wengi mbwembwe tu

  • @japhetkavishe2347
    @japhetkavishe2347 4 роки тому +3

    Kanyagia hapo hapo mzee baba

  • @neybenson7881
    @neybenson7881 4 роки тому

    Esopo ekaya ya abunuasi. Nakupenda sana

  • @Millidady
    @Millidady 4 роки тому +7

    6:59 😅😅😅😅 Akifa mtu imekula kwako mzee baba 😅

  • @abdimakame3655
    @abdimakame3655 4 роки тому

    Nakukubali sana RC.

  • @klaragreen7999
    @klaragreen7999 4 роки тому +12

    YAANI AIBU KWALI...NIMEPENDA HIYO OLE WAKO MTU AFE 😆😆😆😆 KAZI MNAYO.

  • @kuntakinte1223
    @kuntakinte1223 4 роки тому +1

    Hahaha, nakubali mkuu

  • @emanuelseka7581
    @emanuelseka7581 4 роки тому +1

    Huu ni ujinga sna hamuwezu kuwa naakili timamu mnavifaa vina kaa miaka minne jamani watanzania amkeni ina uma sanaaaaaa msaidieni Magufuli analia kila siku watuu waamke jamani hizo niilioni zina haribika huyo doctor mkuu atolewe hapo

  • @makalijackson1018
    @makalijackson1018 4 роки тому +2

    mkuu wa mkoa wa tabora uje na dar es salaam

  • @adamhassani2391
    @adamhassani2391 4 роки тому

    Ukweli n ujuzi wa kazi baccccccc!!

  • @kingndekeja2425
    @kingndekeja2425 4 роки тому +5

    kazi ipo hapo

  • @hancboi6603
    @hancboi6603 4 роки тому +1

    Inawezekana watu wengi wajakupigia makofi lakini waelewa watakushangaa inawezekana mishine wakati zinaletwa watumishi walikuwa watatu na inawezekana na wataalamu wengin hawakuwepo so hauwez kuvitumia.
    Leteni wataalamu wakutosha drs , nurses, watu wa usingizi ili watu wafany kaz

  • @anthonyfaru9908
    @anthonyfaru9908 4 роки тому +5

    RAIS wa wakuu wa mikoa

  • @irenembura5684
    @irenembura5684 4 роки тому

    Kwa kweli hao madaktari hawana hata huruma na wagonjwa. Wako busy na extra private hospitals na wagonjwa ndio wanapelekwa huko walipe pesa nyingi. It is a shame miaka 4 machine mpya jamani zipo tuu zinaoza🙆‍♂️🙆‍♂️. Na wagonjwa wangapi wamekufa??? Wakati vifaa vipo na wako kimya wanaangalia. Wauaji wakubwa!!!

  • @Ba63828
    @Ba63828 4 роки тому +6

    MBONA INATISHA ASINGEENDA RC ILIKUA NDO MASHINE KUFIA MBALI

  • @allybakunda1300
    @allybakunda1300 4 роки тому

    This guy is guuuuud

  • @kisulaabas2614
    @kisulaabas2614 4 роки тому +1

    Sio kosa lao wengi wao BBC (Born Before Computer) sasa acha tu mashine zile vumbi Bado sakata la vyeti lirudiwe wapo wengi wamebaki elimu ya ngumbaru

  • @YaNoah-Congo-Bongo
    @YaNoah-Congo-Bongo 4 роки тому +7

    KAMATA HUYU MKUU WA MKOA NA WEKA NDANI YA IKULU MAGUFULI AKIMALIZA MIAKA YAKE NANE

  • @abdulkillya2655
    @abdulkillya2655 4 роки тому +7

    Hapa #tezi dume😂😂😂😂😂

  • @shabanichongowe4229
    @shabanichongowe4229 4 роки тому

    Nadhani kabla haijawashwa na kutumika kwa wagonjwa ikaguliwe kwanza mana miaka mi4 inawezekana kuna mende wamejipatia geto, saf sn Mwanri.

  • @justinsombe187
    @justinsombe187 4 роки тому +3

    Nakuelewa sana

  • @devisshirima6780
    @devisshirima6780 4 роки тому

    Hata mkuu aking'aka lakini yupo sahihi kabisa, endapo kila mtu akifanya kazi kama inavyompasa hakutakuwa na lawama bali zinakuwepo pongezi !!

  • @mariuscyprian1235
    @mariuscyprian1235 4 роки тому

    Kweli mzee baba kazi unayo maana miaka minne mashine azifanyi kazi

  • @samwelhechei8537
    @samwelhechei8537 4 роки тому

    Miaka minne bila kufanya kazi?
    Kwel kuna tatizo,
    Hongera sana mkuu wa mkoa

  • @wemakalamu3538
    @wemakalamu3538 4 роки тому

    😃😃😃😃hii kali kweli muheshimiwa kiboko

  • @ayoubabdull1265
    @ayoubabdull1265 4 роки тому +1

    Pendekezo kwa namna nyingine maon yang adhabu ya viboko irud mpaka serikarin huu ni kupita uzembe hapa kuchapa viboko tu pumbav angalia wananchi wanyonge walivyo alaf miaka minne kifaa hakifany kaz fukuza wote lete wengine hii mijitu sijui sio mitanzania hii pumbav sana .....tujuzen wakileta vyeti naon wamekwa wekwa tu hapo ndugu na jamaa..

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 4 роки тому +8

    Rc bora zaid Tanzania😼

  • @mzeemzee2467
    @mzeemzee2467 4 роки тому +6

    hahahhahahaa ole wako mtu afe hapa.

  • @allyshafi4391
    @allyshafi4391 10 місяців тому

    Tenzi Dume apa hatuendi kitete, na ole wke afe mtu,😂😂😂 by Mh Agrey Joshua Mwanri

  • @allymapinda8804
    @allymapinda8804 4 роки тому +5

    Mashine zimekaa miaka minne zinagongwa vumbi tu kweli nyumbu ni wengi sana! Kazi haziendi bila kuaibishwa hawa, wasomi wa kuchovya. Mpaka watukanwe ndio wafanye kazi 🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

  • @alexchungu9505
    @alexchungu9505 4 роки тому +2

    Hapo kwenye vyeti, ni kama kusubir majibu ya ukimwi vile

    • @birdmangetore4307
      @birdmangetore4307 4 роки тому

      Hapo kweli Alex ndiyo patamu miaka 4 kweli machine haijawahi kupata mgonjwa iwashwe hapana hao watumishi wachunguzwe

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 4 роки тому

    Kwa hiyo kwa miaka 4 wamekufa watoto wa ngapi kwa kukosa oxygen...na mashine ipo...duuh...too sad Yani Mungu ana kazi manake ukifa utasikia mpango wa Mungu lakini tunamdhihaki Mungu aisee

  • @fatmashafi6355
    @fatmashafi6355 4 роки тому

    Twende twende mkuu wa wilaya 🙋‍♂️

  • @alimakaba6170
    @alimakaba6170 4 роки тому +2

    Nimeipenda hii nione mtu afe hapa.

  • @ramadhaninurrumtungi4474
    @ramadhaninurrumtungi4474 4 роки тому +1

    Hahaaaa mzee wa kuuza viaz du

  • @nyamweririchard5945
    @nyamweririchard5945 4 роки тому

    Hivi kweli machine zilo miaka minne hazijaanza kufanya kazi na training watu wanapata Kila machine mpya inapoletwa,basi zipekwe maeneno mengine wanapoziitaji na kuzitumia

  • @elisiasamwel8081
    @elisiasamwel8081 4 роки тому

    4 years watu wanateseka na vifaa vya kisasa vipo..havifanyi kazi du.. Hatari

  • @stanleymfikwa8237
    @stanleymfikwa8237 4 роки тому

    Nakukubali mzee out wenye vyeti feki. Ondoa hao waje kulima viazi kwangu huku.

  • @OmanOman-fk7ke
    @OmanOman-fk7ke 4 роки тому +6

    Hiyo ndio dawa yenu

  • @shekiffu
    @shekiffu 4 роки тому +3

    Ole wako mtu afe apa😂😂😂😂😂

  • @nashirmasoudi
    @nashirmasoudi 4 роки тому

    Kufanya upasauaji sio kirahisi Kama unavyo dhani lazima idara iwe na wataalamu wa kutosha nasio Kila aina ya upasauaji Kuna daktari wake maalum (specialist) muajiri

  • @makalasaigoni2275
    @makalasaigoni2275 4 роки тому

    wakuu wa mikowa kama hawa ndio tunawataka. xukuma ndana. tuxhuke nao jumla jumla🙏🙏🙏🙏🙏🇹🇿🙏🙏

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 4 роки тому

    HONGERA MH RC MWANURI KWA KWELI UNACHAPA KAZI SONGA MBELE

  • @ramamongi3479
    @ramamongi3479 4 роки тому

    Good

  • @maddymreta2369
    @maddymreta2369 4 роки тому

    Jaman kama kuna mahali panapokera ni hospitalini mpaka ugombane na dokta ndo unatibiwa wakuu hao madokta ni wabayaaaa na hawana huruma

  • @derickrozy3213
    @derickrozy3213 4 роки тому +7

    Miaka minme 🤔

  • @ibramzee6686
    @ibramzee6686 4 роки тому +3

    Tuseme ukweli tu jmn kuna scarcity ya watumishi waliopo awatoshi kaz n ngum mno

    • @alexchungu9505
      @alexchungu9505 4 роки тому

      Ibra Mzee , watoe hizo ajira, vijana tupo mtaani na vyeti

  • @ringoaskali7625
    @ringoaskali7625 4 роки тому +2

    Kwanini raisi asimpe waziri wa ujenzi lazima nchi yetu iwee poa sana tunataka viongozi kama hawa

  • @godfreykiama1930
    @godfreykiama1930 4 роки тому +2

    Nchi nyingine hao wote wanafugwa kwa kusababisha vifo vya watoto,miaka minne ...fuc

  • @deodatusdeogratius4910
    @deodatusdeogratius4910 4 роки тому

    utakuwa rais mzee baada ya miaka mingine mitano

  • @haroubselemani5578
    @haroubselemani5578 4 роки тому

    Kumbe Kuna jamaa wazembe sn,,eti kifaa kina miaka minne hakijatumika wkt Kuna watu wanakufa!dah hii kweli ndo Tanzania,,,Yani Kama vile cyo pesa zetu!!

  • @luizabahati5198
    @luizabahati5198 4 роки тому

    Daah..Hii nchi utadhani watu wana mtindio wa ubongo..miaka minne wanalipwa mshahara..wanakuja kazini wanenda lala usingizi makwao na maisha yanaenda...Tanzania Simama Nishuke ..mkwamo kila Kona ten watendaji wa juu sasa Sisi tunaotegeme huduma ndio wanatuua kabisa..shenzi

    • @stephanoamos9457
      @stephanoamos9457 4 роки тому

      Huwezi jua kaka kama watu hawataki kuajiri unategemea machine nani ata oparate

  • @temkezatv4381
    @temkezatv4381 4 роки тому

    Tanzania Kwanza Mengine baadae jpm nambari 1 Katiba sisi wananchi tuibadilishe rais wetu aendelee kutawala mpaka ukomo wa uhai wake kwa pamoja tunaweza Kinacho tukwamisha maishani! Sio kile kitu tusichonacho! HAPANA nikile tulichonacho hatujui namna ya kukitumia wananchi WANAHITAJI KIONGOZI BORA NA SI BORA KIONGOZI

  • @maikovineventscompany1180
    @maikovineventscompany1180 4 роки тому +1

    Gombea urais nakupa kura yangu 🤣🤣🤣👌

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum9030 4 роки тому +1

    Viongozi Kama hawa ndio wanao tufaaa katika nchi yetu ya Tanzania maana wafanyakazi waserekali wazembesana

  • @felixkamkala3303
    @felixkamkala3303 4 роки тому

    YANI WAFANYAKAZI WANAYUMBA AISEE KWELI KUSOMA SANA SIYO KUJUA MAMBO YOTE AISEEE

  • @benjaminzabron5934
    @benjaminzabron5934 4 роки тому

    let you be blessed by God for what you are doing

  • @emanuelvincent4020
    @emanuelvincent4020 4 роки тому

    Ama hakika Kazi tunayo. Labda inawezekana. Hawana anesthetist

  • @jacobletema3681
    @jacobletema3681 4 роки тому

    Mimi Naomba Mheshimiwa Aggrey Mwanri awe Waziri Mkuu, utendaji na ufuatiliaji wake ni mzuri mno!!!

  • @kingsolomon0
    @kingsolomon0 3 роки тому

    This is incompetence of the highest order . Hekaya za Abunuasi 😂😂😂

  • @cosmasdaud9088
    @cosmasdaud9088 4 роки тому

    Huu Ni ujinga Sana vifaa vipo Kaz hakuna hapo Kuna mashaka na uwezo wa hao watumishi

  • @didimhutila8985
    @didimhutila8985 4 роки тому +1

    Walizoea k hawa,miaka minne?

  • @bisekoc.k.jenjela7936
    @bisekoc.k.jenjela7936 4 роки тому

    safisana

  • @dastunluswaga5182
    @dastunluswaga5182 4 роки тому

    Ila ni uzembe aise...kwa hiyo ninyi mnaona raha sana watu kwenda kurundikana mhimbili eee..