UJIO - Called To Serve Ministries - Official Music Video
Вставка
- Опубліковано 14 гру 2023
- Ni kweli mara nyingi umesikia habari za UJIO: Nasi tunaungana pamoja kukuhimiza juu ya UJIO wa Bwana wetu YESU Kristo mara ya pili.
Je, uko tayari?
Be blessed,
Please SUBSCRIBE, LIKE, SHARE, COMMENT, and FOLLOW us on this channel and our social media pages for more updates:
#calledtoserveministries #bongotrend #gospel #gospelmusic #music #müzik #adventistchurch #sda
Mavazi yenu yananikera sana mnaimba vizuri nguo sasa yesu gani mnamtangaza na mavazi hayo
Reggae hii hapaaa!! 👌🏾
Wimbo una ujumbe mzuli tume balikiwa ila tuta balikiwa vizuli zaidi mki badili mavazi yenu hasa wanawake
Hongereni mmeimba vizuri na wimbo unaujumbe mzuri ili jamani mnatuangusha sis ni wasabato wakwenda mbinguni laki hayo mavazi yenu dah mnatuangusha
Nataman kuimba kwenye kikund hichi sjui kipo wap anyway hongera mnajua kuimba ✊🙏
USA
Called to serve na mavazi ya kikahaba hata shetani alikuwa mwimbaji tunategemea tuone mionekqno ya watu wakiroho mionekano yenu hata bongofleva tunaiona hamna injili hapo badilika
Nabarikiwa Sana Kwa nyimbo zenu. Kazi nzuri. Songeni mbele daima. Mungu awabariki mno wanangu.
Amen asanteni sana tunawapenda🙏🏽🙏🏽
Sauti zenu nzuri zimetulia hongereni mmependeza...
Choit of stars, Mungu mbele
Amen! Wote tutabadilishwa 4:09
Tufanane na Yesu😊🙌🏽
Wimbo mzuri sana ndioo tunasubiri kubadilishwa hila kabla ya kubadilishwa dada zangu nanyie mbadilishe mavazi kidogo tuwe kama wasabato hila nawapenda😂😂😂❤❤❤❤❤
Mziki mzuri
Barikiwa 🙏🏽
Ninangoja na ninasubiri, ujio wake Mkombozi. Ahadi yake Ni hakika. Si mbali itatimia🙏
Amen 🙏🏽
Amen ...kaz nzr...songeni mbele popote mlipo pigen kaz vjn wa Yesu
Mbarikiwe Sana. Wimbo mzuri, sauti nzuri!
Amen asante sana🙏🏽
Huu wimbo jmn umenibarikii
Sanaa
Mbarikiwee sanaa
Ubarikiwe zaidi
Safii
🙏🏽
🌸
Praise the lord for sound music and sound messages.
Amen thank you so much for your continued support 🙏🏽
Blessings
🙏🏽🙏🏽
Waaw....wonderful song...Let the name of the lord be glorified
May God bless the composser of this song
Amen amen 🙏🏽
Kazi nzuri sana,. Be blessed madebele brother.
Amen🙏🏽🙏🏽
"habari za ushindi kweli" i love this song and its people. mbarikiwe
Amen nice one @ bro Naboth and siz Phoebe, blessings
Blessings 🙏🏽
Blessed My bro John Mabwai
Amen 🙏🏽
Nice song team, may God bless you for always praising him with inspiring songs
Amen be blessed
I’m loving this tune. Great voices ❤
Amen be blessed 🙏🏽
Great talents here my people.
Mungub awabariki sana
Amen amen barikiwa zaidi 🙏🏽
Injili tuhubiriyo iwe ndio injili tuokolewayo kwayo..yaani ifanye kazi mioyoni
This song is awesome
Be blessed 🙏🏽
God bless your art of praise. Keep keeping
muziki makinifu. aminaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa mbarikiwe zidi na zaidi
❤️❤️❤️❤️❤️Amina sana
Huu mzuri
Asante sana🙏🏽
Lovely song😘
Amen and Amen again..a nice piece 😊
🙏🏽🙏🏽
Amina
Amen
🙏🏽
Amen. Sauti nyororo kumsifu Mungu. 🎉🎉
My class well represented, Glory to God.
Clean stuff kip it up!
Appreciate it🙏🏽
Na mm nawaombea wapendwa bwana azidi kuwatumia mnamfanya vizuri.
Sauti zimekaa vizuri
🙏🏽🙏🏽
❤
Mbarikiwe na Bwana Ila acheni kunesa imbeni kisabato
Wooooow❤❤❤❤❤❤
Straight from TikTok.
Be blessed
Mbarikiwe sana
Amen 🙏🏽
I'm blessed
To God be the glory🙏🏽
am amazed at the blessings of the Lord towards you may you be blessed more and more...
Amen amen
Amen be blessed
kazi nzuri...hongerenii..
Weisiko🗣️🗣️🗣️
Dah😂hii comment imeandikwa kwa utulivu kabisa🙌🏽Asante Weisiko🥰♥️
yangu naweka chini ya tajiri yangu Weisiko
What a master piece ❤🔥
@@tumaininguto4957ngutoo zote zimepokelewa kwa utulivu sana
Asante sana 🙏🏽
👌🎧 👍 soyez béni
Be blessed
Amen you too 🙏🏽
Asante, nimebarikiwa kwa wimbo
Merci, Je suis béni par la chanson
Video nzuri, wimbo mzuri...... sema kunae mdada kavaa miwani kama welder😂😂😂😂😂 jus kiddn
The matching at 1:52-1:54 👌
goodjob guys❤❤❤
🙏🏽🙏🏽thank you
Naeza wajoin🤭
❤❤
Eh! Ngoja nikipata mda nirudi niangalie vizuri😢😢
Duuuuu!!!!! ❤
Hongereni sana mbarikiwe🙏🙏
Teacher Eria Bwana awe nanyi
Nyimbo nzuri ila tengenezeni mavazi na nywele muwe wasabato mnaomsubiri yesu fanyeni matengenezo
kabisa wabadilike kimuonekano
hawa nawafananisha na wale wauza miili yao yaan (wafanyabiashara za ngono)ni aibu kubwa kuitiza mbele za watoto unsogopa watoto wasije kuiga iyo rahana
Kwa kweli mavazi wabadili
4:00 4:00
hii ingewafata inbox ingeleta afya sana kuliko hapa ni kama mnaleta vita wakati hamkuitwa kuwa wahukumu asee… hata kazi nzuri ya uimbaji pia kwenu imekuwa bureeee 🤦♂️! katika karatasi kubwa jeupe mmeona kuzungumzia kialama kidogo cheusi kilichewekwa kwa kalamu ndio la msingi kuliko uzuri wa weupe wa karatasi? Nadhani mnaweza kuwafikia mkawapa hayo maoni naomba kuwasilisha 🙏
🔥🙏
Je vous encourage et félicitations ! Mais autres ont suggéré le mauvais coiffure et gestion vestimentaire, moi aussi j'interviens juste pour donner un exemple au Burundi , dans des églises locales rurales , portant les meches , tu ne peux pas tenir devant pour chanter, ou bien avec les minu jupes!! Impossible
Veillez compléter tous spirituellement, le bon Seigneur bénira vos Actes ❤
Nice song indeed
Ninasubiri ujio wake
When I come to USA,I gonna join you guys
Mnaimba vizuri hadi natamani nije kuimba
Hii nyimbo nzuri
Amen nabarikiwa
Amina!
Kaeno kama hio injili ya yesi
Safiiiiiiiiiii❤
Ameeeeeen may God bless you
eeeeiiii nice one
I love it
🙏🏽🙏🏽
Blessed lovely voices ❤
Wanatuchanganya kwakweli ,yani kama Yakobo alivyomchanganya Isaka,Maneno ni ya Mungu lakini mwonekano wao hao wadada ni WA kishetani,,,,
This is too harsh a comment...Biblia inasema Hamna ata Moja aliye msafi...Don't judge ..this is for God to do...let the name of the Lord be praised....mavazi na kadhalika haitupeleki binguni...
@@sibuormanganga8339soma vizuli biblia ndo uje ukoment
@@sibuormanganga8339acha basi biblia inasema watu wavae nguo za kustri miili sa hapo mambo gan hayo nguo zimebana wengine zimevuka magoti hapa badala watu tusukilize ujumb tunajadili mavaz kwa sabab hayafai
Awesome,but what happened to audio?
Was there any problem with the audio on your end?
Beautiful
🙏🏽
Fantastic
Nice melody ☺️
Thanks for listening 🙏🏽
❤❤❤
Nice song
Mnaimbaa ,ila wadada wenu wambienii wapunguzenii mitindo ya kimionekano
Thank you for watching
Mlihama Light bearers?
You guys in found in which State?
Sio tu nywele hata mavazi hayo sio mavazi yakisabato badrisheni mavazi yenu
Mnaimba vizurii lakin punguza kunesa😢😢
Who program your songs???
AMEN
Hawa wako U.S.A sio Tz😂😂😂
Ila n wa Tz na Kenyans
God bless you by the way I want number za eliya ngus
Amina
Fantastic
❤❤