Ronaldo ndo mbora wng wa misimu yote ya kisoka,lkn nimejifunza kuwa kufanikiwa kimaisha kunatoka mbali sana na inakuhitaji kuwa mvumilivu,kujituma zaidi,nidhamu na kutokuwa na tamaa na kumuomba sana Mungu,big up to him 🙏
WCB mmeleta mapinduzi ,, mtiga unavosimulia mtu unaweza angusha udenda kwa utamu wa stor dah had unataman iwe saa zima dk 19 nmeangalia kama dk 3 Thanks bro MB zangu huwa haziendi bure nkiwa nasikiliza story zako
Yani kila nikifuatulia maisha ya watu waliofanikiwa nakuta hawakufanikiwa kizembe hata ronaldo nilikuwa namuona bishoo tu.. Kumbe ninavyomuona sivyo alivyo ndani yake duh nataka kumueshimu kuanzia sasa nami staki njia nyepesi tena
Wa Tz buana mwajifanya wajuaji na Ubishi kwa Kila kitu..Kama uwongo hebu na Nyie tuleeteeni za kwenu za Ukweli..Sio maneno maneno kama Mnywa Denge.Mwenzenu kaweka ya kwake mnayoona uongo..Leteni n Nyie ya kwenu ya Ukweli..
Cristiano Ronaldo CR7 Jeshi la mtu mmoja uyo in atali sana jeshi la mmoja popote anacheza uyoo ata umpeleke stoke city anacheza ana mpinzani uyoo akuna kama CR7 Dunia nzima
Messi kwenye soccer hatumdai kitu kwa sasa kiufupi debate is over nani mfalme kwenye soccer tumeshampata 2022 Messi ni mmoja tu msimuliaji anapiga polojo tu
CR7 all day,viva Ronaldo milele na milele
CR7 forever no matter what 🙌🙌
Mtiga Abdallah umeuaaa👏👏
Kama we team Ronaldo gonga like hapa twende sawa
Ronaldo mtu sana tu
❤ 4:44
Mess nay si poa
Kama unamkubali Cristian ronardo like hapa
Nakubali
Huyo ndo super star wa dunia dunia. Dunia hakuna supar star kma huyo kama wakubaliana na hili nipe like zangu
Watching from Kenya, it's not even debatable Cr7 is the King of football, The GOAT 🐐 🔥🔥🔥
You know nothing about football
CR7!! simply THE GREATEST OF ALL TIME💥
Hahahaha
😁 😁
CR7 the Buffalo of Portugal🇵🇹🇵🇹
Watu wa buffalo nyie mtaenda peponi
@@alumberashidi4157 🤣🤣🤣🤣 why bro
Au sio
C R 7
Ronaldo ndo mbora wng wa misimu yote ya kisoka,lkn nimejifunza kuwa kufanikiwa kimaisha kunatoka mbali sana na inakuhitaji kuwa mvumilivu,kujituma zaidi,nidhamu na kutokuwa na tamaa na kumuomba sana Mungu,big up to him 🙏
Ya
Ronaldo atabaki kuwa tu mfalme wa soka duniani🐐🐐🐐🐐👌👌👌💯💯💯
Mtayarishaji hakika una mapenzi na Cristiano, Hongera.
Paraguay
𝑲𝒘𝒆𝒏𝒅𝒓𝒂𝒂𝒂𝒔
God bless you Ronaldo for this talent
kumbe Ronaldo ana uwezo wa kuruka mara 5 ya cheeter, big up mzee 🤗🤗🤗👍👍👍🙏🙏
cr7 king mfalme wa soka dunianiii
Tunaosikiliza Huku Tunasoma Comment Tujuane hapa👍🏽Hatunaga maneno meng cc kimya kimya.
Ahahahh tupoo
Hahahah
Mm namkubali messi sana lakn
0673786665
Jay Msimamo n kwel mcmamo
Kazi nzuri sana lakin nakumbusha mmesahau Ronaldo mwenyew amefanya kibarua cha kufagia barabara katika mji mmoja ureno😥😥
Ni wachache wenye uwezo huo, nakuelewa mzee cr7💪💪💪💪🐯🐯
In mess
Cr7 the magical in the world OK lete na ya mshimdan wake the magical lionel messi plz mtiga
cr7❤❤❤❤❤
CR7 IS THE BEST IN WORLD
Shikamoo mtiga abdallah,yaan umeisoma vzuri sanaaaa hii story nahisi hata mwandishi asingeweza kuitendea haki kama ulivoitendea wewe,,,big up sana
The best player King Cr7🇲🇿🇲🇿🇲🇿👑
CR7 NOMAAA SANA UKITOA DIAMOND BC N RONALDO
Nasseb Abdul wew ata like yang nimekupa umeongea point
haswaaaaaaaaaaaaaa
Kweli wa tz mnapenda za kwenyu 😕😕
The best player..huyu jamaa namkubali..mpaka kesho..yani..nafurahia hiki kizazi...the best generation..
Dah alipitia msoto sana
Ndo imefanya awe star😣😥
Cr 7 ni the best
Saana
Daaaaaaah nmeamini maisha sio easy aisee....
@@Wil949 kuna watu sana hasso vibaya
Kazi zuri mtiga...much love from kenya
Uko sawa CR7 ni noma
WCB mmeleta mapinduzi ,, mtiga unavosimulia mtu unaweza angusha udenda kwa utamu wa stor dah had unataman iwe saa zima dk 19 nmeangalia kama dk 3 Thanks bro MB zangu huwa haziendi bure nkiwa nasikiliza story zako
C7 no 1 @C Ronaldo
Team kuwachomolea betr wasimulizi wengne gonga like hapa kwa kumkubal mtiga abdallah na bado twende mtiga nimependa sana
VVB V
Atake like kwangu namtumia mb
⚽⚽
Yani kila nikifuatulia maisha ya watu waliofanikiwa nakuta hawakufanikiwa kizembe hata ronaldo nilikuwa namuona bishoo tu.. Kumbe ninavyomuona sivyo alivyo ndani yake duh nataka kumueshimu kuanzia sasa nami staki njia nyepesi tena
Wa Tz buana mwajifanya wajuaji na Ubishi kwa Kila kitu..Kama uwongo hebu na Nyie tuleeteeni za kwenu za Ukweli..Sio maneno maneno kama Mnywa Denge.Mwenzenu kaweka ya kwake mnayoona uongo..Leteni n Nyie ya kwenu ya Ukweli..
African Happy Adventure hao wanaoona ya uongo ni team mess achana nao
@@dasilvajunior3016 Haaaahaaaa..Kumbeeee eeee...
Wanajiendekez tu
Daaaah huyo Albert,acheni tu alezake bata,amini
Kabisa,,wala haangahiki
CR7 Practice makes perfect ✍️✅
Lionel Messi forever ❤❤❤❤
the magician cr7 much love
Leta na ya Messi maana yule mtu nae ni magician ...so mtu poa hawa jamaa 1.messi 2.cr7 hawa jamaa wameiteka dunia
Messi alizaliwa ,akachukuliwa na Barcelona na atafia Barcelona
Hana nyota
Mm naona messi ndo fundi wa mpira
Frenk Fikiri ggftteswxq qqww uikopppautrwqmjhygffll
@@frankmiraco9844 Messi hana nyota ipi mzee, unachora wewe
Cr7 no one more than you in our world
cr7 ndio mchezaji bora dunian
CR7 damu
CR7 MNYAMA GONGA LIKE KWAKE
Hardworking beats talent when talent does not work Ronaldo iz best
❤🎉
Me siombi like ila ukijisikia weka........ Kw Ajili ya Ronaldo
ninekukubali bro na nimekupa like yangu maana wengine wanangangania like kama wanakula hivii
Unasikiliza huku unasoma coment kimya mkimya weka like yako hapa twende sawa
Lionel Messi nimuchejaj Bol kuzid Ronad
Cr7 juu
Mpira maisha
its fun ni mchezaji ambaye anakiwango cha juu cha ychezaji anafaa kuitwa mfalme wa soccer
Coach Haji fuko-ifakara
haya yote ni mbwembwe,
Messi is the BEST player to ever Exist
hii yote ni ushoga
MESSI 10 the G.O.A.T
CR7
Nakubali sanaaa CR7 the boy from Portugal🇵🇹
leomessi the man
Cristiano Ronaldo CR7 Jeshi la mtu mmoja uyo in atali sana jeshi la mmoja popote anacheza uyoo ata umpeleke stoke city anacheza ana mpinzani uyoo akuna kama CR7 Dunia nzima
hujui k2
Cr7
Tunaisubiri pia ya nguli mwenzake Lionel Messi
Nakubaliii
Burton Barick tayari aujaona
Lionel Messi
Messi kwenye soccer hatumdai kitu kwa sasa kiufupi debate is over nani mfalme kwenye soccer tumeshampata 2022 Messi ni mmoja tu msimuliaji anapiga polojo tu
Be blessed Broo huyo jamaa ni Fundi ila kwenye kuoga hata sisi tulikuwa tunanawa miguu tuu
Wanaoamini kuwa historia haiwezi kubadili ushabiki gonga like
Christian Ronaldo ni zaidi duniani
Uko sahihi coz Messi sio wa Dunia hii
Kaz nzur bro tunashukur
It's 2024 na bado Ronaldo is still shinning 😊😘🫶♥️
Messi hajafunga goal by head, jumping, bicycle ..... CR7 is the best.
@GODLISTEN JOHN matako ya Baba yako Kwanza then mamaako
sure sure
2009 UEFA final
MU vs FC BARCELONA
MESSI ALIFUNGA KWA MKONO
UMEANZA KUANGALIA SOKA JUZI AU
hayo magoal yamempa golden boot ngapi? ballon dior ngap😅😅😅
CR7 is very nice player in the world and I love him so much and I wish him all the best in n their life of Cristiano Ronaldo (CR7)
no dought about this more than better cr7 long lives in football
Asante sana...Cr7 is the Greatest Of All Time 💥
Vp
Apa baba umeongeza na ushabiki japo kuna vitu vya ukweli but ushabiki umepamba sana
😂😀😂😂😂
Wivu tu unakusumbua
Goal machine, El commandate,, Bishoo mweny pesa zake
Ronaldo anatisha sana
Gold machine
CR7 ❤️goal machine 💪🏾hana mpinzani
Dah Cr7 wangu love sana
Love from Kigali Rwanda 🇷🇼🇷🇼🇷🇼🇷🇼
Kama ww nimnyama cr7 like hap
Mnaotaka stori ya Messi hii hapa...Alizaliwa akachukuliwa na Barcelona na atafia Barcelona
Machanja Ramadhan 🤣🤣🤣🤣🙌🏿
Khaa umetisha.
Thats all 😂😂
Acha bangiii
Duuuuh..!wee hatarii
CR7 buana
Napenda kipindi story book ila mnakaa Sanaa tuna hitaji story nyingii Jamal
Z
Ronald bila mapenzi very humble man
Mess is allien
Messi is best ply
Hakikaaa
Great player 👏👏👏
Ronaldo
Asante sana ila utapata tabu kupata majina sahihi utakayo muita yule mnyama wa Argentina anayekipiga pale Barca
Musa Jumanne yule wa barselona tu atoke tuone mtamsahau
Cr7 is a goat and the goal machine of the world
Wasafi media ilipata mtangazaji aisee😀😀😀
Big up sana bro
Hahahah aha ni kitabu kichwa chake
Yule wa sasa mm hata simuelewi
I choose Cristiano Ronaldo the best
naweza kukupa namba 1 ya usimulizi,
ila naomba ya messi pih
Isack Laurent anapnd messi huyu
Isack Laurent nakubali
Isack Laurent ya pessi tayari amesha tupa
RONALDO IS THE BEST!!
Long live legend alberto ✊✊✊✊✊✊✊
Cr7 sijaona zaidi yake
Bro abdalah story hi ume isimuliy fresh kabx apo nakupa 100%
I will be happy the day cr7 he will become a Muslim boy ❤️💚💙🇸🇴
Lm10 will remain king of soccer forever✅
Well done and keep it up
Great cr7
Asanten kwa kutupa story na tunapenda kufatilia lakini punguzen matanzo. Maana ni mengi sana daaah!
Umekosea mwanangu iyo pasi nilimpa mm
Jamaa alivyo fala akanyoosha mpaka boxer zake Ila anavunga hanijui
Muongo mzee speed ya ndege inayo kwenda mbingu duu sawa anajuwa mpira lakini si kwashutilake ety sawa sawa na speed ya ndege wemuongo apo unipati
Unajua mana ya speed ??
@@pasleemnyama8548 Distance over time (km/h)
Touching life moment story of Mr Albert and cr 7 mnyama
Tupe ya messi kwanza utusawazishe mashabiki ww...
Daaah!!! alihasoo sana kumbe?nice CR7
hakuna kama CHRISTIAN RONALD O,,,,,kama unaamini hilo gongalike hapooo¡!Na ingia kwenye channel yangu kupata mambo makubwa zaid
xana
Cr7 ni bora... king of soccer
Kuna sisi tunaskiliza huku tunasoma comment SISI NI NOMA ZAID
🙈🙉
Lionel Messi is always the G.O.A.T
Dah! Ronaldo big up
Mimi huwa siyo mshabiki wa Cr 7 ila hii Story imenifanya nimkubari