Mr Lissu akili kubwa sana na vision kubwa sana, Mimi nakuelewa sana sana na kwa mtazamo wangu hakuna Mtu ye yote anaefaa kuwa Rais wa TZ ispokuwa Mr Lissu na naomba Mr Lissu ukishinda na kuwa Rais wa TZ tusaidie sana elimu nadhani unafahamu ni kwa kiasi gani Wa TZ kwa sababu ya kukosa elimu wamekuwa hawawezi kufahamu mambo muhimu pia wanatatizika katika kuyafahamu mambo muhimu n.k.
Amefikia bei?? Atamfuata rafiki yake msigwa???? CCM wanamhitaji Lissu zaidi kuliko yeyote hasa kwa ajili ya misaada na mikopo toka nje.. mama asije kuchafuliwa
@@josephlorri431 kwa akili zako unahisi Lissu akienda CCM atafanya kazi gani..?? Chadema kama akitoka Chadema atakuwa Mwanaharakati Huru# na hiyo ni kama akitoka Chadema kitu ambacho uwezekano wake ni haupo#
Lisu ukimsikiza. Juujuu huwezi kumwelewa inatakiwa uwe na akili kubwa na wengi hawamwelewi namshukuru mungu mm namfuatilia sana na kumwelewa yuko vizuri , hivyo tulia unapomsikiliza lisu na mungu akusaidie utaelewa tu, nambowe pia amefanya makubwa na mazuri ndani na nje ya chama nathamini sana , ila kwa sasa namuomba kama inampendeza asigombee kwa heshima yake , na asimwachie lisu peke yake ushauri wake na busara zake zinahitajika asante

HUYU ATAKUWA PADRE SLAA TYPICALLY 😢😢😢😢😢
Uchaguzi usiishie kuwa HURU na HAKI tu bali uwe HALALI.
Lissu anaelezea vitu vigumu kwa Lugha nyepesi sana..
😅😊😅
Ili uchaguzi uwe huru na haki undeni tume huru iongozwe na Padri kitima, warioba na mwabukuzi
Pesa ya abdul mbona wanasema ni uongo? Ile ya kkt m150 mbona wanasema ni mchango wa Kanisa?
UPO VIZURI.
Hata kwenye familia succession ni muhimu
Amefikia bei?? Atamfuata rafiki yake msigwa???? CCM wanamhitaji Lissu zaidi kuliko yeyote hasa kwa ajili ya misaada na mikopo toka nje.. mama asije kuchafuliwa
Akili ndogo
Umjuh uyu ww
@@josephlorri431 kwa akili zako unahisi Lissu akienda CCM atafanya kazi gani..?? Chadema kama akitoka Chadema atakuwa Mwanaharakati Huru# na hiyo ni kama akitoka Chadema kitu ambacho uwezekano wake ni haupo#
Naona jamaa humjui vzur
Itakuwa umezaliwa hivi karibuni labda2000😂😂
Lissu ataenda ccm kabla ya uchaguzi.
I had clear vision about that
Kuna kaunabii kengine utupe?
Haha
Kumbe umjuhi uyu ww