Mbowe Ameongoza Chadema Miaka 21 | Mwenyekiti Hajasema Anagombea | Mimi Nitagombea

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 16 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 16

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 49 хвилин тому +1

    YAANI WANACHADEMA NA AKILI ZAO MGANDO WANAAMINI KWAMBA MBOWE NDIO MWENYE AKILI PEKE YAKE NA UWEZO WA KUIONGOZA CHADEMA! HUO NDIO UJINGA ULIOPITILIZA

  • @cliffmaringo
    @cliffmaringo 2 години тому +4

    NIKWELI KILA MTU ANAHAKI YA KUCHUKUA FORM NA KUGOMBEA WANACHADEMA WATAAMUA NANI AWAONGOZE

  • @mwinyiothman5106
    @mwinyiothman5106 2 години тому +1

    Ety mwenye akili ni mmoja😂😂😂

  • @adiaygo8546
    @adiaygo8546 2 години тому +2

    Lissu Twaha kiduku mbowe Hassan mwakinyo tunawasubiri Kwa hamu😅😅

    • @reymshana4923
      @reymshana4923 Годину тому

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz Годину тому

    Haki ana haki ya kugombea

  • @festokemibala5832
    @festokemibala5832 2 години тому

    Umesahau gazeti la Mzalendo!!

  • @tanzaniashinyanga454
    @tanzaniashinyanga454 17 хвилин тому

    Huyu muongo sana hana sifa ya uongozi

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 51 хвилина тому

    TATIZO MIANACHAMA MINGI YA CHADEMA INA AKILI MGANDO INAONGOZWA NA MAWAZO YA MTU MMOJA KWA MIAKA 21 NA BADO UANAUDHIKA KUONA LISU ANATAKA KUMCHALLENGE MBOWE

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 години тому

    Chadema mlipaswa Kittojo angombee na Mbowe ili Mbowe ashinde kiulaini

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 2 години тому

    Veve ukufaje uragha upinzani

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 2 години тому

    Hiyo kichwa achananayo kabisa.

  • @thomas-kx4dq
    @thomas-kx4dq 2 години тому +2

    Hiki chama Cha mbowe Cha kikoro sana nilikuwa napenda chadema lakini Sasa naona usenge tu Wacha tubaki na ccm tu

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa Годину тому

      Hata Mimi sioni angegombea mtu hafamiki tofaut na mbowe na lisu kwani chedema wapo makada kama vipi wampe Aisha wa dodom alipambana siku ya uchaguzi mdogo kama mbowe lisu skiona mapolisi anapaa ubiligiji uraia pacha ila mbowe mpambanaji kwa sasa narud ccm kwa muda na wenyewe wawe na demkorasia Kila kada achukuwe from wachuwani 2025 Tena kwa hoja hapo ndo inchi itakuwa kiuchumi lakini tukiimba tunaimani na mbowe bila ushindani hupo ni kuumiza demkorasia na hakutakuwa na utawala Bora na kiongozi mwema kwa wananchi kwa sasa wananchi wapewe uhuru wa kuchaguwa viongozi si kuchaguliwa na kundi Fulani maoni yafanyiwe kazi kwa maendeleo ya taifa letu sote

  • @ellyjeremia9401
    @ellyjeremia9401 2 години тому

    Upinzani ni ACT Wazalendo tu

    • @IjumaaIjumaa
      @IjumaaIjumaa Годину тому

      Ni kweli chadema ni vurugu tu na mabishano na kutowa Siri za ndani je kikitawala itakuwaje