Yaaan ninyi mnanikosha, dua ziwe pamoja nanyi. Kati yenu asiwepo hata mmoja wa kukengeuka, shika Sanaa uricho mm nabarikiwa Sana na nyimbo zenu Ila punguzen madoido.
Usiku mchana fanyeni kazi ya Bwana! Ni maneno yenye kutia moyo katika hii safari. Asanteni sana MMG kwa kututayarisha mioyo yetu kuingia Sabato. Blessed sabbath to everyone.🤗
Todos os dias tenho que assistir pelo menos um vídeo de Msani Music isso vem acontecendo desde ano passado quando minha esposa me apresentou o grupo, tem sido uma benção!
Umva ndabakunda cyane nu bwo ntumva neza igiswayire ariko mwumve abanyarwanda tubakunda cyane pe!! ngewe mba numva uwa ba nyereka pe!! gusa amaraso ya kristo azaduhuza Nyagasani akomeze abubake!! thx!!
Yaani I listen to this song more than 10 times a day...daily I'm not a kisii but im really enjoying the song,had to sit down with a pen to write the lyrics The dress code and the actions wueh, I can't get enough of the one singing the second stanza More grace
This is your girl tinah ,watching from Namibia....guys keep on blessing us with your lovely songs .. ..my beautiful girl charlotte keep on praising God ,is brandy your sister.?...and my baby kelsey be blessed ...
Good song and very good choir but I am not a fan of all the dancing/arm movements that seem forced (not naturally occuring). Let the song be the focus. Take a cue from Saints Ministers, Kurasini, Kings Ministers, Zabron Singers... Even a lively choir like Ambassadors of Christ does not have this amount... I still hit the like button though 👍
@joe please guys do me a song it used to like " anakuja kama mfalme sio mbali bwana yuajaaa yuaja kwa utukufu mwingi yesu anakuja" I think hii ilikuwa chorus otherwise this is 💥
Niko Bwana ❤❤🎉😊
nzuli sana mung
Amin
Nipo hapa Bwana
Wow! So nice, na mm niko tayari
Nipo bwana nitume 👏👏
Ameen....nipo Bwana nitume
Amen kubwa🙏
Fanyeni kazi ya BWANA kwabidii muwe mnavaa mavazi mazuri hasa wanawake acheni nakusuka BWANA awabariki
Mungu awaongezee roho mtakatifu wa utunzi
Good warship,and men are putting on Holly , Good 🎉
2024 still watching gonga like tukisonga🎉
I keep repeating this song good one indeed
Aminaaaa
Ni Nani Tayari
Tunaendelea kujitenga na Mwokozi wetu...Bwana atusaidie
Imenichukua muda kuelewa nini umemaanisha kwenye komenti yako but sasa nimekuelewa Mungu atusaidie tubaki kwenye misingi ya Adventist Church.
I can understand your comment for sure
😊❤@@massatujeli3158
nilidhani wameimba ile hymn ila sasa kwa kuwa asili ya wimbo hauchezeki wameamua kuweka melody nyingine ila angalau waucheze, ila nyie?
I love this Kelsey like ur dance.....then this short man ananifanya nirudie wimbo ten times 💕💕💕🙏🙏
Mayooo...team iko chonjo
muririmba neza pe
Nawakubali sana🙏💪
Amen Mbarikiwe sana
I don't know that church but wako tuu sawa sana
kelsey grooming fine with warm smile just amazing to rewatch again
Habari za mchana, jina langu ni Raquel, ninaishi Caruaru, Pernambuco, Brazil, nakupenda na kukusikiliza, busu kwa wote.
❤ frm 🇧🇮
Good work. I love the consistensy. Zidi kubarikiwa
gloria Dios para todos
Thanks am much blessed
Midi kubarikiwa zaidi msanii music 🎶
Wow amazing!the shortest guy in the middle
Namipia
Yaaan ninyi mnanikosha, dua ziwe pamoja nanyi. Kati yenu asiwepo hata mmoja wa kukengeuka, shika Sanaa uricho mm nabarikiwa Sana na nyimbo zenu Ila punguzen madoido.
Write ✍️ good swahili
Mi ni tayari🙏
tamuuuuu sanaaaa
Looking smarth
Tangu nianze kuskiza huu wimbo najawa na matumaini,,,,cogract msanii m
Usiku mchana fanyeni kazi ya Bwana! Ni maneno yenye kutia moyo katika hii safari. Asanteni sana MMG kwa kututayarisha mioyo yetu kuingia Sabato. Blessed sabbath to everyone.🤗
Ni nani atakayesema Bwana nipo nitume. Oh Lord help to always be ready as you wish to send
Nyimbo hii imenibariki kiasi cha kuiridia ku play mara nyingi. Nyinyi ni waimbaji haswaah mlitumwa kwa kipawa hicho
good melodic voices ni nani hawezipenda hizi nyimbo? hakuna
Mimi ni Isaka Jacob .Good somgs . MUNGI awabariki AMEN
Woow
Ni nani atakayeenda ( ntajibu nipo tayari ntume mimi)🙏🙏 love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💕💞
Amen🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏
Usiku mchana fanyeni kazi ya Bwana
Ni nani atakayesema Bwana nitume
HAPPY SABBATH
Todos os dias tenho que assistir pelo menos um vídeo de Msani Music isso vem acontecendo desde ano passado quando minha esposa me apresentou o grupo, tem sido uma benção!
My favorite naomba kuwa Hata mie niimbe nanyi siku Moja be blesssed
Beautiful number Msanii. Pongezi
Amina mbarikiwe Kwa nyimbo zenu nzuri
Umva ndabakunda cyane nu bwo ntumva neza igiswayire ariko mwumve abanyarwanda tubakunda cyane pe!! ngewe mba numva uwa ba nyereka pe!! gusa amaraso ya kristo azaduhuza Nyagasani akomeze abubake!! thx!!
I follow your nice song from burundi ongela saana
Alto sounds like charlotte 😊
I love you guys
Let write In my Language Nukuri Imana Ibahe Imigisha Myinshi Turabakunda🇷🇼
Na nikweri
Your instruments zimepigwa Sawa
Kweli kabisa Tena kwa utulivu wa Hali ya juu❤🎉🎉🎉
My neighbors wapende wasipende volume ni 100 Kila siku your songs are👌👌👌👌
I want to learn Swahili pls
Wonderful soon will get to heaven am watching from Zambia
Amen....mimi Niko tayari. Bwana nitume.
Yaani I listen to this song more than 10 times a day...daily
I'm not a kisii but im really enjoying the song,had to sit down with a pen to write the lyrics
The dress code and the actions wueh, I can't get enough of the one singing the second stanza
More grace
Mnaimba vizuri lakini wadada vaeni mavazi ya heshima mtabarikiwa.
This is your girl tinah ,watching from Namibia....guys keep on blessing us with your lovely songs .. ..my beautiful girl charlotte keep on praising God ,is brandy your sister.?...and my baby kelsey be blessed ...
999o99o999999999o99999oo9ooo9o9999
Gosto muito de ouvir esses louvores, Deus abençoe vocês sempre abraços.
Charlotte's voice for me🥰😍
Amen
Mungu awabariki sana
Halleluyah....amazing song I missed it....nipo bwana nitume
beautiful
mnaimba vizuri sana shida mbwembwe nyingi mpka mnaboa
Nko Tayari Mungu wangu nitume
Amen 🙏🙏
Amen and Blessed Sabbath all 'nipo bwana nitume'
Amen
Wakati wote nyi hutufanya kuhisi baraka za bwana...tuwe tayari kumtumikia , Amina
Wow,,angelic voices so beautiful indeed may God bless you ...wacha tufanye kazi ya bwana bado tungali hai.
Nitume bwana .
Mbarikiwe sawa kwa wimbo mzur...
Good song and very good choir but I am not a fan of all the dancing/arm movements that seem forced (not naturally occuring). Let the song be the focus. Take a cue from Saints Ministers, Kurasini, Kings Ministers, Zabron Singers... Even a lively choir like Ambassadors of Christ does not have this amount... I still hit the like button though 👍
Mashallah Mashallah 💃💃
I really love Msani music group, I MUST watch their video cips every night before sleep overshadow me.
wooow.......i love this song.....ni nani tayari
Nawapenda Saana,, good job,, karibuni Mombasa pia
MUNGU AWABARIKI KATIKA KRISTO YESU
Amina.
Am here every Friday checking for anew song from msanii🎶🎶🎶memories restored#Team Doha Qatar always tuned#
Kwakweli Kupitia Wimbo Huu Leo kila Mtu ananiuliza status Wimbo inaitwaje adownload .. u made it Bwana awapiganie
Nipo tayari Bwana Yahusha, nitume.
Wow.To God be the Glory.Hizo sauti if God is happy🤝👍👍
The alto team
Here IAM Lord send MI........ B blessed msanii music
HAPPY SABBATH
@joe please guys do me a song it used to like " anakuja kama mfalme sio mbali bwana yuajaaa yuaja kwa utukufu mwingi yesu anakuja" I think hii ilikuwa chorus otherwise this is 💥
Do him favour please,, consider his plea
The short man 🙋she is always have enyeway I love you msani records keep it up soon I will join your 🥰🥰
Amen amen
Mungu awabarik thanks 👍❤ niko Tanzania
Niko narudia tu hii song tangu asubuhi🤗🔥God bless you
My darling Lilian 👋👋👋👋👋
I love msanii music group for free..yu not only sing well but mko stylish sana....,.modern way of dressing,,dancing,,singing,,God bless yu guys always
exactly...
Nipo bwana nitume love from #Burundi 🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮💞
ni mim niliye tayari
I wish your heart is like ur dressing code as we a waiting for the second coming of Jesus to take us b blessed amen
I have to admit there are a lot of beautiful songs I've not heard like this one I've just discovered it today
❤❤❤❤❤❤
Its the mulmulwas for me. He dances so well