Mbona kuna pesa za majini( chuma ulete) lakini kama una Roho Mtakatifu atakuongoza ukatae au usipokee na ukikosea unatubu. Alafu Good luck Gozbert sio muimba nyimbo za injili kuna nyimbo mpaka viduku.
Dogo alikula cha Arusha bange zikamzidi kwenye maisha ups and downs huwa hazikosekani hakuna Mungu wa aina hiyoooo zaidi ni kupiga maombi kuikataa roho ya shetani
Wala, Gozbet amechoma gari ili watu wamfuatilie na kuangalia video zake. Kwa kiasi watu wengi wanavyoangalia video zake ndivyo hivyo anarudisha hela na kupata hela ya gari lingine. Hapo godluck kacheza kamari. ... Anafanya biashara ya mtandao... Mfano video moja ana views 140,000 mfano kila anaye angalia ni tsh200 (140,000 x 200 = Tsh. 2,800,000) ndani ya siku 2... Akiwa na video 5 zikikaa mwezi hajapata hela ya kununua gari lingine na zaidi.? ) hayo ndiyo mahesabu ya Gozbet... Mfano hata wasanii hamo rapa anagombana na harmonize ili watu wamfuatilie apate view apate hela,.. sijui msanii anaota video za uchi ili tu watu wamfuatilie, sijui msanii wa Kenya anagombana na diamond ili watu wamfuatilie auze video views kwenye mtandao apate fedha .. hicho ndicho huyu Gozbet alichokifanya .. Sasa anamtumia jina la Mungu alijua fika kuwa watu watamwonea huruma na kumfuatilia.. kwa ujinga wa watu kutokuelewa na kujifanya wanayajua ya rohoni Sana .. hapo ndipo biashara yake itamlipa.. na kesho atakuje mbele ya watu na gari jipya na kusema maneno mengine ya kuwahadaa watu... VIDEO zake ameanza na maneno ya TAHADHARI,... wachache wanaweza kuelewa maana ya yeye kuanza video akitoa maneno ya TAHADHARI.
@@zuberisalum2004 kuma niwewe na uyo shetani wako namuomba mungu wangu akusaidie njaa yaumaskini inakutesa kwenye maisha yako na unataman vitu ambavyo sio halali pole sana ndugu yangu
Alafu East Africa tuacheni kiki za kishenzi uyu good luck alipewa gari aina macdiz Benz tena nyeupe na kwa camera tunaona akichoma gari nyeusi kabisa sasa hapo kuna ukweli gani kwenye kukabidhiwa tuliona nyeupe naio anachoma sio benz
watu wanaoongele sijui angeuza au kugawa wote wapuuzi tu na hawana utu Huwezi mgawia mtu kitu au kuuza kama unajua kina madhara. Ni kama kushikwisha itel na wakat wewe ulitaka kununua. iphone.Angalau wao wanaoongelea kuhusu yy kupost kwenye media. Of course this 🤐. Inaweza kuwa kama watu wanavofikilia lakini pia inaweza isiwe hivyo
Angali rejesha pale pale kanisani kwani wengine hawalitaki hiyo dini yakichawi imekuvaa mwilini Ile gari ilikua inamtesa kwasababu huyo jamaa nimchawi ndio mana
Waliocoment kwakumsapoti huyu wakala wa shetani kwapumba alizoongea Mungu awarehemu pia anazoom! maana mambo yakiroho mnachukuria nirahisi kuyafikiria kimwili kama huyaelewi nibora kukaa kimyaa lasivyo mtakua mnajiletea matatizo kwasababu ya vivywa vyenu kupenda kuongea pasipo kupambanua mambo nakuchukuriwa naupepo.
Tatizo ww huna elim mbumbumbu zamwamwa mada yyte inayokuja kwako unaipokea hata km huliwez unakurupuka tu punguza uchawa acha mambo mengine km huna elimnayo acha yapite
Sasa good luck gari alilochoma ni tofauti alilopewa kirangi 😂😂😂sasa tuamini vpii,where??basi akachome hela pia....umepewa zawadi mda mwingi sai anakuja kutuongopea kulichoma khaaa 😂katafuta kiki ya kurudi mjini tuu...angeregesha gari ya watu wakapewa wenye uhitaji
Kosa Kubwa Vijana Wakipata Pesa Wanapenda Sitarehe Wanasaau Kama Muziki Na Sitarehe Mambo Mawili Tofauti Sasa Kaona Kachoka Anaenda Kusaka Kiki Kwa Kufanya Kufulu Yule Atabaki Uchi Siku Zote Sapoti Kwa Watu Asaau Kabisa
kaka dotto huyo jamaa ni mchawi uchawi wake ndio umemtesa yeye Analana hajawihi toa sadaka tangualipopewa gari alisahau ishu zakanisa Alikua anakula bata2
Dotto fala sana 😂😂😂 eti unakichwa kibaya uncle
Nakubali sana kaka dotto magari
Alikuja akilia machozi akisema Baba Nabii nibariki
Siku Zote Sadaka Ndo Msingi Bola Jamaa Alikua Anapenda Sana Sitarehe Akujua Kama Sitarehee Mbaya Akuna Mungu Kumtokea Yule Muongo Na Yeye Ni Mchawi
Kweli broh bora angempa doto auze hata kwa lak 3 😂😂😂
We jamaa we ujasoma lakini unaakili kuliko hata professor nakubali sana uwezo wako wa kufikiri
Nakukubali sanaa mtoto wa mama kzimkaz
Doto unatuvunja mbavu uku wife wangu anacheka mpaka kachanganyikiwa kichwa kama mwiko wew😂😂😂
Goodluck Gozbert nadhani anatakiwa apimwe akili
Mbona kuna pesa za majini( chuma ulete) lakini kama una Roho Mtakatifu atakuongoza ukatae au usipokee na ukikosea unatubu. Alafu Good luck Gozbert sio muimba nyimbo za injili kuna nyimbo mpaka viduku.
Dah huyu dotto anavituko sanah
😂😂😂😂 Ila Dotto unauwezo mkubwa sana wakufikiri watu ambao hawajazoea kupewa vitu ndyo wanajaji Mungu ndy Kila kitu
Akili huna kumanisha
Issa Tambuu ana kazi sana na Dotto
Wapo kikazi zaidi mkuu
Dogo alikula cha Arusha bange zikamzidi kwenye maisha ups and downs huwa hazikosekani hakuna Mungu wa aina hiyoooo zaidi ni kupiga maombi kuikataa roho ya shetani
Yupo mama alijengewa nyumba na wakoroea hakuikaa ameugua miaka 10
Goodluck ni mchawi mwenyewe
Kaongea ki mhemko sana, Mungu sio mwanadamu. akikupa agizo tekeleza.! Acheni mihemkoooooo
1:35 😂😂😂angelileta tuliuze hata laki3😂😅
Huyu Doto yuko mwilini 100% hana analojua zaidi ya lopolopo ukweli kashautoa mwenyewe Gozbeth wengine wote hakuna mnachojua maana hamuoni rohoni
Wewe umeona rohoni 😅😅😅
wewe ndo hujui lolote ,kama zawadi hupendi rudisha kwa aliyekupa,huyo gosbeth anatakiwa kushitakiwa kwa kitendo alichofanya anahamasisha uharibifu,tokea uzaliwe ulishasikia mtu Tz kachoma gari,
Ili hiyo zawad imalizeee
Mtu huongeee likiwa hlijamfka
Wala, Gozbet amechoma gari ili watu wamfuatilie na kuangalia video zake. Kwa kiasi watu wengi wanavyoangalia video zake ndivyo hivyo anarudisha hela na kupata hela ya gari lingine. Hapo godluck kacheza kamari. ... Anafanya biashara ya mtandao... Mfano video moja ana views 140,000 mfano kila anaye angalia ni tsh200 (140,000 x 200 = Tsh. 2,800,000) ndani ya siku 2... Akiwa na video 5 zikikaa mwezi hajapata hela ya kununua gari lingine na zaidi.? ) hayo ndiyo mahesabu ya Gozbet... Mfano hata wasanii hamo rapa anagombana na harmonize ili watu wamfuatilie apate view apate hela,.. sijui msanii anaota video za uchi ili tu watu wamfuatilie, sijui msanii wa Kenya anagombana na diamond ili watu wamfuatilie auze video views kwenye mtandao apate fedha .. hicho ndicho huyu Gozbet alichokifanya .. Sasa anamtumia jina la Mungu alijua fika kuwa watu watamwonea huruma na kumfuatilia.. kwa ujinga wa watu kutokuelewa na kujifanya wanayajua ya rohoni Sana .. hapo ndipo biashara yake itamlipa.. na kesho atakuje mbele ya watu na gari jipya na kusema maneno mengine ya kuwahadaa watu... VIDEO zake ameanza na maneno ya TAHADHARI,... wachache wanaweza kuelewa maana ya yeye kuanza video akitoa maneno ya TAHADHARI.
Kwa hii interview,namwona Dotto Magari Kwa Geor David Mapema sn😅
Aje tumpe hela huku kuna fedha
Dotto achaushamba unaishi kisaniiii achaujinga
😂😂😂😂😂😂😂😂doto umeuwa interview ya leo
Broo nimegupenda sana
Acha zako doto mwacheni mwenzeni
Doto nakukubali sana ni bora angelitelekeza kandokando ya barabara jiji ilichukue yeye kamwaga petrol kachoma mimi nimeona afya ya akili
😂😂😂😂😂😂😂😂😂ILA DOTTO 🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nimeipenda hiyo...ukiamka na afya asubui tayari ni bata.
Dakika ya 7:52- dakika ya 8 dotto ntakuja unifundishe icho kizungu😂😂
DOTO UMEONGEA POINT
Point bro
Dotto umeamua kunivunja mbavu leo 😅😂😂😂😂
doto pumbavu saana
Kuchoma kitu ulichopea na mungu ni laana naamini au anavuta bangi jamn
Kwani kapewa na mungu au mbn mm najua kapewa na binadam mwenzie
Mali zitawatoa roho
We Dotto xku ukiijua kweli ukumbuke kumuomba Mungu mxamaha kwa Hilo ,,,😢xkulaumu ila Wenda hujui chochote,,,af punguza Kamdomo hajachoma lako😂😂😂
DOTTO MAMBO YA ROHONI HUYAJUI, BAKI NA UPAMBE WAKO KWA MAMA
We unayajua ila walokole chefu
I like this guy dotto🇿🇲🇿🇲🇿🇲
Doto fala akiendekeza tamaa miluzi itausika
Doto acha ushamba unaongea ujinga au ndio mtandao uleule wa kichawi et nabii, sawa kabisa nabii wa washenz Kama Hawa akina doto
Waliomshauri......wamempotesha...ameshindwa kutofautisha kàti ya akili,hisia na mawazo........ukishindwa kufikia malengo hata mzazi wako utaona mchawi
Haya chawa
Doto interview zake ziko kwenye mstari huaga hapindishi kabisaaa 😂😂😂😂wapashe doto waache tabia hizo
Chung tamaa mbay
Pl kak ang good luck huyu doto hajui asemayo maan hat dini kwake chenga kajaa tamaa tu 😂😂
Uko sahihi kaka siku ya kwanza hakuliona kama Lina uchaw
Yan gar kapewa 2021 2025 ndo kaona madhara usenge2
Aliechoma gar amelaaniwa mtaona yatakayimkuta. Mtaahamin
Umelaaniwa ww na familia yako ila mwenzio ndo kafunguliwa ivyo
@faustangonyani5100 usitumia nguvu kumawewe sijakwambia wewew kuma kamakikapu mkundu
@faustangonyani5100 labda ujui good lucky nishoga kumawewe
@@zuberisalum2004 kuma niwewe na uyo shetani wako namuomba mungu wangu akusaidie njaa yaumaskini inakutesa kwenye maisha yako na unataman vitu ambavyo sio halali pole sana ndugu yangu
Hakika ukichoma vitu huws ni laana kubwa
Unaakili sana dotto
Lakini kweli alifanya makosa angerirudisha
Amrudishie nani,kumbe usione mtu ana kichwa kikubwa na mvaa miwani,apunguze matumizi ya........
Apo kusifia ibada zote sawa nmependa san
Alafu East Africa tuacheni kiki za kishenzi uyu good luck alipewa gari aina macdiz Benz tena nyeupe na kwa camera tunaona akichoma gari nyeusi kabisa sasa hapo kuna ukweli gani kwenye kukabidhiwa tuliona nyeupe naio anachoma sio benz
Issa mchawa daah nimechk
watu wanaoongele sijui angeuza au kugawa wote wapuuzi tu na hawana utu Huwezi mgawia mtu kitu au kuuza kama unajua kina madhara. Ni kama kushikwisha itel na wakat wewe ulitaka kununua. iphone.Angalau wao wanaoongelea kuhusu yy kupost kwenye media. Of course this 🤐. Inaweza kuwa kama watu wanavofikilia lakini pia inaweza isiwe hivyo
Madhara kakaaa na gar toka 2021 madhara kayaona 2025 kama sio ufala lingekua la kumuua si angekufa 2021 walokole wa ajabu san
"benz kama nyama kuku"
Sasa kibunda kimeisha hawezi hatakuweka mafuta nyimbo.kaziacha kwsherehe ya gari
😂😂😂😂 Ila Dotto
Kafanya kitendo cha kipumbavu sana kuchoma gari. Nahisi kama anaelekea kuchanganyikiwa yule dogo... jinga sana
Eti ana kichogo
✊✊✊✊✊✊
Angali rejesha pale pale kanisani kwani wengine hawalitaki hiyo dini yakichawi imekuvaa mwilini Ile gari ilikua inamtesa kwasababu huyo jamaa nimchawi ndio mana
Eti kichwa kina kichogo 😂😂😂
Waliocoment kwakumsapoti huyu wakala wa shetani kwapumba alizoongea Mungu awarehemu pia anazoom! maana mambo yakiroho mnachukuria nirahisi kuyafikiria kimwili kama huyaelewi nibora kukaa kimyaa lasivyo mtakua mnajiletea matatizo kwasababu ya vivywa vyenu kupenda kuongea pasipo kupambanua mambo nakuchukuriwa naupepo.
Tatizo ww huna elim mbumbumbu zamwamwa mada yyte inayokuja kwako unaipokea hata km huliwez unakurupuka tu punguza uchawa acha mambo mengine km huna elimnayo acha yapite
Mapepo....
Sasa good luck gari alilochoma ni tofauti alilopewa kirangi 😂😂😂sasa tuamini vpii,where??basi akachome hela pia....umepewa zawadi mda mwingi sai anakuja kutuongopea kulichoma khaaa 😂katafuta kiki ya kurudi mjini tuu...angeregesha gari ya watu wakapewa wenye uhitaji
Doto bwaaana
Kosa Kubwa Vijana Wakipata Pesa Wanapenda Sitarehe Wanasaau Kama Muziki Na Sitarehe Mambo Mawili Tofauti Sasa Kaona Kachoka Anaenda Kusaka Kiki Kwa Kufanya Kufulu Yule Atabaki Uchi Siku Zote Sapoti Kwa Watu Asaau Kabisa
Uyo anataka kikitu kwanza gar alilo choma siyo ilo alio pewa kabisa😂
Ndio lenyewe
Kazi ya mungu imeshafanyika kazi kwenu waongeaji
Imekuuma sana kama Kachoma gari la babaako
Uokoke ukweli sasa,ili Mungu aseme nawe na maisha yako yabadilike
usiusemee moyo wa mtu 😢😢
et nabii niletee mafuso ma nne😂😂
Hela alizopewa ziko wapi?
😂😂😂😂jamani naceka saaaana uyujama nihatali saana ananifuraisha kabisa
Kazingua siange kupa hata wewe 😂😂😂
angsrudisha gari ya nabii lasivyo atapata taabu sana
Atakuwa masikini alioteshwa na shetani
M nilikua nakusubili doto😂😂😂
Unanjaa muandishi wa habari 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 ila Doto
Utauzaje jeneza??
Uliona na ni jeneza ila walokole😂😂
Maana yake nn et atadata😂😂😂
One minix time five o'clock 😅😅😅😅
Duuuh kweli hii pumba
Mzaromo bwana maneno mengiiii🤣🤣🤣🤣🤣
Hi
Nabii gani
Mafuta angetia Nanitahiri angefunga na nn nawewe unaeuliza hela mwehu nn
Weee Dotooo 😂😂😂
Tatizo akutaka kujua kapewa nini Ila alipewa ufalme ambao hajui anze wap Daah so sad 😂
Kasikilize interview yake ujue sababu.
Yaan jamaa anaongea pumba kabisa kwa kuwa hayajui Mambo ya rohoni
Huyo jamaa ni comedian 😂😅
Achen uongo no ni DRC
Mwandishi umekosa kabi mtu wakumoji una muoji uyo ana point uyo
kaka dotto huyo jamaa ni mchawi uchawi wake ndio umemtesa yeye Analana hajawihi toa sadaka tangualipopewa gari alisahau ishu zakanisa Alikua anakula bata2
Nilikua Nasubiri tu na wewe utoe maneno 😂😂😂.
Eti issa me najua mchawi 😅
Sasa watu warefu wametokea wapi tena
Huna unachokijua doto amepitia magumu
Milioni 2 alizopewa ziko wapi?
We jamaa unazingua kichwa ka cha Gozibat wewe
ila Harmonize 😂😂😂
Wanasema akili ni nywele dototo kafuga nywele ila akili zake zipo kwenye vuz chupi huyu
Ety una njaa mwandishi wa habari😂😂
DOTTO SI MZIMA 😂
Et nyiee wasomi 😂😂