Joe Davi sio mtumishi wa MUNGU huyu katika KRISTO YESU! Tumeambiwa tutawajua kwa matunda yao. Hakuna mtumishi wa kweli mwenye matunda ya uzinzi, utapeli, kafara nk
Wewe Emmanuel acha upumbavu dudubaya piga kazi atafute kazi ya kufanya kwani wewe kinakuuma Nini?dudu baya alishakuonba msaada.acha upumbavu wewe Emmanuel .dudubaya anajitambua na maisha yanakwenda pole kwa kutojitambua acha upumbavu dudu baya endelea kutoa madini.
@GeorgeAkasha-zx2rj inawezekana lakini huwezi kuishi kwa matukio na hasa ukizingatia yeye ni public figure anaweza buni anything nje ya career yake ya muziki na kikaenda maana tayari ni popular.
Nakupa habari nyepesi nyepesi ya kwamba Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone utamu wa huyo mwamba
Joe Davi sio mtumishi wa MUNGU huyu katika KRISTO YESU! Tumeambiwa tutawajua kwa matunda yao. Hakuna mtumishi wa kweli mwenye matunda ya uzinzi, utapeli, kafara nk
The Legendary Uncle Dudu Baya, anaongea ukweli!
Dudu konki Master ni Daniel kutoka kenya chenye unaongea dudu uwa wasema ukweli congracts dudu👊👊
Hii bangi aliyovuta dudu baya😂😂 nataka sana
Yani kaka mkubwa dudu baya wewe ni mtumishi mkubwa sana ila wewe ni nabii wa mungu
He nabii tena
Nimeamini watangazaji weng bongo ni machoko mfno huyu anayemuhoji dudu by
Kwaiyo sasaiv Mmeamua kumfanya Dudu Baya kuwa kama Juma lokolee kila Habarii anaijuwa 😂🙌🏽
Zama zamwisho hizi vijana wafanye kazi waache tamaa zamaisha wataangaamia
i like mahojiano ya konki na huyu jamaa
Uyu Dudu baya nmtumishi
Huyu niupepotu umemkalia vibaya ila kichwa chake Kiko bomba
Acha kuamini uchawi kuku we ndevu kama brush ya chooo😮
Dudu baya kuja kenya tukupe uraia ndugu....hii akili yako ni mingi sana
Wewe Emmanuel acha upumbavu dudubaya piga kazi atafute kazi ya kufanya kwani wewe kinakuuma Nini?dudu baya alishakuonba msaada.acha upumbavu wewe Emmanuel .dudubaya anajitambua na maisha yanakwenda pole kwa kutojitambua acha upumbavu dudu baya endelea kutoa madini.
Hiyo sauti imekuaje
Exactly
Huyu huwa Ana fact sometimes ila atafute kitu cha kufanya aache kuishi kwa matukio haitomsaidia.
Pengine analipwa kuhojiwa hapo je unafikiri ni bure anafanya?
@GeorgeAkasha-zx2rj inawezekana lakini huwezi kuishi kwa matukio na hasa ukizingatia yeye ni public figure anaweza buni anything nje ya career yake ya muziki na kikaenda maana tayari ni popular.
@emmanuelchacha6718 Nadhani anavyo vyanzo vingine vya mapato pia.
We unahisi Hana chakufanya wew mwehu
Ndo kitu chake hicho amekua jitu la content, mkosoaji rasmi
Konk anakili lkn akinywa pombe tu akili inapotea happ ndo anahalibu ila uyu jamaa ata ubunge anashinda
We mwenyewe unamuamini nwamposa kiazi we
Achome moto na zile pesa alizopewa
Kuiba nyota si rahisi kuelezea
Tafuta KAZI,
Siku hizi amebaki kuongea na kuwasema wengine. Zamani alikuwa akitoa miziki. Siku hizi kabaki mdomo tu.😂😂
yaani Kuna watu wajinga eti unakomenti upumbavu mwenyewe alafu unajicheka mwenyewe kweli wewe LISONGOMBINGO jinga la mwisho
Kupiga miti ndio nini dudu?
Kunyandua
,,,😂😂😂😂
Mtumishi wa nani mmesema
Nakupa habari nyepesi nyepesi ya kwamba Konde Gang yataka kumsaini Msanii mpya anaeitwa Hamy Love anaetamba kwa wimbo wake wa Subira andika Subira by Hamy Love ukaone utamu wa huyo mwamba
😂😂😂😂😂😂
Unasema ukweli kabisa brother Dudu.
Sasa hili dudu kundu lenyewe kila tukio hapa Tanzania linatafutwa kufanya nalo interview matako kabsa
Ayo ndo maisha aliyochagua, kwani shida iko wapi. ata wewe unaweza kuwaita waandishi wa habari ufanye nawo interview na wengine unawalipa
Dogo sikia kuanahekima hunahajayakutukanamtu kwenye social media unatafutatulaana wekama humpendi achahujalazimishwakufungua nakuangalia mwenzako ndiokulayakehio duniaimebadilika sikuizi biasharaimehamiahukukwenyesocialmedia ....