UZINDUZI WA KIWANDA CHA SATURN CORPORATION LIMITED - KIGAMBONI

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 8 тра 2024
  • Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua kiwanda cha Saturn Corporation Limited Wilaya ya Kigamboni jijini Dar es Salaam leo tarehe 9 Mei, 2024.
    #SSH

КОМЕНТАРІ • 11

  • @abdirazakmadhar2000
    @abdirazakmadhar2000 2 місяці тому

    PROUD OF TANZANIA.MAMBO MAZURI HAYA TAKI HARAKA TUTAFIKA MBILI MASHALLAH.ALLAH AKUPE AFYA NJEMA MHESHIMIWA RAIS NA AMIRI JESHI MKUU MAMA SAMIA SULUH HASSAN

  • @Sautiyamwenyeji25721
    @Sautiyamwenyeji25721 2 місяці тому +1

    Kazi nzuri

  • @IreneMsambala
    @IreneMsambala 2 місяці тому +1

    Hakika Haya ni Matokeo chanyA+

  • @evaemil856
    @evaemil856 2 місяці тому

    Wanabahati, wamepunguziwa tax Asilimia 30 to 10.... Duh

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 місяці тому

    Hii Kampuni ya Saturn ndiyo ile ilikuwa Marekani (USA) na Ku-operate kuanzia 1985-1910 ikafa? Ikiwa Marekani ilishindwa kutengeza faida ikafa, i hope kwa kuja na malori Tanzania itatengeneza Faida na Kudumu.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 місяці тому

    Sheikh hapa anaomba na kumtaja Ibrahim na Musa/Moses ambao ndio Wakristo wanawataja pia wakiomba. Halafu Muislamu atatoka hapo na kumwita Mristo Kafiri wakati manabii wanaosujudiwa ni walewale.

  • @FahmatFarmat
    @FahmatFarmat 2 місяці тому

    Zanzibar sisi tunakiwanda cha nn dah inauma kweli yan icho iloendelea mwanzo leyo imekuwa haina mpango wowote mipasho tu

    • @tanzanite9944
      @tanzanite9944 2 місяці тому

      Nchi iliendelea mwanzo ilikuwa lini? Ilivyokuwa Nchi ya Waarabu au? Tangu lini Waswahili waliongoza Zanzibar ikawa na Maendeleo? Zanzibar imepata Uhuru 1963 ikitawaliwa na Mwarabu kwa miaka zaidi ya 50 na Waswahili walikuwa hawana chochote zaidi kufanywa Watumwa na second-hand (Watu wa Class yachini) na Waarabu hata mji mkongwe walikuwa hawaruhusiwi kufika kutengamana na Waarabu. Acha Ujinga unaojazwa na CUF na ACT.

  • @tanzanite9944
    @tanzanite9944 2 місяці тому

    Yaani Ushuru wa magari uongezwe kwasababu ya malori? Hivi Watanzania wote wanatumia malori kusafiria? Hebu Acheni ujinga. Ushuru sasa hivi ni mkubwa mno na unapunguza sana uchumi wa nchi kwani watu hawawezi kuingiza magari halafu bado eti mnaomba ushuru uongezwe kwakuwa tuu nyie ni wasanii.

    • @evaemil856
      @evaemil856 2 місяці тому

      Biashara ya mtu mkubwa Nani? Sukari ilivyoagizwa Tz na Tz wakasema uzalishaji umepungua, hivyo kupandisha bei Ya sukari iliyoletwa Tz tena imeexpire, je hiyo ni biashara ya mkubwa Nani?

    • @Sautiyamwenyeji25721
      @Sautiyamwenyeji25721 2 місяці тому

      Kila kijiti kimoja kinakamilisha kuwambwa kwa ngozi. Hv zanzber inapatikana ukanda upi wa jamhuri? Maana kunamdau kangata vidole kinyama. Kama kuna zanzber tanganyika nayo ingekuepo!! Hao wazee walikuwa wataalamu kinyama nyama yani. Tunataka na kiwanda kingine cha shetani kijengwe zanzber! sawa Samia!!