Katika wageni wote niliowaona kwenye business diary kwanzia ianze mpka hapa nimebaini yafuatayo. Huyu dada ndo the most humble, anam acknowledge Mungu, anawa acknowledge watu waliokuwa baraka kwake, anaongea vizuri, story yake ina make sense haina mashimo ya missing information na ingawa atakuwa kapitia changamoto ila hayupo negative minded anaongea kwa kuwapa watu moyo with practical precautions. Hongera sana Sky kwa hii interview bora kabisa. Mungu azidi kukubariki wwe na team yako kwa kutupa content nzuri sana na ahsanteni kwa muda wenu na efforts zenu. 🙏
Ahsante Sana sky me ni mfanyabiashara mdogo nimehtimu chuo kikuu 2022 hiki kpnd nakipenda sana sana keep pushing brother me ni shabk wako Toka uko redio free Africa nmekuskiliza sana Toka nko shule ya msingi napenda sana hiki kpnd Busness diary nataman siku Moja na mm nifke SnS
She's beautiful, smart, enthusiastic, down to earth, humble and business minded deeply. Ongeza bei lakini; that dress should be 55K - 70K...honestly, amka kidogo on that. Kuna class haivai very cheap stuff; alafu you need to grow bigger fast, be realistic and wake up. ❤
Katika wageni wote niliowaona kwenye business diary kwanzia ianze mpka hapa nimebaini yafuatayo. Huyu dada ndo the most humble, anam acknowledge Mungu, anawa acknowledge watu waliokuwa baraka kwake, anaongea vizuri, story yake ina make sense haina mashimo ya missing information na ingawa atakuwa kapitia changamoto ila hayupo negative minded anaongea kwa kuwapa watu moyo with practical precautions. Hongera sana Sky kwa hii interview bora kabisa. Mungu azidi kukubariki wwe na team yako kwa kutupa content nzuri sana na ahsanteni kwa muda wenu na efforts zenu. 🙏
Ahsante Sana sky me ni mfanyabiashara mdogo nimehtimu chuo kikuu 2022 hiki kpnd nakipenda sana sana keep pushing brother me ni shabk wako Toka uko redio free Africa nmekuskiliza sana Toka nko shule ya msingi napenda sana hiki kpnd Busness diary nataman siku Moja na mm nifke SnS
Keep it up lavish… nguo zako ni balaa mm ni mteja wako na nguo zako ni classic na una kauli nzuri kwa wateja Mungu akubariki sana
This lady is so humble n composed,nlifika at her shop nkamkuta n the customer care n way she pays attention to u….Dope❤️
She is so humble and matured 💜❤️ she speaks so calm and soft mashallah 💜
Jamani natamani sana unijengee Nyumba,je nifanyeje ili tuwasiliane??😊
She’s very humbleee! Nimempenda
Yes,she is open minded girl and very attractive.big up🎉
Thank you Lavish, this was a great sharing. All the best Lavish.Looking forward to coming at your shop🙏🏽
I really love her kwakweli,keep on winning sis..afu yo r so beautiful..
This is realy me.Am soo inspired na ntarekebisha vision yang kwenye biashara ya nguo ninayofanya currently
Yaaan kila nikiwa down huwa narud kuchek hiii interview inanipaga nguvu sana
Brother sky + Lavish God bless you all✊
She's the best anajuwa kujibu vizuri maswali. She's intelligent
That business structure is called business arbitrage. She bought outfits for Tshs 5,000 sold for Tshs 15,000. She is dope !!
Tell us more pls because we need to do this business 🙏
Great lavish👏👏👏 Mungu akutimizie hitaji lakoo
Na mwili wa kuuza nguo anao!! Ujue nguo unanunua ukiona fulani kapendeza na wewe unataka
Very creative lady
Hongera sanasana keep it dear, una uwezo na talent ya kufanya mambo mengi❤❤.
This session is the best kaka
God bless u mama. ❤❤
Mungu akubariki sana
She's beautiful, smart, enthusiastic, down to earth, humble and business minded deeply.
Ongeza bei lakini; that dress should be 55K - 70K...honestly, amka kidogo on that. Kuna class haivai very cheap stuff; alafu you need to grow bigger fast, be realistic and wake up. ❤
Customer welcoming anaongea Bei ndogo ili hawavute wengi na kuna bei kubwa maybe zaidi ya hapo Dukani kwake
Awe na nguo za watu wa level zote tu...maana akiongeza Bei Kuna wengine hawataweza kununua hzo nguo
Hongera Dada 😍😍
Thank you for inspiration
i really love u lavish your among of my role model ❤️💪
Sky siku nikiw boss ntkuja kuwa motivate hapaaaa Mapambano yaendeleeee😂 karibun @Rene liquor jamn Tupo mbeyaa ❤❤❤
She is so smart kufanya biashara ni ngumu sana tunapitia mambo mengi yaan mpk unasema kwan mafanikio nimeyakosea nn mpk nakula za uso ivii😂😂😂😂😢
😂😂😂
Nampenda huyu dada jamani.❤
This is so inspiring ❤
Kadada kapole kanasema mhhh ndio sky
Ila ngiuo zako sio quality kabisa
Wow congratulations dear ♥️
ANAONGEA KIDOGO KAMA HAMISA
Keep it up wajina
Kitu nlichojifunza ni kwamba ukitaka kuwa mfanya biashara mkubwa lazima uwe na nidhamu ya pesa ... Wote wanaokuja hpo co watu wakwenda kidimbwi
Sky tunaomba interview ya poshnoe mke wa nanasi ltd
🎉🎉🎉 congrats dada
Martin luther king say. He you to say have dream so follow your dream
✊🏿
❤️❤️❤️❤️
Wajina hi
@@sumayaishengoma4543 mambow
Shiiiii
Sky tuelekeze vizuri kuhusu hayo mambo ya kuchonga nguo China🙏
Umiza kichwa cyo kucopy kila kitu
Grace uko single, natafuta a partner?
Ana mtu na wanapendana mnoooooo😅😅😅😅
Sky mke huyo
⚠️⚠️ Sky anamke
Baby sky kuja hapa😅
Thank you for inspiration
❤❤❤
Martin luther king say. He you to say have dream so follow your dream
Thank you for inspiration