barikiwa Mtumish Wa mungu naelewa somo lako ,Mimi mume wangu anakuwa sometime muda Wa tendo mnara unalala au mpaka inyanyuke anakuwa anaishika shika NA mikono kama anapiga punyeto najifanya kama simuon sometime tunafanya romance vizur ikisimama tu wakati anaingiza inaishiwa nguvu je inaweza ikawa anafanya kitendo hicho sometime hapend kuvua boxer mbele yangu anavulia choon
Wengine hawana tu nguvu za kiume yaan ndivyo walivyo zaliwa hivyo na sababu ya yeye kulia boxa pembeni ni aibu ya aina ya uboo alionao watu wenye uboo mdogo hua hawataki kuwaonyesha maongo yao wenza wao
Mm naijua njia moja kwa wanaume kila asubuhi unapoamka n kufanya mazoez inuka chuchumaa inuka chuchumaa kama mara 100 kwa wakat inasaidia kila unapohc hali imetokea
Lakini watu wengne nawaambia mm, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache. 1wakorintho 7:12
CHANGAMOTO KWAKWELI KWA MAISHA YA LEO NAMINI YESU YUKALIBU ANAKUJA NA HUU NI MWISHO WADUNIA INASKITISHA SANA MH" MTUMISHI MITIMINGI SOMO HILI LITOE MARA KWA MARA KWA MAANA VIJANA TWANGAMIA TUNAHITAJI MSAADA MKUBWA SANA JUU YA HILI
Sasa mchungaji ningeomba kuuliza kidogo kwa boys ambao tayar washakua infected wanaweza kurud kwenye harizao zakawaida kama mwanzo ikiwa wataacha!? Au ndo bas tena
Frank Silvery Unaweza kurudi. Ni muscles huwa zinaweza zikafanyiwa training zikarudi. Lakini ni mental training, madhara yake ni akilini zaidi ya kwenye uume.
hata wanandoa wanajichuwa wanawake kwa wanaume,kwawanawake,mume hakuridhishi kabisa,anakuacha nahamu,anasafiri weeeee,akirudi hakuridhishi, unaogopa ukimwi namimba zanje,unaona bora ujichue upate usingizi,tafadhari Mwl too tiba hasa kwa wanandoa,wanaume hawaridhishi wake zao
Mwalimu unachoongea ni kweli kama vile umepitia. Asante kwa somo zuri
You are awesome...I love the teachings....full of truth and reality. God bless you man of God.
Daaah umenena saana baba mchungaji tutafanya hvoooo
Asante Sana mtumishi kwa somo zuri Sana la kutujenga sisi vijana wa Leo tunaomba Maombi yako tukapate kuondokana na haya matatizo
Aminaa Mmary, Barikiwa sana kwa kufuatilia masomo.
900 Ikipendeza
Asantee mchungaji kweli hii hali yakujichua yani mtu anajikutaa tu amefanya badae ndio anajilaumu
Utakumbukwa kwa mengi pastor kwa mafundisho yako ✍️✍️✍️✍️
asante sana mtumishi hicho kitendo sio kizuri Maombi yako yasaidie vijana
Mungu akubariki kwa kutufundisha
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu tusaidie na namna ya kuondokana na hyo hali mtu hapend lkn anajilazmisha tuuu kutokana na hali
Asante mchungaji kwa mafunzo mazuri
barikiwa Mtumish Wa mungu naelewa somo lako ,Mimi mume wangu anakuwa sometime muda Wa tendo mnara unalala au mpaka inyanyuke anakuwa anaishika shika NA mikono kama anapiga punyeto najifanya kama simuon sometime tunafanya romance vizur ikisimama tu wakati anaingiza inaishiwa nguvu je inaweza ikawa anafanya kitendo hicho sometime hapend kuvua boxer mbele yangu anavulia choon
njooo kwangu
Salma pole sana !! Probably mdio jaribu kumuhusia ..akupe ushirikiano kipi kinamsibu
Yaa anafanya hicho kitendo ndio muulize akuambie atakuwa mkali sana
Salima Salima nitakupa tiba YA ASILI mamy 255784477028
Wengine hawana tu nguvu za kiume yaan ndivyo walivyo zaliwa hivyo na sababu ya yeye kulia boxa pembeni ni aibu ya aina ya uboo alionao watu wenye uboo mdogo hua hawataki kuwaonyesha maongo yao wenza wao
Mm naijua njia moja kwa wanaume kila asubuhi unapoamka n kufanya mazoez inuka chuchumaa inuka chuchumaa kama mara 100 kwa wakat inasaidia kila unapohc hali imetokea
MTUMISHI unachekesha mpaka basi,ila una mafunzo MUNGU AKUBARIKI
Umeongea UKWELI 100%
asante sana mitimingi
mungu atuepushe na hili balaa maana madhara yake si mchezo
N kwel kabisaa mtumishishi asante kwa somo
ubarikiwe mtumishi was mungu
Endelea kupumzika kwaamani
Amen mtumishi
tunaomba baba mitingi utusaidie msaada wa kiroho tuweze kutoka kwenye vifungo ivi atupendi
Fanya umuzi dhabiti wa kuacha inawezekana
Bwana asifiwe baba mchungaji, naomba utuombee sisi vijana tuondokewe na tatizo hilo, ili tuweze kuijenga jamaii yetu.
,asante je vijana wanmna hyio tunasaidiaje BABA
Joseph
Jamani heeee uyu kapitia uyu minaamini ivyo
😂😂😂
Kwerii kabisa
Lakini watu wengne nawaambia mm, wala si Bwana, ya kwamba iwapo ndugu mmoja ana mke asiyeamini, na mke huyo anakubali kukaa naye asimwache.
1wakorintho 7:12
mmmmh Mungu atuhurumie
kwel sana
Amen 15:25
Ukiacha utarudi normal miezi 6
Muong uy jmn
Mwalimu anao sema ni kweli yote nisha ona
Ukwel kabisaaaa
R.i.p
kwel kabisa
Jamaa kaishafanya uyu 😂😂😂😂😂😂
Hahahahahahaha
KutongozA kaz nAko...😀😀😀
Ubarikiwe sana mwalimu wetu.sasa kama mtu umeokoka unafanyaje pale mwili unapokua ktk hali ile na uzinzi ni dhambi?
Funga siku moja kula siku ifuatayo
CHANGAMOTO KWAKWELI KWA MAISHA YA LEO NAMINI YESU YUKALIBU ANAKUJA NA HUU NI MWISHO WADUNIA INASKITISHA SANA MH"
MTUMISHI MITIMINGI SOMO HILI LITOE MARA KWA MARA KWA MAANA VIJANA TWANGAMIA TUNAHITAJI MSAADA MKUBWA SANA JUU YA HILI
Kwel vijana tunapotea
J-Star The
@@jumahamiss6119 Amua kuacha inawezekana
miaka mini m2mishi wamungu
Somo zuri sana, sasa kwa mtu ambaye ameathirika na kujichua atafanya nn kurejesha nguvu zake za awali?
Good
kujichua kutamu ndomana waname wengi wameingia huko
Pole sana
Duu! 😂😂😂
Babu umesema kweli
nakuerewa
Asante teacher
Sorry pastor how to get an escape from it, is it possible to recover to your normal condition as man after being affected?
It is possible if you are ready to change
Mtumishi nimekuelewa mimi mdogo wangu ni muhanga wa jambo hilo Je nifanye Nini hili nimsaidie atokane na hali hiyo
Hahahahaahahahahahah
@@MPYAtv 🤣🤣🤣
Wewe umejuaje?
Dawa je ninini
Punyeto mbaya sana
Nawewe unapiga
😂😂😂
bwana yesu asifiwe Mchungaji mitimingi somo tumelielewa lakujichua.lkn sasa tumeokoka tufanyaje kuepukana na hali ya kijichua wakati uzinzi ni dhambi
Kujichua pia ni dhambi. Wasiliana nami takuelekeza nini cha kufanya. Barikiwa +255 713 18 39 39
Amina
MITIMINGI ONLINE TV mimi ninatatzo Hilo nimefanyaje nabii
Ni kweli. Swali la msingi
somo zr
Your Ni ukweli
Ni ukweli kabisa
CHAPUTA eee Too much is harmful
truth
Hakika
Very true RIP
Too much is very dangerous
Kama vile amewahi kujichua huyu jamaa
Hahahgahaj'why?
Huyu nae inaonekana kaipiga sana
Tiba yake ni nini mwalimu wangu
Siri ya Injili channel acha kisha oa na mazoez na vyakula vya asili
Siri ya Injili channel.yani mwanangu hii kitu nimefanya utafiti tiba yake ni moja amboyo ni kupata dem anaye kupenda na kukujali ndio utaacha,
Moses Daniel kuoa sio sababu hata waliooa wa naendelea kupiga
Sasa mchungaji ningeomba kuuliza kidogo kwa boys ambao tayar washakua infected wanaweza kurud kwenye harizao zakawaida kama mwanzo ikiwa wataacha!? Au ndo bas tena
Frank Silvery Unaweza kurudi. Ni muscles huwa zinaweza zikafanyiwa training zikarudi. Lakini ni mental training, madhara yake ni akilini zaidi ya kwenye uume.
saw saw mt
😥
tupe somo vijana tunaangamia wanaume
saf
kweli nimtihani sana
1Thesalonike 4:4-5 , warumi 12:1-2
hata wanandoa wanajichuwa wanawake kwa wanaume,kwawanawake,mume hakuridhishi kabisa,anakuacha nahamu,anasafiri weeeee,akirudi hakuridhishi, unaogopa ukimwi namimba zanje,unaona bora ujichue upate usingizi,tafadhari Mwl too tiba hasa kwa wanandoa,wanaume hawaridhishi wake zao
kweli kabisa
Point
We we
Hhhhhhhhh
MTUMISHI MADA ZINGINE UNGEKUWA UNALUHUSU VIJANA WA KIUME TU NA WANAUME
Hahaaaa
Natambaaaaa
SIACHI NYETO MAAN BAOLAKE SIO PW
Unaweza ukawa unatania lakini ina athari nyingi sana KWA afya yako na kisaikolojia pia dhambi
Abihudi J. Abihudi umeshakuwa mtumwa
MITIMINGI ONLINE TV nifanyeje ili nirud hali yangu maana kupiga punyeto nimeacha lakin nahisi nimeathirika
Dooo