Boaz Danken-JEHOVAH MWENYE NGUVU ft Gladness Siyame

Поділитися
Вставка
  • Опубліковано 14 гру 2024

КОМЕНТАРІ • 125

  • @ambindwilehosea6837
    @ambindwilehosea6837 Рік тому +28

    Oooh hallelujah ipo nguvu katika wimbo huu anae amini kupokea Roho mtakatifu kupitia Huduma ya Boaz danken aje na like zake hapa mimi wa kwanza ❣️❣️❣️. Napokea

  • @davidkanyilili7422
    @davidkanyilili7422 Рік тому +10

    🇹🇿MUNGU azid kukuinua zaid naamin n wimbo wa kuita nguvu za MUNGU kwa viwango vikubwa ameni...

  • @dauddanken
    @dauddanken Рік тому +3

    Mungu azidi kukupa kibali Cha kufanya kazi yake na Kisha kuurithi ufalme wa mbinguni kaka yangu na Mtumishi BOAZ DANKEN

  • @ministerboaznyabogaunachez8553

    Na SI ubarikiwe my namasake I love you so much sir

  • @arodbiirabake8898
    @arodbiirabake8898 Рік тому +2

    Yeye aliyeianzisha kazi hii njema moyoni mwako ndiye atakayeimaliza hadi siku mwisho.. safari ni mbinguni Mungu asikuache tufike salama. kaka yangu 🙏🙏

  • @kenkibelel8048
    @kenkibelel8048 Рік тому +5

    Akili zako hazichunguziki 🎉🎉

  • @winnynangila9591
    @winnynangila9591 Рік тому +1

    Jehovah Mungu mwenye nguvu, wewe ni Mungu wa vizazi vyote

  • @anesansibert2968
    @anesansibert2968 Рік тому +3

    Boaz Danken Ubalikiwe sana unaimba kwa kumaanisha Mungu azidi kukuinua na akupe neema yakumtanguliza yeye pekee yake.

  • @godfreyezekiel6448
    @godfreyezekiel6448 Рік тому +1

    Wewe ni Chakula chetu kutoka mbinguni ambacho Baba zetu hawakukipata kama ulivyotupa sisi. Neno lako la uzima ndani yetu 😭🧎🏾

  • @josephine2759
    @josephine2759 Рік тому +2

    He is a perfect God...I think Tz is the leading country In East Africa in terms of worship...God bless you so much Boaz

  • @awardenock7173
    @awardenock7173 Рік тому +4

    Ninabarikiwa sana na nyimbo zako mtumishi

  • @salkamau2391
    @salkamau2391 Рік тому +2

    Ni Mungu mkamilifu

  • @ayoubpaul
    @ayoubpaul Рік тому +1

    Wewe ndiwe chakula changu cha kila siku, Neno lako la uzima ndani yangu.

  • @benb9631
    @benb9631 Рік тому +2

    acha Mungu azidi kukubariki juu walitukuza jina Lake kwa upendo wa ndani sana

  • @rosenaheka5137
    @rosenaheka5137 Рік тому +4

    Neema ya Bwana na Upendo na Ushirika WA Roho mtakatifu vikawe kwako daima. Barikiwa sana

  • @jedidahmikisa1870
    @jedidahmikisa1870 Рік тому +1

    Mungu akuinue pastor zaidi na zaidi

  • @jas-mw4fo
    @jas-mw4fo Рік тому +3

    Nazidi kubarikiwa. Neema ya Bwana idumu nawe.....Mungu atukuzwe kupitia Kwa huduma Yako

  • @MINISTERJK
    @MINISTERJK Рік тому

    Yeye pekee ni mtakatifu, Mungu mtakatifu 🔥🔥 mbarikiwe watumishi, Kenya tunabarikiwa na huduma zenu...Mungu awabariki zaidi 🇰🇪🇰🇪

  • @davidndui2204
    @davidndui2204 Рік тому +5

    Jehovah mwenye nguvu ni Mungu mkamilifu ni Mungu mtakatifu hauchunguziki Bwana🙌 ni Mungu wa vizazi vyote🙌

  • @lydiaadema6775
    @lydiaadema6775 Рік тому +1

    Huyu Jehovah mwenye nguvu aenitoa mbali saaaana .... aaaaaaaaaaahhh Shukrani kwani.. Kutoka Kenya Grace Arena Ministries ...

  • @robertlameckbabuthegreat683
    @robertlameckbabuthegreat683 Рік тому +1

    UBARIKIWE SANA BOAZ, NYIMBO ZAKO ZINANIBARIKI SANA

  • @charlesmbena9121
    @charlesmbena9121 Рік тому +2

    Wewe ndiwe chakula changu cha Kila siku

  • @sonofyahweh5658
    @sonofyahweh5658 Рік тому +8

    Lord bless my country 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @dickydickson4370
    @dickydickson4370 Рік тому +4

    Was glad ministering in the same platform with Boaz Danken. He's indeed a blessing.

  • @raphaelnyagah6256
    @raphaelnyagah6256 Рік тому +18

    Waiting to tap those blessings. The message in your songs has been a blessing to me in my spiritual life, Glory to God. May God continue uplifting you. 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @yohanamasukakideka7143
    @yohanamasukakideka7143 Рік тому +2

    Amina my bladha vijan tuna jifunza kwako🙏

  • @sharonwachira1402
    @sharonwachira1402 Рік тому +1

    Jehovah uko na nguvu. Nakuamini Baba. Napigwa vita lakini najua utanishindania. 🙏

  • @corbymedia01
    @corbymedia01 Рік тому +2

    Hold on a second...rewind minute 7:15😳😬

  • @KingsGenePT.
    @KingsGenePT. Рік тому +2

    The woman can sing amazingly may GOD anoint her more....

  • @Wilsonjohnoffical543
    @Wilsonjohnoffical543 Рік тому +2

    AMEEEN

  • @isaackmutembei8141
    @isaackmutembei8141 Рік тому +2

    Boaz Danken wimbo mzuri huu, wenye ujumbe mzuri kutukimbusha zaidi kuhusu ukuu WA bwana na uweza wake, katika ibada.
    Ila nitapendekeza hizi nyimbo huzirekodi zikiwa live... Nyumba zako za live nazipenda Sana kuliko hizi za studio.
    Shukrani

  • @rosekamande6331
    @rosekamande6331 Рік тому +4

    Jehova uliuba vitu vyote hikuubwa.❤

  • @agneshans2211
    @agneshans2211 Рік тому +1

    Mungu awabariki mno,nimehudumiwa mafuta ya Bwana yasikauke kwenu mzidi kutubariki

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 Рік тому +3

    Jehovah mwenye nguvu

  • @benjaminmbuba9184
    @benjaminmbuba9184 Рік тому +4

    My brother BOAZ DANKEN thank you for your good song AND OUR GOD IS THE BLESSING YOU FOR EVERY THINGS.

  • @johnmusau8033
    @johnmusau8033 Рік тому +2

    Never disappointing great man of God, may the Holy Spirit keep rejuvenating you!

  • @salomenyamwanji5730
    @salomenyamwanji5730 Рік тому +1

    Ameinuliwa juu mno huyu Jehovah mwenye nguvu🙏🙏

  • @priscambithi9336
    @priscambithi9336 Рік тому +1

    Kweli Mungu Akili zako hazichunguziki utukufu na ukuu na uweza ni zako milele na milele

  • @lucypaulo9238
    @lucypaulo9238 Рік тому +2

    Waooooo barikiwa sana mtumishi wa Mungu Kwa kazi nzr 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏😭😭

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 Рік тому +4

    Waiting

  • @DerickNdonge
    @DerickNdonge Рік тому +1

    Ibada nzuri sana,Yesu atukuzwe

  • @BryanLeshan-un3um
    @BryanLeshan-un3um Рік тому +2

    This is very powerful,,,,may God bless you for the good work that you are doing,the song is very touching

  • @jamesshammah1454
    @jamesshammah1454 Рік тому +4

    God Bless you watumishi 🙏🙏 for the Grace 🙏🙏🙏🙏🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪this is POWERFUL 🔥🔥

  • @carenalex4729
    @carenalex4729 Рік тому +2

    Jehova Mungu mwenye nguvu😭🙌

  • @karimmwalingo4114
    @karimmwalingo4114 Рік тому +1

    Mungu akubariki mtumishi,nakupenda sana napenda unavyofanya huduma chini ya uongozi wa Roho Mtakatifu

  • @beatricesheyo3466
    @beatricesheyo3466 Рік тому +1

    hallelluya Bwana Yesu unasitahili hakuna kama Wewe Yesu utukufu na heshima kwako

  • @EmmanuelSimiyu0254
    @EmmanuelSimiyu0254 Рік тому +5

    indeed God is real be blessed 😇😭🤲🙏🙏🙇‍♂🙇‍♂🙇‍♂🙇‍♂🧎‍♂🧎‍♂🧎‍♂🧎‍♂🧎‍♂🧎‍♂

  • @mabulabrown
    @mabulabrown Рік тому +1

    Barikiwa sana mtumishi wa Mungu

  • @ministerjeremyjeradi254
    @ministerjeremyjeradi254 Рік тому +1

    More Grace big brother! Nime barikiwa sana. May the Lord bless you uzidi kubarikiwa

  • @denisedward2983
    @denisedward2983 Рік тому +2

    Oooooh Amen Amen YESU YESU

  • @princessofthe-most-high-go5947

    Very True Worship......these are the kind of songs that today gospel artists need to sing....songs that lead us straight to God’s Throne like this one.....

  • @winnynangila9591
    @winnynangila9591 Рік тому

    Mnatuuwa huku na roho mtakatifu, kwa nyumba yangu ni moto wa roho, eeh! Jehovah is holy

  • @bobjjoel956
    @bobjjoel956 Рік тому +2

    I LIKE this song mungu akuinue mtumishi huduma iwafikie wote

  • @danielmasika3988
    @danielmasika3988 Рік тому +6

    🇰🇪🇰🇪🇰🇪Glory to God its a touching and a blessing song bringing down the presence of God amidst his worshippers

  • @tukuyufm
    @tukuyufm Рік тому +2

    mungu azidishe baraka sana katika huduma mtumishi.

  • @WilliamPaulo-c5v
    @WilliamPaulo-c5v Рік тому +1

    Ameeeen kubwa mtumishi wa MUNGU barikiwa sana.🇹🇿

  • @JETTVMEDIA
    @JETTVMEDIA Рік тому +3

    This grace i need🤲🤲@Boaz danken

  • @williamntipapa6934
    @williamntipapa6934 Рік тому +3

    The anointing is loading..

  • @danielgerald6207
    @danielgerald6207 Рік тому +3

    akili zako hazichunguziki...JEHOVAH Mwenye Nguvu!!!!! nani wakulinganisha nawe JEHOVAH?? Naniiiiiiii?????

  • @mariamumakenzi-oc1kh
    @mariamumakenzi-oc1kh Рік тому +1

    God bless you man of God

  • @eunicekisumo9611
    @eunicekisumo9611 Рік тому +2

    🙏🙏🙏🙏 Mungu akuinue zaidi mtumishi ... Mungu wetu ni mkuu kuliko vyote😭😭🙏🙏 Niko ambaye Niko milele na milele

  • @JoseLittoh-
    @JoseLittoh- Рік тому +4

    Powerful 🔥 🔥 🔥

  • @aderanderwa7623
    @aderanderwa7623 Рік тому

    AMINA MUNGU NI MTAKATIFU SANA UBARIKIWE MTU WA MUNGU

  • @knowmore6268
    @knowmore6268 Рік тому +2

    Blessing 🙌❤

  • @mtindoelias8888
    @mtindoelias8888 Рік тому

    God is real
    Ainuliwe Yesu 🙌🙏🙏🙏🙌

  • @rosekadania360
    @rosekadania360 Рік тому

    Feeling blessed with Christian Gospel Fellowship Church (CGFC) church Narok-With Reverend Charles Muchendu.

  • @tiatistudios5443
    @tiatistudios5443 Рік тому +3

    Wow... I am feeling the anointing as I am listening to the song... GOD bless you brother Boaz and your team... Thank u for allowing the Holy Spirit to use you as His vessel in this season...

  • @puritywangui5297
    @puritywangui5297 Рік тому +3

    God is holy.More grace man of God

  • @naomimhamba4367
    @naomimhamba4367 Рік тому +1

    Barikiwa mtu wa Mungu!

  • @jacklinemwikali6195
    @jacklinemwikali6195 Рік тому +1

    What a powerful song

  • @JSam1995
    @JSam1995 Рік тому +1

    Yesu ndiye nguvu ya mifupa yangu

  • @Calvin-hi5nw
    @Calvin-hi5nw Рік тому

    Jcc Bamburi in a worship experience was really a blessing

  • @EdgarKimaroni-zo2yx
    @EdgarKimaroni-zo2yx Рік тому +1

    MUNGU akuinue zaidi,ni wimbo wenye nguvu nyingi 🔥🔥 za mungu

  • @jesusislordoflords8957
    @jesusislordoflords8957 Рік тому

    Great anointing in this song Sir,,🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👮👮

  • @convinemukidanyi864
    @convinemukidanyi864 Рік тому +2

    Amen. Mungu mwenye nguvu

  • @graceleboo5462
    @graceleboo5462 Рік тому +1

    Wow!
    Just excellent ❤
    Minister Boaz Dunken ..you are a blessing to many generations.
    Am blessed by listening to your ministrations!

  • @fenrickmsigwa7437
    @fenrickmsigwa7437 Рік тому +1

    Amen Amen, Barikiwa mnoo Boaz

  • @carolinemanyonge6697
    @carolinemanyonge6697 Рік тому +5

    The power of deep worship ❤❤❤
    Thank you Jesus

  • @IsackDominiko_
    @IsackDominiko_ Рік тому +3

    Anointed 🧎‍♂️🧎‍♂️

  • @Barakagospe
    @Barakagospe Рік тому +4

    Amen 🙏🙏🙏

  • @lizziewonder5852
    @lizziewonder5852 Рік тому +4

    All the glory to God,may the Lord keep uplifting you and engrace you more and more

  • @rodgersmasika7987
    @rodgersmasika7987 Рік тому +2

    💥powerful🔥🔥

  • @Kuhani_Yakobo_Mbuba
    @Kuhani_Yakobo_Mbuba Рік тому +1

    God is Real...

  • @princessmhagama375
    @princessmhagama375 Рік тому +4

    Glory to God

  • @ziribakazija
    @ziribakazija Рік тому +1

    Indeed our God is all powerful and Holy.
    You are such a blessing man of God @ Boaz Danken...Am so blessed 🙏

  • @bettymbutha9901
    @bettymbutha9901 Рік тому

    Mungu mkamilivu
    Amen🙏

  • @elvilamwambambale950
    @elvilamwambambale950 Рік тому +1

    Amen baba angu

  • @emmahpaul2151
    @emmahpaul2151 Рік тому +1

    🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @obbynomwa7143
    @obbynomwa7143 Рік тому +1

    God bless you, brother

  • @PaulineMutheu-sn5wv
    @PaulineMutheu-sn5wv Рік тому

    Am Soo much blessed by us God inspired songs.God bless you more

  • @rosewamboi3235
    @rosewamboi3235 Рік тому

    Truth be told God's amazing

  • @solomonkingtv
    @solomonkingtv Рік тому +1

    Amen 🙏 I am really blessed... More grace man of God 🙏

  • @mainjoshkioko9518
    @mainjoshkioko9518 Рік тому +1

    you are holy...so holy.....
    thankyou for this it is so awesome

  • @Mwl_Lupimo
    @Mwl_Lupimo Рік тому +2

    Amen amen amen amen

  • @fellythaddy2040
    @fellythaddy2040 Рік тому +1

    Your songs are a blessing after another bringing glory to our Everlasting God. God is using you to draw His people near Him .God bless you as you continue touching souls through this ministry ❤

  • @miriammayaya2839
    @miriammayaya2839 Рік тому +2

    Hallelujah 🙌

  • @blo2929
    @blo2929 Рік тому +2

    Amen!!! Amen!!!! Amen!!!!!

  • @isayaeva736
    @isayaeva736 Рік тому +1

    Amina

  • @christineneema8302
    @christineneema8302 Рік тому +3

    🙏🙏🙏

  • @noahmisholi1080
    @noahmisholi1080 Рік тому +1

    🙌🙌🙌🙌🙌🙌